Mbowe alikuwa anaweza kufanya vizuri kwenye siasa zilizotengamaa lakini katika mazingira ya sasa ya siasa za mapambano na mazingira ya matumizi holela ya vyombo vya dola dhidi ya wapinzani, kwa hakika hawezi tena. Naamini Lissu ni bora zaidi kwa sasa
Uelewa kwa wengi wetu bado sana. Nchi inahitaji mabadiliko ya sera ili yeyote akipata uongozi atekeleze ya sera ya Taifa na sio atakavyo yeye !! KATIBA ya Nchi ni chanzo cha uwepo wa yanayoendelea.
@@margarethpolepole7438 Kwani CCM hizo pesa wanazopata wapi kama sio kodi zetu wanazozikusanya?Vyama vingine vyote ikiwemo Chadema chanzo cha pesa ni wanachama wao
Watu wengine nawaona kama wapuuzi sana.kwani wana mkosoa sana Huyu Mtumishi wa Mungu.kwamba anafanya kitu inje na ufumishi wake.Hiki anacho kifanya ndo mtumishi wa kweli.kwani Yesu Mwenyewe ambae wakristo wanae mtegemea kama kioo.alikuwa hapendi kuona watu wakionewa.wote mnao mkosoa wajinga sana
Mimi naamini Mbowe amekiongoza chama hiki kwa uchungu mkubwa sana na kwa jasho na damu. Kamwe hawezi kukubali kumwachia mtu lege lege CHADEMA ikafe kàma vilivyokufa vyama vingine. Ninachoona na kuamini Mbowe ameona Lisu ni mtu anayeweza kusimamia kile ambàcho amekitengeneza. Binafsi nakubaliana na mabadiliko na Tundu Lisu ndiyo pekee kwà sasa anayeweza kuendeleza kile Mbowe alichokiweka.
Watu ni lazima waikosoe serikali kwa yale mabaya ili serikali irekebishe yale mabaya yawe mazuri.Na wanaoikosoa serikali wana nia njema kuliko yale machawa yanayosifia tu kama ww mjinga.ulaya na marekani ni nchi tajiri na zilizoendelea sana huwezi ona wakisifiana mfano Trump anavyomkosoa Biden au Biden miaka ya nyuma alivyokua akimponda Trump.sasa kama ni kusifia basi ilitakiwa wasifiane hao ambao kiuchumi wako vizuri.punguza ujinga ww mpumbavu.
Nyerere alituasa: Udini ni sumu mbaya katika jamii yetu. Tuupige vita. Tangu Nyerere ameondoka hakuna kiongozi ameendelea kuupiga vita udini kwa nguvu ileile kama Nyerere! Kama matokeo hii leo udini umeshamiri! Udini unapofusha! Pale palipo haki au dhuluma watu hawaangalii bali wanaangalia dini. Kwa hiyo mr. Ommy mchungaji akipigania haki inatakiwa asitangaze kwamba yeye ni askofu au mchingaji! Nawapongeza sana Shehe Ponda Issa Ponda, shehe Kadogoo na wengine kama hao, hawana upofu wa udini, bali wanapigania haki. Na Mungu awabariki sana wasio na upofu wa kidini.
Kwanza mi nakuona kama mjinga usie juwa Bible vizuri.hiki anacho kifanya mchungaji sio kibaya.kwani hata Yesu mwenyewe aliwahi kutetea wanyonge.na alikuwa hapendi kuona watu wakionewa.huyu Ndo Mt wa Mungu wa kweli!! Acha kumkosoa kwa kitu usicho kujuwa
Hivi kweli 🎉na 😅wewe ni ash Hivi na uongo huo Wewe na wewe ni askofu .jipime kwa sisi wengine tunaona hauna hadhi ya ya kuwa askofu, nanda uombe mwenye kiti wa mtaa
Nyarobi wewe ni Mwandishi Mzuri sanaaaa na unajua kuhoji vizuri sana nakukubali mjukuu unachapa kazi Mwanahalisi wakuongezee mshahara kwa nguvu zote
Mbowe alikuwa anaweza kufanya vizuri kwenye siasa zilizotengamaa lakini katika mazingira ya sasa ya siasa za mapambano na mazingira ya matumizi holela ya vyombo vya dola dhidi ya wapinzani, kwa hakika hawezi tena. Naamini Lissu ni bora zaidi kwa sasa
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100
Huyu askofu anajua vizuri.
Asante sana Mh. Askofu Mwqnqmqpinduzi kwa maneno mazuri ya khekima
Safi nimekuelewa ndiomana mbowe alisema mambo yanapikwa msiwe na haraka
Mm najiuliza swali moja unawezaje kua na wafuasi milion3 alafu ukose pesa hii haipo. Ivi kila mfuasi atoe 200 Kwa wiki ni TSH ngapi
KUNA WACHUNGAJI NA MAASKOFU USISAHAU CHAMA LAZIMA KITOE SADAKA KANISANI 😢😢😢
Uelewa kwa wengi wetu bado sana. Nchi inahitaji mabadiliko ya sera ili yeyote akipata uongozi atekeleze ya sera ya Taifa na sio atakavyo yeye !! KATIBA ya Nchi ni chanzo cha uwepo wa yanayoendelea.
Huyu jamaa haeleweki. Kwa hiyo Lissu ndiyo atapindua serikali ya ccm? Ndiye atapigana na polisi?
Huyu ndio mchungaji wa kweri
Mbowe mpole tumuweke lisu kwanza hyu ndo anauchungu
Lisu ni nguvu mpya ya upinzani Tanzania na ni mwazo wa mageuzi huu ni muda wake
Kwa siasa za Tanzania Lisu ndio anafaa kwa %100
Mbowe hana chuki,Mbowe sio mgomvi bali anagombanishwa na machswa,Mbowe hana makuu.
Kitima siyo askofu ndugu!
Chadema hamkujipanga pesa hamna za Kampeni pes imeshikwa na mtu mmoja Mbowe Saccoss ukabila umezidi sanaaaa
@@margarethpolepole7438 Kwani CCM hizo pesa wanazopata wapi kama sio kodi zetu wanazozikusanya?Vyama vingine vyote ikiwemo Chadema chanzo cha pesa ni wanachama wao
Aise kuna mapoyoyo ambayo yanatumia kamasi kufikiri, eti ukabila umezidi, kwani kamati kuu Ina wajumbe wangapi CDM? ukabila uko wapi pale?
Msengerema wa ccm
Watu wengine nawaona kama wapuuzi sana.kwani wana mkosoa sana Huyu Mtumishi wa Mungu.kwamba anafanya kitu inje na ufumishi wake.Hiki anacho kifanya ndo mtumishi wa kweli.kwani Yesu Mwenyewe ambae wakristo wanae mtegemea kama kioo.alikuwa hapendi kuona watu wakionewa.wote mnao mkosoa wajinga sana
Mapolifisiemu ni kupigana nao kwa nguvu ya umma
Sawa kabsa
Mimi naamini Mbowe amekiongoza chama hiki kwa uchungu mkubwa sana na kwa jasho na damu. Kamwe hawezi kukubali kumwachia mtu lege lege CHADEMA ikafe kàma vilivyokufa vyama vingine. Ninachoona na kuamini Mbowe ameona Lisu ni mtu anayeweza kusimamia kile ambàcho amekitengeneza. Binafsi nakubaliana na mabadiliko na Tundu Lisu ndiyo pekee kwà sasa anayeweza kuendeleza kile Mbowe alichokiweka.
Mnafiki sana kumbe unajua sisi ni binadamu hilo unalijua kwa sababu chadema inachanika mbona wewe hujaona mazuri ya ccm? unaona mabaya tu ya CCM
Watu ni lazima waikosoe serikali kwa yale mabaya ili serikali irekebishe yale mabaya yawe mazuri.Na wanaoikosoa serikali wana nia njema kuliko yale machawa yanayosifia tu kama ww mjinga.ulaya na marekani ni nchi tajiri na zilizoendelea sana huwezi ona wakisifiana mfano Trump anavyomkosoa Biden au Biden miaka ya nyuma alivyokua akimponda Trump.sasa kama ni kusifia basi ilitakiwa wasifiane hao ambao kiuchumi wako vizuri.punguza ujinga ww mpumbavu.
Kusema ukweli mabaya ya CCM ni mengi kuliko mazuri
Asklfu mnafiki huyu
MBoweagombee, uraisi
Mbowe apumzike, tunamtaka Lisu
Askofu lini Mbowe kakuambia kachoka??
Wewe mwandishi,umma upi unausemea?
CHAMA CHA KANISA KINATAPATAPA NA WACHUNGAJI WAO 😢😢😢😢😢😢
Ulitakaje? Kuna ubaya gani? Au ulitakaje wewe? Au kwako wana kanisa siyo watanzania? Unakereheka na nini hasa wewe?
@ Hiyo NDIO tatizo kutuletea WACHUNGAJI KWENYE SIASA 🤩🤩🤩🤩HII NCHI NI SECULAR UCHUNGAJI apeleke kanisani
Kama ccm vile chama cha masheh
Nyerere alituasa: Udini ni sumu mbaya katika jamii yetu. Tuupige vita. Tangu Nyerere ameondoka hakuna kiongozi ameendelea kuupiga vita udini kwa nguvu ileile kama Nyerere! Kama matokeo hii leo udini umeshamiri! Udini unapofusha! Pale palipo haki au dhuluma watu hawaangalii bali wanaangalia dini. Kwa hiyo mr. Ommy mchungaji akipigania haki inatakiwa asitangaze kwamba yeye ni askofu au mchingaji! Nawapongeza sana Shehe Ponda Issa Ponda, shehe Kadogoo na wengine kama hao, hawana upofu wa udini, bali wanapigania haki. Na Mungu awabariki sana wasio na upofu wa kidini.
Wewe Omari chama chako ni cha kuteka na kuua watu
Kaka chagua moja siasa au dini vitu viwili haviendi
Via Hilo vazi uvae gwanda ww sio mtumishi WA mungu ni mamruki tu ,huo ndio wito WA hiyo kola,??? Iko siku utajibu Kwa aliyekuita
Kwanza mi nakuona kama mjinga usie juwa Bible vizuri.hiki anacho kifanya mchungaji sio kibaya.kwani hata Yesu mwenyewe aliwahi kutetea wanyonge.na alikuwa hapendi kuona watu wakionewa.huyu Ndo Mt wa Mungu wa kweli!! Acha kumkosoa kwa kitu usicho kujuwa
Mtu wa Mungu yukoje na anavaaje ? Watu wa Mungu wanafanana kwa mavazi au matendo ? Badilisha mtazamo wako. Weka Nchi mbele.
Ndio mlezi huyu
Huyo BENDERA HANA JIPYA
Lieu no Simba agurumapo Simba angurumaye ninani hats raid Samia anmwita simba
The Church
How ?
Hivi kweli 🎉na 😅wewe ni ash
Hivi na uongo huo
Wewe na wewe ni askofu .jipime kwa sisi wengine tunaona hauna hadhi ya ya kuwa askofu, nanda uombe mwenye kiti wa mtaa
Fact