Jamani😅After watching this niliota pia kuhusu bahari.Maana mfano alilotumia mtumishi ni bahari.Kama sio mafundisho haya ningeakua na wasi wasi siku nzima.Asante Mungu na pia mtumishi kwa hili somo. Kuna jitu flani hivu kutoka baharini ambalo .....acha nisimalize maana hii ni ndoto ya ku ignore😂Roho ya hofu hunipati tena!Maana ningeamka tu hivi na kuanza kukemea.Ila Mungu ni mwema kanipa hekima😊
Mungu abariki neno lake
Asante Mungu kwakutumia mutumishi wako kutusadia
Jamani😅After watching this niliota pia kuhusu bahari.Maana mfano alilotumia mtumishi ni bahari.Kama sio mafundisho haya ningeakua na wasi wasi siku nzima.Asante Mungu na pia mtumishi kwa hili somo.
Kuna jitu flani hivu kutoka baharini ambalo .....acha nisimalize maana hii ni ndoto ya ku ignore😂Roho ya hofu hunipati tena!Maana ningeamka tu hivi na kuanza kukemea.Ila Mungu ni mwema kanipa hekima😊
Ahsante Mungu
Amen pastor ubarikiwe kwa Somo zuri
Bishop Mungu akubariki sana kwa mafundisho mazuri. Kweli hili ni eneo linalotesa wengi wetu. Kwa maarifa haya wengi tutafunguliwa.
Mungu wetu ni mwaminfu sana na anaendelea kutupigania kiukweli
99y@@abelajohn-fz7mb
Asnte sana kwa kunielewsha maan cikuwa n fahamu haya lkn Mungu n mwem maan hua mdoto zinasumbua kila mars🎉
Balikiwe sana mtumishi kwakutufungua
Asante Mtumishi nimejifunza kitu kikubwa Sana
Asante sana baba nimefunguliwa looooo!!!!! Yesu ni mzuri🙏
Amen
Been waiting for this follow up.Thank you so much for the upload.
Nasubiri part 3 ya hii series jaman ni lini?
Jaman pat 3 ni liniiiii
🙌🙏🙏🙏
Asante sana baba nimeelewa sasa , nilikuwa nimepotea sana
Amen ❤Pastor mungu akubariki
Ameen
Asante pastor kwa ujumbe mzuri
God bless you
Eliudi😂🤣🤣🤣
Amen
Amen