3 - MBINU ZA KUACHILIA NGUVU ZA MUNGU WAKATI UNAOMBA || Mwl Christopher Mwakasege || Babati 2024
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Semina ya Neno la Mungu Babati || DAY 3 || TAREHE 02| Marchi | 2024
.................................................................................................................
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
M-PESA 0754 211 633
TIGO-PESA 0715 511 633
AIRTEL MONEY 0682 657 080
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
PIA UNAWEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
CRDB BANK
ACC: 01J2032214400
JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE
Bwana Yesu asifiwe sana tangia 2015 nimekuwa nakusikiliza Mtumishi wa Mungu na mafundisho Yako yamekuwa yakiniongoza sana na Sasa Niko chuo Cha bible Nairobi nazidi kubarikiwa sana na mahubiri Yako
Bwana yesu asifiwe, mwalim nguvu zake aliye juu zkufunike pamoja na ile maana iliyo ndan yako ikue kutoka iman kwenda iman nguvu kwenda nguvu na utukufu kwenda utukufu,nabalikuwa sana na mafundisho ya kwel ya neno la mungu, naitwa dotto modest luhunga, barikiwa sanaa mwl, mwakasege
Hamna mtu anayemwabudu Mwl Mwakasege, Bali tunakubali Ile huduma ambayo ameweka ndani yake. Yaani Mungu Mwenyezi azidi kumtumia na sifa na utukufu ni kwa BWANA.🙏
Yesu asante kwa Neno hili la majira kwangu, endelea kumkumbuka mjoli wako yeye na familia yake na huduma yao ukumbuke Yesu Neema yako kwao isipungue
Bwana Yesu asantee kwa ajili ya mtumishi wako hakika tunabarikiwa
Bwanaa Yesu Asifiwe najiunganisha na madhabahu haya mwaka huu Bwanaa Yesu nikakuoneeee katika NDOA
Mwakasege.mtumishi wa Mungu.umeinuwa huduma yangu sana.tangu mwaka 2015 mpaka leo.mashariki ya Congo tunakusiliza sana.tunajisifia Mungu wako sana.
Bwana YESU apewe sifa.namshukuru Mungu Kwa neema zake,nguvu na uweza anazoachilia kwetu kupitia madhabahu hii, najiunganisha na watoto, familia yangu wote tuendelee kupokea , Amen
Mungu naomba toba kwaajili ya mzazi mwenzangu kwa maneno yake yaliyoumiza moyo wangu
Pole sana yupo mungu afutaye maneno ya kutamkiwa👏
Ubarikiee sn kiongozi wa sifa huwaga nabarikiwa sn na huduma yako. Nabarikiwa sn na Mafundisho ya mwl Mwakasege.nabarikiwa sn na maombi ya mama Mwakasege na wapangaji wote tunawaombea sn..!
Ili Mungu azidi kutulisha vyakula vinavyotupa kukua Kila hatua.
Amen
Haleruya haleruya tuna barikiwa kwa neno
Asante Bwana Yesu🙌
Amen 🤲🤲🤲🤲👏👏🙌🙌🙌
MUNGU ndiye wa kuinuliwa na sio mwl.kwa kuwa utakuwa unamwabudu yeye badala ya kumpa MUNGU sofa tusiwe tunasifia huduma yake Bali MUNGU tu ndio apewe sofa Amen
Barikiwa sana utunzwe sana na kuhifadhiwa.Mimi nakutakia huduma njema.songa mbele
Ubarikiwe na Mungu, Mungu ainuliwe zaidi kwasababu unawajibika kuhubiri injili yake
Yesu Nahitaji nguvu za Mungu Kwenye Mfumo wa KAZI ELIMU ofisi na ajira yangu Kwa Damu ya YESU naachilia nguvu zako Kazini kwangu nisikwame Kwa Jina la YESU KRISTO
Kwa hiyo nguvu za Mungu zinatenda kazi kwa kuomba... Mungu anafanya mambo makubwa kwa kadiri tunavyoomba...asante Yesu kwa mafundisho haya...
Ndiyo hivyo! Yaani, ingawa anatenda hata yale ambayo hatukuomba, lakini ni sahihi kabisa kwamba Mungu anatenda kwa kidiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu! Waefeso 3:20 (kwa ufafanuzi zaidi).
Asante Bwana Yesu
Hallelujah
Yesu Kristo Asante
Amen
We love you so much thank you for your attention to be ready to save the LORD
Ameen
Amina 🙏🙏🙏
thank
Jesus
Amen
Ameni🙏
Unastaili BWANA
Hakika Kuna. Kitunimepata ambacho ni kipyakabisa. YESU. AINULIWE MUNGU MJALIE. M tumishiwako.
Amen 🙏
Naelewa sasa kuhusu kiriba cha zamani na kiriba kipya.
mifumo🤔🤔🤔
Kwaajili ya nini
Amen 🙏
Hallelujah
Amen