Mwenzako vevo anaanzisha anamalizia anaanzisha tena hivo ndo tunapenda❤ lifanyie kazi hili tunaitaji kujua mwisho wa shot ya lambalamba na hand sam wa kijiji penzi la jini latifa ndo tumezipenda sana
Huyu dada mke wakicheche ni mpakano kwakweli pastor kicheche eeeeeh anatoa mapepo eeeeeh anponya magonjwa eeeeeh anahokowa wapakani imeheenda ya ni leo mpaka msemee 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤😊
Hii kazi ni sehemu ya majibu ya maswali ya wengi Miongoni mwetu, Mungu ana majaribu mengi ssana kiasi kwamba unaezakukufuru kama huyu mke wa kicheche, Hongera ssana bro 👏, I hope next episodes zitakua zamoto zaidi😊, kazi nzuri ssana👏👏
Iam smile by myself like crazy because kicheche mwamba from Tanzania ❤❤❤
Pastor jamaa was makalio kaokoka nani anakubali hii WOW pastor kicheche leta like
Bana kicheche tulikumiss sana❤❤, much ❤from kenya
Huyu dada idaya nampenda jameni bora aombe kazi kwenye bongo movie
For the farst time a man is honest 💯 congratulations to kicheche show loves from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wap like za kicheche
Safi sana mzee kicheche
Kali sana hi hakika kicheche we ni king 👑 of new generation
Kazi nzuri sauti ila sauti imekuangusha ,inakelele sana
Huyo dada uliye mchagua anajua Sanaa big up🙌🙌🙌 nimemkubalii🔥🔥🔥
Kicheche is back.... Huyo dada anajua sana umechagua mdada anayeweza katika hii kazi daah... Hongereni sana all the way from South Africa
Kicheche never disappointed 💥
Umeyavagaaa mtot na baba pipaa na.mfunikoooo😅😅😅😅😅😅
Pastor Saimon Nimecheka hapo aliposema Dada umeangusha Hela zako afu mke wake anazitamani😂😂😂
Umefundiaha jamii
Haya mambo yanatokea sana, Kicheche bahati mbaya jina lako halisi silijui, Mungu asaidie jamii
Kam unamkubali kicheche gonga liké hapa
Safi sana
Kwa kutambua Uwepo wa MUNGU
Kwa Kwa Hili MUNGU Akubariki
First God.
Dhaaaa😂😂😂😂😂 kwasauti iyo kheeee😂😂
Kicheche mimi nakupenda sana alakini chukuwa ata kitabu kingine acha kuweka baibole kwenye mchezo wa comedy
Pamoja sana pastor simon
Kicheche atapata nguvu za kichawi ataskilizwa ataponyesha kichawi atakuwa tajiri 😂😂 Okay Lets go baba ❤️
Kicheche is the king of New generation....
Nipenii likes zangu from Kenya
Kicheche amerudi...tuko pamoja🇰🇪🇰🇪
Kicheche hii season umetisha mwamba utauza hatari kuliko zote mwamba wangu mungu abaliki kazi za mikono yako tu
❤
Lewo wakwanza ku like naku comment 😂😂😂❤Kama you love kicheche Nipeni like basi🔥🔥
Wewe like unazipeleka wap kila mala unaomba like ndugu yangu
Hiki ni niseme huwa sipend watu wanaocoment hv
Hhh
Mambo
Hayaaa like zako hizo hapooooo😂😂😂😂😂
Ww kicheche na uyo mwanamke kuwa makini sana na maneno kaa hayo kwa mungu hivi mungu unamwona kama mwanadamu
Uko vzr kicheche
😂😂😂😂😂😂😂😂 Nipeni liké zangu
Mwenzako vevo anaanzisha anamalizia anaanzisha tena hivo ndo tunapenda❤ lifanyie kazi hili tunaitaji kujua mwisho wa shot ya lambalamba na hand sam wa kijiji penzi la jini latifa ndo tumezipenda sana
Huyu mke wa kicheche ANAJUA KUPITA KUJUA YENYEWE
Kazi hii inaonyesha ukomavu. Uko kwenye mwelekeo mzuri.
Nilikua nataka nishangae mbwa uyu tokalini ameaza kuwa serious😂😂
Kicheche hapo umekua rafikiangu naomba uhubiri vzur
Chukua kura yangu hiyo ni zaidi ya zote ulizowahi igiza
Kicheche hii Kali asikudanganye mtuu Clam ananz vizur finishing hamna kituu,,
Kicheche uko vizuli ila ongeza wachungaji Ili inoge sana picha ongeza namapanby utatkamata sana
Wewe unaongeya tu alafu ujuwi unasema nini nyooo
Clam vevo ninae mjua mm?? Hyu bado sana kwa clam best friend kaua tmpen maua yake
Pumbafuuu kicheche usijisahaulishe na lambalamba muendelezo wake 😂😂😂😂❤❤
Kicheche umekuja juu sana nakukubali sana ❤❤❤❤
Sautiii ya 12 mpaka wa changanyikiwe😅😅😅😅
Mungu aibariki kazi ya mikono yako!
Huyo mdada anamachooo😮 nmempenda bure bureeee she is sooooooo talented, anafanya body gesture and moves kwa ujuzi mkubwa anaonyesha uhalisia
Aaah!,Hallelujah, kina phillipo wanasema hujui kuimba,Souti solo sauti ya 12...😂😂😂😂
Hapa umepata mtu na nusu hadija boli nakubali snan mm huyo demu❤❤❤❤
saf ila sauti kidog aangalie volum inakwaruza cm but very nice mkitaka kujua mwanamke ni nyoka fwatilia hii movie
mke wangu hebu kumbuka neno la mungu linasem....a.....,,,,,,,iiiiiiiiihehehee ;;;;kali sana🤣🤣🤣
😂😂aki uyu dada anajuwa kucheza sana kanifuraisha ❤❤
Huyu dada mke wakicheche ni mpakano kwakweli pastor kicheche eeeeeh anatoa mapepo eeeeeh anponya magonjwa eeeeeh anahokowa wapakani imeheenda ya ni leo mpaka msemee 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤😊
😊😊😊 Kazi nzuri sana
Mbwa Mimi😂😂😂 napiga sauti solo kumi na mbili😂😂😂😂
Waooh huyo mdada namkubaligi sana
Nikwli kabisa watumishi wanapitia mengi sana hasa juu ya family zao hasa mama wa ndan
sana makini ila unadeni la penzi la jin latifa tunaitakaa
😂😂😂 hiyo wana iita Sauti Soul
😂😂
Amen nimepend Ili neno👏 mtumishi saimon
Love from Rwanda 🇷🇼 ❤️ kama unamukubari kicheche piga like hapa
Ameniuzi kicheche kuhusu hela
Waooooooooooooooooooooooo pastor simon nimeipenda hii. Huyo mama nae ameigiza vyema sana huyo ni actress mzuri sana
Nyie sio kwa upole huu alionao kicheche huku hadi nimemuonea huruma ujuee...I love you kicheche kazi nzuri❤
Dada anaweza san huyo
Pastor saimon umbwa Pastor pumbavu zako najuwa uta tu chekesha tu kulembe twende tu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
We mpuuzi umerudi kama pastor😅
Watching from Kenya. Congratulations pumbavu zako
The king of new generation is back
Baba na mtot washenziii😅😅😅😅😅
We missed you, kumbavu zangu, tupppeee bbaaaabbaaa,🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Imani isiyo dhaifu lakn ukimpata mwanamke kama huyo anaweza kukurudisha nyuma kiuduma
Kicheche baba waoneshe❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wow uyu mdada namkubali❤️❤️❤️
The King Of Comedy Is Back.🎉🎉🎉🎉🎉 , No One Like You Kicheche Mbwa Wew Pumbav Zako🎉🎉🎉🎉
Ubwa kicheche ameanza kuwakimbiza kama Bata 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Mama shetani apo atuendqni😊
Kaz nzr aidia nzr wasanii wazur hongereni sana namuona Hidaya boli fundi mmoja hajawahi kukosea nawakubal
Yaan ni hatarii huyu dada anajuwa sanaaaaa❤
Mpuuzi amerudiiii
Kazi nzurii sana nakupenda kicheche wangu
Dah kwenye msungo uliitendea haki na huku pia hongera sana kicheche na mimi pia jaman
mkuuu uko vizuri ila vua hiyo kofia
Number one
It was worth waiting for 😅
Huyo Mzee amefanana na marehem Adam kuambiana
Ongera sana kicheche
❤ uko juu sana kicheche
Very nice good come back
Mzee mogadishu leo katokelezea
jamani kicheche ameokona I like this 😂😂😂😂😂😂
Much love from Tanzania 🎉🎉 love kicheche
Kichechee ameludii hahahahahaaa
Character ya Pastor sioni kama imemkaa vizuri sasa nani ataongelea mitulinga 😂😂😂😂
Kicheche ameanza kuokoka iko njia nawa ambia Nini tabiri kwa jina la yesu kristo
Amen 🙏
First
😂😂😂😂 kicheche
Hii kazi pia tumeielewa
Kicheche og _ tena hapa Kwa hio niwaombeni like hata tano basi ❤️😂😂😂😢😢😢... tulikumisi sanaaaaaaa❤❤❤ mbwa wewe 🤣💯
Baba weka kazi tmezisubiria sana umbwa ss
Finally kicheche is back💪
Duuuuuuh eti sauti ya 12 inaitwa sauti sol😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu Dem wa kawaina awe na heshima Kwa baba mkwe wake hiyo nguo sio yakuvaa mbele ya baba mkwe!!!!
Daahhh noma sana hiiii imeenda
Shukraniii mbwaaa kasharudiii kaziiniii
Binti msungo katokea kwa mganga kicheche 😅😅😅
Whenever i see kicheche nashindwa kuzuia kichekoo😅😅
Kicheche tunakupenda sna ❤️🇹🇿
Nzuri sana
Hii kazi ni sehemu ya majibu ya maswali ya wengi Miongoni mwetu, Mungu ana majaribu mengi ssana kiasi kwamba unaezakukufuru kama huyu mke wa kicheche,
Hongera ssana bro 👏, I hope next episodes zitakua zamoto zaidi😊, kazi nzuri ssana👏👏