KILICHO TOKEA E.A.G.T BUGANDO BAADA YA ASKOFU MAHENE KUOMBA MSAMAHA HIKI HAPA/ SIRI ZA FICHUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 34

  • @BarnabaChota-tw7ol
    @BarnabaChota-tw7ol 5 месяцев назад

    Amekutana na Mungu

  • @justinmande4238
    @justinmande4238 6 месяцев назад

    Hiv munasoma bibila ngani nyinyi ambayo halina msamaaha kama Mungu hanasamee nyinyi ni nani ambayo hamuoni nguvu ya msaamaa

  • @ndemeeimana6633
    @ndemeeimana6633 2 года назад +1

    Kwa hiyo we ndio mch mmh, Yesu anakujaa, ee Bwn wangu nitie nguvu nijifunze kwako, magumashi ni mengii

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 2 года назад

    Mbona kazi mmmh.kanisa linaelekea wapi.Yesu anarudi haraka hakika.

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc 8 месяцев назад +1

    Tusigombanie majengo tugombanie Roho za watu Katika kweli na utakatifu

    • @GeraldMyuku
      @GeraldMyuku 4 месяца назад

      Kweli ndugu yangu tuliko tuko mwishoni Kila mtu na asimame aingie mbinguni mambo ya kanisa yanatakiwa kuwa Siri huku nikuwakosesha wafuasi kukosa msimamo na kuhama hata taasisi

  • @victoriamazula5592
    @victoriamazula5592 9 месяцев назад

    Kea nini haya makanisa ya eagt yana matatizo ya ugomvi kila siku

  • @dianamorisi
    @dianamorisi 6 месяцев назад

    Wewe achia kanisa

  • @BarnabaChota-tw7ol
    @BarnabaChota-tw7ol 5 месяцев назад

    Anae tubu ndoa Majanja

  • @nicholausrwezaura1971
    @nicholausrwezaura1971 10 месяцев назад

    Wewe hatuendi dhambi

  • @omendavicent7731
    @omendavicent7731 2 года назад

    Mnatuaibisha sana ndo maana kanisa la leo halina nguvu ya Mungu kabisa.

  • @mwakamelebarackthomas6834
    @mwakamelebarackthomas6834 7 месяцев назад

    Wewe sema unalitaka hilo kanisa. Acha kelele

  • @pascaladloph4719
    @pascaladloph4719 5 месяцев назад

    Na bado. Maana mmeikataa Injili ya kweli ya Yesu Kristo. Mmejiwekea utawala wa kidunia ambapo Kristo wala Mitume hawakufanya hivyo.
    La kuwashauri rudini kwenye injili ya kweli ya neema na kweli ya Kristo. Migogoro haitokuja kuisha katika madhehebu hayo maana yalianzishwa kwa sababu ya migogoro hiyo hiyo. Uchu wa madaraka.
    Hakuna ugonjwa kisa dhambi hakuna Yesu Kristo alisurubishwa ili kuondoa dhambi acheni kupotosha.

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад

    Kaumbuka na ufreemasoni wake alidhani angeweza shinda nguvu ya Mungu

  • @YoshuaSeverino
    @YoshuaSeverino 9 месяцев назад

    Hao watu kweli wanajielewa? Wanagombania majengo badala ya kuhubiri neno la Mungu

  • @Kanyawela
    @Kanyawela Год назад

    Rudisha Kanisa hilo kwa Wenye nalo vinginevyo roho ya maasi haitaisha

  • @zukramlula1153
    @zukramlula1153 2 года назад

    MUNGU arehemu. Waliogombana wamemaliza lakini washikilia bendera hawataki.

  • @justinmande4238
    @justinmande4238 6 месяцев назад

    Munahuri masamaa nanyinyi hamna msamaa munakua kama watu wa dini au mafarisayo

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад

    Alitumwa na shetani, na kaaibishwa na shetani, baada ya Mungu kuingilia kati

  • @frbm1729
    @frbm1729 11 месяцев назад

    Umevuna ulichopanda.

  • @blandinajoseph1291
    @blandinajoseph1291 Год назад

    Wewe nahisi umechukia alivyotubu mtumishi wa MUNGU,na uroho wa madaraka unakuponza,na unakbali kuitetea dhambi?na kama ungekuwa mtumishi wa MUNGU kweli ROHO MTAKATIFU angekufunulia ungejua km ni kweli ametenda au la.Ila muacheni Mane ni vzr zaidi kutengeneza na MUNGU kuliko na watu.

    • @blandinajoseph1291
      @blandinajoseph1291 Год назад

      Na Sasa hamuoni km mmeaibika??mlikuwa mnatetea dhambi???na mpaka Sasa bado mnatetea,hiyo ni haki ya MUNGU?hata wewe mchungaji wa hilo kanisa unapaswa kutubu kabisa kwa kuikumbatia dhambi.

  • @eligiuselias4469
    @eligiuselias4469 2 года назад +1

    Dah,kwani haya mambo bado yanaendelea uko!,
    Mbona shida hii inaendelea?,kanisa ni wazee wa kanisa wanatakiwa wasimamie mpaka pale Mungu atokeze Mchungaji wake mwenyewe.

    • @apostleagnes5769
      @apostleagnes5769 2 года назад +1

      Hayawezi kuisha my dear wameasi maagizo ya mzee kulola unatarajia nini ? Mpaka Daniel kulola wanampiga vita

    • @manoahmahuna6426
      @manoahmahuna6426 Год назад

      Daniel kulola asingeweza kua askof wa e.a.g.t hata cku Moja

  • @josephineshija104
    @josephineshija104 Год назад

    SASA KAMA KANISA NI LA EAGT HAO WAZEE WA KANISA SI WAPO CHINI YA EAGT//// ACHENI EAGT WAAMUE WANAMUWEKA NANI KUWA MCHUNGAJI

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад

    Analipwa matendo yake alitaka kucheza na nguvu ya MUNGU. Upande wa pili ni upande wa shetani, mwacheni aaende motoni, akatumike na shetani. Alichopanda Moses Kulola kitasimama milele.

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад

    Hapa akitumiwa na freemason
    Anzia part no 9 ruclips.net/video/mVFq7iiXYTA/видео.html

  • @LucasMayunga
    @LucasMayunga 3 месяца назад

    Kama wewe ni mtoto wa eagt usibishane na wakubwa

  • @enockyona154
    @enockyona154 2 года назад

    IVI KANISA LA E A G T NIULIZE YA KUWA NENO MSAMAHA MNAPO LIHUBIRI KANISANI IVI MNAMANISHA AU NIKUJIFURAHISHA? ASKOFU MKUU NIKUOMBE KAMA KWELI UNAROHO WA MUNGU MALIZA MGOGORO HUU ACHA KUJIFALIJI UKIROHO HAUPO

    • @oscarmushi3212
      @oscarmushi3212 2 года назад +1

      Labda niseme kitu hapa enyi waandishi wa habari upande viongozi wa Eagt hawaoni tija ya kuleta haya mambo kwenye midia kwasababu yapo mambo mengi yaliyo jificha ambayo wangeyaanika hapa mngeelewa ukweli amabao hamjaujua bado busara ndiyo inatumika

    • @pastoraminimgalla6819
      @pastoraminimgalla6819 2 года назад

      liache kanisa LA mahene unaanzeje kukipandia kitanda cha babaako ulipoingia nipangumu sana

  • @apostleagnes5769
    @apostleagnes5769 2 года назад

    Eagt tumeshawachoka na drama zenu wacheni ulafi wa hela na madaraka kumbe wewe pia ulikuwa mshirika leo umemgeuka mfyuuuu. Hata Daniel kulola mnampiga vita shame on you