MBUNGE CCM ATAJWA MGOGORO KANISA EAGT/WACHUNGAJI WAIBUKA WATOA MSIMAMO WAO/KESI KUENDELEA MAHAKAMANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 27

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 2 года назад

    Poleni kwa machafuko Rejeeni wimbo wa B. Mwaitege "utanitambuaje kama nimeokoka" wengi watakuja kwa jina la Yesu.

  • @sebhantaletv414
    @sebhantaletv414 2 года назад +1

    MIMI NASHANGAA SANA, YAANI HEKIMA YENU YA KI-MUNGU IMESHINDWA KUMALIZA MGOGORO MPAKA MNATAFUTA SULUHISHO KWA WATU MSIOFUNGWA NIRA PAMOJA, HUYO mungu NI WA AINA GANI?
    MNAMWAIBISHA HATA HUYO mungu WENU.

  • @pescopenterprises2728
    @pescopenterprises2728 2 года назад +1

    Nyie mnatoa taalifa ya mapato na matumizi ya vikumi na sadaka kwenye makanisa yenu

  • @eliabbanyikwa8716
    @eliabbanyikwa8716 2 года назад +1

    Hiyo ni kali sana

  • @machibyajeremia9650
    @machibyajeremia9650 2 года назад

    Mungu anawaona nyiyee vingozi

  • @kitasyajohn8435
    @kitasyajohn8435 2 года назад

    Huyo kapama namjua sana ni mtu mkorofi sana na huyo sio eagt ni mhuni Fulani hivi ambae anatumia mgogoro huu kujipatia chochote, kapama anajua kabisa kwamba aliungana na askofu simbeye wa huduma ya luhama ministries,yeye ni sehemu ya lile kanisa ,pili chanika anakoendesha huduma yake Hana maelewano mazuri na wachungaji wenzie na hapo alipo anausajili mwingine ameuficha ,alishaondoka eagt kitambo sana ni mtu wa ajabu ajabu sana

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 2 года назад +1

    Mnapenda migogoro. Mpaka sura zenu zinaonekana. Mnatumiwa na Shetani nyie

  • @pastoraminmgalla4991
    @pastoraminmgalla4991 2 года назад +1

    Wachungaji kama mnatafuta ya kwenu wekeni wazi maana tunashidwa kuwaelewa na kama mlichangia majengo hayo bola mseme mlundishiwe pesa yenu na hayo magari mrichangia na kama hamkuchangia yanawahusu nini tumechoka na makelele yenu naona mlisha ailisha kwenda mbinguni kwani mnajichelewesha kufyatilia na kushinda mahakamani huo mda mwingi mnayazoofisha makanisa yenu shetani amewatenda kwa akili ila hamjui

  • @petersigoma2810
    @petersigoma2810 2 года назад

    Walikuwa wapi kuhoji kipindi Cha baba Asikofu kurola hao madaraka yanawasumbua Injili Inaendelea na tunamwamini sana baba yetu Asikofu mwakipesile

  • @johnyona9094
    @johnyona9094 2 года назад +1

    Kwa hiyo hapo ndio mnapeleka injili mbele?

    • @kapesaemmanuel2422
      @kapesaemmanuel2422 2 года назад

      Hakuna injili humo hao ni mbwa mwitu aliojivika ngozi ya kondoo

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 2 года назад

    Gari na vyote vijazavyo dunia vitapita.........sisi waumin hatujalalamika masuala ya magar ...mapatao na matumiz hata kanisan hutosomewi na tupo........

  • @stephanoedward5763
    @stephanoedward5763 2 года назад

    Jamani haya yataisha lini?

  • @thomaswegoro4331
    @thomaswegoro4331 2 года назад

    Mambo ya Mungu hua hayaendi maakamani. Mambo ya kanisa huishia ndani ya kanisa. Soma mathayo 18:15-17. Huwezi kupata hekima ya Mungu nje ya kanisa. 1:3:17. Ni ajabu watu wa Mungu wanatafta suluhu nje ya kanisa.

    • @eliabbanyikwa8716
      @eliabbanyikwa8716 2 года назад

      Mtu wa Mungu je ikishindikana ninyi kwaninyi kanisani mtafanyaje kuliweka sawa,naomba unisaidie mtu wa Mungu maana niaibu sana

    • @thomaswegoro4331
      @thomaswegoro4331 2 года назад +1

      @@eliabbanyikwa8716 hakuna kinachoshinikana mbele za Bwana. Faraka na Hali yeyote ya kutoelewana ni mpango wa shetani. Ukisikiliza stori ya Hawa viongozi utagundua kua hawaongozwi na Roho wa Bwana Bali Kwa hekima zao. Mungu ametupa njia nzuri za kuondoa migogoro baina ya wakristo. Soma mathayo 18:15-17. Kinachoonekana Katika mazungumzo Yao ni kwamba viongozi wapo Kwa ajili ya pesa na sio utumishi wa Mungu.

    • @jacksonsimon7993
      @jacksonsimon7993 2 года назад

      Kumbuka kuwa hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu warumi13:1

    • @thomaswegoro4331
      @thomaswegoro4331 2 года назад

      @@eliabbanyikwa8716 ikiwa imetokea mmeshindwa kuonyana Kwa misingi ya biblia basi tambua hapo hakuna kanisa la Mungu. Mpo chini ya utumishi wa shetani. Mtatenda Kwa kadri hekima zenu zinavyowatuma. Narudia tena, mambo yanayohusu Mungu hayapelekwi mahakamani. Kwenda mahakamani ni kuaminisha uma kua hekima ya Mungu ipo chini ya hekima ya Dunia hii.

    • @evaristotave5103
      @evaristotave5103 2 года назад

      Kweli kabisa kunawatu wamearisha😭😭😭😭 kwenda MBINGUNI wamehamia kwenda mahakani duuu

  • @bethkatunx7677
    @bethkatunx7677 2 года назад

    Jamini jamani neno linasemaje? Hapo kuna mkono wa ibilisi na shetani kuweni macho na hiyo migogolo

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa3997 2 года назад

    Mgongano wa Kimasrahi apo.

  • @yussufnyaregecha5827
    @yussufnyaregecha5827 2 года назад

    du!
    kanisa linavurugika kabisaaa.
    Moses Kulola nakukumbuka sana baba

  • @kuziririzaisabatosiitegeko7088
    @kuziririzaisabatosiitegeko7088 2 года назад

    Nimagumu .

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 2 года назад

    Kumbe kuna majiz kila pahal