BOSS MCHAWI AWEKA WAZI KUJIUNGA NA FREEMASON

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 янв 2025

Комментарии • 202

  • @JaneJuma-g2q
    @JaneJuma-g2q 6 дней назад +3

    napenda rk namusalimia niko kenya munipe likes

  • @RaimamomedSaidi-wz1yu
    @RaimamomedSaidi-wz1yu 7 месяцев назад +30

    Uwongo unajua nn fremanson msanii mzima usijue frimanson ww?ila ulivo unavotowa filam unakua sirias sana haifananii nakuvaa urembo kaka,na pia usanii usikufanye ukabadilika iman,hapo ni 2 kuwa mchawi kwel au kuwa shoga maana mwanaume havai urembo huo kaka unaturejesha nyuma kuamin kazi zako.wakat tunakupenda sana.

    • @AdinaniJuma-f8j
      @AdinaniJuma-f8j 5 месяцев назад

      Vp kaka

    • @valentinesnyaboke460
      @valentinesnyaboke460 3 месяца назад

      Plzzz nawapenda sana naomba mnisub plzzzz

    • @MAGRETHNICOLAS
      @MAGRETHNICOLAS 2 месяца назад

      Mi mwenyewe naanza kuogopa sasa😂😂😂

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 13 дней назад

      Wewe ukiona mtu anaigiza mifilamunya kichawi ni lazima ana chembechembe hizo usikatae watu wanavaa vitu kwa sababu maalumu na we dada ukijua kavaa kwa sababu gani unapata faida gani mtangazaji umefeli hovyo sijapenda

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 7 месяцев назад +13

    Namkubali sana huyu mwamba unajuwa sana❤🎉

  • @timilaistevensteven8469
    @timilaistevensteven8469 7 месяцев назад +14

    Wanazingua sana hao wanakaa week nzima wanatoa ep inadak kumi na moja11 washaa anza kufanya watakavyo hawaskiliz mashabik

  • @Eunicemakokha-gc9ss
    @Eunicemakokha-gc9ss 6 месяцев назад +4

    Boss mchawi huyu kwangu mimi naamini ni mwabachama wa kifreemason na kulingana na vile filamu zote kaziact yaan mwamba kwa kila part anayopewa kuiact waa walai katisha kutisha but i rally love his part

  • @Marywangoikinyanjui
    @Marywangoikinyanjui 6 месяцев назад +2

    Kweli kabisa Mimi niliwatch boss mchawi baada ya kuona wrong house

  • @JoslineKavugho
    @JoslineKavugho 6 месяцев назад +3

    Bos mchawi unaogopecha sana ku filam zako zote, inawezekana ww ni mchawi

  • @AzminaShefungo
    @AzminaShefungo 8 дней назад

    Eti jamani urembo gani uwo ❤️❤️ haya tuko pamoja

  • @kondomiraji2834
    @kondomiraji2834 6 месяцев назад +2

    Boss mchawi kumbe n handsome,

    • @Mwlimu
      @Mwlimu 6 месяцев назад

      Be aware think twice bro ama wataka kuuza sura pia wewe.

    • @AishaGoontv
      @AishaGoontv Месяц назад

      Mjinga wewe

  • @Mwlimu
    @Mwlimu 6 месяцев назад +3

    😂boss mchawi Wacha muwongo wwe ni mwanachama uwezi act kitu hujui sema kweli kaka.

  • @GloriaSamantha-yv9uo
    @GloriaSamantha-yv9uo 6 месяцев назад +2

    Boss mchawi,,,,,,hi 👋👋👋👋💜💜💜💜💜💜

  • @Berenaldo77
    @Berenaldo77 7 месяцев назад +1

    HUYU MWAMBA NI BONGE LA MSANII OYAAAEEEEE UNAPITA _"+MULEMULE+"😂😂😂❤❤

  • @maryanaya330
    @maryanaya330 6 месяцев назад +1

    Pia mimi nikikuona nitatorora we Batista kweli❤❤❤😂

  • @RamadhaniYahayamshihri
    @RamadhaniYahayamshihri 5 месяцев назад

    Usijar bwana wabongo tuko nyuma Sana watu watembee bwana wajionee wambie naishi maisha yangu siishi maisha ya watu

  • @MasaiLynn
    @MasaiLynn 6 месяцев назад +1

    Kweli kabisa boss mchawi tuko Bamba to Bamba ilitokea tuko nayo siku hiyo

  • @binFerdinandabubacryba
    @binFerdinandabubacryba 4 месяца назад

    Ebwana nakupenda Sana! Mimi ni kongomani Nami natamani niwe mwana tchama wa Freeman son. Napenda uni unganishe!

  • @SaadaNdekeja
    @SaadaNdekeja 6 месяцев назад +2

    Aisee mashaallah we kaka hatari sana allah azidi kukupatia ujuzi inshallah

  • @Ezraloyibobo10
    @Ezraloyibobo10 6 месяцев назад +1

    Ila anaweza Sana namukubali sana ❤❤🇧🇮🇧🇮

  • @Mushalotelevisionkiswahili
    @Mushalotelevisionkiswahili 7 месяцев назад +5

    Host amezama kwa maswali yasiyo muhimu kuliko kutufanya watazamaji tumfahamu boss mchawi

  • @zakariawilliam-3816
    @zakariawilliam-3816 7 месяцев назад +1

    Boss mchawi hongera Sana brother 😂

  • @MonicahWainaina-d1n
    @MonicahWainaina-d1n 7 дней назад

    Big up ata kama umetundanganya wewe Siwa freemason

  • @FestoMkama
    @FestoMkama 23 дня назад +1

    nakuaminia boss ebu tyufundishe mpaka tyupate akili make tyuna imani za kishrikina

  • @Salma-uz4gl
    @Salma-uz4gl 6 месяцев назад

    Mungu akusimamie boss mchawi unaweza sano🎉🎉🎉🎉

    • @GLORIANYAULINGO
      @GLORIANYAULINGO 5 месяцев назад

      Mungu yupi

    • @GLORIANYAULINGO
      @GLORIANYAULINGO 5 месяцев назад

      Kuwa muwazi bro kwani mbona hamna shida. Usitufanye watanzania wajinga bhna

  • @ibrahimukombe
    @ibrahimukombe 4 месяца назад

    Nko nae bampa to bampa mpka 😂uniunge uluminati pia mm😂😂😂😂😂❤broo

  • @BrightMduwile
    @BrightMduwile 5 месяцев назад +1

    Huyu jamaa anaaa balaaaa sanaa atuletee season two basi

  • @MagdalenaAmasi
    @MagdalenaAmasi 6 месяцев назад +2

    mwenye macho haambiwi tazama

  • @platinumEzzey
    @platinumEzzey 6 дней назад

    Hivi kwel mchawi

  • @Thefarmer-brayoh
    @Thefarmer-brayoh 3 месяца назад

    Babu kishoka big up😂😅

  • @KyahusaMwinuka
    @KyahusaMwinuka 3 месяца назад

    😂😂😂😂😂❤❤❤❤ kazi zenu safi

  • @FelisterElisha-q4r
    @FelisterElisha-q4r 18 дней назад

    Boss mchawi ni nzur jaman

  • @kennedygiyabe
    @kennedygiyabe Месяц назад

    Mm naomba tu waendelea na series zao, nko tu idle Kwa nyumba bana Sina movie ya kuona 😂

  • @FundiAyo
    @FundiAyo 7 месяцев назад +14

    Mbona haumulizi maswali ya umuhimu mulize boss mchawi season2 inakuja lini

  • @Charlene-ij3br
    @Charlene-ij3br 3 месяца назад

    Nikweli tuna usika kwani tuki uliza Boss muchawi alakini tuna Pata vitu vingine 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @adarieldamumoja
    @adarieldamumoja 6 месяцев назад +1

    Dada umemhoji vyema sana 🎉

  • @BuluhanBakari
    @BuluhanBakari 4 месяца назад

    Good luck boss mchaw nakukubal san

  • @Dorambembela
    @Dorambembela Месяц назад

    niuwongo uyu ameingia fremanson sisi tunajua ana yevaa cheni yaji cho uyoni fremanson

  • @MohammedseifAbeid
    @MohammedseifAbeid 6 месяцев назад

    Yaan kma kweli unamjua mungu bas achana na ufirmanson

  • @FelisterElisha-q4r
    @FelisterElisha-q4r 18 дней назад

    Tunahitaji mwendelezo wa boss mchawi na uwe unajibu washabiki bhana

  • @DorcasBulungiCatherine
    @DorcasBulungiCatherine 6 месяцев назад

    Ule Boss mchawi namuogopa kweli si wezi penda nikutane naye ni mchawi ule bwana

    • @simaoamisse9017
      @simaoamisse9017 5 месяцев назад

      Gosto muito seu trabalbo irmão mais força,forçahh,cabo delgado mueda

  • @AlfredMusikoyo
    @AlfredMusikoyo 5 месяцев назад +2

    Na tafadhali naomba kujua hii boss mchawi inafika episode gani maana since nione twenty eight sijai ona ingine na kumetulia kwani ndo mwisho

  • @Funny-guy..holyjoe
    @Funny-guy..holyjoe 4 месяца назад

    Mnatuangusha sana boss mchaiwi mlikwama

  • @MilkaQulate-e6j
    @MilkaQulate-e6j 6 дней назад

    Iyo Pete na chain anakuanga nayo kwa boss mchawi ndo utuambie ni marembo hapana the guy is in bwana

  • @venocyber_tech
    @venocyber_tech 7 месяцев назад +1

    Aseme 😂😂😂😂
    Dada unajiamini sana

  • @RaufaRaufa-od3xt
    @RaufaRaufa-od3xt 5 месяцев назад

    Bosi mchawi umetisha cna

  • @YussufSaid-l9p
    @YussufSaid-l9p 2 месяца назад +1

    Haya Wadau wangu apo naombeni like zenu niwatumie nyngine 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DancanOgutu-n8u
    @DancanOgutu-n8u Месяц назад

    Boss mchawi mwenyewe

  • @GathonieJian
    @GathonieJian 7 месяцев назад

    Sikwer unavyovaivo nisahihi ukiwa ushaingia kwashetani huwezivaivo kama haujaingia hautakubaritu uripenda😢😢😢

  • @rosemisiko3725
    @rosemisiko3725 3 месяца назад

    Babu kishoka huyo ni pepo

  • @lornahmulitani2798
    @lornahmulitani2798 6 месяцев назад

    Boss mchawi nimhandy bt ukienda kule kwingine ooh anaogopesha

  • @Richardsanga-cw1eh
    @Richardsanga-cw1eh 5 месяцев назад +1

    We una tisha

  • @mzeecomedian4769
    @mzeecomedian4769 5 месяцев назад

    Following from kenya

  • @AkibaDzikaphu
    @AkibaDzikaphu 4 месяца назад

    Huyo mwanadada anauliza maswali mengi😢😢

  • @NoniLuka
    @NoniLuka 6 месяцев назад

    Inawezeka kweli boss mchawi ni firimason

  • @NchalilondaPaul
    @NchalilondaPaul 3 месяца назад

    Ni hatari sana 🤪🤪

  • @MwajumaMussi
    @MwajumaMussi 6 месяцев назад +1

    Boss mchawi nje ya sanaa ni mganga wa jadi jamani

  • @ObediNdeze-c2l
    @ObediNdeze-c2l 4 месяца назад

    Kwa Nini hamuku endeleya na boss mchawi RK aliponaga Ama angali kuzimuni ama aka okolewa na pasta tunataka mwendelezo

  • @BenjaminMyula
    @BenjaminMyula 5 месяцев назад

    Mimi nikikutana naye nazimia na kujinyea hapo hapo 😅😅😅😅😅😅

  • @abdulkaoneka7368
    @abdulkaoneka7368 6 месяцев назад

    Huyo freemason 😁😁

  • @fidonisfredrick
    @fidonisfredrick День назад

    Babu kIshoka 😂😂😂😂

  • @AishaTwaha-y4t
    @AishaTwaha-y4t 5 дней назад

    Yani movie ya boss mchawi inamaana Fulani sio Bure Yani ata kama nikuact kusema kweli munakufuru

  • @StephenOmusinzi
    @StephenOmusinzi 21 день назад

    Nipe nafasi hiyo ndungu yangu

  • @timilaistevensteven8469
    @timilaistevensteven8469 7 месяцев назад +1

    Na huwez sema hujui freemason ni nin halafu umeigiza uhusika wa freemason hapo ni uongo lazima uigize kitu ambacho una Idea nacho saw tu na kuigiza mapenz lazima uwe unajua mapenz ni kitu gan!!

  • @sebabway9670
    @sebabway9670 Месяц назад

    Uyu akipgwa vzr atausema ukwl😢

  • @omoiteasante
    @omoiteasante 18 дней назад

    Babu kishoka

  • @dandydeprince
    @dandydeprince 7 месяцев назад

    Mie n mkenya napenda kufwatilia filamu zao lakini wanachelewa sana kwanza kazi za RK

  • @Benjaminelianyama
    @Benjaminelianyama 4 месяца назад

    Mimi kwangu naamini Ako freemason

  • @HhRt-m5z
    @HhRt-m5z 7 месяцев назад +1

    Penye ukweli uongo hujificha ila mwenye macho haambiwi tazama

  • @DeboraMsumba
    @DeboraMsumba 4 месяца назад

    Kwann avae ivo vitu na alivitumia kwenye boss mchawi kama ajui Sabu zake mbn alivitumia

  • @ChadrackMwenyeheri
    @ChadrackMwenyeheri 4 месяца назад

    Wewe ni mchawi halisi

  • @Amanijunior-g1r
    @Amanijunior-g1r 7 месяцев назад

    jamaaa kweli anajua kuigiza sana

  • @marycatelee
    @marycatelee 5 месяцев назад

    Tunataka mwisho wa boss mshawi

  • @EMILYNYANCHIRO
    @EMILYNYANCHIRO 3 месяца назад

    Mimi nadhani ni mmoja wa wanafreemason kwa maana anaziact vizuri sana

  • @MichellJohn-zk1hp
    @MichellJohn-zk1hp 7 месяцев назад

    Kuna Jambo...sio bure....nimeogopa aisee.....alafu vile kazi ya wrong house inasonga tofauti kabisa na vile boss mchawi ilikuwa......ningesema mengi ila ndio hivyo sina lawyer😂😂😂😂

  • @Mushalotelevisionkiswahili
    @Mushalotelevisionkiswahili 7 месяцев назад +1

    Nalichukia sana hili jamaa

    • @jajaQueeny
      @jajaQueeny 6 месяцев назад

      Kwanin jamani 😂😂😂

  • @steve-b2u
    @steve-b2u 3 месяца назад

    Umejua hiyo ukora

  • @brishkim
    @brishkim 7 месяцев назад +2

    Nikimpata huyu live nitakimbia mbio 😂😂

  • @JIMITz-m9f
    @JIMITz-m9f 3 месяца назад

    Boss mchaw mnatoa Lin session 2

  • @migorihassan4976
    @migorihassan4976 4 месяца назад

    Niunganishe na mm

  • @JulianaSamwel
    @JulianaSamwel 6 месяцев назад

    Mbona meacha boss mchaw

  • @robertcheruiyot318
    @robertcheruiyot318 7 месяцев назад

    Nakuona Na shoga baba 🪓🪓

  • @MbMb-nt1sb
    @MbMb-nt1sb 4 месяца назад

    Namkubali

  • @FaizaKabibi-tb2dj
    @FaizaKabibi-tb2dj 2 месяца назад

    Lishaingia Hilo kwann hajui mbona kavaa vitu vyao

  • @MaryAtieno-t1z
    @MaryAtieno-t1z 3 месяца назад

    weh siku tegemea ku ona babu kishoka akio gea na ogopa sana

  • @kilianmsigala9613
    @kilianmsigala9613 5 месяцев назад

    We mwanga tuu

  • @IBRAHIMMAKWETAMOPAO
    @IBRAHIMMAKWETAMOPAO 7 месяцев назад +1

    yaaan uyu jamaaa anatisha ata apo me naweza kumuogopa

  • @TWALBUMAWE
    @TWALBUMAWE 4 месяца назад

    Samahan muulize bossi mchaawi season 2 wanatoa lini

  • @ephrembahati8920
    @ephrembahati8920 Месяц назад

    Boss, seaon 2 ni lini? tunaisubiri kwa hamu kwani imeisha kawiya sana

  • @MaryamMshihiri
    @MaryamMshihiri 5 месяцев назад

    Mmmmmmh Babu kishoka wewe hata nikikutana na ww mtaani nakimbia

  • @FatmaMohammad-vd3jb
    @FatmaMohammad-vd3jb 7 месяцев назад

    Binadamu ukibarikiwa na mungu tuu ushakua frimason mna shida nyie 😅😅

  • @claregeysilwana3213
    @claregeysilwana3213 4 месяца назад

    W ndo mzee kashoka kwa wrong house
    ..watisha kweli ndugu

  • @sophiesean2
    @sophiesean2 6 месяцев назад

    I thought iyo pete na chain n vya kuact kumbe n vyake vya kuvaa audhubillahi sina mengi mm

  • @steve-b2u
    @steve-b2u 3 месяца назад

    😂 uwongo mkubwa

  • @DonatienKasongo
    @DonatienKasongo 6 месяцев назад

    Kaka yani kila mtu amekuongopea kwa jili ya ile movie ya boss mchawi

  • @doreenmwangi8593
    @doreenmwangi8593 15 дней назад

    Season 2 ya Boss mchawi inatoka lini

  • @Amidomsigwa
    @Amidomsigwa 5 месяцев назад

    Laivu shida watanzania Imani potofu kadli kabisa

  • @MiriamSamita
    @MiriamSamita 6 месяцев назад

    Dada we mpishi

  • @daulatbosmau6769
    @daulatbosmau6769 7 месяцев назад

    boss mchawe upewe mau yako kwa kweli ww na AR ❤❤

  • @IreneEdward-i5e
    @IreneEdward-i5e 2 месяца назад

    Mhhh

  • @JacklineBabu-f8h
    @JacklineBabu-f8h 3 месяца назад

    Zinanunuliwa wapi duka ipi

  • @marycatelee
    @marycatelee 5 месяцев назад

    😂😂😂😂alafu wewe Dada thubutu