Vitisho vya kuondoka kwenye chama ni dhahiri vinadhihirisha umbumbumbu na utovu wa busara. Hii inamaana nyie ni viroboto wa mtu, hamna uchungu na chama!
KWA MUJIBU WA KATIBA YA CHADEMA, MBOWE ANARUHUSIWA KUGOMBEA. NA KAMA MBOWE NI HALALI KUGOMBEA KIKATIBA, BASI NI HALALI PIA KUPIGIWA KURA NA KUCHAGULIWA. SASA KWANINI MNASIMA AKISHINDA MTAJITOA CHAMANI ???
Mnawalazimisha wajumbe kutumia akili zenu ........washamba nyie hiyo ndo Demokrasia gani !!?? ....... Kwenye Uchaguzi kuna kushinda na kushindwa mafala nyie
Mjinga atakuongea anashidwa lione weusi. Mbowe tu nakesho muame , mahan mbowe anapita tu nilanzima. Wew lisu wenu na heche wenu mnataka kuleta mchi tz yetu vita . Lisu mwenyewe ata familia ana apa. Wajinga nyinyi ameni araka san
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Umepoteza sana.poleni.
Wanachama wamejitambua👍💪
Kabisa
Uko sahii
Pamoja sana, hata sisi huku kwetu tunamtaka Lissu na Heche na wala si vinginevyo.
Ondekeni kwani nini nani?
Ww Mzee hujui demokrasia🎉
demokrasia ya kuong ndo unayoijuwa ww siyo
Ondokaaaaaa ata sasa iv , auna impact yoyote kwenye chama
una rorte na ujuw usemaro
Jionfoeni
chadema inamwitaji lisu ila ccm haimtaki lisu akili kwenu wana chadema mimi kula yangu nichapiga nanimwemwagiza mungu aiwakilishe lisu kwanza🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 akihama nahama nae
Walisha toka wangapi sembuse washambanyie hamjui maana ya uchaguz kunakushinda nakushindwa 😮
Wewe ccm nn makuwe awa muimu namaono Yao bola kuliko chokowewe
Mi nadhani wewe ndiyo mshamba wa kutupwa siyo huyo mzee, ok?
Nendeni CCM Mjaribu huu ujinga
Ondokeni chadema itaishi😮
Wewe mwenyewe umeshachoka na unachokitaka kimechoka
Tunataka lissu na heche.
Nyie wazee hamnazo kwani wapiga kula ni wa upande wenu tuu?si mngemtangaza Mlisha shida kutoka majumban kwenu?
Babu vp mbona we hupumziki unachonga hapo😅
Huitaji kujieleza unajiondoa we nenda tuone kama mbowe hataishi
Acheni uchawi
Wako sahihi hata sisi tutajiondoa mwanza bila risu
Mbona tundu😂😂😂😂😂 nawaunga mkono wasukuma wenzangu ila nimecheka mnavyoongea kam mnapigana
Hivi kwanini Wana CCM mnampigia chapuo Mbowe ashinde nafasi ya Mwenyekiti wa CDM Taifa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Lissu na Heche wataleta mabadiliko
ubongo umejaa maji kweli. Tz shida ipo kubwa
Vipo vyama vingine wataongoza uwe na amani
Jiondoeni tu nendeni act au caf
Waliondoka wangapi Bwana, na Chadema bado ipo ....... Majitu ya Lissu yanatumia nguvu kubwa badala ya akili na hoja
Kapigeni kura!kura ziamue ndiyo demokrasia siyo vitisho bila kuwajibika.
Ondokeni hata leo, kama wengine walivyoondoka na kuunga mkono juhudi za Magu lakini Chadema bado ipo na tena ni tishio kwa CCM na serikali yake
Huko Itilima mmefanya nini cha maana? Acheni demokrasia itawale msitusumbue
ONDOKENI LEO MNAMTISHA NANI???
ujuwi unachokisema
Chama ni wanachama ukisema acha waondoke wewe ni ccm
Tunaenda na mbowe tu
Huyu mzee amepagawa hajui kwenye uchaguzi kuna kushinda na kushindwa
Mshamba mama yako haw ni wanachama wa chadema
Mmmh😂😂😂😂😂
Hameni chama acheni usenge wenu
Ondokeni we mwenyewe una madhaifu kuanzia kichwani mpaka kwenye unyayo
ondoka wapo wengine
Inamaana mnaogopa kupiga Kira?
Mnawapingia nyie ndo mngekuwa viongozi sasa
Mliwahi ona wapi CCM inaye mpenda awekiongozi wenu na nyie mkamchagua eti ili mshindane na CCM?
LISSU akianzisha chama chake anaondoka na robo tatu ya Chadema
Kwahyo asiogope👏🏾
ataondoka na punguani wa akili tu
@Martin-lv1xw sawa
Kuanzisha chama mpya kitaitaji kazi kubwa sana na kupata nguvu na mfumo katika siasa
@geofreykasinda1895 inawezekana 😊
Vitisho vya kuondoka kwenye chama ni dhahiri vinadhihirisha umbumbumbu na utovu wa busara. Hii inamaana nyie ni viroboto wa mtu, hamna uchungu na chama!
Azeni kujiondoa mapema kabisa
KWANI NYIE MNAMSIMAMO!? MKWARA MBUZI HUOO WALA HAWANA CHOCHOTE HAO MBOWE LAZIMA ASHINDE NYIE HATA MJITOE KABISA HAKUNA MSAADA WOWOTE 😅😂😂😂😂
Hakuna demokrasia ya kuikaa muda murefu madarakani mbowe must go mpaka ccm wanamusapoti mbowe why
Nilidhani ni chama Cha demokrasia 🤣
KWA MUJIBU WA KATIBA YA CHADEMA, MBOWE ANARUHUSIWA KUGOMBEA.
NA KAMA MBOWE NI HALALI KUGOMBEA KIKATIBA, BASI NI HALALI PIA KUPIGIWA KURA NA KUCHAGULIWA.
SASA KWANINI MNASIMA AKISHINDA MTAJITOA CHAMANI ???
UNACHEKESHA.KWANI HUKO VYAMA VINGINE WANACHAMA WOTE NI VIONGOZI?KAAMA UMECHOKA WEWE ONDOKA TU.WRNGINE WATAONGOZA
Mnawalazimisha wajumbe kutumia akili zenu ........washamba nyie hiyo ndo Demokrasia gani !!?? ....... Kwenye Uchaguzi kuna kushinda na kushindwa mafala nyie
Sasa hiyo ni demokrasia au amri? Mbona wako kama walevi tu
Jinga nyie
Acha kila mjumbe atumie demokrasia yake. Usilazimishe watu wafuate mawazo yako
Vichaa nyie
Tumexhoka na drama zenuuu
Mjinga atakuongea anashidwa lione weusi. Mbowe tu nakesho muame , mahan mbowe anapita tu nilanzima. Wew lisu wenu na heche wenu mnataka kuleta mchi tz yetu vita . Lisu mwenyewe ata familia ana apa. Wajinga nyinyi ameni araka san
Usitishe watu wewe uliikuta chadema ,kama hajachaguliwa lisu wewe Huna mandate ,ukitaka kuondoka ondoka
😂😂😂😂
Ujinga mtupu