BATTLE LA YOUNG KILLER NA YOUNG LUNYA DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI, NANI MKALI HAPA?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 июл 2023
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 823

  • @majimoto2398
    @majimoto2398 11 месяцев назад +88

    Wapi like za killer 🎉🎉🎉

  • @zuberimohamed43
    @zuberimohamed43 11 месяцев назад +70

    Kifupi ni kwamba huwez kuwa mchanaji mzuri kama hujui kuandika uandishi mzuri ndo uwezo wakuchana xo simply KILLER ni 🔥🔥🔥🔥

  • @berryxmsanii
    @berryxmsanii 10 месяцев назад +17

    Young killer namkubali,toka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @LB3TATEGERERO
    @LB3TATEGERERO 10 месяцев назад +11

    Uyu lunya a rudi shule,
    Respect young killer.
    One love from Congo Kinshasa

  • @AmaboyTz-bi9ym
    @AmaboyTz-bi9ym 11 месяцев назад +26

    Msodoki is the best Montana @ young killer 🔥🙋‍♂️

  • @NgwaleDaud-bx6fo
    @NgwaleDaud-bx6fo 11 месяцев назад +40

    Young killer ni kiumbe mwingine asifananishwe na huyo mtoto jamani, tumheshim huyu ngosha na tumlinde Sanaa aaaa 🫡

    • @ramseychobaliko1002
      @ramseychobaliko1002 11 месяцев назад +1

      Wanamdhalilisha killer kumlinganisha na mtu anaechana mistari ambayo hata mtu WA kawaida anaweza andika maana ni kujifiia Tu😅😂

  • @batuli8665
    @batuli8665 11 месяцев назад +35

    Killer is the best 🥰🥰🔥🔥🔥

  • @user-qs3ux2kl1c
    @user-qs3ux2kl1c 11 месяцев назад +25

    Young killer nomaa sanaaaaa

  • @ivanpeter4945
    @ivanpeter4945 11 месяцев назад +22

    Young KILLER ni noma saanaa

  • @user-hg9vd1jv8u
    @user-hg9vd1jv8u 11 месяцев назад +17

    Kabla hujamfananisha killer na mtu yoyote mchukue uyo mtu mpeleke kilingeni akachane kule kwanza wakimwelewa ndo umfananishe na killer master..... Killer ni mmoja tu

  • @MapuliMisalaba
    @MapuliMisalaba 11 месяцев назад +47

    Nimebaini kuwa Killer ni mwandidhi mzuri sana ila Lunya yeye anarap tu wala hazingatii mistari ❤ ninamengi ila hapa Killer ameua1

  • @dinyoabeli9028
    @dinyoabeli9028 11 месяцев назад +57

    Young Lunya_Stylish✅
    Young killer_Writer✅
    Uwez wafanansha coz kila mtu n mkali kwenye sector yake

  • @diamondplatnumz6274
    @diamondplatnumz6274 11 месяцев назад +23

    Killer is the best 👌

    • @johnpatrick2803
      @johnpatrick2803 10 месяцев назад

      Killer ni mambo ingine man respect killer

  • @ratoboyratotabia459
    @ratoboyratotabia459 11 месяцев назад +19

    Amuulize yule anaejiita true boy alifanyiwa nini na killer🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @vitalissimon4690
    @vitalissimon4690 11 месяцев назад +22

    Killer ni kila tuuuu🔥🔥🔥🔥

  • @msafirlaizer2368
    @msafirlaizer2368 11 месяцев назад +18

    Kwa Mayoung rapper wa Bongo Killer is on the top all the time 💯 #Maua ni yako killer.

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 11 месяцев назад +16

    Killer mnyama sana

  • @zamidually744
    @zamidually744 11 месяцев назад +13

    Msodoki is the 🔥🔥🔥🔥 from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @malikrobust2975
    @malikrobust2975 11 месяцев назад +12

    Lyrically speaking....Killer Yupo mbali sana

  • @laurent993
    @laurent993 9 месяцев назад +9

    Nishasema kwa akina young wote,
    Kaka yao killer hawa wengine watafute pa kwenda❤

  • @expert5898
    @expert5898 11 месяцев назад +137

    Lunya ni mchanaji mzuri sana, ila killer ana akili kubwaaaa

    • @maryernest3589
      @maryernest3589 11 месяцев назад +4

      Akili gani young killer ajui freestyle na hana mistr kichwani ya hapo apo hadi aandikeeee aipiteee ndo achane😂😂😂

    • @othudeaom9258
      @othudeaom9258 11 месяцев назад +1

      Hana jipya huyo😢😢

    • @expert5898
      @expert5898 11 месяцев назад +1

      @@maryernest3589 huwezi elewa

    • @expert5898
      @expert5898 11 месяцев назад +2

      @@othudeaom9258 litoke wapi na wakati watu ni wale wale

    • @kay_flevamusic2696
      @kay_flevamusic2696 11 месяцев назад +1

      Fact

  • @user-gm5tv1wb1r
    @user-gm5tv1wb1r 11 месяцев назад +17

    Young Killler muuaji chinja mbuzi

  • @prettyboiofficial7827
    @prettyboiofficial7827 9 месяцев назад +6

    Killer is different even all the songs he 8:58 sings listen to the words teaching

  • @samwelsamwel4042
    @samwelsamwel4042 11 месяцев назад +8

    We kiboko ngosha❤❤❤

  • @zomasamweli
    @zomasamweli 11 месяцев назад +20

    Killer kichwa kingine kabisaaa

  • @Mtamaduni14
    @Mtamaduni14 11 месяцев назад +20

    Nawakubali wote Lunya kwa kuchana ako na pumzi Young Killer ana akili nyingi kwa uandishi

  • @westonphirirobert4260
    @westonphirirobert4260 11 месяцев назад +8

    Killer ❤

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 11 месяцев назад +13

    Killer ni mnyamaa bana anaandka ,Lunya anaeflow ila kuandka Empty kbs

  • @delimachesa5007
    @delimachesa5007 11 месяцев назад +16

    Killer mtu sana

  • @man_killerOG
    @man_killerOG 11 месяцев назад +11

    Killer bhana no discussion

  • @mrrajjy
    @mrrajjy 11 месяцев назад +22

    Sematu kwa free style killer yuko mbali sana 💥🔥 ni Nuclear noma sana

  • @user-cz5kn8oe1v
    @user-cz5kn8oe1v 10 месяцев назад +2

    Hiii ni noma jaman

  • @victormitsanze5271
    @victormitsanze5271 10 месяцев назад +6

    Young killer always killing it

  • @praymwalu
    @praymwalu 11 месяцев назад +8

    PRAY from DRC CONGO 🇨🇩🇨🇩 apa mbona vipo wazi young killer mkali sana lunya bado sana

  • @Pastornarcos1
    @Pastornarcos1 10 месяцев назад +10

    I just like Msodoki's Rappin skills❤

  • @alicekaari9798
    @alicekaari9798 10 месяцев назад +7

    Lunya is the Noice maker Rapper😂😂😂, bt young KILLER is the sense maker Rapper, so msondokiiiiii🙏🙏👍🤣🤣

  • @sanauswahilimovies
    @sanauswahilimovies 11 месяцев назад

    BONYEZA HAPA KUTAZAMA FILAMU MPYA ZA BONGO MOVIE
    ruclips.net/video/QRBYtFnauAw/видео.html

  • @seifabdalla8865
    @seifabdalla8865 11 месяцев назад +36

    Young killer Msodoki kiboko ya wote kwa freestyle 💯%

    • @mchox1679
      @mchox1679 11 месяцев назад

      Hamna freestyle apa thoug anajua san killer

  • @morganboy180
    @morganboy180 11 месяцев назад +22

    Killer🔥🙌🤞🎤🎧💪

    • @sunwizy608
      @sunwizy608 11 месяцев назад +1

      young killer ndio anajuaa sanaaaaa

  • @jaguarcomed6320
    @jaguarcomed6320 11 месяцев назад +14

    #Young killer Uwezi kumfananisha na vitu vya kijinga ,,,,,,,,,killer🔥🔥🔥🔥#Msodoki the sun 🌞

  • @user-up1qk3jz5q
    @user-up1qk3jz5q 11 месяцев назад +13

    Msodoki🔥🔥🔥

  • @zuhurahusein7579
    @zuhurahusein7579 11 месяцев назад +7

    Young killerr

  • @medallionsihaba1954
    @medallionsihaba1954 11 месяцев назад +12

    🔥🔥🔥🔥🔥killah nimnyama sana achaneni na huyu mtoto bana

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 11 месяцев назад +12

    Killer

  • @ABIBOYOFFICIAL
    @ABIBOYOFFICIAL 11 месяцев назад +10

    Wewe komeni killer 🔥 jamani

  • @emanuelherman7029
    @emanuelherman7029 11 месяцев назад +9

    Lunyaa ndo nani mbona sielewi karapu nini nimeskia tu rest in peace sharo milionea killer amerapu dakika 5 bila kukatisha katisha siyo huyo fala wenu eti lunyaa 😂😂😂😂

  • @officialobadae8174
    @officialobadae8174 11 месяцев назад +9

    young killer🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jamesndossy5835
    @jamesndossy5835 11 месяцев назад +17

    Young killer msodoki ukuta wa miamba respect

  • @stephanokwipojela8118
    @stephanokwipojela8118 11 месяцев назад +13

    Killer 🔥🔥🔥

  • @MulababazOG
    @MulababazOG 8 месяцев назад +5

    Killer forever 🔥

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 11 месяцев назад +10

    Hapo kuna mmoja anatumia akiri kubwa sana na mwingine anajii❤mbia tu hovyohovyo uandishi wa hovyo killer talented

    • @JumaKumcha
      @JumaKumcha 11 месяцев назад

      Killa ye aliandika iyo misitaki nakuiyalili ndio maana unamuona ananasianasia lunya ye anafuroo kutoka kichwani

    • @true.africa
      @true.africa 11 месяцев назад

      ​@@JumaKumcha hivi unazijua ngoma zote za lunya kama una akili tofautifa trap na hip-hop 😂😂killer🎉🎉🎉🎉

    • @JumaKumcha
      @JumaKumcha 11 месяцев назад

      Tofautisha kila apo anasoma kamataharifa ya habari yaani ukimnyang'a iyo sim ato chana chochote we umuoni anasoma kwenye iyo sim

  • @djvitroal_
    @djvitroal_ 10 месяцев назад +3

    Muuaj ni muuaji tu,💦🚀🔥🙌🏾…

  • @zomasamweli
    @zomasamweli 11 месяцев назад +9

    Killer ni🔥🔥🔥🔥

  • @user-bg4ni6bj1o
    @user-bg4ni6bj1o 11 месяцев назад +6

    Killer moto

  • @youngcheguevarayaredi9583
    @youngcheguevarayaredi9583 11 месяцев назад +20

    Dah killer ni unstoppable kwa freestyle

  • @alexiskalindi7827
    @alexiskalindi7827 11 месяцев назад +2

    Killer Number one

  • @user-dr4cl5gw3z
    @user-dr4cl5gw3z 10 месяцев назад +2

    Killer🎉

  • @hemedykayonko4109
    @hemedykayonko4109 11 месяцев назад +6

    Killer ni big thinker

  • @andrewsalvatory115
    @andrewsalvatory115 9 месяцев назад +2

    Big up Msodoki

  • @keydeemasinga6986
    @keydeemasinga6986 11 месяцев назад +5

    Killer hakukosea kujiita killer,🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @diamondplatnumz6274
    @diamondplatnumz6274 11 месяцев назад +12

    Killer is killer

  • @dasilvajr9647
    @dasilvajr9647 11 месяцев назад +4

    Young killer..msodoookiiiihh

  • @alicejoel2489
    @alicejoel2489 10 месяцев назад +3

    Young killer 🔥🔥

  • @user-fy4yr5xc3b
    @user-fy4yr5xc3b 11 месяцев назад +5

    Killer is the Man, jaman kwanini mfananishe tembo na sungura? Killaer Msodoki

  • @habibhussein9684
    @habibhussein9684 10 месяцев назад +2

    Killer is fire

  • @KingloveNyakamwe-sm5dr
    @KingloveNyakamwe-sm5dr 11 месяцев назад +7

    young lunya 🐐 ninoma Sana

  • @saidijuma-zn5lw
    @saidijuma-zn5lw 10 месяцев назад +2

    Killer unaweza blood lunyaa Bado sana

  • @salimmdule405
    @salimmdule405 11 месяцев назад +2

    Ngoshaaa🔥🔥

  • @michaelgeorge1147
    @michaelgeorge1147 11 месяцев назад +15

    It's not a young now it's the big brother MSODOKI 😂😂😂 eh bwana respect

  • @erickthobias9595
    @erickthobias9595 10 месяцев назад +4

    Lunyaaaaa is the🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 11 месяцев назад +18

    Young killer unatisha maana mi sio muumini saana wa hizo mambo ila hua napenda kuskiliza ujumbe huyu mwingi Hana kitu hunyooshi stoli au ujumbe

  • @samkatondo9464
    @samkatondo9464 11 месяцев назад +12

    Wawekwe kwenye ngoma moja tuone!

  • @mustafaluziga5196
    @mustafaluziga5196 11 месяцев назад +4

    Wote nawapenda sana lakini young killer nihatari

  • @amosicharles4499
    @amosicharles4499 11 месяцев назад +5

    Yakira ni hatari Sana✊🔥🔥

  • @yunusanto7290
    @yunusanto7290 10 месяцев назад +2

    🐐🐐🐐

  • @nyemowanyotanjemaudm4360
    @nyemowanyotanjemaudm4360 11 месяцев назад +6

    Kila nimwamba Sana wenye akili timam wanamjuwa huyu killa kuwa mwamba tuu sku zote 🤛💪💪💪

  • @Muuzambuzi
    @Muuzambuzi 11 месяцев назад +3

    Killer 🔥🔥🔥🔥

  • @franssmoses6791
    @franssmoses6791 11 месяцев назад +4

    Acheni masihara basi killer 🔥🔥🔥🔥 nikiumbe kingine kabxa

  • @WasafiBusiness-hz7pf
    @WasafiBusiness-hz7pf 11 месяцев назад +2

    Young killer is the Killer i love from RD Congo.

  • @alikazungu4038
    @alikazungu4038 10 месяцев назад +1

    Young killer unajua sna mwamba🎤🎧

  • @user-cz5kn8oe1v
    @user-cz5kn8oe1v 10 месяцев назад +3

    Lunya❤❤❤❤❤

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 11 месяцев назад +5

    Killa

  • @agnessnkandi5229
    @agnessnkandi5229 11 месяцев назад +25

    Killerrrrr✊

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 11 месяцев назад +4

    Msodoki ni killer yan ni 🔥

  • @user-ny2op6xq5h
    @user-ny2op6xq5h День назад

    Msukuma mjanjaa 🤝🔥💯 🔥🔥🔥

  • @abdullahmgazza581
    @abdullahmgazza581 11 месяцев назад +6

    Killer ni noumah!!⛔️

  • @frankndendu2570
    @frankndendu2570 10 месяцев назад +14

    Killer killed it

  • @ammyskills5588
    @ammyskills5588 11 месяцев назад +3

    Mnaosema zari, halikuishia kwa profesa 🔥

  • @tisagilbert
    @tisagilbert 11 месяцев назад +4

    I see young killer na young killed

  • @RolandKahundahunda-ti4rf
    @RolandKahundahunda-ti4rf 7 дней назад +1

    Mimi naona Mkongo Afande Ready ✌️ Anawa kanyaga wote ....fatiliya afande ready sasa upate Rapper zikali zikali mbaka Fid Q akamu kubali naku fanya vidéo nae kwenye ngoma lake Bigman Remix farous artiste✌️

    • @innocentjay8601
      @innocentjay8601 День назад

      uko out of the subject!! hapa tuna compare killer na lunya

  • @issasungura6219
    @issasungura6219 11 месяцев назад +1

    Kilaa🔥🔥🔥🔥

  • @user-oc7kc5zm7z
    @user-oc7kc5zm7z 10 месяцев назад +1

    Killer n 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-ym9vo2vd1g
    @user-ym9vo2vd1g 10 месяцев назад +1

    Killer noma❤ wa kupanga mistari ila mbuzi wa katalunya raapa mkali

  • @jacksonmatambo4476
    @jacksonmatambo4476 10 месяцев назад +2

    Killer all the way

  • @vincentjohn3193
    @vincentjohn3193 11 месяцев назад +2

    Ebwana eee killer ni noma san,lunya anachana kwel lkn Kila ni mzuri Zaid na mistar yake inaelewek zaid

  • @albertpike6208
    @albertpike6208 10 месяцев назад +7

    I love how lunya flows in english big up brother

  • @jimoraruben9674
    @jimoraruben9674 11 месяцев назад +1

    Killer 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jaykillertz9231
    @jaykillertz9231 8 месяцев назад +2

    Young msodoki killer mwanza mwanza ni fireee🔥🔥🔥🔥🔥

  • @youngchanamani
    @youngchanamani 8 месяцев назад +1

    Sana2 brother umetisha sana young chana

  • @nyandajr
    @nyandajr 11 месяцев назад +5

    Killer ameshindikana