Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Hakika Mungu kanitoa mbali mimi na familia yangu
Jmn naomba muweke ule wa samsoni na Delila pls pls wekeni nawenyewe mmeuimba vizur sana
Tanzania tumebarikiwa jamani kuwa na uhuru wa kuabudu, Eeee Mungu tusaidie tuisiishie hapa jamani na mbinguni tukakuabudu
Utukufu Kwa Mungu
Mc katishaaa 😅🔥🔥 waimbaji nao wapo 🔥
Yaaan dada Devothaaa😍😍😍😍
Fantastic!! Nyiye ni akina nani? Mmenibariki kweli kweli . Bwana azidi kuwatia nguvu na mzidi kubarikiwa
Nimebarikiwa sana HONGERENI SANA Mungu awaongezee
mlifaidi sana
❤amazing
Mzee Shayo una akili sana
Awwwww
Kwaya ya mapigano ulyangulu barabara ya 22 tabora
ha ha ha nimewapenda sana
Wow wow wow
Hiki ni kitu cha maana sana! This is called revival!
Amen
It was so nice.
Ameeeen msalaba
Mnaharibu wimbo wao.Wale waliimba katika rohona kweli.Ninyi ni mihemko tu.
Mungu Awabariki
I real appreciate🙏🙏🙏be blessed
Hakika Mungu kanitoa mbali mimi na familia yangu
Jmn naomba muweke ule wa samsoni na Delila pls pls wekeni nawenyewe mmeuimba vizur sana
Tanzania tumebarikiwa jamani kuwa na uhuru wa kuabudu, Eeee Mungu tusaidie tuisiishie hapa jamani na mbinguni tukakuabudu
Utukufu Kwa Mungu
Mc katishaaa 😅🔥🔥 waimbaji nao wapo 🔥
Yaaan dada Devothaaa😍😍😍😍
Fantastic!! Nyiye ni akina nani? Mmenibariki kweli kweli . Bwana azidi kuwatia nguvu na mzidi kubarikiwa
Nimebarikiwa sana HONGERENI SANA Mungu awaongezee
mlifaidi sana
❤amazing
Mzee Shayo una akili sana
Awwwww
Kwaya ya mapigano ulyangulu barabara ya 22 tabora
ha ha ha nimewapenda sana
Wow wow wow
Hiki ni kitu cha maana sana! This is called revival!
Amen
It was so nice.
Ameeeen msalaba
Mnaharibu wimbo wao.
Wale waliimba katika rohona kweli.
Ninyi ni mihemko tu.
Mungu Awabariki
I real appreciate🙏🙏🙏be blessed