NYOTA YANGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- Mwanzo 37:9-10
9 .Akaota tena ndoto nyingine, akawaambia ndugu zake, akasema, Angalieni, nimeota ndoto nyingine; na tazama, jua na mwezi na nyota kumi na moja zikaniinamia.
10.Akawaambia baba yake na ndugu zake; baba yake akamkemea akamwambia, Ni ndoto gani hii uliyoiota? Je! Mimi na mama yako na ndugu zako tutakuja tukusujudie mpaka chini? 11 Ndugu zake wakamhusudu; bali baba yake akalihifadhi neno hili.
Amen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amina MUNGU Katika Jina la YESU Kristo wa Nazareth alie hai Atukuzwe ni SoMo zuri Sana YESU Kristo akutunze Pastor
mwalimu mzuri sana😂😂😂😂😂😂😂
Ameeeeeen
Amina