HEZBOLLAH yachapisha VIDEO za maeneo nyeti ya Israel, Waziri aitishia LEBANON vita kamili

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 404

  • @aminaali792
    @aminaali792 6 месяцев назад +22

    Tunawapenda SNS na asanteni kwa updating munasuuza nyoyo sana Thanks to Dj Sma Allah akujaalie Afya njema na akufanyie wepesi na akujaalie utulivu wa nafsi yaa Rabbi🤲🏼Love from UK 🇬🇧 ❤

    • @djsma255
      @djsma255 6 месяцев назад +3

      🙏

    • @issataslima9846
      @issataslima9846 6 месяцев назад

      hakika anafanya kazi ukuubwa saana ameninza vitu vingi mnoo kufikiria nje ya box

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 6 месяцев назад +6

    Naona wazee wa Proud mmeanza kama mlivyo anza October 7 😢. Me binafsi sijawah shabikia vita ogopa sana vita watakao umia hapo na kuteseka ni watoto na wamama watu wasio na hatia . Mayahudi hawajawahi kuwa na huruma hata bible inasema. Nawahurumia Lebanon

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 6 месяцев назад

      Hao mayahud mashoga tu waingie vitan waache porojo

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 6 месяцев назад +27

    Kama mmarekani hatotia mkono kwenye hii vita Wala kusema chochote naona Israel inaenda kupotea hawa jamaa wamejipanga na kujiandaa na wapo tayari kwa chochote🙌🙌🙌

    • @humphreymwihambi4330
      @humphreymwihambi4330 6 месяцев назад +5

      Unaota ndoto

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 6 месяцев назад +2

      Endelea tu kuona, hizo vita zilikuwepo kabla hujazaliwa mbaka Sasa zipo na zitaendelea kuwepo hata utakapo kuwa umeshakufa

    • @tekashisixtynin9threewithd727
      @tekashisixtynin9threewithd727 6 месяцев назад +4

      Asa ww israel ni bora zaidi ya marekani sababu marekani ataki mwacha nyuma 😂😂😂

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 6 месяцев назад +7

      ​@@tekashisixtynin9threewithd727marekani Israel wote hao mashoga waoga mrusi mwamba kiboko wa mashoga

    • @lwagamwakalinga8038
      @lwagamwakalinga8038 6 месяцев назад +5

      Hata kule Gaza mlisema hivyohivyo na Sasa mnaomba Dunia iwasaidie, mzungu sio mjinga kama msimuliaji anavyosimulia kirahisi. Kama Hezbollah Wana nguvu mara kumi ya Hamas basi ujue pia wameandaliwa dozi Kali mara kumi ya Hamas. Mwisho wa siku vita sio kitu Cha kushabikia sababu wenzetu wanahangaika sana sana, na tuchukulie tu kuwa hakuna mshindi wasipigane

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 6 месяцев назад +23

    mungu ibariki dunia iwe na amani

  • @iddikibwana9185
    @iddikibwana9185 6 месяцев назад +2

    Mko vizuri sana kwenye uchambuzi. Hongerenii sanaa SNS

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 6 месяцев назад +2

    Sma upo vizuri sna

  • @SarhaSaid
    @SarhaSaid 6 месяцев назад +5

    Tuna kuelewa sana mwalimu wetu🎉🎉 Dj smaa Allah akuifadhi inshaallah

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 6 месяцев назад

      Taifa la mungu linadukuliwa😢

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 6 месяцев назад


      😅🏃🤦🏿🏃😅

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 6 месяцев назад

    Safi sana mwenyezi mungu azidi kuwaifazi wote waiziraili wamarekani na nato kwani haina faida kwenye hii Dunia
    Amiiiiiiiiin yarrabana takabali duwaaa zetu

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 6 месяцев назад +8

    Smaaa uko vzur

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 6 месяцев назад +11

    Free Palestine

  • @omarymwaluko9765
    @omarymwaluko9765 6 месяцев назад +15

    Utawal wa mashoga unaanguka hivi karibun

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 6 месяцев назад

      Nchi yko kila kukicha inapokea msaada kwa hao hao

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 5 месяцев назад

      Mimi nafikiri wanao kula kichap ndiyo mashoga pamoja na Mtume wao

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 6 месяцев назад +2

    Allah awawezeshe kupiga izo mbwa

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 6 месяцев назад

      Mungu aewzeshe apigwe huyo Allah na makundi yake yote ya kigaidi 😂😂😂

    • @siscoministry8400
      @siscoministry8400 6 месяцев назад

      Mungu sio mpumbavu..kuna watu wanalia njaa huko wanamuomba wengine wako mahospital wengne ni yatima ... don't portray Allah in foolish images...
      Takbir.

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 6 месяцев назад +14

    Wapi hamasi wenyew mmewashindwa ndio muiweze hizibulah acheni kuada dunia eti tutawaliza hezibulahh mwaka mutaishiwa saana nyinyi mashoga mzigo tayari tumeshapiga mutaona

    • @tanzanianpatriotic3532
      @tanzanianpatriotic3532 6 месяцев назад +2

      Wewe nanani nduguyangu😆acha wentevita vyao wapigane punguza kujipa umuhimu

    • @abedinegoraphael4774
      @abedinegoraphael4774 6 месяцев назад +2

      wameshindwaje wakati mji wao umeharibiwa kweli unaota

    • @PaulLeo-em5dh
      @PaulLeo-em5dh 6 месяцев назад

      Kwao umeuwa watu 1200 kwako wameuwa karbun 40000 na wameharbu kila kitu kwako na wanacontrol maeneo mengi kwako uoni kama hamas wamepoteza mzee au naww tahra

    • @abdirashidkiokokunga1513
      @abdirashidkiokokunga1513 6 месяцев назад

      Zetu Dua

    • @AjiaMohamed-rt5pb
      @AjiaMohamed-rt5pb 6 месяцев назад

      Ss hamars ni jesh au kundi linapigana na jeshi kmili wenye kila kitu israel hmna kitu ni kusaidiwa.tu na marekeni.

  • @selasboy3966
    @selasboy3966 6 месяцев назад +8

    Israel hawatakuja kukanyaga uo mziki kwaanaefatilia haya mavita hawa hezbollah wataalamu sana

    • @ronniemalima6325
      @ronniemalima6325 6 месяцев назад +1

      Endeleeni Kuota,

    • @selasboy3966
      @selasboy3966 6 месяцев назад +1

      @@ronniemalima6325 wewe pimbi unazani hao ni wakristo wezio nyooo...wanaroho mbaya ata munguwenu huyo wamagumashi hawamjui.

    • @ce-08
      @ce-08 6 месяцев назад

      ​@@selasboy3966 kumbe mnalazma upande wa mtu kuwa😂

    • @humphreymwihambi4330
      @humphreymwihambi4330 6 месяцев назад

      Wameshadundwa sana mara nyingi

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 6 месяцев назад +3

      ​@@humphreymwihambi4330hamas hizblaa vidume Israel mashoga

  • @prettynayally2177
    @prettynayally2177 6 месяцев назад +15

    Natamani itokee 😢izrael wapotezwe wabaki watu wenye dini zao waishi kwa amani😢

    • @ce-08
      @ce-08 6 месяцев назад +2

      Israel ni ngumu sana kupotea pale mashariki ya kati mpaka marekani awe ameshuka kiuchumi lakin vinginevyo hawez kukubali maana anajua vizuri na kuitawala mashariki bya kati kupitia Israel

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 6 месяцев назад +1

      Ila tusisikie mara ohhh free Lebanon,Or genocide, ohh watoto na wanawake

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni 6 месяцев назад +3

      Waarabu waipoteze Israel kwa elimu gani walio nayo.

    • @FrankMushi-cs5js
      @FrankMushi-cs5js 6 месяцев назад

      Ety ipotezwe weeee ngoja uone mziki wakee taifaa la MUNGU iloo😅

    • @tanzanianpatriotic3532
      @tanzanianpatriotic3532 6 месяцев назад

      Israel ipo Toka enzi za mfalme Daudi huko hata mfalme seleman mwane hajazaliwa wanapigana ile ardhi sio raisi kutoka kama unavyo fikiri niswala lakirohoo.

  • @alihamisi8440
    @alihamisi8440 6 месяцев назад +4

    Tunapoelekea ni kushuhudia mwisho wa IZRAEL,hivi vita vilishatabiriwa na mtume Muhammad s,a,w.kwamba Kuna kundi la watu sio nchi hapa iliotajwa Bali ni kundi ambalo litapigania msikiti AL-AQSWA Hadi kiama,maadui watawazunguka kama vile watu wanavyoizunguka sahani ya chakula wakati wanapokula,huo ndio mfano uliotolewa,ila hataweza kuangamiza kundi Hilo isipokua wanawake watawachwa wajane ,na watoto mayatima,na mwishowe kundi Hilo litaibuka na ushindi.

    • @janesuma-is4wc
      @janesuma-is4wc 6 месяцев назад +1

      😅😅😅 endelea kuota ndoto aliyo ota mtume

    • @alihamisi8440
      @alihamisi8440 6 месяцев назад

      @@janesuma-is4wc hujanielewa,hapa ninacho kiongelea sio ndoto,ni utabiri uliotabiriwa miaka 1400 iliopita .

  • @sultanbakary4292
    @sultanbakary4292 6 месяцев назад +24

    Mashoga kazi wanayo Israeli taifa la mashoga

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 6 месяцев назад +5

      Kweli ! Mkuu wa majeshi wa Israel ni gay

    • @paschalmartin9598
      @paschalmartin9598 6 месяцев назад +2

      Mnataka lebanon iharibiwe

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 6 месяцев назад +7

      ​@@paschalmartin9598wameshindwa na Hamas

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 6 месяцев назад +5

      Watu wana kuchunguza mbaka kwako alo si mchezo

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 6 месяцев назад

      @@paschalmartin9598 hezbollah wapo visuri mara kumi ya hamasi. Nyetanyau inabidi ajiuzulu ndo israel wasishambuliwe

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 6 месяцев назад

    Ni kuomba amani itaware❤❤

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 6 месяцев назад +19

    Israel ipigwe mpaka ikome kuua watu gaza

    • @paschalmartin9598
      @paschalmartin9598 6 месяцев назад +1

      Unaota wewe

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 6 месяцев назад

      ​@@paschalmartin9598watesekea wapi mzee! 🤗🤗

    • @tekashisixtynin9threewithd727
      @tekashisixtynin9threewithd727 6 месяцев назад

      Akili zako ni kama akili zako umetumia andika apo za kijinga 😂😂😂😂 achana na israel wewe

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 6 месяцев назад +1

      ​@@tekashisixtynin9threewithd727Israel mashoga

    • @kakore_jr
      @kakore_jr 6 месяцев назад

      Akili Zako Nikama za KIGAIDI NA DINI YAO😂😂😂

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 6 месяцев назад +4

    Waarabu hawana uwezo wakuifuta israel jamaa waanaakiri sana hao waarabu shule hamna

    • @yusuphmashallah3732
      @yusuphmashallah3732 6 месяцев назад

      Sasa Kama ww tu hauna akili wao wanakuaje na akili?? Ongea fact

    • @LumumbaFarhani
      @LumumbaFarhani 6 месяцев назад

      Sana aisee ila haohao waisrael wenye akili wamekuwa watumwa wa waarabu kwa miaka zaidi ya 700 na haohao hizbullah washaichapa israel mara kadhaa jiongeze utokwe na ububusa. NATO inajitahidi kuilinda Israel kwa namna zote waambie waiache Hamas inunue silaha uone kama mashoga watasalia hapo tel Aviv

    • @NasirAmeir
      @NasirAmeir 6 месяцев назад

      Machozi yakiswahili bana akiri ndio nn

  • @hazygardmericho9571
    @hazygardmericho9571 6 месяцев назад +7

    watoto wa lebanon wanaenda kuponzwa muda so mref, na ao eziboli

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 6 месяцев назад +1

      Tulia ww kila mtu atakufa hakuna atakae bakia ktk dunia hii Acha taifa la shetani israle liangamizwe Israel ni taifa la shetani lina mwisho wake

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 6 месяцев назад

      Iyo sio kesi kwao we ua na wao wanauwa sio afrika mashariki hao. Hao wanaume

    • @Maxpaul-oi8pw
      @Maxpaul-oi8pw 6 месяцев назад

      Nawaonea huruma hao maraia wa lebanoon

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 6 месяцев назад +16

    Israel wapigwe tu

    • @ezekielmwadomba4675
      @ezekielmwadomba4675 6 месяцев назад

      KABLA YA KUPIGWA WAO WEWE UTAKUWA NYANG'ANYANG'A! HUKO GAZA NINI KINAENDELEA UKIPATA JIBU UTAKUWA UMESHA MJUWA MUNGU WA ISRAEL !!!

  • @dorambaga2667
    @dorambaga2667 6 месяцев назад +1

    Mungu ibariki Israel 🇮🇱. Tumsifu Yesu Kristo

  • @didaslunkoto
    @didaslunkoto 6 месяцев назад +2

    Taifa la Mungu futa hayo mashetani. Chapa lebanoni yote malizia Iran mfadhili wao

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 6 месяцев назад

      Taifa la mungu linakuaje makao makuu ya mashoga 😂😂

    • @AbuuHoya
      @AbuuHoya 2 месяца назад

      Wenawe nimngese islael niwangese wenzio

  • @isaacramadhan9721
    @isaacramadhan9721 6 месяцев назад +1

    Bila marekani, Israel hatoboi

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 6 месяцев назад +6

    Mmewaonya wakati nyinyi wadhaifu mbwaa nyinyi amuiwezi izibulah mutachapwa sio hamasi hao kama mmezoea kuwawekea mkwara kama nchi zingine hizibulah piga taifa hilo la shetani

    • @tanzanianpatriotic3532
      @tanzanianpatriotic3532 6 месяцев назад

      Israel nitaifa teule nasikwasabu nyingene yeyote balikwakua tu Mungu aliingia agano na Abraham basi wnatembelea hiloagano ndomana wakimkosea Mungu Huwa wanapigwa wanaenda uhamishoni lkn wanarudi kwenye ardhi Yao ipo hivyo Toka enzi za mfalme Daudi huko hata Yesu na muhamed hawajazaliwa

    • @abuukajembe-to6sd
      @abuukajembe-to6sd 6 месяцев назад

      @@tanzanianpatriotic3532 mda utaongea mashoga kwaka hu kazi wananyo

    • @Kassim-o6m
      @Kassim-o6m 6 месяцев назад

      Israel taifa la mungu kwani hayo mengine ya nani?

  • @GasparMfoi
    @GasparMfoi 5 месяцев назад +1

    Dj nae anaezakuwa gaid achunguzwe

    • @ZeProDJay
      @ZeProDJay 3 месяца назад

      😅😅😂😂

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 6 месяцев назад +1

    Swali langu nihili libanuni ni inci je itakubali?

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 6 месяцев назад +2

    Israeli ameshashtukukia diri Israeli ya sasa sio Ile ya zamani inaweza ikasimsmma yenyewe Kwa sababu imekolofishwa ko Akuanzae mmalize.

  • @19ddr
    @19ddr 6 месяцев назад +2

    Israel watajua hawajui. Wenyewe si wanajua kuuua raia, Hezbollah wanaidhoofisha IDF

  • @BillySmart-tk1wu
    @BillySmart-tk1wu 6 месяцев назад +1

    FREE DRCONGO, FREE SUDAN, FREE SOMALIA 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @MTEULETVONLINE
    @MTEULETVONLINE 6 месяцев назад

    Mchambuzi, subiri home shoo. Israel taifa kubwa la Mungu.

    • @paschaljuma3312
      @paschaljuma3312 6 месяцев назад

      Kwa mbwa wajinga kama wewe lina ukubwa gani sasa ni mashoga tu kama wewe hapo

    • @MagdalenaPendo
      @MagdalenaPendo 6 месяцев назад

      Mpumbavu sana taifa la mungu yupi Hilo ni taifala mashoga😢😢😢

    • @MTEULETVONLINE
      @MTEULETVONLINE 6 месяцев назад

      @@MagdalenaPendo wewe unaniita me mpumbavu,.. ama kweli umejaa LAANA. Na kwa sababu hiyo, utapatwa maafa makubwa. Kuanzia sasa.

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 6 месяцев назад +1

    😅Netanyhu anaonya Hesbollah kwa kutegemea nchi za Magharibi, Israel inasahau mwaka 2006 walivyo chapwa na Hesbollah mpaka waka inua mikono na wakasema wamekubali kushindwa

  • @abubakaribrahim3616
    @abubakaribrahim3616 6 месяцев назад +3

    Ground force inaitwa CQB(Clouse Quoter Battle)Ni ngumu sana hiyo

    • @djsma255
      @djsma255 6 месяцев назад +1

      Upo sahihi

    • @abdullahmanalex2306
      @abdullahmanalex2306 6 месяцев назад

      Ground force Izrael hawawezi waarabu atachapika sana

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 6 месяцев назад +13

    Israel mtapigwa hao sio Hamas kutoka kawangware nairobi

    • @jonasjonas8111
      @jonasjonas8111 6 месяцев назад +2

      Hupaswi kuwa na upande kwenye situation kama hii rather than you should preech for peace coz unachokiomba usiangalie upande mmoja what if Israel akafanya counter-offensive zaid ya Hezibollah? Je ww utakua kwenye nafasi gan? Utarudi hapa tena kusema kuwa israel is a genocide state? I think kama watu tunaotaka amani ya Dunia yetu hii ni vyema zaidi kuomba mungu atusaidie hili lisitokee na hili la Palestine liishe pia

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 6 месяцев назад +5

      @@jonasjonas8111 hakuna mambo ya mungu hapa Israel wapigwe ikishindikana wapigwe nyuklia

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 6 месяцев назад

      ​@@Brunotarimo10Sasa kati ya hesbolla na Israel nani anamiliki Nuclear? Kwanza hata Gaza washukuru Kelele ndogondogo za walimwengu zinasaidia kiasi

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 6 месяцев назад +1

      ​@@emmadora7848hao hisbollah anachukua silaha Kwa Iran kila mtu anazo hizo nuclear Russia anatoa hiyo technology Kwa mmadui wote wa marekan

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 6 месяцев назад +1

      @@sultanbakary4292 Iran ambayo haina hata helicopter salama ya kubeba rais wao , ,ila tu sisisikie wanawake na watoto ohhh free Lebanon,atakayepigwa akae kimya

  • @AmonMeshack
    @AmonMeshack 5 месяцев назад

    Hezbolah apelekewe moto🔥🔥 tuuuu😁😁😁😁

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 6 месяцев назад +1

    Hizibola mtapata mnachokitaka, na kuomba mwone we huruma, kama Palestina, hamasi, walivyo lianzisha, wakakipata, walichokitaka, kwaiyo msishangae Lebanon, ikawa jangwa sooon

  • @dorambaga2667
    @dorambaga2667 6 месяцев назад +1

    I will stand with Israel ❤

    • @NasirAmeir
      @NasirAmeir 6 месяцев назад

      You stand with LGBT

    • @dorambaga2667
      @dorambaga2667 6 месяцев назад

      @user-bx2wk2pk7r how sure you're????

    • @dorambaga2667
      @dorambaga2667 6 месяцев назад

      @@NasirAmeir we kila mtu unaona shoga, una matatizo ya kisaikolojia,

    • @dorambaga2667
      @dorambaga2667 6 месяцев назад

      @@NasirAmeir we kila mtu unaona shoga, una matatizo ya kisaikolojia,

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 6 месяцев назад +5

    Iran huyo kawapitia mlango wa nyuma

    • @MassangaMaulidi
      @MassangaMaulidi 6 месяцев назад

      Hata hivyo wanabahatibrais wa Iran kafa mapema lasivyo wangekiona kamekaz zingewamaliza

  • @dorambaga2667
    @dorambaga2667 6 месяцев назад +1

    Mnaoiponda Israel wengi wenu hamjitambui wala wamjielewi

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o 6 месяцев назад

    Baada ya mda free Lebanon

    • @imranfundi6761
      @imranfundi6761 6 месяцев назад

      Kaka hamas kawashindwa hisbullah wana droni na makombora ya masafa marefu

  • @MohamediOmari-nz4vv
    @MohamediOmari-nz4vv 6 месяцев назад

    Israel aachane na vita hiyo hatapoteza kabisa marekani ataiponza izbola watu hatari sana kwa vita hao sio watu wazuri

  • @EmanuelMandoo
    @EmanuelMandoo 6 месяцев назад

    Lazima asalim amri anapigana na kila taifa

  • @juliussamson6143
    @juliussamson6143 6 месяцев назад +1

    kwann kila mtu hatak amani ni nini sababu ya Hezbollah na Israel kuingia kwenye hii vita kwann marekan alitaka wakae ikiwa Hezbollah anajua ukatiwa wa jesh la anga la Israel kwann bado anajiaminisha kua anaweza kupigana na Israel ni silaha ipi inampa kujiamin na tunawajua wanaomsaport Israel je nan yupo nyuma ya Hezbollah hayo ndio maswal tulitaman yajibiwe na dj.sma

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 6 месяцев назад

    Free Palestinian❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 6 месяцев назад

    Vita iendeleee

  • @EmmaSimtii
    @EmmaSimtii 6 месяцев назад

    Israel aijawahi shindwa vita

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz 6 месяцев назад

    Mmmm kiboko hezbollah kazi ipo

  • @AwadAbedalla
    @AwadAbedalla 3 месяца назад

    🇪🇸🇪🇸🤔🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴💪💪💪💪💪💪

  • @rehemaaminaali4372
    @rehemaaminaali4372 6 месяцев назад

    😢😢

  • @issataslima9846
    @issataslima9846 6 месяцев назад +6

    ipo siku natabiri kiukweli ipo siku wataifunika6 mara moja

    • @tanzanianpatriotic3532
      @tanzanianpatriotic3532 6 месяцев назад

      Israel nitaifa teule nasikwasabu nyingene yeyote bikwakua tu Mungu aliingia agano na Abraham basi wnatembelea hiloagano, ndomana wakimkosea Mungu Huwa wanapigwa wanaenda uhamishoni lkn wanarudi kwenye ardhi Yao, ipo hivyo Toka enzi na enzi kabla hata Yesu na Muhamed hawajazaliwa.

    • @issataslima9846
      @issataslima9846 6 месяцев назад

      @@tanzanianpatriotic3532 wewe TAIFA teule unalijUw lakini au umekalioishwa

    • @HusseinAbdul-is9xq
      @HusseinAbdul-is9xq 6 месяцев назад

      ​@@tanzanianpatriotic3532watu wengi hawajua Ile ni sehemu takatifu lkn waliomo baadhi sio watakatifu so pale wanapigana kutoa uchafu pabaki safi .

  • @footballlove.2305
    @footballlove.2305 6 месяцев назад +1

    wanaanzaga hvihvi wakipigwa msianze kuwatetea ooh israel muuwaji

    • @ezekielmwadomba4675
      @ezekielmwadomba4675 6 месяцев назад

      KWELI KABISAA!! YAANI HAWA JAMAA NA MA NYUMBU NGOMA DRAW.
      WALISHABIKIA SANA KIPINDI HAMASI WAMETEKA MATEKA NA KUUWA BAADHI YA WAISRAEL.SAA HII TENA!! WANA WAUWA WATU NA KUBOMOA MAJUMBA!! HII NIAKILI!!! KWELI AU??

  • @vladimirputn1809
    @vladimirputn1809 6 месяцев назад

    🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧takbriiii

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 6 месяцев назад +5

    Hizbollah ni kundi la kitambo mbona mpk sasa hajalimaliza?

  • @Ibunmaulanashirazy-sn5ui
    @Ibunmaulanashirazy-sn5ui 6 месяцев назад

    Naomba hizbllah muanzishe hivi vita musirudi nyuma musisubir wao waanze

  • @Maxpaul-oi8pw
    @Maxpaul-oi8pw 6 месяцев назад

    Nawaonea huruma raia wa lebanoon

  • @abduli_karimkhamadi1730
    @abduli_karimkhamadi1730 6 месяцев назад

    Hii ndio maana ya vita sio Israel inashambulia popote

  • @richardtimoth7865
    @richardtimoth7865 6 месяцев назад

    Baadae sentensi zisibadilike...unachokoza sehemu halafu baadae mnaanza kumpangia mliemchokoza namna yakuwashambulia, mara anaua watoto tu na wanawake, ooh mauaji ya halaiki n.k (Hapo ni swala la kuwaelekeza Hezbollah waache uchokozi kabla mambo hayajawa mabaya) mimi sizani kama Israel inaweza kupambanishwa na hvyo vikundi. Mtarudi tena mkisema oooh Israel inapiga mabomu yanayochimbua hadi ardhi nakufanya uharibifu tofauti na Urusi n.k yangu macho na masikio

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 6 месяцев назад +2

      Ushauri wa shoga kwa lishoga mwenzake mashoga mmekutana

    • @adiaygo8546
      @adiaygo8546 6 месяцев назад

      Acha uzembe Hao Israel hawatumii Diesel nao wanaogopa kufa Na Hao siyo Hamas 🌈 wewe

    • @Awatee
      @Awatee 6 месяцев назад

      Nyie wehu wakiua raiya wasio kua na hatia kusema lzm na apigane na hizbullah na sio raiya

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 6 месяцев назад

      @d255tv wamewashindwa shida ahadi yao sio kusafisha raia ahadi yao nikuisafisha Hamas sasa mbona wamesafisha majumba na raia ila Hamas bado yu hai?🙌🙌🙌🙌

  • @siscoministry8400
    @siscoministry8400 6 месяцев назад

    Kwasasa watu hawaoni kuwa huu ni uchokozi ...ila wakianza kufanya uharibifu ndo wanakuja kusema Let's stand with Lebanon or Israeli ... binadamu bwana .. 😅... me nasema Let's stand with God ili Dunia iwe mahali salama

  • @NdilanhaBoniphace
    @NdilanhaBoniphace 6 месяцев назад

    Piga hao wanajiita Wana wa Mungu kwan hapa Duniani ni mwana wa Shetani

  • @JohnChacha-c9o
    @JohnChacha-c9o 6 месяцев назад

    return back o your God

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 6 месяцев назад

    Mashoga lazima wawasapoti waiziraili na washilika waoo ila sisi tunaopinga ushoga hatuwwzi
    Kuwapa sapoti izziraili na marekani nasiraha zaoo kwani ni washenzi tuu

  • @Husseinmikola
    @Husseinmikola 6 месяцев назад

    Huyo islaeri SI anauaraia apigane na wanaume hasbulah na iran

  • @asmaalghafri449
    @asmaalghafri449 6 месяцев назад

    Kila mara izrael inashindwa semeni ukweli ina pata support kwa kwa merakani na nchi zote za nato kama sio hivyo hawashindi na naamini Palestine itakomboa nchi yao bila kusaidiwa na nchi yoyote wapo nahaki mbele yao mwenyezi mungu mtukufu

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 6 месяцев назад +1

    This media...🤔

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 6 месяцев назад

    Sasa toka lini shetani akapigana na Mungu subirini tuu Mungu yupo mbona toka mwazo Israel ❤❤❤❤❤ Mungu mkono ile ulio mnyoshea yoshua tuione Ijulikane wewe uko unaishi daima

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 6 месяцев назад +3

    😂😂😂 kijeshi ni matusi hayo mana yake muko uchi upinzani anawez kukufany chochote

    • @RaymondPaul-bs7su
      @RaymondPaul-bs7su 6 месяцев назад +2

      Ni kweli kabsa hawajavaa nguo kabsaaa

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 6 месяцев назад +1

      Israel wako waz kijeshi na hata mikundu yao ipo waz

    • @RaymondPaul-bs7su
      @RaymondPaul-bs7su 6 месяцев назад

      @@omarymwaluko9765 😥😥😥 sio vizuri

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 6 месяцев назад

    UCHAMBUZI TANZANIA, VITA PALESTINA, OUNGO MISIKITINI, BADO KUNA FREE LEBANON INAKUJA 😂😂😂

  • @ahmedmussa5533
    @ahmedmussa5533 2 месяца назад

    Zilidai zilidai yaan huyu jamaa akielezea Iran au Lebadona na khamas bc hupenda kutumia kaulu ilidai ilidai😂😂😂, mm nakubali The new world news jamaa wanakupa fact bila ya kudogosha

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 6 месяцев назад

    ISRAEL 2006 KASHAWAHI KUPIGANA NA HEZBOLLAH ISRAEL IKAPIGWA TWENDE KAZI

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 6 месяцев назад

    Hezbola vita ni Nzur wanzishe iyo ndo tunaisubir

  • @Aminaamina-us5yj
    @Aminaamina-us5yj 6 месяцев назад

    Lebanon itakuwa masikini sio kitambo itapigwa hiyo ingetuliza tu naana 2 yrs ago kuna mjengo karibu na baharini huko kwao uliwaka moto na waliingia hasara sana mpaka wanainch wao wakawa wanasafiri kufanya leba work aki hii vita tuombe iishe

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 месяцев назад

      Sasa siwangekuwa maskini hiyo Vita ya mwanzo mbona walichapwa muizrael hamna kitu ww anaishi kwa uwezo wa marekani waache msaada marekani uone kama nyumba hazijawa vumbi zile kama Palestine walivyoifanya wao ndo itakuwa kwao Sabu mpk saivi muizrael hajafanikiwa Vita Palestine so anauwa waso husika mbona targert yake amasi lakini bado wanamsbua yeye Sasa wale tuu amasi Wana silha duni vipi hizbolah wenye maobora marefu ardhiini na dron

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 6 месяцев назад

    This good timing kama wataishambulia course Israel is weak and disorganized

  • @SimonJeshi-nq1hs
    @SimonJeshi-nq1hs 6 месяцев назад

    Niko nyuma ya hezborah ila kinachoniogopesha nikitu kimoja hezborah mikwara zimezidi sana ni juzijuzi tu kamanda wa hezborah kapigwa na esrael na majibu sahihi bado sijayaona

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 6 месяцев назад +1

    Waziri wa Ulinzi wa Izrael leo katoa Taarifa ya Maendleao ya Vita Ghazza
    Majeruh tu ni 70,000+ na weng wao wamepata Matatzo ya Kiakili

  • @harunamdende
    @harunamdende 5 месяцев назад

    Mnaongea uongo sana nahali palestina inachakaa

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 6 месяцев назад

    Nikweli izrael walishindwa mpaka waziri wao wa ulinzi aliandamwa kwakushindwa vita hivyo

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 6 месяцев назад

    Anzishe na njaa na vita

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 6 месяцев назад

    Safari hii warabu hawataki ujinga wamejipanga hadi wanapiga picha sehemu mhimu Ni hatari

  • @KaluKadheinge
    @KaluKadheinge 3 месяца назад

    mchambuzi ni gaidi, lakini uzuri magaidi wanadondoshwa mmoja baada ya mumoja next ni ayatollah khananei

  • @salmakwayu3951
    @salmakwayu3951 6 месяцев назад

    Israel wauwawe tu

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 6 месяцев назад

    Lebononi ikidhubutu inaenda kuwa jangwa Israeli ikianza inasafisha kabisa.

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 6 месяцев назад

    Israeli inamaandui wengi mno ndo maana MUNGU yupo upande wao pia Marekani ni taifa lililotabiriwa baada ya Israel ko hawa ni marafiki hawaji hachana .

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 5 месяцев назад

    Huyu mchambuzi ni mpumbavu ana hitikadi zake hakuna mahali Israel imewahi kushindwa unaota ndoto bila kulala maneno mengi ya nini tunataka vitendo kama Israel, maneno kidogo kichapo kwa wingi kama Gaza

  • @AdilOmary
    @AdilOmary 6 месяцев назад

    Middle East 😢😢😢😢😢

  • @MAVEHICLEVEHICLE
    @MAVEHICLEVEHICLE 6 месяцев назад

    Baraza la vita Bibi kalivyunja mambo ayaendi vizuru alafu uingie vitani kwa hali hiyo siutakua unajichanganya zaid
    Kiufupi mambo yamebadirika waliokua wanyonge wamepata ufadhiri sio siri hawajamaa kuna Maifa makubwa yana wafadhiri yuma ya pazia. Kwa hiyo Bibi na kudi lake kazi wanayo wakilianzisha itakua mguu wa Roho mguu washingo wamezidi kisiraha ila kinacho wasaidia jamaa ni Ujasili

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 6 месяцев назад

    Hamna kitu maana hawa izibulah wanawezeshwa na Russia

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 6 месяцев назад

    Ila huu uchokozi huwezi sikia kelele ila Israel akikiwasha ndo utaanza sikia Israel muonezi

  • @selasboy3966
    @selasboy3966 6 месяцев назад +4

    Hawa hezbollah ni hatari...wana teknologia kali kuliko iko ki israel kinachojikweza kwa maneno ... wakianzisha tifu na hezbollah labda wawaite wakapiganie israel lakini wakitupa bomu lebanon ...mamamamaa watachakaa...hao hezbollah nishida washa wachapa mara 2 israel wakaomba poo....alafu hawanaga miyeyusho mpka wachokozwe.

    • @ronniemalima6325
      @ronniemalima6325 6 месяцев назад +2

      Wakipigwa wataanza kudai Israel NI genocidal

    • @selasboy3966
      @selasboy3966 6 месяцев назад

      @@ronniemalima6325 wapalestina wamewashindwa kule hamas mpaka leo wamewatoa ulimi wanabaki kuua raia wewe hujui kama vita ina protocol zake?? Au unaleta ushabiki mgaratia wewe

    • @ce-08
      @ce-08 6 месяцев назад +2

      ​@@selasboy3966 uzur wake Israel na Hezbollah itakuwa vita kamili sio operation hapo ndyo tutajua nan mkal

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 6 месяцев назад

      @@selasboy3966Yaani we hanisi sijui ulizaliwa lini au bahati mbaya wakati mamaako anadanga 😮

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 6 месяцев назад +1

      ​@@vincentcharles4385mahanisi si ni nyiny mashoga machoko nyiny

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 6 месяцев назад

    Pote israel yuko vzr

  • @jacobdaniel7272
    @jacobdaniel7272 6 месяцев назад

    Iran ashindwe kikundi Cha wanamgambo ndy wanaweza,

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 6 месяцев назад +1

    Kama walishindwa kuifuta hamas kwa vita basi watumie kifutio cha cha ubao kuifuta 😂😂😂 Hezbollah ni mziki mwingine

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 6 месяцев назад +2

    Israel taifa la mungu Leo hii wameweka bendera ya ushoga..... marekani kasha walibu....mbwa nyie

    • @mustafamsati9599
      @mustafamsati9599 6 месяцев назад

      Taifa la mungu haliwez kumkana yesu acha kukufuru kamawewe ni mkristu wayahoud hawautaki ukristu na kanisagani lilioanzishwa israel? Roma Italy luthelan gelman sabato USA anglikan UK yesu wayahod diniyao ni uyahud na uslamu tena uislam ni labda %20 umebaki hao walishalaaniwaga tangia wamkane nabii issa Maana wa mariam

  • @willyngoko8244
    @willyngoko8244 6 месяцев назад

    upuuzi

  • @SalumJuma-iz2gj
    @SalumJuma-iz2gj 6 месяцев назад +1

    Ata waanze kupig angan hizbull Sasa imejipang😅

    • @danielmasolwa
      @danielmasolwa 6 месяцев назад

      hatutataka kelele za free lebanon mara watoto mara wanawake mara mchokozi mtu akianza kupewa dozi

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 6 месяцев назад

    MWANA WA AHADI KASHI MPIGA VIBAYA SANA JIRANI YAKE MPAK A SAA HII ANAJUTA KWANINI ALISIKILIZA UJINGA WAWA JINGA KUIVAMIA ISRAEL! NA KILA ATAKAE ILANI ISRAEL MUNGU ATA MLANI MTU HUYO.HATA KIFO KITA MKUTA!! YUKO JIULIZE RAIS WA IRANI YUKO WAPI !!??? JIBU UNALO!!!

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 6 месяцев назад

    Duh this big threat to them

  • @Mindset_99-m
    @Mindset_99-m 6 месяцев назад

    Hebu kaka Sky sku moja tuekeeni GPS kwa ajili ya Hezbollah na Israel tu tujue kunaendelea nini au kutatokea nini?!

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 6 месяцев назад

    Israel hakuna wa kuizuia ndugu Ili Taifa la tofauti.

  • @mnanasuly2585
    @mnanasuly2585 5 месяцев назад

    Kwanini na hezbollah wasitarget civilians. Hezbollah wanatakiwa wapige raia pia kama israel wanavyoua raia. Hapo ndipo kuheshimiana kutakuwepo