RAIS DKT. SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI MLOWO WILAYA MBOZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 окт 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwasalimia Wananchi wa Mlowo Wilaya Mbozi Mkoa Songwe Njiani kuelekea Dodoma Mara baada ya Kumaliza Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 18 Julai, 2024.

Комментарии • 8

  • @lidiasilwimba6759
    @lidiasilwimba6759 2 месяца назад +1

    Asante mama miaka10 niyakooooo! Mungu awe nawe.

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 2 месяца назад +1

    asante mama yetu Bi Samia kwa kazi nzuri..ila mbozi tunashida ya maji mama...marafiki zangu wako hapo wanalalamika maji

  • @zephaniamkondya9977
    @zephaniamkondya9977 2 месяца назад +2

    Barabara inayounganisha wilaya ya Mbozi na Momba mkoa wa Songwe ingefikiriwa kujengwa kwa lami kwani imaeneo yanachangia sana uchumi wa nchi hii.Daraja lililopo mto Nkana ni jembamba sana na lipo kwenye kituta kilicholika. Kuna siku litakuja kusababisha vifo na itakuwa "too late"! Ni vema wabunge wangeliombea fedha kabla ya ajali.

  • @shamtemandai7221
    @shamtemandai7221 2 месяца назад +1

    Hongera mhe Rais kwa maamuzi uliyoyachukua mara moja kuokoa uhai wa mjukuu wako

  • @elizabethsimba9743
    @elizabethsimba9743 2 месяца назад +1

    Asante mama kwa kumsaidia huyo atibiwe.Mungu akubariki.

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 2 месяца назад

    Acheni kuwaumiza waTanzania kwa uzembe wenu na mkidanganyana Imani!!

  • @Kim19onlinetv
    @Kim19onlinetv 2 месяца назад +1

    Mama unafanya mambo makubwa kwa nchi yetu asante mama yangu

  • @davidkalingathephotoman2079
    @davidkalingathephotoman2079 2 месяца назад

    Mh! Mkandaras Ana karibia kupatikana du? Mbona tumepgw na kitu kizito?,, ,,Punguz sias