Majibu ya Malalamiko ya Saidi Omari -baada ya kushindwa kujibu hoja za Sheikh Shafii- 23/2/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025

Комментарии • 267

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 11 месяцев назад +3

    Sheikh Allah (SWT) Azidi kukujaza kheri, na umri wa kutosha ili ututoe matongotongo ya macho. AMINA.

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 11 месяцев назад +2

    Muawiya ni ahlu sunnah na anaweza tetewa na ahlu sunnah wenzake wala sio said ama Yusuf diwani ama wasufi wengine bcoz they don't know him

  • @hamadali3231
    @hamadali3231 11 месяцев назад +1

    Laana imeingia kwa shafii hadi anatukana maswahaba wa mtume Muhammad

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 11 месяцев назад +5

    Sheikh Said nakusihi kaa kimya utasalimika huyu kijana ni mwanachuoni mkubwa tofauti na unavyomchukulia

    • @muhibbualii4580
      @muhibbualii4580 11 месяцев назад

      Hili Ni wazi kuwa asilimia kubwa ya twariqa hawafanyi buhooth ZA kielimu.

    • @SaidJuma-ru7vm
      @SaidJuma-ru7vm 11 месяцев назад +1

      Swadakta

    • @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh
      @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh 11 месяцев назад

      Bas ufanywe mdahalo kama wa said na Bachu tukaona Bachu kajikojolea n kukimbia au said anamuogopa jamaa huyu😊

    • @suuahmed71
      @suuahmed71 11 месяцев назад

      Huyu ni Shia ata usishindane nae . Ana rada ya Maswahaba

    • @muhibbualii4580
      @muhibbualii4580 11 месяцев назад

      @@suuahmed71 muawiyah anpouwa maswahaba mbona hampingi wakati historia inaonyesha amemuuwa Ammar kijana cha sumeiyya Shahidi wa mwanzo katika uislamu.

  • @hassanmzandy1421
    @hassanmzandy1421 11 месяцев назад +3

    SHIA LAANATULLAH ALAYHIM

    • @alternativeislamicmedicine8396
      @alternativeislamicmedicine8396 11 месяцев назад

      Mawahabi laanatullah a'laihim

    • @omadal1
      @omadal1 11 месяцев назад

      Shia hapa yaingia wapi? Kwanza kua na elimu na kujuwa USUNNI na USHIA

    • @hassanmzandy1421
      @hassanmzandy1421 11 месяцев назад +1

      @@omadal1 Nawe ni wale wale.

    • @hassanmzandy1421
      @hassanmzandy1421 11 месяцев назад

      @@alternativeislamicmedicine8396 Wewe ni khabiith

    • @Khalifani-w7g
      @Khalifani-w7g 11 месяцев назад

      We kweli mpumbavu kijana elimu huna unaujua ushia au unajitamkia tu

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 11 месяцев назад +1

    Miaka yote mliambiwa na watu wa sunnah kwamba masufi/twariqa na mashia ni moja na hii shahidi

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 11 месяцев назад +1

    Huyu shafi ni rafikiye Yusuf diwani 😂😂😂

  • @JumaMohamed-y4w
    @JumaMohamed-y4w 11 месяцев назад +1

    Mashia acheni kutukana maswahaba hizo pesa mkifa mtaziacha tu acheni njaa. 16:34

    • @moralist6100
      @moralist6100 2 месяца назад

      Ni KWELI ILA WALIVYOLETA MASHIA na sisi pia tuviache

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 11 месяцев назад +1

    We mshia tu

  • @ahmedbadi5822
    @ahmedbadi5822 11 месяцев назад +1

    Shaafi wewe ni mshia Acha kutukana maswahaba mbwa koko wewe.

    • @Khalifani-w7g
      @Khalifani-w7g 11 месяцев назад

      Kwani katuna maswahaba hapo au nyie wa pumbavu mnapokea mambo kwa akili zenu zilizo jaa maji

    • @NganziSalimu
      @NganziSalimu 11 месяцев назад

      Muawiya kalaaniwa kwa dalili nyingi

  • @an-noormedia2881
    @an-noormedia2881 11 месяцев назад +1

    Maashallah Sheikh Shafii.

  • @NganziSalimu
    @NganziSalimu 11 месяцев назад

    Mungu amlaani Muawiyh pamoja na wafuasi wake

  • @abdallahhalifa5860
    @abdallahhalifa5860 11 месяцев назад +1

    Acheni upuzi kz mumekua ni kuichezea Dini Qur an i na Hadithi za Bwana Mtumi pamoja na kuwabuudhwi maswahaba wa Bwana mtumi hamna jipya

  • @IddySaidy-yq2zz
    @IddySaidy-yq2zz 11 месяцев назад +2

    shafii anapenda umaarufu sn

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Jamani tusha waambie mipasho kauzeni kwa watu wa kanga.sisi hapa tunataka mjibu hoja.

  • @AyubuYasini
    @AyubuYasini 11 месяцев назад +2

    We Shafii mshamba tu

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Haha mshamba ni wewe unaye andika vi comment vya hovyo

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 10 месяцев назад

    Jibuni hoja za Shafi acheni kumtukana

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 11 месяцев назад +2

    Na maneno aloyazungumza Ustadh Said Omar ashiraziy ktk khutba ya Ijumaa ni ya ukweli kabisa mimi ni mmoja wapo nazifatiliya sana Mawaidha yako ushahidi upo wazi ktk mitandao labda uzi delete wewe ulipokuwa ukiyazungumza na ukaona watu wako kimnya ukajua kuwa hata watu wa Twariqa wanakuunga mkono lkni hukujua kama kifimbo kinakuja sasa tuliya wacha kutumiwa kuharibu majina ya watu

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Wewe unaumwa nini.sasa unamtisha nani na kifimbo.swahiba wako saidi Omar kapigwa nyundo yakichwa sasa hajitambui anababika tu.sasa aende aendaka tunawasubiri hapa na masheikh wake kama anaweza aje ajibu hoja kielimu.siyo kulialia tu

    • @Khalifani-w7g
      @Khalifani-w7g 11 месяцев назад

      Acha ujinga kasome usikariri maneno ya shekhe wako utakuwa mpumbavu sanaa

  • @Abusalim308
    @Abusalim308 10 месяцев назад

    Haya ni maajabu siku hizi hata makafiri yataka kubishana na waislamu

  • @sheikhmuriditiba146
    @sheikhmuriditiba146 11 месяцев назад +2

    YAANI MTUME ALIBASHIRI WATATOKEA WANACHUONI WAJINGA WATAPOTEA NA WATAPOTEZA NDIO HUYU SHAFI JINGA TUU SHEIKH SAIDI WA MAMBRUI UKO SAWA MUNGU AKUPE KILA LA KHERI

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 11 месяцев назад

      Kweliii my friend

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Alafu nyinyi ni majahili kweli. Hamuelewi hata mfahamishweje.Tumesema hapa mipasho si mahali pake. Sheikh shafii kazungumza kielimu kwa hoja na dalili.Sasa nyinyi kama mnajiamini Vunjeni hoja kielimu

  • @mkubwamasoud2776
    @mkubwamasoud2776 11 месяцев назад +1

    Wemyewe kwa wenyewe wacha wapotoshane

  • @MwinyijumaSeleman
    @MwinyijumaSeleman 11 месяцев назад +2

    Ya acheni mabishano

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 11 месяцев назад

    Masufi mtafanya niqash kweli😂😂😂 ama ni kutafuta umaarufu tu

  • @ShabanAbubakar-u4d
    @ShabanAbubakar-u4d 11 месяцев назад

    Wewe maaluuni

  • @MB-yq3ty
    @MB-yq3ty 11 месяцев назад +2

    Yaa wewe Shafii ni mvuta bangi kweli. Ukitukanwa wewe binafsi usihusishe Utanzania na Ukenya unaleta balaa lingine kwa ajili ya Matamanio yako. Mimi ni mtanzania sikubaliani na ujinga wako huu.

  • @abdulswamadushabanialmasi6698
    @abdulswamadushabanialmasi6698 11 месяцев назад

    Shafii basalim

  • @SirlemNasir
    @SirlemNasir 11 месяцев назад

    HUYO SAIDI OMAR, ALIKAUSHWA DAMU NA MUHAMMAD BACHU, UNADHANI ATAWEZA KUJA KUJIBY HOJA ZAKO...😂😂😂

  • @ayubually5933
    @ayubually5933 11 месяцев назад +3

    asalam alykum ndugu zangu mm naomba kitu kimoja kwakua wote 2 mnatufundisha bc msigombane kwakua tunawapa maadau kuongelea dn yetu naomba sana kama na mm nimekosea mnisamehe ila tusigombane jamani

    • @omadal1
      @omadal1 11 месяцев назад

      Umesema ukweli kabisa

    • @Khalifani-w7g
      @Khalifani-w7g 11 месяцев назад +1

      Umesema kweli ila kuna vijana wengine wakisikia jambo kwa shekhe wake basi yeye nae hulipeleka km lilivyo alitafti usahihi

  • @muhammadkarama9996
    @muhammadkarama9996 11 месяцев назад +1

    Wewe ni mshia golo Allah akuangamize

    • @Khalifani-w7g
      @Khalifani-w7g 11 месяцев назад +1

      Kumbuka ushia ndilo dhehebu la kwanza kwenye madhahabu ya kiislam usiongee tu km mpumbavu anaongea mwingine unaingiza ushia ndani yake jaribu kuwa na akilia kwani shekhe shafihhi kakosea km njoo basi ww mwenye elimu utuweke sawa km vp

  • @muslim-co1st
    @muslim-co1st 11 месяцев назад +2

    Endelea sheikh kwa kuwatowa watu kwenye giza ya uwahabi na kwa kuwapeleka kwenye nuru ya uislam na hata ikiwa wengineo hawataki kuskia na ndo sababu unakuta kwenye qoran takatifu allah anasema wengineo gawafahamu, hawataki kuskia,...... Mungu akubariki na akupe afia nzuri ndefu allahumma amiin

    • @bagalucha
      @bagalucha 11 месяцев назад

      Huyu anayeitwa Shafi Al Basalam ni 100% ni mshia,na kwa wenye elimu ni rahisi kumuweka wazi Taqiyah zake,ambazo ni kawaida kwa mashia kutumia,ni watu wa Hila,tatizo jirani zangu waliojitwika sufiya,ambao chanzo chake kikubwa cha bidaa zao,ni zao la urithi kutoka kwenye upotofu wa ushia,mkimsikiliza kwa makini utamuona yupo katika kupiga Vita wema waliotangulia,huyu kış hakuna wazi kabisa na kusema asiyefuata ushia,huyo ni mpotofu,huyu ni mshia,na nia yake ni kuwachanganya waislamu,na kuwapotosha katika njia ya haki,ni mrongo,tenant anajaribu kutengeneza sumu yake yakugawa na kupotosha,Enyi masufiya fuateni njia ya haki,na wacheni kuwakumbatia mashia,hao ni maadui wa dini ya Allah,na njia ya haki.

    • @muslim-co1st
      @muslim-co1st 11 месяцев назад

      @@bagalucha ikiwa kweli ni mushia basi washia wana haqqi kwa juu ana dalili la kila jambo analoliongea ndani ya vitabi vya kisunni

  • @AliBadru-r2f
    @AliBadru-r2f 11 месяцев назад +2

    Mashaa Allah, unautaratibu

  • @yazidurashidi8443
    @yazidurashidi8443 11 месяцев назад +1

    Na hapa ndipo inapopatikana shida ya masufi kushirikiana na hawa mashia

  • @HamadFakiOthman
    @HamadFakiOthman 2 месяца назад

    Kwani wapi katukana watanzania inaonekana uelewa wako mbovu Sana

  • @AliSaid-c1f
    @AliSaid-c1f 11 месяцев назад +2

    Jaman naomba haya malumbano yasisi kwasisi mpakalini

    • @abdallasalim4104
      @abdallasalim4104 11 месяцев назад

      Mara nyingi huwa hayatisaidii kutatuwa matatizo tulonayo Lau watajishuhulisha na kutatuwa shida zanaowakuba wafuwasi wao hawengekiwa na huu mda

  • @RashidiMbwana-p2h
    @RashidiMbwana-p2h 11 месяцев назад

    Hapo labda umetukanwa wewe na sio Sisi Watanzania ushauli wangu elim ni adabu n'a Tabia njema ukiwa n'a Tabia njema utabeba elimu yenye manufaa. Pia elimu kaa chin ya mashekhe zako utawin

  • @habibuchakusaga7981
    @habibuchakusaga7981 11 месяцев назад +1

    Shafii umejaza😢 vitab vya shia apo

    • @Khalifani-w7g
      @Khalifani-w7g 11 месяцев назад

      Nawe kajaze vyako basi juu

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 11 месяцев назад +1

    Wenyewe Kwa wenyewe watu wa matwalagaa, sisi yetu macho na masikio

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 месяцев назад

      Hata nyinyi mawahabi mwatwangana masalaf jadeed hawasikizani na masalaf kadeem, sisi kwetu hatukanyagani huyu anarekebishwa anaharibu jina la Twariqa

    • @coolvoices6608
      @coolvoices6608 11 месяцев назад

      Yawahusu sana anayezungumziwa Ibn Taymiya😂

    • @NganziSalimu
      @NganziSalimu 11 месяцев назад

      Hata muawiya (Mungu amlaani)ni mheshimiwa kwenu mawahabi

  • @khamisNdegwa
    @khamisNdegwa 11 месяцев назад +1

    ilmu yako haina barka kabisaa
    rejea nafsi yako na uombe msamaha kw Mwenyezi Mungu

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад +1

      Kweli tutarejea kwa Allah kumuomba radhi kwasababu kila mja nimkosaji. Lakini ishu ya kusema muawiya na ibn taymiyah ni makafiri hapo haturudi nyuma hadi mtupe hoja za kielimu. Kwani jamaa kina washinda nini kujibu.

    • @khalidmainala2570
      @khalidmainala2570 11 месяцев назад

      kumbe wamfwatilia huyu

  • @SaidJuma-ru7vm
    @SaidJuma-ru7vm 11 месяцев назад

    Mambo laxima yasemwe muda wa nuru kuchanua umeshafika

  • @HabibuHaji-l4l
    @HabibuHaji-l4l 11 месяцев назад

    Watu wanao watching masahaba ni mashia na maibadhi

  • @hafsalonlinetv105
    @hafsalonlinetv105 11 месяцев назад

    Sheikh uko sahihi ila yaliyojiri baina ya maswahaba ni vizuri kuyanyamazia kuwapa heshma yao, kulikoni kuyazungumza kwa awwaam.

  • @HajiHaji-r6n
    @HajiHaji-r6n 11 месяцев назад +1

    Uyo shafi hna radhi kweli za mashekhe zake

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Jamani hiyo mipasho yenu sisi hatuhitaji. Tunachotaka mjibu hoja kielimu

  • @sheikhmuriditiba146
    @sheikhmuriditiba146 11 месяцев назад

    WEWE SHAFI NA MAVITABU YAKO YAKIPUMBAVU PELEKA KWENU UJINGA UJINGA NDIO WATAKA KUELIMISHA WATU MWANACHUONI MJINGA NDIO WEWE

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Kumbe wewe ni jahili

  • @alaqydastudio3886
    @alaqydastudio3886 11 месяцев назад

    Nendeni mkasome acheni kubishana mitandaoni,,,, pigianeni simu muelezane , acheni ,sio tabia za kiislamu.

  • @ismailhadid1573
    @ismailhadid1573 11 месяцев назад +1

    Mm sijasoma nakuliza hivi ndiyo mtume wako alikuambiya ufanye dawa kwanjiya hiyo huoo niuzukaa kama hujui nawala hauna kitu ujuachoo

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Jamani tumeshasema mipasho hatuhitaji.tunataka hoja za kielimu

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 месяцев назад +1

      Hutaki mipasho hoja za kielimu Mtume S.A.W maisha yake yote hakuwai kutukana na kuwaita watu Makafir huyo shafii hapo ana vitabu kibao atoe tu kitabu kimoja Mtume S.A.W aliwai kuita mtu Makafir hata baada ya Vita vya Badr Mtume S.A.W alienda kuangalia wale Makafir walokufa kwa alama alizoziweka yeye kuwa abu jahal ataanaguka na wengeo alipofika pale walipokufa Mtume S.A.W hakuwaita kafir aliwaita kwa majina yao japo alijuwa walikufa na ukafiri. Kwa huyu asikae kukufurisha waislamu kwa kutumia jina la Twariqa tuna adabu zetu twamueshimu yoyote muislamu hata kama tumeikhtalifiana nae

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      @@abubakaromar6101 sheikh wangu naona unazidisha mipasho tu. Hivi nikuulize katika vitabu vyote vya masheikh na maulamaa wakiislam hamna neno ukafiri waislam wenyewe kwa wenyewe kuambizana.Marangapi watu wamewaita mashia makafiri? Alafu silazima mtume ataje ukafiri moja kwa moja.mtume kwenye hadithi anasema muawiya atakufa nje ya mila yakiislam. Je ukifa nje ya mila yakiislam wewe si kafiri? Nakama si kafiri ni nani?

  • @SaidShkel
    @SaidShkel 11 месяцев назад

    Free Free Palestine 🇵🇸

  • @bagalucha
    @bagalucha 11 месяцев назад

    Huyu anayeitwa Shafi Al Basalam ni 100% ni mshia,na kwa wenye elimu ni rahisi kumuweka wazi Taqiyah zake,ambazo ni kawaida kwa mashia kutumia,ni watu wa Hila,tatizo jirani zangu waliojitwika sufiya,ambao chanzo chake kikubwa cha bidaa zao,ni zao la urithi kutoka kwenye upotofu wa ushia,mkimsikiliza kwa makini utamuona yupo katika kupiga Vita wema waliotangulia,huyu kış hakuna wazi kabisa na kusema asiyefuata ushia,huyo ni mpotofu,huyu ni mshia,na nia yake ni kuwachanganya waislamu,na kuwapotosha katika njia ya haki,ni mrongo,tenant anajaribu kutengeneza sumu yake yakugawa na kupotosha,Enyi masufiya fuateni njia ya haki,na wacheni kuwakumbatia mashia,hao ni maadui wa dini ya Allah,na njia ya haki.

    • @Khalifani-w7g
      @Khalifani-w7g 11 месяцев назад

      We ulitak awe nani au ulitaka awe ww ila haqi itabainika kt yane na sisi wasema kweli niwakina nani sheria ya kuwafwata mahalifa wa nne mmepata wp ndo mtasema ila siwezi shangaa sisi na nyie nitofauti nyie elimu yenu mmepitia dirishani na sisi elimu yetu tumepia mlangoni uwoni nivitu viwili tofauti kabisa Mtume mwenyewe kasema Anamadina tulielmu wa ali yubabuh

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 11 месяцев назад

    SHAFI ww si ulisema maneno ya kilaanisi, wajua maana yake vile ww si mswahili ndo mana ukaona si matusi, sisi ambao ni waswahili twajua kwamba ulaanisi ndo tusi kubwa zaidi kuliko hayo ambayo umesema ww umetukanwa

  • @alternativeislamicmedicine8396
    @alternativeislamicmedicine8396 11 месяцев назад

    Mawahabi laanatullah a'laihim

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 11 месяцев назад +1

      Akili zako ziko kwenye kishundu wewe nae mawahabi wako wapi hapo
      Hapo ni nyie masufi na mashia mnazinguana halafu usiseme mawahabi unafanya zambi sema watu wa sunna wahabi ni ni jina la Allah

    • @MbanoMrage
      @MbanoMrage 10 месяцев назад

      Sio wahabi huyo ni shiaa wewe kua na Akili

  • @KASSIMFUNDSIMU
    @KASSIMFUNDSIMU 11 месяцев назад +1

    SAidi pale kwa pachu ulifanya utumbo lakn kwa huyu achana nae ni msanii hatokuelewa na hatokuelewesha bora bachu

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 11 месяцев назад

      MAWAHABI wanawaza kujilipua

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 11 месяцев назад

    KWELI ADABU HAKUNA 😢

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 11 месяцев назад

    Hujashambuliwa tuuuub illla Allah.

  • @zuberinasibu1441
    @zuberinasibu1441 11 месяцев назад

    Dah! Mzungumzaji RUWAYBIDHWA halafu Nyuma yake wapo mashabiki wasioelewa hili wala lile. Enye wafuasi tahadharini na WALINGANIAJI KATIKA MILANGO YA MOTO kama alivyosema Swalla llahu alayhi wasallam.

  • @allyalhussainy1216
    @allyalhussainy1216 11 месяцев назад

    Kukushambulia wewe na nani? Na umesema huko mrengo wowote 😂😂😂

  • @tawheedmedia-watamu
    @tawheedmedia-watamu 11 месяцев назад +1

    وما جرى بين الصحاب نسكت

    • @OmarShela-p2z
      @OmarShela-p2z 11 месяцев назад +1

      Makhawaarij pia ni maswahaba lkn wao hawanyamazwi wanatukanwa au mwenye haki ya kunyamazwa ni Muawiya tu lkn wengine si hakki!!!???

    • @HajiHaji-r6n
      @HajiHaji-r6n 11 месяцев назад

      حقا

    • @abdallasalim4104
      @abdallasalim4104 11 месяцев назад

      لماذا نسكت فيما جرى بينهم؟

    • @abdallasalim4104
      @abdallasalim4104 11 месяцев назад

      لأن قال قائل .الساكت عن الحق الشيطان الأخرص

    • @abdallasalim4104
      @abdallasalim4104 11 месяцев назад

      Kuna Jambo muhimu sana lifahamike kuwa hii Sheria ilotokwa Kwa Allah(sw) Ni ya watu wote wala hakuna MTU yeyoye YUPO juu ya Sheria nadhani Kwa hili sote takubakiana

  • @RabiyaShamuty
    @RabiyaShamuty 11 месяцев назад

    Nikweli mayaka huyajui kwani niurogho amekwambiya kweli mzuka wachoni kiyemba utaona ninyumba yatughu😂😂😂

  • @مبغضالبدع-ع9ص
    @مبغضالبدع-ع9ص 11 месяцев назад

    😂😂😂😂😂 imekuwa snema ya kihindi??!! Hilo bandage kichwani ni dalili ya kuwa wewe ni mvuta bangi... 😂😂😂😂😂 mpaka kichwa kimepasuka kikatiwa bandage!!!

  • @SaidJuma-ru7vm
    @SaidJuma-ru7vm 11 месяцев назад

    Khalid bin walid ndio muuwaji wa Malik bin muwaira na akamuoa mjane wake siku hiyo hiyo,huyo swahaba alikataa kutoa zake za wafuasi wake kwa Abubakar kwa kuwa hakuutambua ukhalifa wake uliopatikana Saqifa kwa njia ya udanganyifu.

  • @moralist6100
    @moralist6100 2 месяца назад

    MASHIA MUNASEMA NI WASHENZI MBONA VITU WALIVYOLETA MULIVICHUKUA?

  • @thabitisaidi6334
    @thabitisaidi6334 11 месяцев назад +1

    Anayewalaani maswahaba kabula ajesma masuhaba nimaluuuni yeye anakuwa wakwnza kulaaaniwa

  • @sijartv9554
    @sijartv9554 11 месяцев назад

    Mshia ataka niqashi sisi tushachoka nikashi Sheikh said ebu achana na juhq

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Kama sheikh shafii ni shia na saidi Omar ni wahabi

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 11 месяцев назад

    Unabweka sanaaaa shafii wewe nikichaaaa una laana wewe ndio maana watukana ulamaaaa

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Haha unachekesha sana. Yani ibn taymiyah pia naye ni ulamaa?

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 11 месяцев назад

      @@abiabi9353 bas ulamaa babasko

  • @ShabanAbubakar-u4d
    @ShabanAbubakar-u4d 11 месяцев назад

    Tunawafahamu ovyo

  • @SaidShkel
    @SaidShkel 11 месяцев назад

    Acheni wazimu nyie munaacha kukaa mukafkiria ndugu zetu wailsam wa Palestine 🇵🇸 tukawaombea kwamaafa yanoyowafika kazi yenu kushindana ujinga tu,kunawa mavi yenu hamjuwi

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 11 месяцев назад

    Shekhe said humuwez

  • @muhibbualii4580
    @muhibbualii4580 11 месяцев назад +1

    Sheikh Shafii usitaabike si wengi wanafanya bahthi za kielimu,bora ni kuwazindua watu unavofanya wewe.

  • @JumaShundi-tn9pf
    @JumaShundi-tn9pf 9 месяцев назад

    Kwhy ww swahaba gan kwakoh ndyo mwema ww shafi!?

  • @AbdullahMukaria
    @AbdullahMukaria 11 месяцев назад

    Naomba namba yako shafii nitaka ninunue hizo vitabu vyako but nko Nairobi

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud 11 месяцев назад +2

    Uwo mfungo wa kilemba tuu unajua kama shafi si msomi anafosi tuu

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Jamani hamuelewi.sisi tushawaambie mipasho hatu hiyaji .tunahitaji hoja za kielimu.kama mnaweza mwambieni jamaa yenu aandaye mdahalo.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Wewe ni jahili kweli.yani elimu ya mtu inapimwa kwa kilemba

  • @AbdulmajidHyder
    @AbdulmajidHyder 11 месяцев назад +1

    Boxing 🥊 zianze sasa 🥊🥊

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Saidi ni mtu wakujifuafua tu lkn naamini hamuezi sheikh shafii

  • @RamadhaniIbrahimu-o4o
    @RamadhaniIbrahimu-o4o 11 месяцев назад

    Hata ukitukanwa nisawa tu wew nikubwa jinga

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Jibuni hoja mipasho hazitowasaidia

  • @burhaanmamboleo3551
    @burhaanmamboleo3551 11 месяцев назад +2

    Sikiliza mbwa anavyobweka utamjua bwana wake!

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад +1

      Sheikh hiyo ni mipasho tu kawauzie watu wa kanga labda utapata hela.lkn hapa hatutoki hadi saidi hajibu hoja kielimu

    • @NganziSalimu
      @NganziSalimu 11 месяцев назад

      Hapa said mpaka aseme na atasema 😂😂😂

  • @ShabanAbubakar-u4d
    @ShabanAbubakar-u4d 11 месяцев назад

    Wewe ndio maluuni

  • @Klement84
    @Klement84 11 месяцев назад

    Ria ktk dini haifai mtaingia motoni na elimuzenu uchamungu ndio njiasahihi jihadidi iliobakia ni jihadi nnafsi nafsizenu chafu jikindeni na kuzilea nafsi hiomijadala itakuingizeni pabaya

  • @mahmudshariif2845
    @mahmudshariif2845 11 месяцев назад

    Hio ni aibu waislam munatuaibisha

  • @hassanhussein2422
    @hassanhussein2422 11 месяцев назад +2

    WWE Wacha matusii YA masahabaaaa

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Wewe ni mshamba huna ujualo.hivi muawiya aliye muua swahaba mkubwa kama Ammar bin yasir unaweza kumtetea kweli. Na wewe umelaanika piya labda

    • @hassanhussein2422
      @hassanhussein2422 11 месяцев назад

      @@abiabi9353 WWE hiyo si kazi yako Na yangu Kwa Na hishima mashabaa was mutmee wotee tocheka رضي الله عنهم

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 11 месяцев назад +1

    Mimi sio mtu wa maulidi,,,,lakini kwahili saydi uko swahihi kabisa....huyu shafi kichaa ana laana

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Hiyo ni mipasho tu.sisi tunataka hoja za kielimu

  • @abdulqadirswaleh2248
    @abdulqadirswaleh2248 11 месяцев назад

    bc kuwa wewe swahaba shafii wewe wafaa kuwa swahaba wa mashoga

    • @Khalifani-w7g
      @Khalifani-w7g 11 месяцев назад

      Au ww tayari umekuwa shonga

  • @IbrahimGalgalo-c8p
    @IbrahimGalgalo-c8p 11 месяцев назад

    wko wngi sanaa

  • @abdulabdalla-s9j
    @abdulabdalla-s9j 11 месяцев назад

    Ndio anavofundisha mtume maulamaa wasutane .nyote mepotoka

  • @JumaSalum-j6b
    @JumaSalum-j6b 11 месяцев назад

    Vipitena washawaingilia kwenye ngomazenu manaake shekhe said kwenye ngoma hunampinzani

  • @abdullahmasakata170
    @abdullahmasakata170 11 месяцев назад

    Ukiona mtu au Shekh anamwandama Shekh Said Omary ujue huyo ni mjukuu Wa shetani na ni pepo wachafu Kama wasipo acha ujinga huu watadharirika kabla ya mauti yao, Msitafute umarufu kupitia ustadhi Said Omary. Acheni.

    • @Khalifani-w7g
      @Khalifani-w7g 11 месяцев назад

      Shekhe said omar ndo nani kwanz ndo kasoma juzi juzi kija huyo ambae bado elimu yake ndogo

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 11 месяцев назад

      @@Khalifani-w7g Ungekuwa muumini wa kiislam usingeropoka hivo ila kwakuwa unaweza kusema na kutamka ukaona utoe povu hilo, Acheni ujinga Someni dini na misingi sahihi ya kulingania waislam na wasio waislam. Msitafute umarufu kupitia ustadhi Said Omary. Kwani yeye ndie mumeona nikikwazo katika kulingania uislam kwa wasio waislam na kukumbushana mema baina yetu waislam?

  • @Abusalim308
    @Abusalim308 10 месяцев назад

    Nenda kafiri wewe huna lolote

  • @mwanasitiRashid
    @mwanasitiRashid 11 месяцев назад

    ACHANA NA SHK. SAID. UTAUMBUKA

    • @Khalifani-w7g
      @Khalifani-w7g 11 месяцев назад +1

      Shekhe said omar elimu hana kwa bacho kagoma na swali moja hilohilo km mtoto

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 11 месяцев назад

    Wewe Shafii wacha uongo si kweli pia hufai kuitwa shekhe eti hapa kichwa ya maneno umeandika Majibu ya Malalamiko ya Saidi Omari -baada ya kushindwa kujibu hoja za Sheikh Shafii hapa umeongea urongo sio eti Ustadh ameshindwa kujibu hoja zako Ustadh Said alikutabanaisha kuwa watu wanao kutumia wanakuleka njia si za Twariqa Ahlu Sunna Wal jamaa alikuweka sawa uwache hizo Tabia wewe watumiwa

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Wewe hujaelewa bado.sisi tumekwambia hatutaki mipasho. Saidi Omar kama anakiamini avunje hoja za sheikh shafii

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 месяцев назад

      abiabi hakuna hoja za kuiteteya kwa kutukana kulaani au kukufurisha watu kama nilivyo kutangulia kukueleza Mtume S.A.W maisha mpaka kufa kwake hakuwai kutukana kulaani au kukufurisha watu kama kiko kitabu chochote Mtume S.A.W alifanya hivo atupe yeye shafii asituletee porojo zake za kishia kama ametumwa kuharibu jina la watu hiyo sio adabu na Akhlaq za Twariqa Ahlu Sunna Wal jamaa

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      @@abubakaromar6101 sheikh wewe naona unazunguka sana na kutaka kupoteza point.Alichokusudia sheikh shafii nikusema kuwa muawiya ibn abisufyan si mtu mwema na akataja hadith ya mtume inayosema muawiya atakufa nje ya mila ya kiislam. Pia ipo hadith inayosema muawiya nikatika kipote kiovu.kwahiyo lengo la sheikh shafii kutahadharisha watu kumkumbatia muawiya na kumtetea. Kwani huo ni upotoshaji. Kwahivyo wewe hoja yako nini.ulitaka sheikh shafii akaye kimya?

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 месяцев назад

      abiabi عن حذيفة رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم : «إنَّ ما أَتَخوَّفُ عليكم رجلٌ قَرَأ القرآنَ حتى إذا رُئِيَتْ بَهْجتُه عليه، وكان رِدْئًا للإِسلام، غَيَّرَه إلى ما شاء الله، فانْسَلَخَ مِنْه ونَبَذَه وراءَ ظَهْرِه، وسَعَى على جاره بالسَّيف، ورمَاه بالشِّرك»، قال: قلتُ: يا نبيَّ الله، أيُّهما أوْلى بالشِّرك، المَرْمِي أم الرَّامي؟ قال: «بل الرَّامي».
      [حسن] - [رواه ابن حبان] haya ndio mambo Mtume S.A.W akiwatahadharisha Maswahaba watatokea Mashekhe kazi yao kuwaita watu mushrik au kaafir
      قال ابن كثير رحمه الله :
      " إِسْنَادٌ جَيِّدٌ " انتهى ، وحسنه الألباني في "الصحيحة" (3201) .
      ويشهد لهذا المعنى ما رواه البخاري (6104) ، ومسلم (60) - واللفظ له - عن ابْن عُمَرَ رضي الله عنهما ، قال: قَالَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ : ( أَيُّمَا امْرِئٍ قَالَ لِأَخِيهِ : يَا كَافِرُ، فَقَدْ بَاءَ بِهَا أَحَدُهُمَا، إِنْ كَانَ كَمَا قَالَ ، وَإِلَّا رَجَعَتْ عَلَيْهِ ajue shafii ya kuwa hii Hadithi umwite mwenzako kafir na kama hana ukafiri wamrudiya yeye

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 месяцев назад

      abiabi Hadithi haikutoa hukmu yake ni maelezo vile atakavyo kuwa lkni yeye shafii atoa hukmu zitizamine tena hizo hadith

  • @ismailhadid1573
    @ismailhadid1573 11 месяцев назад +1

    Ata uzuka ww unakipi bro keti udanghanye watu tuu

    • @Ashraf-ipm
      @Ashraf-ipm 11 месяцев назад

      Ww mwenyewe hujasoma maneno Yako tuu yanajuliaha kibaka wa mitaani utajuaje haki na batili

  • @HabibuHaji-l4l
    @HabibuHaji-l4l 11 месяцев назад

    Tunajua kama Hill shaking ni jishia

  • @RabiyaShamuty
    @RabiyaShamuty 11 месяцев назад

    Akwambiye nini nawewe nimnafik ulizughumza naye kwavizuri hakukujuwa kama wewe nikhabithi liamali mshezi wewe odhosha jilako kwenye vitabu vamaulamau wajifanya niwewe kumbe zina wenyewe jahili mkubwa wewe lakini nimwana halali au😂😂😂

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 11 месяцев назад

    Jamani waty wengine musiwajibu wanataka umaarufu tu. Ahasantyyy shekh said 😂😂😂

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Saidi wako mropokaji tu hazungumzi kielimu

  • @sheelali6558
    @sheelali6558 11 месяцев назад

    Bachu alikua ataka uumatufu khatimae amezama na ww wataka umaarufu

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 11 месяцев назад

      @sheelali bachu Yuko sawa swali liko pale pale wapi wanyama waliongea?

  • @Kzm-c9u
    @Kzm-c9u 11 месяцев назад

    Hhhhhhh makhuraafi bwaaana😂

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 11 месяцев назад

    Sheikh wetu Saidi Muandalie Mdaharo moto huyo bwege wa Kishia

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад +1

      Haha huwo mdahalo ndiyo tunao utaka.maana mtakujakusikia mambo ambayo hamjawahi kuyasikia kabla. Lakini nakuapia Saidi Omar hana ubavu wakufanya Mdahalo na sheikh Shafii

  • @maulamunshid7739
    @maulamunshid7739 11 месяцев назад

    We wataka umaarufu hata huupaty nyau wewe

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 11 месяцев назад

    Huyu Shafii itikadi yake ni matusi. Ameshawatukana sana Maswahaba Radhwiya LLAHU a'nhum, ktk mada yake aliyoiita :"Maswahaba wote sio waadilifu".Ni bingwa ktk fani ya kutusi watu.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Wewe ni jahili mwengine usiye weza kutofautisha kulosoa na kutukana. Nikisema muawiya ni muovu kwa kumuua Swahaba Ammar ibn yasir hapo nitakuwa nimemtukana au nimesema kweli? Na anaye Dhani nimedanganya athibitishe kielimu.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 11 месяцев назад

      "تلك أمة قد خلت..."

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 11 месяцев назад

      @@abiabi9353 Pamoja na ujahili wangu. Ule ni umma uliopita.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      @@ahmadmzoa74 Hata umma wa nabii nuhu,lut na mitume mengine ni umma uliopita lkn mbona Allah amewataja kwenye Quran. Lazima tujifunze kutokana na makosa ya watu waliopita ili tusirudie kama wao.hiyo ndiyo maana yakusoma historia

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 11 месяцев назад

      @@abiabi9353 Ndo maana kama utakumbuka nimelieleza jambo hilo visa vya Mitume na Manabii Alayhim Ssalaam limebainishwa wazi katika Quran Tukufu. Hikma yake nini?Hali ya kuwa Hayatu swahaba haikuelezewa mfano wao ni nini Hikma yake?? Arrasikhuna fil I'lm ktk Elimu walizopewa kuna maeneo hawakugusa bali walinukuu kama ilivyokuja Kitabu wakichelea makosa kama binadamu. Na huo ndo uchaMungu wa kweli kwa kutambua kuwa Wahyi ulishakatika baada ya kufa Mtume swalla LLAHU alayhi wassallam. Lakini leo kuna watu wamejitoa fahamu hata ayatu muhkamaatun na Mutashabihaatun wanazijadili bila ujuzi kwa mchezo na Istihizai. Halafu vipenzi vyao wanawaambia MAASHAALLAH, MASHAALLAH. Najaribu kukumbusha mambo japo mwanzo mwa ujumbe ndo ulikuwa lengo.

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 11 месяцев назад

    Mkawalinganie wakrsto wasilim sio waislam kwa waislam hi ni dalili za kiyama acheni upuuzi

  • @muhsinbwana2117
    @muhsinbwana2117 11 месяцев назад

    Yuwajaribu kumuiga said kamal haidar

  • @allyalhussainy1216
    @allyalhussainy1216 11 месяцев назад

    Chu ni nyingi sana chu na kina nani?

  • @muslim-co1st
    @muslim-co1st 11 месяцев назад +2

    Lakini mimi najiuliza mbona ikiwa sheikh ayaongea kuhusu maswahab pale ambapo wameteleza kama binadamu wanamutuhum eti ni shia na akiwa anatumia vitabu vya kisuni?? Maana yake ni kwamba kuna mambo mashia wanaoyasema ni ukweli likin hawa mawahabi wanaficha 😢

    • @faisalmohamed727
      @faisalmohamed727 11 месяцев назад

      Kila mpizani wenu ni wahabi!!!? Saidi ni mpiga ngoma mtu wa maulidi leo kuna wahabi wa mangoma na maulidi?

  • @RabiyaShamuty
    @RabiyaShamuty 11 месяцев назад

    Masikini wanisikitisha nimwana wachoni simwana wachuoni nyinyi.mwaona uwana wachuoni nikuvazilemba kama nymba yathughu hahahhhhhh

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 11 месяцев назад

      Ndo umesema nini hapo.bado mnamipasho tu.sisi tunataka mjibu hoja

  • @mustaphakhamisikhamisi
    @mustaphakhamisikhamisi 11 месяцев назад

    😂😅😅😂😂😂

  • @abdullahijma2073
    @abdullahijma2073 11 месяцев назад +1

    si mkutane tuone debate basi? nyote ni waoga.