Kicheche na group lako mnatuletea vitu vizuri vya tofauti tena ni maisha halisi kabisa hongereni sana endeleeni kutuletea vitu vizuri zaidi nawatakia kazi njema.
ila kicheche nimeona kabisa maisha yau maskini inaumiza sana tena sana sababu matatizo inazidi mpka imenitiya uzuni sana kicheche ila ongera sana kicheche tunapenda kazi zako kaka ila umekuwa tafauti n'a clam vevo yeye anavuma mu vitu vya mzimu ila wewe unapambana n'a vitu vienye avinaga mzimu apo uko poa nau ndo usani sasa baba ila mimi nakufata sana kutoka Congo DrC🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kicheche huu mwaka umetisha sana mwanangu nakukubali ume mufanya rutamani anakuwa musani mkubwa sisi tuko kongo tuna fatiliaga sana mambo yako naitwa imani tokeya pande za bukavu & kamituga
Kicheche wew ni tumbili, kenge, hanangwe,kongoro, supu ya pweza, zumbukuku, yai vinza na kashata, big up from rugombo Burundi 🇧🇮 kwao zungu la unga, natowa shikano hata kama nakuzidi umri salute 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Aiseee dada angu unapitia matatizo makubwa sanaaa wazeee vijana tutafute heraaaa wake zetu wasizalilishwe ivoo .. magonjwa mengne yanasababishwa kwaajili ya umasikini Kama Apo vai kalala na wanaume wawili kuokoa familia na mwingne kwaajili ya Kodi tutfteni heraaa jmn kunusru haya matatizo🙏...@
KAMA NAWAKWAZA SEMENIIIII😂😂
Hautukwazi tajiriii,, unaweza sana, bravooo💪💪
Uto kwanza tajeri 😅😅
Mimi njo wakwanza soma comment
Kibenteni iendelezwe
Ongela sana Kaka kicheche
Nimekuwa number one buana! Wenye wanamkubali kicheche gongeni like zenu niwaone!
Nzuri kbs
😊🎉
Hautukwazi kicheche
Nakubali sana mze wangu kicheche makoti naishi Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kicheche na vai mnajua sasaaaa🎉
Mbwa kicheche anahonga pesa ya matunda kwa Bibi kizeee😮
Anatisha san kicheche kuhonga tu ana bayaaaaa!!!!!!!!
Watching from Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪 namkubali kicheche 👌👌👌asilimia mia.wafuasi wangu kutoka nchini Kenya let's gather here
Kwani wew ni nani
Best bongo series ever ebu kama hujajalibu unyango visit there
Ni kweli
Nimekua wa Kwanza jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤😢😢😢😢😂😂😂😂
The king of new génération nakukubali sana mutu wangu,from Congo 🇨🇩 Kinshasa
Kicheche na group lako mnatuletea vitu vizuri vya tofauti tena ni maisha halisi kabisa hongereni sana endeleeni kutuletea vitu vizuri zaidi nawatakia kazi njema.
Huna baya kicheche bigup💪
Wakwanza from bunda mara tz kama unamkubali 😂😂kicheche gonga like nawapenda wote ❤❤❤❤❤
Ok bro uko bunda na me mwenyew nae niko bunda ndug
Uko maeneo ghan
Mbwa kicheche mgawanyo wa hela umemuumiza sanaaa😀😀
KICHECHE una Watu Sana Big up Sana Kwako KICHECHE Yaani Kila MTU yuko Sirius Na Kazi. Oya weee Gonga like kwa KICHECHE ♥️🙏🙏🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jaman kicheche nilijuwa unaumwa kumbe ni clip ya series nyengine we noma kweli🔥
Kaz nzr San
Bazi mim WA pili.... Naobeni like Zeno, from Moz🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿Nakukubai kicheche
Number one from Burundi I Love guys 💙❤️💙
🇧🇮✌️
Wenye kukumbuka ile nyimbo ya bahati bukuku, gongeni hapa!
Dunia Haina huruma
Dr alieokoa maisha yako ndo mwenye huyu mtoto 😅😅
Duh hatar
Nice job ❤
A see kicheche umeniuzi kitu kimoja mbona ruta mani😮 ayupo a see kicheche unaferi aaaa a see like kwawingi Sana 🎉🎉
❤
Kicheche unajua sana mpaka unakera🔥🔥🔥
Mwenye Nyumba Amehingiya Sas Hapa Lazim Waseme Shikamo Baba Shikamo Mama , True Love Never Die Vai And Kicheche Love You So Much 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
True story about our life, Big up kicheche with your team ❤from 🇧🇮
Dokita wache na maincha yaao
Kicheche ndio fund pekee bongo nzima
Kicheche iiiii umeua bro it's more than kibenten ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.
Ndio maana nawaambia kila siku mtu anayesababisha mke kuchepuka ni mume mwenyewe puuu🙌🙌🙌
Mbn unajitetea sana !!!!ukichepuka ww n mzinzi hvyo vyengine nivisingizio2 !! Kunawangap wamepitia majaribu Km hayo na hawajachepuka??😂😂😂
Love much from Burundi 🇧🇮 kicheche & Vaileth 🔥🔥 ❤❤❤
Duuuh hi noma sanaaa kicheche mng akupe maisha malef xan🙏🙏
ila kicheche nimeona kabisa maisha yau maskini inaumiza sana tena sana sababu matatizo inazidi mpka imenitiya uzuni sana kicheche ila ongera sana kicheche tunapenda kazi zako kaka ila umekuwa tafauti n'a clam vevo yeye anavuma mu vitu vya mzimu ila wewe unapambana n'a vitu vienye avinaga mzimu apo uko poa nau ndo usani sasa baba ila mimi nakufata sana kutoka Congo DrC🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Huu ndo uhalisia wa maisha tuliyo nqyo mtaani ety
Kwer kaka
Huu ndo uhalisia wa maisha yetu....hivi ndvyo tulivyo ukipata pesa shida nazo zinaonekana
Mario movie 🍿🍿🍿🍿🎥🎥🎥🎥🎥🎥🎉🎉🎉🎉🎉🎉🍿🎥
Hongereni sana wote mmeitendea haki igizo yenu🎉🎉👏👏👏
Kicheche kwasasa ni zaidi ya Mond😂 yaani ndani ya dak 30 views 13000🎉🎉🎉🎉
Kicheche nataka like kutoka kwako 😂😂😂😂
Utajuaje imetoka kwake?
Kicheche u are the best from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Kazinzuri sana team kicheche vaireth nakupenda sana
Assistindo diretamente de Moçambique 🇲🇿 ongera sana
Vai nakupenda
Tunao mkubali huyu jamaa wahovyo tujuane ♥️🙏🙏👍
😅😅😅 wahovyo au siyo
Very nice ❤❤❤ kicheche good job
Mbwa shaboko we zombie mi ndo kicheche na macheche wa upwiru. Ngonga like hapa chini me I from Zambia I love movie fo kicheche.
Leo mimi babaako wamcongo kutoka Burundi Niko wakwanza naomba like zangu😂😂 love from Bakame Comedian burundi
NAnyinyi jitahidi kutengeneza mvi nzuli basi
Wakwnanza nipeni like much love from Kenya kicheche mbwa😂😂😂😂
Wewe Ni masta kweli bro tunakupenda sana 🇨🇩❤❤❤
To be frank there is a very big lesson in this project .....!!! This is the best guys keep it up @Kenyan fans
Nakubali xana kicheche makoti, gonga like nyingi kwanguu
kicheche nakubali sasahivi ucheshi tena unafunza sasa hongera sana bro natokea lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Waah much love from Kenya 🇰🇪
Kuna mdada nimemuona hapo japo kidogo DEKO jamani huyo ni hatari lazima kuna kitu kimeongezeka humu. SAFIIII DIRECTOR 🎉
Kicheche baba makotti😂😌😌😌😌. Mahabuba
Woooooow mumeanza vyema yaan jina linafanania kabisa na matendo ya hii move tunawapenda san 🎉🎉🎉🎉
Kicheche huu mwaka umetisha sana mwanangu nakukubali ume mufanya rutamani anakuwa musani mkubwa sisi tuko kongo tuna fatiliaga sana mambo yako naitwa imani tokeya pande za bukavu & kamituga
Haya mapenz yapo ktk movie tu pesa mtaani inaharibu future za watu saanaa
Alafu hizo dakika mmeanza nazo ziwe hivo Hadi EP mwisho, msiniuthi😂🎉❤p..
Anyway kazi nzuri 🎉
Una bundle!😂
@@rajabukipara3008 ..Situmiagi bundle raja, jiamini Dunia ikukubali😏
Kicheche wew ni tumbili, kenge, hanangwe,kongoro, supu ya pweza, zumbukuku, yai vinza na kashata, big up from rugombo Burundi 🇧🇮 kwao zungu la unga, natowa shikano hata kama nakuzidi umri salute 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Napenda Sana Vai usiachi kwa kweli, hakika ww unaibeba Tz, nakuona Kanumba WA future tz
Kali sana muendeleze usichelewe bro😅
😂😂 washenzi sana nyie mnang'ang,ania wa kwanza haya na mimi wa kwanza sasa naomba like
😂
🤣
Kila siku mim wa kwanza ,aya mimi wa mwisho naombeni like
Wa kwanza from Kenya wapi likes zangu jamaani
ombi langu ni moja, hizi nyimbo na soundtracks kali sana muwe mnaziweka online tunazipata, kama hii kali sana
Kabisa isee Yani kawimbo frani iv amvacho kanatafakalisha sana
Sijui niandike nini maana dakika chache hizo mmemaliza kutoa ujumbe kamili wa maisha ya watu wote,daaah nimeipenda sana mnooo from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Qumamaqe mmekuja kufanya mapinduz ya bongo movie walah wew kicheche na clam mko fire balaaa pumbavu zenu
Nyie watu mnajua sana jamani duuuuh kisa hadi kinasisimua fanyen chapu msicheleweshe sehemu ya pili❤❤❤
Kicheche my man keep it up with good work bro
Good work love from Kenya 🎉🎉❤
Duuuh ukweli mtupu uhakiaia wa maisha yetu
pole Sana Vai kusrma ukwel nimetikisika maisha ambao unayapitia Mungu akubadilishie sipendi uendelee hivyo
From Rwanda 🇷🇼 but nasikia Roho inauma sana kwa sababu ya hii filamu. Asante for this movie. Tanzania is on the top...
Rwandais😂😢
Nyabogogo hejuru
Leo nimekuwa wakwanza nipe like za kicheche 🎉❤
Wa kwanza leo❤❤❤ nipe like zangu from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Aiseee dada angu unapitia matatizo makubwa sanaaa wazeee vijana tutafute heraaaa wake zetu wasizalilishwe ivoo .. magonjwa mengne yanasababishwa kwaajili ya umasikini Kama Apo vai kalala na wanaume wawili kuokoa familia na mwingne kwaajili ya Kodi tutfteni heraaa jmn kunusru haya matatizo🙏...@
Safi sana kaka daaaaaahhh kali sana
I SEE MYSELF INNA MOVIE....
I hear tears knocking my eyes... and I Don have anyway to stop it. Kicheche G.O.A.T inna league of minds😢
I love so much this episode is nice ❤🎉
Uyu dada mweusi mzuri saana maashaa allah❤❤❤🎉
True😂😂
Mwanetu umeua, m nakuona wew ndo unaweza kuinua bongo movie
Vai nakupenda buleee shosti wako apaaa
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI
Thank you team kicheche for this movie your next level big up Sana👏👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌
Nimependa sanaa suprise ya latifa na baby wake
Kuna wengine tungekosa ndoa 😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂@@nasraabdallah8566
Nimeogopa sana sijaipenda hii suprise
Hautukwazi kaka mkubwa tunakupenda sanaaaa
Huwezi kutukwaza mbwa wewe unatukosha sana
Like it ❤. Hongereni sana Team kicheche.
wakwanzaaaav🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mambo ni motrooooo
Life's realities. Bigup from Congo DR. 💪💪💪
Inasikitisha sana et. King kicheche
Nampenda queen na vailet sana wow ❤❤
Huyu manzi mke wake kicheche nakubali sana anachokifanya ❤
Kazi njemaaa kaka kicheche
Number one
Big up bro kicheche uliwaza mbali sanaaaa🫡🫡🫡🫡
Round hii utatuua kabisa ww ni comedian nambari moja tz
Much love from Asia 🥳🥳🥳
❤
Leo wakwanza Mimi like nyingi kwa kicheche
Wa kwanza🎉
😢
Nice job bro mungu anampambania yule anaepambana IPO SIKU HII NCHI UTAISIMAMISHA
congratulation kicheche
Uweke na behind scene 🎉🎉❤❤
😭😭😭😭😭😭,, Emungu baba naomba niondoleye maisha ya umasikini haya yasije yakanikuta🙏🙏,, ongera saana Mzee kicheche.🎉🎉
Aki Bhai may God bless you 🙏🙏 I like your way
Duuuh kiwukwel vai unatia uruma kweli unadhani sikuigiza nikweli.nakupenda sana kbx
We kicheche wew unakumbuka ulivo Anza namashati yako mabovu lakini saii hauna mshindan Yani huna kaz mbovu unakuja wew dhuuuh ongela kinoma yani