MJADALA WA MASHIA NA MAWAHABI HEMED JALALA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025

Комментарии • 310

  • @madarakamarumbo6102
    @madarakamarumbo6102 5 месяцев назад +2

    Allah jaalia familia yangu wasioe wala wasiolewe na shia. Dah hawa watu wamekufuru mno

  • @MaulidiNgumwae
    @MaulidiNgumwae Месяц назад

    😢tunapaswa kuusoma sana uhislam kwa mfumo huu

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 2 года назад +1

    Mashiani makafiri waliovuka mipaka wanamfanya Ali ndiye mungu na ni mayahudi maana mayahud walimfanya Uzeir kuwa mwana wa mungu, Wamevuka mipaka ya ukafiri. Allah awalaani mashia laana kubwa

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 9 месяцев назад +2

    Mimi Ni suni .. ila hapa Mawahabi wanazungumza mada nje ya point zilizotolewa na Huyu Shia Jalala

    • @UwesuJumanne
      @UwesuJumanne 6 месяцев назад +1

      aaaa kiongozii..!! unadhani bado hujajulikana kama nawe ni jalala group...!!!!naona comments zako zimemili kwake....acha taqiyyah

  • @suleimanzimbwe373
    @suleimanzimbwe373 2 года назад

    Ela TU babangu zilikupoteza

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 9 месяцев назад +1

    Hawa mawahabi mbona hatuwajuwi ni akina nani mana sura zao hazipo ..
    Mimi ni Suni ila Ongera sana shekh Jalala kwa Point zako Nzuri mnazozitegemea ...

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 7 месяцев назад

      Hakuna Suni anaekubari kufuru za mashia.utathimini usuni wako.

    • @UwesuJumanne
      @UwesuJumanne 6 месяцев назад

      hhhhhh ila haka kajamaaa....empty kabisa...usichoelewa nini sasa hapo

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 4 месяца назад

    hizi ni alama za kiama kama walivyotabiri mitume watu watagombana wao kwa wao kama walivyobishana watu wa zama zilizopita

  • @hamadmohamed3056
    @hamadmohamed3056 2 года назад +1

    Mashiya wanazingua na Uzushi wao tuhamkeni tusomeni hili wasije kutuzuzua na Uongo wao

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 2 года назад +7

    Kweli mashia ni makafiri 100%

  • @abdulrahmanbakar5416
    @abdulrahmanbakar5416 4 месяца назад

    Mashia: wanaambiwa wanawatukana wake za mtume na maswahaba zake. Kosa hilo linawafanya mpaka watolewe ndani ya dini. Kisa ni utukufu wao mbele za mtume na Allah.
    Mawahabi: wanawatukana wazazi wa mtume na kuwasifu wake zake na masahaba zake.
    NB: Tusi kubwa ni kumjaalia mja wa Allah kuwa ana laana na hawez kuzipata rehema zake.
    Ivi jamani mizozo itaisha lini?
    Sufi: Bidaa katika maulidi na mengineyo ila bidaa zao zipo ktk fiq hi.
    Wahabi: Tawheed wamezitawhidisha mpaka kufikia tatu. Bidaa ktk aqida. Yaani msingi wa imani.
    Mawahabi mnayaona ya wenzenu wakati yenu ni makubwa zaidi?.
    Tusomeni jaman Allah alituachie dini sahihi na sio hizi za mitaala ya kizayuni.

  • @salmaalisalim2462
    @salmaalisalim2462 2 года назад +4

    Hawa mashia wanamsifu sayyidina Aliy kuliko mtume Muhammad SAW wamechupa mipaka

  • @salmaalisalim2462
    @salmaalisalim2462 2 года назад +3

    Huu upotofu wa mashia ni sawa na wa mayahudi na manaswara ila wao hawawezi kubadilisha quran tu hapo pagumu kwao

  • @HamadHamduni
    @HamadHamduni 8 месяцев назад +1

    Mufti naviongozi wa bakwata hamna hofu ya allah hata chembe moja,hivi inakuaje mnawaweka mashia kwenye umoja wa kiislaamu?? Huyo jalala laana za allah zimshukie.

  • @mohameddende2371
    @mohameddende2371 4 месяца назад

    Mbn mashia wanakaa kwa mshangao ivo nikama wanataka kukimbia

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 4 месяца назад

    mashekhe wengi wanazungumza kwa machungu sana na ukitazama kila mmoja unaweza kumwami ni maana wote wako sawa na waislamu kwa kuwa hatutaki kufuatilia elimu ya dini ni haki mtu kutokujua bidaaa

  • @alwiyiynmission2820
    @alwiyiynmission2820 4 месяца назад

    Amezungumza SHIA tumeoneshwa JALALA,CHA AJABU ANAONGEA WAHABI BADO TUNAONEHSWA JALALA.
    HUYO ALI MUNAE MUELEWA NYIE MUELEZENI,PENGINE NI TOFAUTI.
    KWANI HATA MTUME MUNAVYOMUELEZA NYINYI NI TOFAUT KABISA NA MTUME ANAVYOELEZWA NA MASHIA

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 9 месяцев назад

    MADA NI NANI ALIPASA KUWA KIONGOZI ..
    JALALA KASHAWEKA POINT ZAKE WAZI KABISA KUWA NI ALII NDIE ALIYEPASA ..
    SASA MAWAHABI MNACHOTAKIWA NI KULETA POINT ZA ABUU BAKARI KUWA NDIE ALIYEPASA NA SI KUTAFUTA CHOCHO KWA ALII

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 7 месяцев назад

      Mashia mmeangamia kwelikweli

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 4 месяца назад

    .maulama wa karne hii ni mtihani sana na mashekhe wanaodai ni wachambuzi wa vitabu ndoo hao mtihani maana baadhi yao huhalalisha bidaa kuwa ni bora kuliko quruani na sunna hata mtume aliwaona watu wa namna hiyo na kuwakataza kufanya hivyo kinyume na mtume

  • @alwiyiynmission2820
    @alwiyiynmission2820 4 месяца назад

    MASHIA NA WASIOKUA MASHIA KUNA TOFAUT KUBWA YA UELEWA KUHUSU UONGOZI.
    NA KUMSALIA MTUME...mashia Lazima wakimsalia Mtume lazima waseme Waalihi.
    Lakini Bidaa kubwa ya USUNNI NI KUFUNGA DUA KWA KUSEMA WASWAHABIHI BADALA WAALIHI

  • @alwiyiynmission2820
    @alwiyiynmission2820 4 месяца назад

    Aliyoeleza JALALA KUHUSU syd ALI ...je ni KWELI!???

  • @adnaankhanbhai7057
    @adnaankhanbhai7057 Год назад

    Wee jalala sura yako tu umekaa kinjaa njaa mbwa mwizi wee dini yako ya kishia hio naa sii Uislamu huyo mnaoji jaribu kuji egesha hapo

  • @alwiyiynmission2820
    @alwiyiynmission2820 4 месяца назад

    Kumbe MAWAHABI AKILI HAWARUHUSIWI KUTUMIA AKILI.
    IMAM ALIKUA CHINI YA UTAWALA WA ABUUBAKAR,OMAR.
    UTAWALA NA UONGOZI NI VITU VIWILI TOFAUTI

  • @ramadhanswalehe8643
    @ramadhanswalehe8643 2 года назад +2

    Mashia ni makafir wa wazi kabsaa Tena watu wajihadhar nao

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 4 месяца назад

    mashia ndo waliazisha maulid na hitima lau kama mtume angelifanya haya mbele ya maswahaba ingekuwa bora zaidi na mtume amefiwa na mke wake bi hadija na watoto wake hatujaona kwamba alikuwa akiwasomea maiti kuruani

  • @husseinyusuph9392
    @husseinyusuph9392 2 года назад +1

    Jalala we siyo shekh umerukwa naakili unakashfu maswahaba sambovu kabisa ww

  • @ahmadpembe3947
    @ahmadpembe3947 7 месяцев назад

    Laanatullah
    Mashiha

  • @aishaally2611
    @aishaally2611 2 года назад +2

    Kweli Sheikh,hakika imamu laxima awe tofauti na anaowaongoza katika kila nyanja ya elimu...! Huwezi kuwa kiongozi halafu hukumu anatoa mtu mwengine

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 года назад +6

      Wala hakuna imamu aliowapita elimu watu wote. Hata nabii Mussa as alikuwa Mtume wa Allah sw na alipitwa elimu na mfuasi wake ambae ni hidhri. Na nabii suleiman as alikuwa Mtume wa Allah sw lakini alipitwa elimu na mfuasi wake ambae ni ASIF BIN BARKHIA. kwaio hakuna sheria ya imamu awapite wafuasi wote Bali imamu inatakiwa awe na elimu tu yenye kuweza kumfanya aongoze.

    • @foxnineteen5679
      @foxnineteen5679 2 года назад

      @@hilalkhalfan1452 good

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 2 года назад

      Aisha ni katika wake za mtume ambao wanalaaniwa na mshia

    • @alwiyiynmission2820
      @alwiyiynmission2820 4 месяца назад

      Juz nilimsikia Mziwanda Akisema khalifa Omar ALISEMA Namshukuru Mwenyeji Mungu kujaaliwa ninaowaongoza kua na ELIMU(utambuzi) kuliko Mimi.
      Nimepata Picha kama Mutawaelewa Wafuas wa AHLULBAYT Nini maana ya Khalifa ama IMAM, mbona Ugomvi Utakua mwepes

    • @alwiyiynmission2820
      @alwiyiynmission2820 4 месяца назад

      ​@@jamalishoo3802Hilo litakua kosa Lao,kwa ufaham WAO.
      Ila hakuna dhehebu kongwe Zaid ya MASHIA.
      Mengine yalikua juu juu kwa matokeo na Malengo maalum

  • @maysammahbub5804
    @maysammahbub5804 11 месяцев назад +1

    Nyinyi mnaowatukana mashia hamuna maarifa bali hamuna ilmu yoyote
    Hata muda wa mtume waliokuwa wanatukana na wagomvi walikuwa jahil
    Kwahiyo hata ambao mnawatukana mashia hamuna ilmu yoyote bali mnaonesha ujahili
    Allah atupe hidaya

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 8 месяцев назад

      Ni elimu Gani sahihi waliyonayo mashia? Kuwatusi mama aisha r.a na mama hafisa r.a?? Kuwakufurisha maswahaba abubakar r.a, umaru r.a, uthman r.a. na wote wanaowaamin (ahlisuna walijamaa)?? ,kuwasingizia uongo ahlilibayt? Sifa zilizopindukia mipaka kwa ahlilibayt? Iko wapi elimu sahihi ya mashia hapo? Au kujua kuongea kiarabu fasaha ndo elimu sahihi? Au kujua kusoma Quran na Kisha kuipinga ndo elimu sahihi? Ni ipi haswa elimu sahihi waliyonayo mashia kwenye uislaamu?? Mashia hamna hata chembe Moja ya hofu ya Allah,Wala hamna hata chembe Moja yakumpenda mtume s.a.w. na ahlibayt! Kwasababu kufuru,upotofu,sifa chafu,shiriki nk yaliyomo kwenye ushia wallahi msingethubutu hata kidogo kujinasibisha na uislaam. Lakini mna macho hamuoni,mna masikio hamsikii,mna akili hamzitumii,huo ndo mtihani mkubwa mlio nao.uislaamu kamili ni ule aloshushiwa mtume s.a.w. na kinyume chake ni ukafiri.. someni vitabu vyenu vya kishia kwahofu ya Allah,Kisha myatafakari kwa kina yaliyomo kwenye ushia,hapo mtabaini vizuri ukafiri uliomo kwenye ushia.tuna soma vitabu vya kishia tunaogopa kwa upotofu na uchafu uliomo humo.

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 8 месяцев назад

      Simaanishi,lakini kwa mfano akirudi mtume s.a.w. na akawakakuta mashia wakijinabisha na uslaamu,Naamin ange amurisha mashia wapigwe vita hadi warudi kwenye uislaamu.

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 2 года назад +8

    Mimi nasema masihia nimakafiri

  • @fatumamisinga6211
    @fatumamisinga6211 2 года назад +1

    Ndege imekuponza kwenda lebanoon .njaa ya kwenu imekuponza mzazi wako aliposikia safari ya kwenda kusoma lebanon akatetemeka kumbe anaenda kupoteza mtoto duuh maskini njaa na shida ni mbaya mbona baba yako hakua shia acha kutafuta watu wa kwenda nao motoni

    • @choggysly3541
      @choggysly3541 2 года назад

      Kumbe???? Maskni baba jalala pole yake alipo

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 2 года назад +3

    Jalala hata aibu haoni

  • @adnaankhanbhai7057
    @adnaankhanbhai7057 Год назад

    Baadaa ya mitume wote mja bora katika mgongo huu wa aardhi ni Abi bakkar as siddiq radhiallahu aanhu kisha ni Ummar ibn al khattab radhiallahu aanhu kisha ni Uthman ibn affan radhiallahu anhu kisha anakuja Ally ibn abi twalib radhiallahu aanhu...

  • @ahmadpembe3947
    @ahmadpembe3947 7 месяцев назад

    Jalala.hivi ni njaa au ni kibri kama ni njaa imetoka tumboni na Sasa IPO kichwani.

  • @MwinyidiwaniShirazy
    @MwinyidiwaniShirazy Год назад +1

    Mmmh Ila asiye mwelewa huyu shekh anakhasara kubwa na hata ongoka baada ya hapo

    • @SalehSalum-b3y
      @SalehSalum-b3y 7 месяцев назад

      Wewe nayeye ndio mliopata khasara

    • @i.dclassic116
      @i.dclassic116 4 месяца назад

      Yani yeye ajielewi kabisa

  • @mariamsefu825
    @mariamsefu825 2 года назад +4

    maashaallah maulana jalala m/mungu akupe umri mrefu wenye afya njema

    • @abuusufian6506
      @abuusufian6506 2 года назад

      Astaghafillah ..

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 7 месяцев назад

      Allah awalaani wote wanaokufurisha maswahaba.

  • @adnaankhanbhai7057
    @adnaankhanbhai7057 Год назад

    We jalala njaa zime kufanya uka nunuliwa na hao mashoga wenzio wakishia

  • @muhammadrashidy8900
    @muhammadrashidy8900 2 года назад

    siasa nadini nivitu viwili tofauti wal usije kusema dini nasiasa nikitu kimoja

  • @HarunaRashid-d7f
    @HarunaRashid-d7f 8 месяцев назад

    Mashia laanatullah

  • @zahirmahir6965
    @zahirmahir6965 2 года назад +2

    Ktk uisilamu mtu akitamka shahada mbili ni muislamu safi mbaka akatae mambo makuu ktk dini.

  • @omaruledijuma129
    @omaruledijuma129 2 года назад +1

    Ajabu ni kwamba wengi wao hupenda mihemko!!! Nimemuelewa sana sheikh jalala na yupo sahihi na hapa ndio sabb tunataka watu walio wasoma kama jalala.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 2 года назад

      Wewe itakuwa akili zako zitakuwa zimeingia mafuta ya taa kama huyo Jalala.
      Wewe huoni kama itikadi za mashia na kikafiri wazi wazi?
      Hivi Ally ni bora kuliko manabii kama Ibrahim na Musa?

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 4 месяца назад

      Elimu ya jalala ni ya kuipinga Quran na suna. Jalala ni bingwa wa uongo, jalala akikwambia asali ni tamu,usiamini hadi uionje!! Laana za Allah zimshukie jalala na wote wanaopinga Quran na suna.

  • @MauroZaratte-r4r
    @MauroZaratte-r4r 4 месяца назад

    Hakuna dhehebu llote ambalo mawahabi wanaliweza kielmu

  • @HamadHamduni
    @HamadHamduni 8 месяцев назад

    Hilo li jalala la kishia ni adui kubwa la ahlisuna,hizo historia anazozitoa ni kejeli na uongo ulopindukia mipaka dhidi ya ahlisuna.Ali r.a kwamashia hana tofauti na allah. Jalala kafiri mkubwa.

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 5 месяцев назад

    MBONA MAWAHABI WANAONGELEA GIZANI HAWAONEKANI!!
    HIYO NI AIBU WANAOGOPA KUONEKANA KWA NINI!!

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 9 месяцев назад

    YANI HAPA HATA HAWA MIJIWAHABI SIJUI IMEZUNGUMZA NINI ...
    WAMETUANGUSHA SISI MASUNI

  • @zahirmahir6965
    @zahirmahir6965 2 года назад +2

    Nyinyi watu muogopeni mungu vp unamkafirisha mtu hali yakuwa anatamka shahada mbili unamkafirisha kwa ikhtilafu za kisiasa

    • @abubakarsimai
      @abubakarsimai 2 года назад

      Bw Zahir mahir wanafik na makafr pia wapo wanao tamka Shaada

    • @abubakarsimai
      @abubakarsimai 2 года назад

      QUR AN 63

    • @sadatotieno8955
      @sadatotieno8955 2 года назад

      Danganya wajinga, na wajinga Hawako katika dini,nyinyi ni makufar.

  • @KAIPAAA3211
    @KAIPAAA3211 2 года назад

    Tatzo mtume Muhammad alikuwa mtu mweus, Alli alikuwa mtu mweupe bilala alikuwa mtu mweus moja kwa moja alitoka Africa, hawa mashia hakupenda mtume kwasabab mtu mweus hawatak kuongozwa na mtu mweus

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 2 года назад +4

    Mbona Imani zao mashia ni kama za manaswara wanavyomsiifia yesu hee! Ni🙄🙄🙄🥺🥺😨😨😫😫😫😥😥

    • @Hussinm-ti1nz
      @Hussinm-ti1nz 8 месяцев назад

      Kuwa makini sikiliza mashia waulize mashia kwa unalokuwa na wasi wasi nalo bali ukiataka kujua kitu wafuate wenyewe uwaulize maana wao wao jua undani wake. Mashia Sana hoja ya kweli na dalili kutoka Kwa mtme na ahl bayti na ali ibn abi talib

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 7 месяцев назад

      Mashia ni zaidi ya manaswaara

  • @mirajikaoneka7822
    @mirajikaoneka7822 2 года назад +2

    yaani ukweli umewadhihiria hao mashia walioko pembezoni mwa mzee mwenye koti kubwa na remba lake kama ndoo

  • @abdallahkawambwa2666
    @abdallahkawambwa2666 2 года назад

    Jalala we we ni. Alimu LA kin hunahoja

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa Год назад +1

    Ukafiri ni kupinga yaliyotemshwa kwa متم محمد ص ن ف مءصءت

  • @hassanikichochi483
    @hassanikichochi483 2 года назад +1

    Inshaallah

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 4 месяца назад

    nashauri waislamu tutaangamia maana kimwanandani ni hatari sana kikubwa ndugu islamu hakuna kitu bora kama swala tusimamishe swala na yale aliyotuamrisha umma huu hakuna mtume wala nabii ni bali ni kufuata yale aliyotuachia mtume wa allah

  • @Filexwawa
    @Filexwawa 2 года назад +1

    Hakuna kitu kinacho kasirisha kama huu upuuzi kwasababu ww ni muisilamu alafu unaamka unaaza kupiganana nao huu niupubavu naujiga acheni hizo vitu havijeigi uisilamu nasiyo kuujega

    • @bilalisamboja1774
      @bilalisamboja1774 2 года назад

      Kuxema hivyoooo kuw ni ujinga ni makoxa piah maan ni kama umewatukana tujifunze kuw kmyaa kama hatujui kuliko kuongea maneno kama hayo,,,,,,,,,x lazima kutoa comment

  • @boscomwangosi1042
    @boscomwangosi1042 2 года назад

    Hapa waisilamu wote njooni kwa YESU uisilamu ni dini ya uongo.

  • @mirajikaoneka7822
    @mirajikaoneka7822 2 года назад +1

    yaani jalala kapatikana sio mchezo
    yaani hutokwa na kijasho mpaka basi

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 2 года назад +5

    USHIA NI UKAFIRI ULIO WAZI KABISA

    • @nurdiniathumani9388
      @nurdiniathumani9388 2 года назад

      Kivipi sasa fafanua

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 2 года назад +2

      @@nurdiniathumani9388 , unata ufafanuzi gani, kuwakufurusha maswahaba na mke mtume , huoni km ni ukafiri, au na wewe ni kafiri wa kishia?

  • @HamadHamduni
    @HamadHamduni 8 месяцев назад

    Hiyo vdeo watumieni bakwata waone ukafiri wa jalala.

  • @KAIPAAA3211
    @KAIPAAA3211 2 года назад +1

    Hizo zote hadis zauongo za mashia masunn waongo tu

  • @ramadhanimwajamvi4957
    @ramadhanimwajamvi4957 2 года назад

    Shekh, umeshindwa jibu hoja za shkhe jalala , ulichotakiw ni kuja na jawabu la nan alipasa kua kiongoz na si kuleta hoja nyinge, nyie munaopinga uongoz wa imam ally n makafiri .

  • @maysammahbub5804
    @maysammahbub5804 11 месяцев назад

    Hata hao masheikh wanaotoa hoja zao wa kisunni ni watu wa maarifa na wanaongea na hoja na sio kutukana na kugombana kama jaahil

  • @haythamkhan7707
    @haythamkhan7707 2 года назад

    😂😂😂😂 inachekesha sana kwanza mmekata mdahalo umeishia njiani yaani kiufupi mmekimbia hoja hamjajibu hata mlichoulizwa kweli nimeamini tunaambiwa tusome ili tupate kuongoka

  • @HamadHamduni
    @HamadHamduni 8 месяцев назад

    Mufti na viongozi wa bakwata tafuteni hivyo vitabu vya mashia mvisome alafu mkome kutulazimisha waislaamu kuungana na mashia.pesa na mali za mashia zisiwafanye mkauuza uislaamu kwa makafiri.muogopeni Allah na muogope adhabu za allah hiyo siku ya hukumu.

    • @AhmadWande
      @AhmadWande 7 месяцев назад

      Kuna baya lolote ,sheikh jalala ameongea ,hizo ndizo sifa za imamu alliy ,msome abal Hassan umjue vizuri ,mawahab mnaficha ficha vitu

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 7 месяцев назад

      @@AhmadWande hizo sifa za Ali r.a. zimepindukia mipaka,ndo maana mashia wanakua makafiri.

    • @AhmadWande
      @AhmadWande 7 месяцев назад

      Sifa hazija pindukia ila unasemwa ni ukweli,je Kuna swahaba yeyote anaemzidi ubora Imamu alliy ,yupo anaemzidi ilmu Imamu alliy,yupo anae mzidi uchamungu ,u pole ,maarifa,busara ,subira Imamu alliy na yupi shujaa zaid ya Imamu alliy kwahyo mashia wanaongea ukweli sisi kwa upande wetu tunaficha mambo katika dini yetu tunaficha ilmu katika dini yetu

    • @AhmadWande
      @AhmadWande 7 месяцев назад

      Na usiseme ni ukafiri je unajua nini maana ya kafir?????

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 7 месяцев назад

      @@AhmadWande ukweli Gani? Kuamini kua kinyesi na damu za maimamu Kila atakaekula na kunywa hatoingia motoni! Ni ukweli Gani huo?? Makafiri wakubwa, Allah awalaani wanazuoni wakishia.

  • @abdallahkawambwa2666
    @abdallahkawambwa2666 2 года назад

    Njaa ndio zinawasumbua kwa misada kwani huyo Shekhe wamuamini VP na wengine usiwaamini

  • @mussafadhil7227
    @mussafadhil7227 2 года назад

    Makafiri Makafiri makafir makafir niwajib kukat vichwa vyao ndo ivo tu hatunguvu mgekiona

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 2 года назад +4

    Hali ya shehe jalala inasikitisha

  • @zuwenasleiman3587
    @zuwenasleiman3587 2 года назад +1

    Kwani sayyidna ally hakuwahi kuwa kiongozi?

  • @zahirmahir6965
    @zahirmahir6965 2 года назад

    Hawa masalafi hawajui hata kujenga Hoja yeye anamsaidia huyo mshia kutaja ubora wa imamu Ali hhhhhhh vichesho masalafi someniii wacheni porojoo

  • @Jamalkishangu
    @Jamalkishangu 2 года назад

    Haya ni matatizo makubwa ya watu wanaosema LAILA ILA LLAH WAANA MUHAMMAD RASULULLAH. Wakati makafiri wanaendelea kujikusanya kwa Kila namna bila kuangalia madhehebu Ili kupata nguvu moja kuutetea uungu wa Yesu , kuutetea utumufu wa msalaba, uwana wa Mungu. Wanapomtusi mtume Muhammad saw madhehebu yote hukaa kimya, lakini wanaosema MUNGU NI MMOJA NA MUHAMMAD NI MTUME WAKE, Hali yao ndio hii. Je bomu likipingwa dhidi ya Waislamu litaangalia madhehebu? Ushauri wangu haya makumbano yote kwanza tungeweka pembeni tuangalie mshikamano wa wafuasi wote wanaomuunga na kumtetea mtume saw,

    • @rajabungowo3306
      @rajabungowo3306 2 года назад

      chunguza ushia vizuri uko tofauti sana na hayo yanayotajwa kuwa madhehebu ya kiislamu...uko todauti kabisa una kufuru za wazi na riwaya za uongo sanaa...LABDA MADHEHEBU YA KIISLAM YAUNGANE KUKABILIANA NA USHIA NA UKRISTO

    • @أبوفيصل_الحنبلي
      @أبوفيصل_الحنبلي 2 года назад +1

      Wew Ni Khawaariji Mbwa wa Motoni.
      hatutawaweza Makafir mpaks sis wenyewe Tusafishe Akida zetu na mioyo yetu.

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 7 месяцев назад

      Ujue uislaamu kwanza kabla hujatoa Rai kama hiyo ya kuungana.yaani tuungane na mashia?

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 2 года назад

    Mimi saa nyingine huwa nashindwa hufahamu hivi hizi dini zetu ni kufundishwa sio yetu sisi wa Africa au nina shindwa kuelewa yaani ukija upande huu ni wa Arabu na ukienda upande mwingine ni wa Zungu inamaama sisi wa Africa kwani tumeivamiya hii Dunia au ? Hebu wasomi wa pande hizi mbili nipeni elimu ili niifahamu Samahanini lakini kama nimekoseya kwa pande zote mbili.

    • @bilalisamboja1774
      @bilalisamboja1774 2 года назад

      Hakun uhusiano wwote kat waarabu na uislamu,,,hivyo bax ni jukumu la Kila mwanadamu ajisalimishee kwa muumb wke hivyo ndg yang tafta namna ya kujikurubixha kwa muumb wako bla kufananixha dini na utaifa

  • @munezeroabiba6493
    @munezeroabiba6493 2 года назад

    Caméra man hana uadilifu hiyo nayo siyo dhambi acheni Mwenyeezi Mungu S.W.W ndiyo mkata kesi mbona nyiye piya niwaongo vibaka mnakula mali zayatima mauroho ya mali zawaislam kuleni pesa ya saudiya inakaribiya pabaya bin salmani anakaribiya kuritadi wapi mtakimbiliya?

  • @saidissa8273
    @saidissa8273 2 года назад

    hii camera haioneshi watu wengine .? hupo ndio uadilifu haupo

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 2 года назад

      Baadhi ya salafy hawataki camera, hiyo ndio sababu

  • @ishakissa6447
    @ishakissa6447 Год назад

    WACHA ukafiri njaa imehama tumboni imehamia kichwani

  • @zuwenasleiman3587
    @zuwenasleiman3587 2 года назад +1

    Kwani sayyidna hakuwahi kuwa kiongozi?

  • @rashidyussuf3429
    @rashidyussuf3429 2 года назад

    Ushia ni ubabaishaji kwa nini vitabu vyao wamevificha

  • @abdallahkawambwa2666
    @abdallahkawambwa2666 2 года назад

    Huyojalala kasomea tamta lakini njaa inakudumbua

  • @mohamedamour4050
    @mohamedamour4050 2 года назад

    Nyinyi mashia na mtume nani anajua zaidi mbona mtume hakumweka mbele Ali akamuweka mbele abubakali muache ujinga wenu hizo pesazenu zitawatia motoni

  • @mariamsefu825
    @mariamsefu825 2 года назад +2

    nakuaminia jalala Tena sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 2 года назад

      Mariam unamuaminia kwa sababu dhehebu lao linakubaliana kuwaingilia wake zao kinyume na maumbile au unamuaminiaje

    • @alwiyiynmission2820
      @alwiyiynmission2820 4 месяца назад

      Kiasi Umkubali.
      Yaan JALALA MMOJA KWA MAWAHABI WANNE.
      SOMENI HISTORIA.
      ABUUBAKAR ALIPOTAWALA ALIANZA KUPIGANA NA WALIOKATAA KUTOA ZAKA,NA WALIORITADI.!?
      JE UMEJIULIZA KWANINI MASWAHABA WALIGOMA KUTOA ZAKA, NA WENGINE KUAMBIWA WALIORITADI MPAKA ABUUBAKAR AKAUNDA JESHI JUU YAO.
      BADO HAMJAWEKA SAWAA,KWENYE SUALI LA UONGOZI

    • @alwiyiynmission2820
      @alwiyiynmission2820 4 месяца назад

      ​@@hassanmirambo564
      Nenda mahakaman ama Hospital Uone wenye Kesi za kuingilia wake zao au WANAFUNZI WAO NI MASHIA AU MASUNNI,WAHABI

  • @hajiali9300
    @hajiali9300 2 года назад

    Ndguzenuvipi nyinyi?

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 2 года назад

    Kwa jalala. JEE WAKATI MTUME SAW ALIPOSEMA IMAN YA SAYYID NA ABUUBAKAR RA NI NUSU NA WOTE WALIOBAKIA NI NUSU ILIOBAKIA. JEE KWA IMAN YA SAYYID NA ALLY K. W NA YA SAYYID NA ABUUBAKAR RA NI NANI BORA?. KUNA SIKU SAYYID NA ALLY K. W ALIKULA TENDE MSIKITINI NA AKAWEKA AKIBA MFUKONI, MTUME SAW AKAMUULIZA ILE NINI, SAYYID NA ALLY K. W AKASEMA TENDE MEWEKA AKIBA. MTUME SAW AKASEMA, JEEE MPAKA WEYE HUNA IMAN. UNASEMAJE JALALA?. LAKINI PIA SAYYID NA ALLY K. W NI BORA KULIKO NYIE SHIA NA ALIKUBALI UTAWALA WA SAYYID NA ABUUBAKAR RA NA HAKUWAHI KULALAMIKA, JEE NYIE SHIA MNAOLALAMIKA KAKUTUMENI NANI HIO KAZI?. JENGINE. KAMA UTASEMA SAYYID NA ALLY K. W HAKURIDHIKA, JEE KWANINI MWISHO ALIPOKUWA KIONGOZI WA 4 ALIPIGANA NAE NA HALI KIONGOZI WA MWANZO ALIMSAPOTI JEE NI UNAFIKI SI NI HAKI ALITENDA?. JIBU WEYE JALALA JUHA

  • @abdallahkawambwa2666
    @abdallahkawambwa2666 2 года назад +1

    Kilichokupeleka huko niliwati yakuwalawiti wan awake u cha unafik

    • @bilalisamboja1774
      @bilalisamboja1774 2 года назад

      hpn x vyema kuxema mambo uxiyoyafaham je umeshuhudia kuw wanalawiti??? X vyema kuxema hivyoooo

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 2 года назад

      @@bilalisamboja1774 wewe kama liwati nenda katika ushia

  • @SubaRajabu
    @SubaRajabu 10 месяцев назад

    Peleka lemba lako huko nyie makafiri tu

  • @ابوماهرآلزنجباري
    @ابوماهرآلزنجباري 2 года назад

    AH!! BASI KAMA KIGEZO CHA UONGOZI NI ELIMU BASI ANAESTAHIKI NI IBNU ABBASS!!! TAQQIYYA WEKA PEMBENI.

  • @saidissa8273
    @saidissa8273 2 года назад

    wote mashia mnachuchezea akili tu.hao wengine mbona mmewaficha NI malaika?

  • @ramadhanimwajamvi4957
    @ramadhanimwajamvi4957 2 года назад +1

    Mbona hajaleta sifa zinazo mpasa kiongoz zaid y ally?, Yee anazunguka zunguka tu Kam taira, au hamjui sifa z viongoz wen? Ni. Sifa zip alizo nazo abuubakar ,au Umar, au othaman, zinazo mshinda imam ally? Ni nan kat ya hao ana sifa Kam z imam ally au ni yup alie Bora zaid y ally?

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 7 месяцев назад

      Kwa mashia Ali ana sifa kama za mungu,kweli mashia ni makafiri haswaa.

    • @alwiyiynmission2820
      @alwiyiynmission2820 4 месяца назад

      Ilikua Waseme SIFA ALIZOTOA JALALA KUHUSU ALI KUA ANASTAHIKI KUA KIONGOZI NI KWELI AMA UONGO.
      AMA KUHUSU SIFA NYENGINE...INATEGEMEA MUANDISHI NA MAPENZI YAKE JUU YA ALI.
      NDIO NAMUONA JALALA HAPO ANANUKUU KINACHOONGELEWA.
      BADO SUALI LIPO PALEPALE JE KATIKA MAKHALIFA WALIOMTAMGULIA ALI YUPO ANAEMZIDI ALI KWA SIFA ALIZOELEZA JALALA.
      KHALIFA OMAR ALIWAH KUKIRI "KAMA SIO ALI,OMAR NINGELIANGAMIA"

    • @alwiyiynmission2820
      @alwiyiynmission2820 4 месяца назад

      Sheikh Anaogopa Jengo kwa Nje, kwani MJADALA NI UPI!
      ALI ASTAHIKI ZAID UONGOZI,KULIKO WENGINE AMA KUTAJA SIFA ZA ALI.
      CHA AJABU JALALA MMOJA LAKINI UPANDE WA WAHABI WAMESHAONGEA WATATU KWA MMOJA

    • @alwiyiynmission2820
      @alwiyiynmission2820 4 месяца назад

      Vichekesho ATI Tujaalie ni Shujaa kweli ALI.
      JE ALIFUNGUA WAPI.
      UNAONA UNAPOSEMA ABUUBAKAR MUNASEMA KATAWALA, ILHALI MASHIA WANASEMA ALI NI KIONGOZI.
      HAMUONI MUNAJADILI VITU VIWILI TOFAUT KATI YA UONGOZI NA UTAWALA

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 4 месяца назад

      Maswahaba r.a. wote walikua Bora,japo ubora wao ulitofautiana.

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 года назад +2

    Hawa ndio wale wanatumia akili zao zaidi zilizochoka na ugumu wa maisha na kuwakejeli walioishi na mtume

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 2 года назад +1

    Kwenye mdahalo huo mawahabi wamepoteza maboya. Sisi tulitarajia katika kujibu hoja za sheikh jalala mawahabi pinged hizo si sifa za uongozi au watutajia sifa za mahalifa wengine waonyeshe ubora wao zaidi ya Imam Ali. Lkn mawahabi hakufanya hivyo badala yake wamesababisha mada .na hii ndiyo tabia yao mawahabi. In short wamekimbia mdahalo

    • @kondesaidi5728
      @kondesaidi5728 2 года назад

      Aliyoyaongea umeyasikia kuhusu kitabu chetnu kinavyomuelezea Aly??😆

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 года назад

      @@kondesaidi5728 yani mawahabi ufahamu wao ni mdogo sana. Nani ka kwambia sifa za imam Aly ndiyo msingi wa ushia? Tatizo mawahabi hupenda kuzungumzia vitu bila kujua msingi wa hoja

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 года назад

      @@kondesaidi5728 Siyo kila kinacho andikwa kwenye kitabu ni sahihi.sisi tuna amini Quran tu ndiyo sahihi 100% .lkn kitabu chochote cha mwanadamu kinaweza kuwa na mapungufu. Lkn hata kama kitabu kingekuwa sahihi bado huwo si msingi wa ushia.pia mmeenda nje ya mjadala.

  • @mussahamisi1498
    @mussahamisi1498 2 года назад +10

    Mashia nimakafiri wakubwa kabisa

  • @muhibbualii4580
    @muhibbualii4580 2 года назад +1

    Yaani Kwa ufupi channel hii ni dhidi ya ushia ila miaka ishirini inayokuja Allah awawekeni hai muone ushia ukikuwa zaidi ya mdhhab yote Afrika mashariki.

    • @shuaibsaid515
      @shuaibsaid515 2 года назад +1

      Kua wengi hata Allah amewataja katika quran kwa mfano: wengi wao hawaamini, wengi wao hawashukuru wengi hawajui haki .... . Bora sisi kidogo Allah pia ametutaja kwa mfano: wachache ni wenye kushukuru, wachache ni wenye kuamini. SASA CHAGUO LAKO UWE KWA WENGI AU KWA WACHACHE. SHIKAMOO

    • @muhibbualii4580
      @muhibbualii4580 2 года назад

      @@shuaibsaid515 وَرَأَيْتَ النَّاسَ يَدْخُلُونَ فِي دِينِ اللَّهِ أَفْوَاجًا

    • @shuaibsaid515
      @shuaibsaid515 2 года назад

      @@muhibbualii4580 Allah hajakosea ni ww hujaelewa point yangu. Katika waislam millioni moja, wengi wanafata alio amrisha Allah na Mtume? Ni wachache.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 года назад

      @@shuaibsaid515 mbona na wewe umepindisha aya😂. Yaani Uislamu wa skuizi ni maslahi, ukitaka Aya riba haifai utaletewa na ukitaka Aya riba inafaa pia utaletewa🤣. Yaani kila mtu husema tu atakavyo au vipi?. Wewe umesema makafiri wengi kwa dalili zako, ukatolewa Aya wataingia Uislamu kwa Makundi wengi. Yaani hujawaza Ata kustahamili umeanza kupinga aya🤔. Hakuna ila wewe ni MUWAHABI. mawaahabi tu ndio viheke. Basi alau ungesema mazali Qur-an basi imesema kweli, lakini haijakusudiwa mashia maana sio wengi kama waislamu wengine. Lkn ule ukafiri wa KIWAHABIA tu ndio unakuponza

  • @abuufarha6562
    @abuufarha6562 Год назад

    Ww kafiri hizosifa zote huyo nimugu toa uongowako kanza nyie hamunkubal omar hio ni taqia

  • @alhajkhatib5597
    @alhajkhatib5597 3 года назад

    Shekhe huu mjadala uliendelea tena ?

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 5 месяцев назад

    Wanamchafua sana saidna allii daaaaaa shia wajinga sana

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 года назад +2

    ENYI WAISILAM AHLU SUNNAT WALJAMAA
    IHADHARIINI KUWASIKILIZA HAWA MASHIA
    HAWA SI WAISILAAM,NI WAONGO WAKUBWA!!

  • @zahirmahir6965
    @zahirmahir6965 2 года назад +2

    Mashia Wana Hoja mzito masalafi hawawezi kuzijibu hata kdg maana mawahabi hawana Hoja Kazi Yao fujo tu porojoo

  • @maysammahbub5804
    @maysammahbub5804 11 месяцев назад

    Acheni kuikata video ili kuonesha sheikh jalalah kashindwa wakati yeye ndio katoa point za kikamilifu na zenye maana zaidi

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 7 месяцев назад

      Ujinga ni kitu kibaya Sana.

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 2 года назад +2

    HUU MJADALA SIO FULL TUNAOMBA CLIP ALIOVYOWAJIBU MASALAFI UCHWARA

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 2 года назад

    Na mtume s.a.w umemueka wapi

  • @saidissa8273
    @saidissa8273 2 года назад +1

    mm sunni.lakini wenzangu jibuni hoja sio matusi.ana maana Ally alikuwa na elimu na uwezo KW nn hakupewa? majibu hoja

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 8 месяцев назад

      Hoja zilizomo kwenye kitabu Cha mikesha ya peshawaari hazikutoshi?

  • @omaryally5743
    @omaryally5743 2 года назад

    الشيعة كالعيس في البيداء يقتلها الظمأ والماء فوق ظهورها محمول!
    Njaa za shia zimetoka tumbon zikahamia kwenye vichwa vyao ndiyo maana wamekuwa kama Ngamia anayekufa kwa kiu ya maji hali yakuwa maji kayabeba mgongon kwake

  • @KAIPAAA3211
    @KAIPAAA3211 2 года назад

    Watu weupe walibadilisha story ya muonekano wa mtume Muhammad walidanganya alikuwa mwarab mweupe ili kiwe kivutuo

  • @masanjachekatv7311
    @masanjachekatv7311 2 года назад +1

    Anajiamini utafikir kweli hamuogop Allah