CHADEMA HAIHOFII KUMPOTEZA MTU/AKITOKA MTU ANAINGIA MTU/SISI TUNAWAJUA WENZETU KWA MAONGEZI.........

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 24

  • @ottomap-u2i
    @ottomap-u2i 13 часов назад

    Mbona vijembe vingi sana chadema

  • @leonardinnocent9638
    @leonardinnocent9638 12 часов назад

    Let's save this date❤❤❤❤

  • @bongo39
    @bongo39 13 часов назад

    Siku zote mlikuwa wapi leo ndio mnajifanya mshakula sana

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 16 часов назад

    Baada ya kupotosha watu sasa karma inawarudia 😢😢😢😢😢😢IRON LADY KAZI IENDELEE 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @bongo39
    @bongo39 13 часов назад

    Daah mbowe mnyongee madaraka haywoo hela atapata wapi sana

  • @edwardkasubi5135
    @edwardkasubi5135 15 часов назад

    Heeeeeeeeeeee kula tenaaaa 😮😮😮 mpo kwa ajili ya kula ama kwa ajili ya vyeo kwa ajili ya matumbo yenuuuuu mmmmmhhhh

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 13 часов назад

    Machawa wako juu, boni yai busara zero

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 14 часов назад

    Are" The Beautiful Ones not yet Born?"
    It is just a title of a book!!....

  • @wazolangu6987
    @wazolangu6987 11 часов назад

    Boni yani maneno yote ni kwasababu Lissu katangaza nia? Daaaah!

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 12 часов назад

    Huyu jamaa kumbe hovyo.

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 4 часа назад

    Acha mbebwe . Punguza kwanza unene utakuwa. Acha uchawa

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp 14 часов назад

    Boni swala sio rahis wananchi wapo sirias wanakunukuu siku ukijaa utakumbushwa SI unajua technology.

  • @khalidikaghembe1775
    @khalidikaghembe1775 14 часов назад

    Kweli mw/kiti hataki kuachia cheo chake mpaka kamuamsha chawa wake

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 13 часов назад

    CHADEMA NI CHAMA CHA MTU MMOJA MBOWE TU NA HAWEZI KUWACHIA NGAZI HUYO YAI NI MPAMBE TU NI WAFAKAZI WAKE SIO CHAMA CHA WATANZANIA CHA MTU BINAFSI NI MTAJI WA MCHAGA ANAIYUA PESA NGAZI HACHI TASISI YA MTU BINAFSI

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 13 часов назад

    mbowe mda wako umeisha mwachie lissu

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 15 часов назад

    Duuu!

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 15 часов назад

    Naandika nafuta, naandika nafuta!

  • @Saidmathayo-uv4gj
    @Saidmathayo-uv4gj 15 часов назад

    Bon yai tunajua unafaidika na pesa chafu imekuwa chawa wa mbowe

  • @MikidadiNyangi
    @MikidadiNyangi 15 часов назад

    Nahama hich chama kumbe mpo kimaslah akiondoka lisu nakihama

  • @aminielyusufu4351
    @aminielyusufu4351 15 часов назад

    Hamuwezi kuiondoa CCM hata kidogo. Sahau. Pigeni domo tu mlale

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi Час назад

      We nani wana inchii ndio wanajua

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa 15 часов назад

    Mbona unaongea mafumbo tunamtaka lisu

  • @GraceDeo-g1n
    @GraceDeo-g1n 15 часов назад

    Lissu ndo mwamba mbowe chawa wa ccm

    • @Eugene-r6y
      @Eugene-r6y 14 часов назад

      Ukimtukana Mbowe ndio ujue unamnyima Lissu uwezekano wa wajumbe kumpitisha iwapo na Mbowe atagonbea!!!