Na Mimi sio muumini wa Eagt lakini kanisa la Eagt. Limekuwa baraka sana kwenye maisha yangu ila me ni WA dhehebu jingine!! Toa heshima ya cheo muweke YESU usije ukafa kwasababu ya kutenda uovu wa kuwakosea wazee wa Imani Yako hutaishi MUNGU atakupiga siku si nyingi na utaikosa mbingu. nimekuwa nikisikiliza mahubili Yako mara kadhaa ni mazuri ila hayatoshi kuwa kinyume na watangulizi wako waliohubili injili vichakani,. Kumbuka haluni na miliam walimsengenya Musa miliam akapigwa na ukoma. MUNGU anawaheshimu watumishi wake siku zoote
Shetani ameshindwa sasa, Utukufu kwa Bwana Yesu

Tuko salaama ashukuriwe MUNGU. EAGT ni Moja tu mwakipesile askofu wetu mkuu
sifa na utukufu kwa Mungu wetu asante Baba kwa taarifa
Mmekoswa maombi ndiomaana jamba roho ya msamaha rudini kwenye kusudi lamungu
Utukufu kwa Mungu