WANAOMTUSI RAIS HAWA HAPA/ MAKONDA AITWE/ DADA WA MITANDAONI APUUZWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 150

  • @mashaurifloribert1396
    @mashaurifloribert1396 8 месяцев назад +1

    Aisee Binadam wenye Akili wapo Duniani! Hongereni xana

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 9 месяцев назад +3

    Safi sana mwalimu kwani raisi sio mungu na anakosea kama viumbe wengine, kwa hiyo kukosolewa ni kawaida sana. Sema viongozi wetu wengi wanajipendekeza mno kwa raisi na viongozi wa aina hii hawawezi kutuletea maendeleo kamwe.

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 9 месяцев назад +2

    Asante sana braza Miraji. Majibu yako ni kuntu sana. Nakazia sehemu zako mbili ulizozisema na zimenishibisha sana: 1. Ukimwita mtu mwizi wakati si mwizi umemtuzi. Hivyo kama ni mwizi hakika haujamtukana. 2. Makonda ilipaswa aangalie wapi na mahali gani atoe jambo lake, kwani si yote yanastahaili kuongelewa hadharani. Mengine yaweza kuzaa taharuki katka jamii. Kwa hayo naungana nawe. Raisi ametukanwa basi kama siyo kweli, Makonda alipaswa awapeleke mahakamani wmanaotukana. Kashimdwa fanya hivyo basi yawezekana anayosema ni matusi si matusi bali ni kweli. Pili Makonda kwa hulka yake ya kutojua neno aliseme wapi na wakati gani, yeye sasa ni hatari kwa usalama na mstakabali wa taifa letu kwa ujumla. Hivyo hatoshi kuwa kiongozi! Big up sana Miraji keep it up.

  • @samweljuma585
    @samweljuma585 8 месяцев назад

    miraji hakika uko vizuri mungu akubariki sana.

  • @anwarabdallah7095
    @anwarabdallah7095 8 месяцев назад

    Masha Allah Mzee wa busara wamjibu vyema jonalist uko sahii kabsa

  • @mediacraftstudiotz
    @mediacraftstudiotz 9 месяцев назад +6

    Nafurahi sana akihojiwa mtu mwenye uwezo wa kujibu maswali... Pia nafurahi sana akipatikana mtu mwenye uwezo mzuri wa kuhoji pale mwanzo kabisa alitaka kumyumbisha muulizaji angekuwa hajajipanga na hayuko vizuri pale angeweza kufeli na kuharibu kipindi... so BIG UP!!!!

  • @Uplifiting
    @Uplifiting 8 месяцев назад +1

    Huyo ni mchapa kazi haswa, Ila anajitaji mafunzo ya kidopromasia. Ili aweze kujua mipaka ya speeches, anapokuwa anatoa presentation zake! Inaonekana, hajaelewa hili. Asanteni.

  • @vickylayda6336
    @vickylayda6336 8 месяцев назад

    Wewe una hekima sana,waelimishe zaidi

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 9 месяцев назад +1

    Nimekuelewa sana mzee

  • @FransiscaThomas-zs4nn
    @FransiscaThomas-zs4nn 8 месяцев назад

    Unachambua vzr miraj

  • @LeilaHamisi-pq6ri
    @LeilaHamisi-pq6ri 8 месяцев назад

    uko sawa babs.

  • @NaomiSabuni
    @NaomiSabuni 8 месяцев назад

    Ubarikiwe kwenye majibu yako

  • @FransiscaThomas-zs4nn
    @FransiscaThomas-zs4nn 8 месяцев назад

    Dah! Ni hatari

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 9 месяцев назад +1

    Uko vizur

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 9 месяцев назад +4

    Ukiwa rais wa nchi au kiongozi lazima utakutana na mambo mengi mazuri na ya ovyo
    Ukiwa kama kiongozi kazi yako nzuri unayoifanya hiyo tosha kabisa itakutetea wala huna haja ya kuanza kujieleza au kujitetea
    Mtu anayejijua hata siku moja hawezi kuhangaika na maneno yanayosemwa.
    Watanzania muache tabia ya kuwaona viongozi kama miungu watu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 8 месяцев назад +1

      ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 9 месяцев назад +5

    Said Miraji bigup

  • @AbdilahiHassan-mr5lo
    @AbdilahiHassan-mr5lo 8 месяцев назад

    Nawsalimu sana watanzani ni wastarabu kutukana siyo utanzania watanzania maneno Kenya kanga ba vitenge

  • @RaphaelmkonoMniko
    @RaphaelmkonoMniko 5 месяцев назад

    Saudi Miraji MUNGU azidi kukupa uwezo na maarifa zaidi. Hakika unajibu hoja vema

  • @jacksonkabaata6011
    @jacksonkabaata6011 9 месяцев назад +1

    Mzee Said Miraji akili kubwa,,,, mtangazaji kazi nzur sana ni interview ya maana sana! Respect global tv👍🏽

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 9 месяцев назад +5

    Hayo ni maoni yako,na wengine watasema yao pia na hakuna yatakayopigwa mawe! Tukumbuke huu ni wakati wa kampeni,mengi yatasemwa,na wengi watajisifu kutafuta ridhaa kwa hiyo hata wakisema ya maendeleo waliyoyafanya, waeleze pia waliyoyafanya kwa kuumiza jamii illi wajiweke katika mizani kwa ile kweli ikibidi wawajibike wasingoje shinikizo za watu zenye ukakasi kisa hasira za kukosa utatuzi wa shida zao zioane na maendeleo yanayosifiwa!

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 9 месяцев назад

    Well said❤

  • @IddyMustapha-tj4du
    @IddyMustapha-tj4du 9 месяцев назад

    Oyaa sintaslaus jamaa ni noma zaid ya nomaa sanaa kabalans kinomanomaa

  • @deogratiusbrilliantshayo4262
    @deogratiusbrilliantshayo4262 9 месяцев назад

    Nawakubali sana hasa kwenye habari michezo usajiri mpo sawa sana

  • @aristideskilawe5024
    @aristideskilawe5024 9 месяцев назад +1

    Ni sahihi mh. Mkuu wa mkoa kueleza wazi watu hao anaowajua wanamtukana mh. Rais ili kujenga dhana ya ukweli katika uwajibikaji. Lakini nafikiri wakishajulikana waitwe kwenye kamati ya nidhamu kwenye chama na waonywe kuacha tabia hiyo ya kumtukana mh. Rais na adhabu zitolewe. Wasikilizwe pia ili wajue hata sisi katika chama hatupendi mtu wa kumtukana mama yetu. Wakati mwingine tusitangaze hadharani tuwaite kwanza wahusika na wakemewe kwa ukali. Chama cha mapinduzi kina hashima kubwa sana kwa wananchi, tuonyane kwanza kabla ya kupeleka kwa hadhara . Asante

    • @rahabnkya8276
      @rahabnkya8276 9 месяцев назад

      Kutukana kutukanwa ni mbayaaa kabisa, maneno maneno na matusi ni kero kabisa hata kubeza.

  • @jonasmdogo2752
    @jonasmdogo2752 9 месяцев назад +3

    Wewe unayejibu na kufafanua juu ya makonda nimekubali bila shuruti Kwa Nini ? Tafsiri ya kumtusi na Nini tafsiri ya matusi Asante sana

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 9 месяцев назад +4

    Asante mchambuzi umeongea vema watanzania tujali maendeleo sio mambo sisio na tija

  • @mashaurifloribert1396
    @mashaurifloribert1396 8 месяцев назад

    Kiukweli hii video nairudia Mara Kwa mara ✅

  • @borahlemmy5465
    @borahlemmy5465 8 месяцев назад

    Kweli sisi bado wachanga kwenye siasa hakuna baya alilosema makonda

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 9 месяцев назад +2

    Asante Said Miraji for your informative analysis

  • @JumanneMagafu
    @JumanneMagafu 9 месяцев назад

    😂❤😂 Thanks for

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 9 месяцев назад +3

    WE'LL SAID MIRAJI SAIDI

  • @EnockFumbuka
    @EnockFumbuka 8 месяцев назад

    Freedom of expression is constitutional issue.

  • @EdwinKaywanga-ww7jr
    @EdwinKaywanga-ww7jr 9 месяцев назад +4

    Huyo Mzee anahekima jinsi anavyojibu

  • @JlmwinukaOnlineTv
    @JlmwinukaOnlineTv 8 месяцев назад +1

    Akili ni asali,

  • @goodramamwanyombo6756
    @goodramamwanyombo6756 9 месяцев назад +3

    mchambuzi uko vizuri !

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 9 месяцев назад +1

    Inshu ni pale aliposema atawataja je3!🤗

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 9 месяцев назад +1

    Hayati Magufuli alitukanwa sana.. Nape na genge lake walimutukana na kumuita Hayati Magufuli majina mbali ndani ya kumusaliti. Ndani ya chama chake walikaa kimya. Na wote waliło kuwa Wakimutetea tea kwa sasa haijulikani wako wapi. Mitandao yawo yote imefungwa. Kwa Sasa ni wale wale Waliiokuwa Wakimutusi Hayati Magufuli wanaendelea kumutusi Rais Samia.

  • @DavidMgimba-z8o
    @DavidMgimba-z8o 8 месяцев назад

    .makonda ni mropo 21:08 kaji tu

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 9 месяцев назад +4

    Katika hili la Makonda kuwashtumu baadhi ya Viongozi kumtukana Rais, ni dhahiri Makonda alikurupuka na kuzua taharuki pasipo sababu. Haya mambo yangebaki ni masuala ya ndani.

  • @VictorZimba-kg3xr
    @VictorZimba-kg3xr 8 месяцев назад

    Inamaana makonda ni mmbea
    Je rais kutukanwa unaona sawa

  • @adambairu8362
    @adambairu8362 8 месяцев назад

    Si ni kweli,Rais ametukanwa? Aitwe kufanya Nini.

  • @laurentsichalwe286
    @laurentsichalwe286 9 месяцев назад +5

    Kama ni kweli wapo mawaziri ambao wanamtukana Rais,, mana yake ni kwamba hawariziki na uongozi wake,,, hivyo wanatakiwa kujiuzuru,,,,kubaki katika uongozi waliopew na huku wakiwa na fitina huo ni usaliti,,,wanatakiwa kujiuzuru

    • @IsayaAnkondya
      @IsayaAnkondya 9 месяцев назад

      Alicho kiongea makonda kinaukweli ndani yake ila kunawatu hawampendi makonda usalama wafnye uchunguz

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 9 месяцев назад

    Makonda yuko sawa kabisa,

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 9 месяцев назад

    💖🙏🏽

  • @peternyambui7492
    @peternyambui7492 9 месяцев назад

  • @MohammedKhamis-ko7fu
    @MohammedKhamis-ko7fu 9 месяцев назад +1

    Hata kusema ukweli kunaweza kuwa matusi

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 8 месяцев назад +1

      Ukweli haiwezi kuwa tusi kamwe😅😅😅😅

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 3 месяца назад

    Je Raisi akiwa wanainchi hawataki kwa sababu zake inakuwajee???

  • @HashimYahya-ic2wn
    @HashimYahya-ic2wn 8 месяцев назад

    Wanaomtukana rais wapo makonda anawajua

  • @KananaKadogholo
    @KananaKadogholo 9 месяцев назад

    Iko kichwa!!

  • @DavidMgimba-z8o
    @DavidMgimba-z8o 8 месяцев назад

    Makonda akamatwe na ahojiwe kisha awataje wanao mtukana mama yetu
    Lkn makonda ni mhalifu tangu enzi za magufuli kama aliongoza kikosi cha kuteka redio hapo anazungumza maneno ya kumpreshalaizi Rais

  • @JaffariBuyogera
    @JaffariBuyogera 9 месяцев назад

    Ndugu usiongee saikolojia. Unajua maneno madogo madogo Katina siasa yasio kuwa na tija hayana maana. Hapa tulitegemea utatuambia impact ya maneno ya Makonda. Yawezekana ikawa fitina au sifa. Utaratibu
    Nimuhimu sana.

  • @westonmbeyela9811
    @westonmbeyela9811 8 месяцев назад

    nionavyo mimi hakuwa sawa kutumia mkutano ule kuyasema hayo wakati kuna vikap vya viongozi selikani na hata chama chake

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 3 месяца назад

    Jmneee hata magufuli katukanwa sanaaa lkn kulikuwa kimyaaaa

  • @SimonBaraka-yv2cx
    @SimonBaraka-yv2cx 9 месяцев назад +1

    Mwana Fa na Kikwete wanatumia Mange Kimambi ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️

  • @ntangiregemfuruki5478
    @ntangiregemfuruki5478 9 месяцев назад

    Yaani mzee mh mchambuzi unamajo unmasking unajuwa kuchambuwa uko sawa.babisa..yoote nisa.ila makonda apunguze kusema passport kuwa pahala husika.tunampenda makonda kidomo wazi.ila avenge tu.hatuwa zifate

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 9 месяцев назад +1

    Inasikitisha sana badala ya kujadili ripoti ya CAG, maisha magumu wanayokabiliana nayo Watanzania, mnajadili mitandao? Mbona Kuna watu wengi wametukanwa na kudhalilisha na hamuwahi kusema chichote. Kwani binadamu wote ni sawa. Kwa nini mnajikita kwenye issue ya mtu Mmoja alietukanwa? Ndio, Watanzania wengi hawajishughulishi na issue za muhimi wamejikita kwenye umbra tu. Mbona Marais wengi duniani Huwa wanakadhifiwa, lakini hawa loose focus ya kazi zao. Komaeni kisiasa. Chapeni kazi acheni kupoteza muda kwenye mambo ambayo hayana tija.

    • @hamisijuma8124
      @hamisijuma8124 9 месяцев назад

      Wachauongo nenda Kenya uone maisha magumu piga kazi

  • @thomasmallya670
    @thomasmallya670 9 месяцев назад

    Tuwe wakweli tu. Makonda katumbua jipu. Alichofanya Makonda ni sahihi kabisa. Alilosema ni kweli, na sidhani kuna mtu mwingine mwenye ujasiri wa kuyasema. Angesema aviambie vyombo vya ulinzi na usalama, inawezekana wahusika wasingejua kinachoendelea. Lakini kwa kusema hadharani, wahusika wamejua kwamba wanafahamika na mbinu zao siyo siri tena. Tunajua kuna watu hawakupenda mama awe rais kwa sababu ya dini au kwa kufikiri ni kiongozi dhaifu. Lakini utendaji wake umewaacha watu mdomo wazi. Wanaompinga Makonda kwa alichokifanya, sitashangaa nikasikia ni kati ya wale wanaosemwa.

  • @kingngojea
    @kingngojea 8 месяцев назад

    Said milaj mtu mwenye akili sana

  • @martinmkoma-zl1iv
    @martinmkoma-zl1iv 9 месяцев назад +3

    Mzee anaakili sanaa

  • @tumahai157
    @tumahai157 9 месяцев назад

    Asante sana mchambuzi umbea ndo umemaliza watu,yamsingi wanakaa kimya wanajadili upuuzi

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 9 месяцев назад

    Hata ikiwa ukweli kuna namna wakuufikisha huo ukweli niukweli lakini kunanamna wakuufikisha huo ukweli

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza1008 9 месяцев назад +3

    Hizo ni gear za kisiasa msihangaike nazo mnapoteza muda

  • @RobertMachenga-tz3re
    @RobertMachenga-tz3re 9 месяцев назад

    Mazungumzo ya said Miraji na Dar 24. Ni kwamba yeye kweli Ni mchambuzi na anaweza kusaidia kupunguza jaziba za watu. Mimi binafsi namshangaa naibu karibu mkuu wa CCM Kinana kwamba anasema Makonda alikuwa anadhalilisha mawaziri je yeye aliposemak una mawaziri mzigo je amesahau? Kwamba Kuna mawaziri waliondolewa. Kwa Nini anamkosoa Sana Makonda? Sasa Makala naye ameleta Mambo ya ajabu sana . Kwamba anasema anasikiliza kero za wananchi kwa kupanga foleni kitu ambacho kina karibisha rushwa kubwa Sana kwani Makonda aliweza Sana kuzuia watu wa ovyo Sana lakini Mimi naona Makonda apunguze Sana Mambo ya kuongelea Mambo ya kupata chochote.

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 9 месяцев назад

    Mchambuzi hata ww una uwezo mdogo wa kufikiri.Hapo hoja sio maendeleo,maendeleo kila siku viongozi wetu wanayaongelea.kuhusu sijui utalii ,barabara ni vitu vinavyoongelewa kila siku na hawa viongozi wetu.Hoja ni kauli ya makonda kwa mawaziri wanaomtukana Rais.Kwanza kauli yako ya kwamba watanzania wamezoea umbeya sio ya kiuchambuzi ,watanzania wametaharuki sana kusikia kutoka kwa makonda kuwa rais wao anatukanwa na mawaziri.Watanzania ni lazima wataharuki kwa kauli ya Makonda.unaposema heti watanzania wamezoea umbea sio sawa na unatukosea sana watanzania sisi.

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 9 месяцев назад

    Makonda sibalisema hakuna cha polish wala jeshi lenyevuwezonwa kumpa u 20:24 linzi .

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 9 месяцев назад

    MAMA MWENYEWE ALSHAAMBIWA ADUI NI SHATI LA KIJANI, KWA MAKONDA YAKE NI YA WOTE NI MARUDIO TU KWA WENYE CHUKI DHIDI YA RAIS NA MAMA WA TAIFA LETU HURU.
    MAMA CHAPA KAZI WENYE WIVU WAJINYONGE

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango9385 8 месяцев назад

    Muiteni TID kuna kunguru huku anajipitisha kwenye interview

  • @JOHNKKULULINDA-pc6gy
    @JOHNKKULULINDA-pc6gy 8 месяцев назад

    HUONI SABABU. SAWA, KWA MBYONGE HAPO SAWA.

  • @JOHNKKULULINDA-pc6gy
    @JOHNKKULULINDA-pc6gy 8 месяцев назад

    UNAMOSEA, YEYE ALIWAONYA, NA KUWASHAURI WAACHE. SI KUWA ANATAARIFU, ILA ANAJUA WENGI WANAJUA.

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 9 месяцев назад

    Mimi nashangaa waandixhi wa Habari na viongozi pia yani makonda akihutubia mazuri na kukemea mbaya tayari mnanukuu maneno mengi lkn yale mazuri mnaweka pembeni. Jamani watu, mnachuki na makonda hadi watoa Habari wamekuwa wambeya kwa kiwango cha lami. Jamani muwe mnakumbuka. Na mema anayofanya. Mara loooh kawalipa waandixhi wa Habari Arusha na kukodi magari mengi iliakapokelewe puuuh.! Rais Samia endelea kumuamini Mh Makonda ni kijana mchapa kazi maili

  • @jacobmwankenja5466
    @jacobmwankenja5466 9 месяцев назад +1

    Kuwa mchambuzi wa siasa hakuondoi ukweli kwamba wewe bado ni binadamu, una mapungufu, kwamba Makonda alikuwa sahihi kuyasema yale mahali pale kama mkuu wa mkoa, vyombo vyote vya serikali havijaona ila Makonda tu. Chambua bila kuegemea mahusiano na mtu yeyote

  • @EnockFumbuka
    @EnockFumbuka 8 месяцев назад

    HUYU UNAFANYA UCHAWA.HAYO NI MAMBO YA KUJIPENDEKEZA NI DHARAU.

  • @ezekiamgwasi7822
    @ezekiamgwasi7822 9 месяцев назад +3

    Makonda anatakiwa kutafakari sana kuhusu kauri zake majukwaani maana kauri zake nyingi yanaleta taharuki

    • @gaspercharles2244
      @gaspercharles2244 8 месяцев назад

      Taharuki kivipi kwani mtu wa kawaida hawezi kusema ? Au ni kwakuwa ni makonda? Kuongea mambo mengi mazuri Hilo ndio mmelichukua? Hebu tafakari

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 9 месяцев назад

    Hapana shaka raiya tunayaona mambo makubwa raiya kama vile watu wanavokula rushwa bila yawoga barabarani kama pale mwandege watu wanapokea sushwa barabarani wapokea kwa madereva wa malori

  • @user-mb2ob6kg8z
    @user-mb2ob6kg8z 9 месяцев назад

    Kwanza mtu huwezi kumridhisha binadamu hata umpe nini kuna wengine hawabebeki kwaivyo tenda mema uondoke kunawatakao ridhika wengine hawaishi minongono ndio ninadam tulivyo

  • @janeyjohnson9274
    @janeyjohnson9274 9 месяцев назад +3

    Nchi ya tanzania ni ya ajabu sana unatammka maneno makali yanayomuhusu raisi juu ya watu wanaomtukana raisi eti mawaziri du ni hatari sana kwa raisi,na kwa nn makonda anakuwa mropikaji

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 9 месяцев назад

      Watanzania tuko sawa kabisa. Cha ajabu ni nini? Na vikatuni ambavyo viongozi wenu wanachorwa! Sio matusi.

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 9 месяцев назад

      @@edwardmizambwa237 msikilize Mzee Miraji ukiwa kiongozi unaongoza watu wa tabia maono desturi na mitazamo tofauti kazi ya kiongozi ni kusimamia haki ustawi na dhamira yako Mzee Miraji ametoa mfano wa Trump anavyochorwa na hashtuki hivyo hakuna tofauti kwa viongozi wengine hata manabii na mitume walitukanwa walidhihakiwa lakini walisimama na wajibu wao na heshima yao haikuvurugwa na watukanaji bali walijiongezea heshima kwa hayo hayo matukano mpaka leo tunawaenzi

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 8 месяцев назад

      Na bado watatukanwa labda watutendee haki wananchi kwani viongozi ni miingu watu?

  • @user-mb2ob6kg8z
    @user-mb2ob6kg8z 9 месяцев назад

    Hiiyo ni sasa karibu killa nchi ni hivyotu rais kusemwa

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 9 месяцев назад

    MAKONDA AMETOA ILI WATU WAACHE MARA MOJA AKIWEKA LAZIMA AU USHAHIDI BAS KUNA SABABU YA KUVUNJA BALAZA LA MAWAZIRI

  • @brazilsanga7978
    @brazilsanga7978 9 месяцев назад

    Tukiwa na wazee kama Hawa siasa zetu kitabadilika sana pia kufikiri chanya muda wote kutaongezeka, uchawa na umbea ndio unaotusumbua makonda piga kazi kama hawakutaki watafute sehemu nyingine ya kuishi

  • @talents7934
    @talents7934 9 месяцев назад +1

    Mzee wangu ukisema unasikitika kwa maneno machache aliyosema makonda kuhusu mawaziri kumtusi Rais kuwa eti unasikitika hapo nakupinga, Kwa sababu maendeleo yanaletwa na mfumo na pia umaskini unaletwa na mfumo sasa mambo meeengii aliyoongea makonda yalilikuwa yanahusu maendeleo hatukatai ila ikaja hoja ya kwamba wale anaowaamini hawamuanini je vipi maendeleo yatapatikana wakati mfumo hausomani?? Kwa hiyo rais akimuagiza Waziri kufanya kazi ya kimaendeleo vipi atawajibika wakati tayari kashamdharau rais?? Kwa hiyo hapo ndipo watu walipo hamaki maana waliona hakuna ukweli kuhusu maendeleo wanayoambiwa maana mfumo hausomani mzee wanguuu, kwa hiyo umesema vizuri ila umekwamaa

  • @MohammedMohammed-jo4uj
    @MohammedMohammed-jo4uj 9 месяцев назад +1

    Unauliza kutukana ni nini?

  • @Rodahpaschal
    @Rodahpaschal 9 месяцев назад +2

    Hivi ni vitu viko wazi na kuongea hivi makondq ni kama honyo kuongea hyo point so kipindi cha hayati watu walikuwa wanakamatwa wakiwa wanatoa lugha mbovu kwa viongozi wetu,,, hivyo ni sahihi na amefanya vema ili tabia hizi ziishe,, kama wapo waacha na kama walikuwa wanajipanga watulie kabisa hivyo makondq yuko sawa ,,, mijadala hii mizuri kwa kuwa mzee wangu unajibu kihekima sana barikiwa

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 8 месяцев назад

      Samia au viongozi wengine ni miingu watu wasitukanwe wa uovyo wao kwa wananchi 😏😏😏

  • @eliapendakileo5151
    @eliapendakileo5151 9 месяцев назад

    Hapana tusichukulie vitu poa makonda amekosea na Kama siasa zetu zingekua salama na safi Baraza la mawaziri lingemchukulia hatua za kisheria na angewataja hawo mawaziri na kungefanyika uchunguzi na watanzania tungejua nini tunafanyiwa na hii serikali kwa sababu Kama Kuna kutokulewana Kati ya raisi na baadhi ya mawaziri watakaoumia ni wananchi. Makonda Kuna namna anaivuga nchi. Ahojiwe tuache kulitania taifa

  • @denismtenga4755
    @denismtenga4755 9 месяцев назад

    kumtusi Rais ni kutofanya kazi anazokuagiza ukiwa kama mtumishi wake ufati maagizo yake nayo nikumkosea

  • @EnockKanduli-cv8yr
    @EnockKanduli-cv8yr 9 месяцев назад +1

    Makonda mbona hakutaja matusi mwenyewe?

  • @sosthenesjames7821
    @sosthenesjames7821 9 месяцев назад

    Ufinyu wa fikra nd unawasumbua watu, leo baadhi ya viongozi wanatumia maneno au neno ndo ambalo halina umhimu sana kisha nao wanatengeneza hotuba zao badala kuongea kuwa endapo wakiwa watawala wa eneo fulani ni kipi watakifanya ili kualete ufanisi wananchi

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 9 месяцев назад +2

    Raisi wa Namibia alifariki. Makamu wake akaapishwa kama Raisi wa dharura. Na Raisi huyo wa dharura ameapa kutogombea kwenye uchaguzi ujao maana si lazima na si haki yake kung'ang'ania.

    • @Rodahpaschal
      @Rodahpaschal 9 месяцев назад

      Hahahaahhahhaha kwa hyo unashaulije kwa upande wako ni sahihi au hayo ni maamuzi ya mtu binafsi

  • @Hamadkhamis-nz2kg
    @Hamadkhamis-nz2kg 8 месяцев назад

    Makonda ajipendekeza

  • @novatidamian7236
    @novatidamian7236 9 месяцев назад

    Nsnyie!!!!! Anzeni tuu hata sisi tutawashabikia. Kuba msemo usemao kuwa " ukiona mwenzio ana nyilewa nywele na wewe tia maji" siasa niseme kama mnayaanza haya basi lenu laja. Lazima kitawashwa tuuuu!!!;

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 9 месяцев назад

    Mara zote habari ni pale unaposikia 'Mtu kauma Mbwa' wala sio 'Mbwa kauma Mtu'

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza1008 9 месяцев назад

    Mwandishi mbona unalazimisha?

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 9 месяцев назад

    Mchambuzi anachojibu si anachoulizwa, mwandishi hapo huwezi kupata unachouliza(beating around the bush).

    • @lightnessgamasa6039
      @lightnessgamasa6039 9 месяцев назад

      Anajibu Kwa akili asichochee moto,amefanya vizuri sana

  • @christinainnocent3184
    @christinainnocent3184 9 месяцев назад +1

    Makonda angezingatia majukumu aliyokabidhiwa kutuumikia nchi . Haya mengine hayamuhusu na sio kazi yake na sio ustaarabu

  • @JosephMwakibete
    @JosephMwakibete 9 месяцев назад

    Msekwa ni katiba? Hata akisema linakuwa sheria

  • @Midayakubet
    @Midayakubet 9 месяцев назад

    Baba yuko vizur sana Mungu amfanyie wepesi asee naomba namb yake napenda anifundishe vitu vizur

  • @hajiMuhammedAli-i6h
    @hajiMuhammedAli-i6h 9 месяцев назад

    Mjomba njoo Zanzibar huku kutusaidia kutafuta ukombozi wa kuitatua Zanzibar katika mamlaka yake mamlaka kamili

  • @allykhamis7717
    @allykhamis7717 9 месяцев назад +3

    Shk. Miraji hakika maneno ulisema ndio utaratibu mzuri.

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 9 месяцев назад +1

    Kwani wangapi wanatukanwa kila mara na kudhalilshwa na hamjengi hoja

  • @hamiduchingi2672
    @hamiduchingi2672 9 месяцев назад

    Tatizo watanzania niwaimba taarabu kuliko kujuwa maana wanaacha kuyasemea mazuli wao wanaendeleza mabaya ivi watanzania musiojitambua nilini mutabadilika kwanini bado amutoki kwenyezana zakijinga

  • @maxlattinokiki8105
    @maxlattinokiki8105 9 месяцев назад

    Kuhusu kutukana kwa Raisi ni suala binapsi! Kwaiyo sio sahihi wala wala sio tamaduni! Hata huko Marekani wanao haki yakushitaki yoyote yule anae ingilia uhuru wa mtu

    • @EnockKanduli-cv8yr
      @EnockKanduli-cv8yr 9 месяцев назад

      Kuna vyombo vya ulinzi na usalama. Angeshitakia huko.