😂😂😂😂hataariii nakukubali jot upo vzr sana kwa msio elewa huyo dem alitaka kumkwepa jot na jot king'ang'anizi Lakin mlango ulikuwa wazi mpo vzr sana hongeren 💕💕💕
Washabiki tupazen saut sopaa na kipande walud bnaa yaan hapa sopa pale kipande huku mama same pale mlewa kule kisnai hapa like siliaziii kule kidada kile smart modo Reina dah joti ludisha wale wazaman bna acha kutuzinguabshabik zako
Tatizo bongo movie mnazingua, housegirl kasema geti limefungwa na boss kaenda na funguo, hali iliyopelekea Joti kuruka fensi ghafla boss karudi anapiga honi afunguliwe dada wa kazi anaenda getini na kufungua geti kiulaiiiiiini bila funguo,. Which is which? Jipangen mnapoandika scrept zenu ziendane na mnachotuonyesha bwana.
Mdada aliyeigiza dada wa kazi ameigiza vizuri sana.
Hongera kwake.
Sanaaa
Ni kweli 😁😁😁😁
Lulu I miss u kitambo sana best
Ila amedudanganya boss kaondoka na funguo ndiomana hakumfungulia geti Nishai lakini boss amepiga honi ameenda kufungua
@@amourabdallah2978 🤣nikajua nimeona pekeangu
Nyie watu hamlali mie huwa nashanga hata wapost usiku namnagani mpo tu😀😃. Basi kama unamkubali joti kama mimi tujuane.
Funguo kabeba halafu kaweza kufungua. Ndio sijaelewa.
All in all Joti noma sana 😁😁
I short Ni hivi... Binti wa kazi hana mamlaka ya kuingiza wageni ndio maana akasema hana funguo
Angecheza sopa ingenoga Zaid ❤️
Sikuhizi simuoni kabisa
@@Ryoof-qo7if jamaa liko vizur Sana
Acha kuzinguwa wewe,..
Sehem ya boss inamfaa sopaaaa
Kabisaa mim sipend sopa navokuwa simuon sijui kimewaka au anaumwa
Nakubar brother jot
Mbona kama tumepigwa mana alisema boss kaondoka na funguo,,alaf boss alivyokuja kafungua jot,,kuwa makini unatuangusha mashabik zako
Hata mm nimeshangaa
Jiongeze tu,huenda geti ni ya rimoti na demu mshamba tu!!!
@@shukuranikibona5893 sasa geti ya remote halaf afungue kwa mikono
Hahahaha kwakwel
@@khizralghawy9489 Ahaaaahaaaahaaaahaaaaaaaauuwi...Lock ya umeme na chini ina Komeo...By emege
🤣🤣😂😂✋ you're forever a LEGEND SWAHILI TO THE WORLD!!!.....
Jop
Poa
Hiyo sehemu ya boss anaiwezeaga Sopa
Yupo abadan tz
Wewe siumesema boss kaenda naufunguo vip tena unafungua mbio mbio 😜😜🤸♂️🤸♂️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️mtu kaogaa bila kutarajia
Huyo Suzie Leo alikuwa hataki bwana ake aje ndio maana kamwambia funguo kaondoka nazo boss
We muelewa wengine wana complain tu
Umeona eee
Hamna kitu...
Dada wa kazi alisema boss kabeba funguo na boss karudi kapiga honi dada kaenda kufungua as
Ndo najiuliza hapo hata mimi
Joti unazingua, hii sehem ilikuwa ya sopa kabisa
Sopa anaumwa corona
Kweli kabisa
@@maikodaudi6918 sema kweli?
Kabisa an
Sopa arudi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 weeeee
Jamaaaaaan kwakweli
Mungu akupe umri mkubwa zaid
Pindi langu pendwa siku yangu imeisha hvyooo😂🙏🙏 from mwanza mwanza
Yani huyu kiboko hata kama umenunu utacheke eti mie jirani yenu nimekuja kuomba mwiko umeonaeee basi hayaaaa 👌😍😘👌💯😅🤣
Joti afeli ligi sema mademu waongo sana akutaka jot aje magetoni
Sema alisema wameondoka na funguo afu kafungua yeye kwa ndani😂😂😂.....Bigup👊 Mr. Mhuvile
Nishai hajawai niangusha, ila leo katufunga kamba kama bosi kaondoka na funguo aliporudi get kalifungua je, aisee 😁😁😁😁
😂😂😂 ata mm nnashangaa
😂😂
Kafungua kwa nje,, uyu dada kachomoa machuma tu chini apo
Ila hii nafas ya Bo's inamfaa sana sopa
La remote sense pengine
Angesema getini pamefungwa camera hapo tungemuelewa
Boss hajui..angekua sopa
Sopa Ange ekti kama boss ngoma ingekua inogileee ila bigap saana kwa wote mlio shiriki
Ngoja nawengne wajarbu
Aki nishai ww ni mr. Bean wetu😁😁😁 tunakupenda 🥳🥳🥳🥳🥳🥳 from 🇬🇧
Nimecheka kifala asubui hii 😀😀😀😀😀 big up joti💪🇹🇿.
😀😃😀😄 haka kajamaa ni nomaaa aisee
Asanteee
Joti kama joti😂😂😂😂😂😂😂piteni na kwangu jamani..kusubscribe muhimu 😘😘😘🙏🙏🙏nawapenda sana
Nakubali mama keki
Nakukubali sister
😆😆
chukuchukuuu 😂😂😂 yaniii cjavaa ki2 ndanii.. like kwa Jot tafadhal
Mletee mpira...bring the ball 🤣🤣🤣
😂😂😂😂hataariii nakukubali jot upo vzr sana kwa msio elewa huyo dem alitaka kumkwepa jot na jot king'ang'anizi Lakin mlango ulikuwa wazi mpo vzr sana hongeren 💕💕💕
Nazani hawaelewi haoo
Haha I love you from Kigari Rwanda
Nishaiiiiii mr bean weeeetu. Tunakupenda firdaus from uk 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧💃💃💃😂😂😂😂😂😂
KWANI SOPA YUKO WAPIIIII😂😂😂😂😂😂😂
Abadan tz
Apa kaka angekaa sopa ingekua good sana
Dahhh...eti atakua ngedere uyuu...nishai katoa jicho hilo baad kuitwa ngedere...🤣🤣....pumzi zinakataa pimbi wewe...nilijua tu Nishai atageuzwa mauaaaa😆😆
😂😂😂😂😂😂😂
Washabiki tupazen saut sopaa na kipande walud bnaa yaan hapa sopa pale kipande huku mama same pale mlewa kule kisnai hapa like siliaziii kule kidada kile smart modo Reina dah joti ludisha wale wazaman bna acha kutuzinguabshabik zako
Asa mbona gari lililokuja Geti likefunguliwa kirahisi tu...anyway ts just a comedy well done
Wamesahau vitu vidogo vinacost
Oi umeniwah kuuliza hilo seal..but let's keep watching
Kwelii
Hata mm najiuliza
Umakini mdogo au niseme uzembe
DIRECTOR KAFELI MBONA HUYO DADA ALISEMA FUNGUO KAONDOKA NAZO BOSS MBONA BOSS HAJAFUNGUA GETI MWENYEWE
😂😂 JOTI BHANA UNAMWAGIWA MAJI UMETULIA TU AHAHAHAHA ,, MBONA KAMA NGEDERE 😅
🤣🤣🤣🤣
Bosi kaondoka na funguo lakini dada kafungua geti🤣🤣🤣
Hapo wamechemka😄
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sasa imekuwaje ikapata funguo wakati alisema hana funguo
Nimeshangaa ata mie apo kachemsha
@@jacklinejohn222 🤣🤣🤣🤣🤣🤣irudiwe
Tuna wakubari sana mashabiki zetu
Mlewa kipande yupo ap jaman
Kipande bwana alikua anamchezo wa kumuibia joti hela zake bila kujua anaiba nani siku ndo akafumwa hapo hapo na kazi ikawa basi
Funguo kaondoka nazo boss boss karudi geti limefunguka bila funguoo
Nishai jumps a fences 😂😂👍. Naombeni kazi ya transcription and translation.
🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆
He waters flowers😂😂😂
Duuuuuuuuh!!! Uvumilivu Umemshinda Kaamua kusema Mwenyewe pumzi inakata
"Nimekuja kuomba mwiko " 🤣😂😂😂
That part was funny 🤣
@@missmannydxb 😂🤣
Nenda Yanga wanao na wanasemaga uko kule nyuma
@@mamlee7983 😂😂😂
Join noma.
Weweeee Pimbiii Weweee Bwege Nini pumziii inakata huku 😂😂😂
We need sopa kwa seti mkuu...tumemmiss
Geti kafunguaje sasa na funguo kasema anazo boss wake
Dada katoa wapi ufunguo wakati nishai aliruka ukuta. Ila kitu kikali big up Joti
Mi Mimi pya nimejiuliza kama ww
demu hakutaka joti aingie
Mmfeli sehem moja nishai aliruka ukuta funguo anayo boss Sasa vipi boss apige honi afunguliwe kwa ndan na msichana bas msichana angemfungulia na joti
If sopa angekua hapo kama boss I swear this comedy could be better than this
Sure
Kabisa sopa anawezea sanaaa
Yupo abadan tv
Hatari xn kaka 🔥🔥🔥
Nani kaona leo joti kasahau kuvua pete yake ya ndoa?🤣 Dk 7:47-8:02... Bravo joti na Team nzima wanatuburudisha sana.
Hapa nimetapeliwa mbs zangu. Si dada WA kazi kasema bosi kaenda na funguo za lango zote.
Nishai usiwe unachelewa sana ,,uswege anakuja juu😂😂🤣🤣
Mwambie ajue hilo 👏👏
Joti eeeh si boss alifunga geti sasa mbona tena housegirl kafungua geti😅😅😅. All in all mmetisha🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Hapo ndo walipozingua ...funguo aliondoka nazo boss af dada kafungua get hahaha
subtitle za joti zenyewe ni comedy😂😂😂😂😂😂😂😂
hahahah acha tu
Mpira....ni Ball🤣🤣🤣
Uwiii nilikuwa sisomagi ulivyo sema hivyo nimesoma majanga ya ngeli😅😅😂😂😂🤣🤣
Yani ni balaa zito
Nakukubali joti
Hivi Joti hizo subtitles na zenyewe umeamua kutuchekesha au!!!?, he waters flowers, he jumps a fences, 😄😄😄
Wapi sopa jamn khaaa
Sasa hapo si alisema hana funguo? Mbona bosi alipokuja hakufungua? Hapo Joti umetupiga
Nam najiuliza hapa
Alikua hatak kumwingiza itakua
Kweli hapo wametupiga
Kwa sisi malijend tunaelewaa, uyo manzi alkua hatak mwamba aingie ndan ndo akamrusha ivo
😂😂😂😂
Daaah jot mbavu zangu jaman
Tatizo bongo movie mnazingua, housegirl kasema geti limefungwa na boss kaenda na funguo, hali iliyopelekea Joti kuruka fensi ghafla boss karudi anapiga honi afunguliwe dada wa kazi anaenda getini na kufungua geti kiulaiiiiiini bila funguo,. Which is which? Jipangen mnapoandika scrept zenu ziendane na mnachotuonyesha bwana.
Labda dada wa kazi alimdanganya joti je !?
😂
@@nestinaviolachemba7914 sasa unamdanganya ntu anaanza kuruka unamuangalia hadi anapanda anaingia ndan any way ni Bongo movie tu! ndo wanaweza hivyo.
Umemalizaa mzee wamezingua kinoma kmbe umeona
@@dando7819 jamani itakuwa tu Dada wa kazi alimdanganya joti
Mdada wa kazi kapatia sana ila joti ulitumia ngazi hujaruka ulivyo mfupi kama cha asubuhi
Funguo za geti kaondoka Nazo,afu gari limefika kafungua bila kupewa funguo 😅 achen hizo bhana
Amkeni amkeni Joti keshafanya yake 💃💃💃
Na subtitles juu,lazima wakae😂😂😂😂😂
Dah kaz nzurii
Amefingua geti wakati boss aliondoka na funguo😂
Hao ndio bongo movie😂😂, hapo wameshajisahau yaan kivupi hawapo makini
@@fahamnitwahir9249 chezea bongo movie wew 😁😁
Boss umesahau kuwa ni comedy hii
Hahahahahahah jirani nmekuja kuomba mwiko🤣🤣🤣🤣🤣🤣
King kïbå 🔥🔥
Simba
King Kibaaaaaa
Kibaaaaa💥💥💥
Sopa hii ingemuusu sana na ingekuwa safi sana
Daaahh🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣
😊😂😊😂😊😂😊😂😊😂😊😂 Aah unajua sana Joti tasnia hii ina elimisha na itafika mbali
This man kills it always
For sure…!
Wapi mzee wa b1
You always make me laugh 😂😂
Hakuna kama Nishai bg up sana.
Mmeicheza vibaya sasa mbona gate ilifunguliwa na binti wakati hana funguo?
Ilehoni ndoufunguo
Acha Masikhara Na SakaraTul Ummaut....Allah Atujaalie Qauli Thaabit
👏👏👏👏💯💯
Nishai moja kali sana 😂😂😂😂😂umetulia waoshwa😂😂😂
English subtitles mnazingua sana, mnacheza na lugha za watu tafsiri haiendani kabisa.
Wow 🤩 🔥🔥🔥😂
Kumbuka alisema ana funguo zinechukuluwa na boss wy Bos awe anapiga oni
Shiit 😂😂😂
Kwanini umemtoa sopa
Oya pimbi oya pimbi we bwege nn punz zinakata huk🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣😍
Haha mlisema Bo's kafunga saiv anafungua dada tena jot vip
Hahahahahaha ilo ua, mwana kakuogesha duuuuuu
Ila joti wee ni mshenzi kweli kweli, any wote wako sawa ila sopa huwaga ndo kiboko
😆😆😆😆😆 boss noma kweli mbna kama ngedere
Hapa kwa Boss angekuwepo SOPA ingekaa kizazi zaidi 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 Hata hivyo sio mbaya
Msha danganya kuondoka Na ufunguo Ume fungua Vipi geti 😂😂😂 Sasa
😂😂😂😂nimekuja kuomba mwiko😁😁😁😁😁joti ww kiboko
Aaah joti eeh..beki tatu kasema boss kaondoka na funguo akakufanya ukaruka na fensi. Imekuaje kaenda kufungua geti kirahisi vile
Maua yatamwagiliwa koteeeee..ungetembea na sabuni Tu...
Joti wewe ukuta mrefu huo jamani.Safi sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣geti kalii oyeee
Jamani kwa yule alieelewa hli neno la chukuchuku anipe like zangu.
mi mwenyewe nshaumiaga mguu kwa kuruka ukuta😁😁😁😁😁😁