Zitto Kabwe Afunguka Sekeseke la Utekaji wa Raia, Polisi Watajwa
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Wakazi wa kijiji cha Kigadye kata ya Heru Ushingo, jimbo la Kasulu vijijini mkoani Kigoma wamemuomba kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe awasaidie kukomesha vitendo vya utekaji na watu kupotea katika jimbo hilo
Wakazi hao wamesema wapo ndugu zao ambao wamechukuliwa na watu wanaodai kuwa ni polisi na hawajawahi kurudi nyumbani.
Naye Kiongozi msataafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amekemea vitendo hivyo ambapo amesema atahakikisha chama chake kinasimama kutetea wote walioathirika na matukio hayo.