3. MBINU ZA KUSHINDA VITA VINAVYOKUJA VYA KIFIKRA KATIKA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: MBEYA
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Semina Ya Neno La Mungu Mbeya // Day 3 // Tarehe 25 Oktoba 2024
.................................................................................................................
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
M-PESA 0754 211 633
0752 888 847
TIGO-PESA 0715 511 633
AIRTEL MONEY 0682 657 080
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
WEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _
CRDB BANK
ACC: 01J2032214400
JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE
Mwlm, Mungu aku zidishie maarifa zaidi ya kutafakari Neno.
Mwalimu anatupa madini kiasi kwamba hadi naogopa, Jina la Bwana Libarikiwe.😊
Asante mungu kwa kituletea mtu wa kutufundisha kwa hekima tusaidie kuelewa
Kwakweli mwalim Mwakasege baba hutadaiwa 😢
Umefanya kazi kubwa kutuambia ,kutufundisha,kutuonya jmn 🙌
Yaani mpk machozi yananitoka
Mungu wa mbinguni akubariki baba maana mafundisho yako yananifanya Mimi Kila siku yananitoa hatua moja kwenda nyingine, najifunza kusoma neno na kuliishi neno la Kristo ndani yangu, Namuomba Mungu azidi kunipa neema ya kulisoma neno lake,kulielewa na kuliishi....pia awabariki watumishi wote wa Mana kwa kazi nzuri Tena yenye baraka
Asante Mungu kwa ajili ya mtumishi wako
Siri nzito, Mungu akuhifadhi kwa ajili yetu❤
Asante MUNGU wangu kakunifungua ki fikra.
Mungu asante kwa uduma ihi ya mana kwn imekuw fraja kwa watazania
Kweli baba wengi hatusomi neno
Nimeona juzi uliposoma mstari wa ...kuwa kiongozi wa wajane tangu tumboni
Tulipigiana mpk simu marafiki kadhaaa kila mtu anashangaa haujui huo msrtari😮
Yesu tusaidie.
Na kiukweli nimesoma sbb ya masomo yako, hasa vya agano la kale,unavyofundisha inafanya mtu awe interested kusoma!
Ubarikiwe baba Yesu akutunze
Mwalimu hii ndio shida nimekuwa nikipitia sasa😭 kusoma neno ata kuomba ni changamoto kwangu, saa ingine naijiulz je hii imani niliyo nayo ni ya Mungu wa kweli? Sijui kwnn naumia sana.
Ubalikiwe mtumishi
Hakika Mungu nimwema barikiwa
Mungu atukuzwe kwaajiri yako na yetu pia mwalim
❤❤❤❤Uaminifu wako Mungu ni mkuu mno 🎉
Eti chura ni special meal 😂😂 baba Mungu azidishe miaka uishi SANAA ❤️🇰🇪🇸🇦
Imagine😅😅😅 hata wangesema nguruwe basi kama kuku hawajaona😅
@jesusislord8560 🤣🤣haya maisha yanazingua bna thoo
😂😂😂😂😂@@arubalydia224
Yesu tusaidie
Kwahiyo sshv inatakiwa umuulize Mungu nn mtt au we mwenyewe asomee huko chuo kabla hajaenda
YAWE YAWE WEMA AWAKO NI WAMIMILELE I'm from Kenya boder kilimanjaro
Naomba nitafute kuenda kwenye kongamano
Amen🙏
Uturehemu Bwana twaomba!
Ameen ❤
❤
Asante mwalim ubalikiwe
AMEN
Ameen
Aiseee ss nimeelewa kwann unatakiwa ulijue neno kwa kusoma
Maana km ndo wanabadirisha kidogo kidogo na hujui memo itafika mahali unasom akiti amba
1Kor 10:15
😂😂 nimecheka huu ushuhuda wa chura🙌
Kumbe kuna kufunga bila maombi nimecheka mimi😂😂😂
Lisiloghoshiwa🙏
Hakika
Ameen🙏
Ameeen
Ameen
Ameen