TOP FIVE JOTI TV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 228

  • @modyabdalla769
    @modyabdalla769 2 года назад +153

    Kama unamkubali joti naomba like hata 20.

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 2 года назад +14

    Joti umetisha sana ndugu zangu tujuwane naomba like tundumishe upendo❤️❤️❤️❤️

  • @salimjuma1033
    @salimjuma1033 2 года назад +41

    Nakukubali mwambaa nipeni likes jamanii

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 2 года назад +44

    Namiee naomba like zenu wapenzi wa joti tv kama mimi 🥰🥰🥰🥰

  • @dskillz3203
    @dskillz3203 2 года назад +15

    Huyu jamaa anaweza kuigiza character zote 🔥🔥🔥yaani iwe msichana .au mvulana au babu au bib zote anaweza 💯

  • @shabanizena2612
    @shabanizena2612 2 года назад +6

    Kama zote ulishaziona kama mimi naomba likes

  • @victoriakyando4307
    @victoriakyando4307 2 года назад +41

    Wa kwanza leo mnipe like zangu 😊

  • @mustavic7750
    @mustavic7750 2 года назад +24

    Guys na Mimi naombeni hata like mbili tu jamani twende sawa, Joti is the Best comedian in Africa undoubtedly

    • @yasinhussen-2881
      @yasinhussen-2881 Год назад +1

      kwan like mnazipika mnakera 😏😏

    • @mustavic7750
      @mustavic7750 Год назад

      @@yasinhussen-2881 'you talkin' to me or 'em?

    • @yasinhussen-2881
      @yasinhussen-2881 Год назад +1

      to you like ni msosi au

    • @mustavic7750
      @mustavic7750 Год назад

      @@yasinhussen-2881 🤔 Nope! So do you think it's some kind of food?

    • @yasinhussen-2881
      @yasinhussen-2881 Год назад

      can you tell what are the importances of those likes that your craying for?

  • @mary2615
    @mary2615 2 года назад +15

    I love your vids 😘💕👍🏻

  • @dadyshunaydah9421
    @dadyshunaydah9421 2 года назад +72

    Tunaomkubali JOTI Tujuane Kwa Likes Nyingi Hapa 👍🏿

  • @ahmedjuma8664
    @ahmedjuma8664 2 года назад +4

    Nimeaza kukufwatilia hivi kalibunin nakubali kazi zako naomba like wana kikundi wezangu nipen like japo 10 za kunipokea

  • @rashidimrang3463
    @rashidimrang3463 2 года назад +7

    Joti ni Moto hatar Sana nakukubali Sana ukiekt mzee

  • @mathiasswai7006
    @mathiasswai7006 2 года назад +8

    Kweli hii ni top five zilinibamba sana hawa wa na chereko leo hqqa God bless more brother CEO wa comedy TZ,

  • @adamumbise4584
    @adamumbise4584 2 года назад +8

    Wa 23 naombeni like za joti jmn 😭

  • @fatumasalumu2869
    @fatumasalumu2869 2 года назад +19

    Joti nakupenda saaaaaaaaaaaaan😂😂😂😂😂

  • @burundibujumbura2078
    @burundibujumbura2078 2 года назад +4

    Mpaka hivi msomi hajaonekana!!! Respect yakhee

  • @sakinadolcas
    @sakinadolcas 2 года назад +5

    Joti twamkubali sana wa 🇰🇪

  • @samuelmwangu3301
    @samuelmwangu3301 2 года назад +7

    Hiyo ya baharini ni kali sana 🤣🤣

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 2 года назад +1

    Kiukweli jot unajua sanaaa hasa bahalini🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤kunakitu ulitufunza watu

  • @zakayommbaga3022
    @zakayommbaga3022 2 года назад +2

    Pamoja na hizi nilitamani iingie kwenye list ile ambayo joti aliingia kwenye daladala wakaanza kusemeshana na yule maza ambaye mwanawe baunsa alikuwepo, joti akaanza kumtukana alafu big akashuka naye😂😂

  • @HilarinaNgatimwa
    @HilarinaNgatimwa 9 месяцев назад +1

    Kaka unanikumbusha mbali Sana mtumbwi,ngombo,biro,merera

  • @ramazanda6204
    @ramazanda6204 2 года назад

    Nakubar xan Kaz zake joto ana bayaaaa allah amzidixhie siku za kuishiii

  • @dashuu5295
    @dashuu5295 2 года назад +1

    Joti mwambie mwambA nampenda jinc alivyo ..namuombea umri twaweeeeeel na kheir nying

  • @SophiaAlifa
    @SophiaAlifa Месяц назад

    Joti una kazi mbovu aisee ❤❤❤❤❤mmwaaaaa

  • @seifbakari3219
    @seifbakari3219 2 года назад

    Nakubali sanah Bro nishai.mUch appreciate

  • @albertmchopa4786
    @albertmchopa4786 2 года назад +1

    Kaka Nina Imani una kundi kubwa ambalo sisi watazamaji tunaona umekaa nao vizuri, maneno rahisi you have good management.
    Ushauri wangu hao watu ulionao umetengeza nao chemistry Moja Kali sana, hongera sana

  • @azizsaleh9402
    @azizsaleh9402 2 года назад +8

    Pongez kwa joti tv ❤ gonga like

  • @thomasgunje7640
    @thomasgunje7640 Год назад

    Habari kaka joti naomba sana mwamba sopa na kpande wawepo Kwa videos zako

  • @deborandewingia6120
    @deborandewingia6120 2 года назад +2

    No 1 yangu ni ya mwaka mpyaaa 2022 nishai alimtongoza mama mkwe hahaha

  • @jonasmongi7811
    @jonasmongi7811 2 года назад +2

    Mdudu joti sharaut sana

  • @boisalym9935
    @boisalym9935 2 года назад +7

    Sema hii ya shanga dah!! 😂😂😂😄

  • @clodoaldusrutakangwa2702
    @clodoaldusrutakangwa2702 2 года назад +2

    Dah!!! Nakukubali sana🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡

  • @dizwavoko_tz
    @dizwavoko_tz 2 года назад +1

    Namba 3 ni kali sana Kwa upande wangu

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 2 года назад +9

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nakubali Sana Bro Jotiii scene zote 🔥🔥🔥🔥😘👌

  • @payanally_official_18
    @payanally_official_18 2 года назад +1

    Yani joti zilizowekwa hapa zote ni za moto tupu hii ya msomi ingekosa list ingekua mbovu ila nimeziona zote nakubali sanaaaaaa

  • @dashuu5295
    @dashuu5295 2 года назад +2

    Haaahaaaa Leo joti kaamuw ajitathmini tuu

  • @waziribakari6067
    @waziribakari6067 2 года назад

    Yaani hii top 5 iko powa sana, ila namba 3 ilistahili ikae namba 2 na namba 5 iwe namba 3 alafu namba 2 iwe mwisho but All in all zote kali.. Unastahili pongezi kwakweli👍

  • @flavianchuwa4370
    @flavianchuwa4370 2 года назад +1

    Sema hii ya Kupiga Makasia 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄

  • @omariamiri5556
    @omariamiri5556 2 года назад

    Joti nomaa..... Like zangu sijawah omba like ndo nimeanza kuomba mwaka huu

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 года назад

    Joti mjinga jamani sijapata kuona,sasa hayo macho👍👍👍👍😁😁😁❤❤

  • @BOBO_CHANNEL
    @BOBO_CHANNEL 2 года назад +2

    JOTI: Mamaaah!
    MAMA: Eee mwanangu
    JOTI: Na taipuuu
    😅😅😅😅

  • @rutegekajules5243
    @rutegekajules5243 2 месяца назад

    Number Moja joti

  • @TheMoneyBoy6
    @TheMoneyBoy6 2 года назад +1

    No 1.ni ya Urithi wa baba

  • @ahmadsaid4878
    @ahmadsaid4878 2 года назад +2

    Top five za kwang Mm jot Tv ..1 ile ya sopa na kipande na mama dame kwenye gar joti unabambia abilia..2 ile joti inaitwa imenifka hapa 3 .ile joti na sopa na kipande inaitwa Babu mlinzi 4 ..ile joti kipande sopa na joti inaitwa paka shume 5 ile joti kipande na sopa inaitwa Miss buza😀😀😀na yanyongeza moja joti sopa na kipande inaitwa soma script

    • @erickjohn9345
      @erickjohn9345 2 года назад

      Kumbuka ni za 2022 bro nyingin hizo co za 2022

    • @ahmadsaid4878
      @ahmadsaid4878 2 года назад

      @@erickjohn9345 sawa lakn hzo ndo za kwang mm tu

  • @ismailmatari3889
    @ismailmatari3889 2 года назад

    kesi ya kuku ndio no 1 yangu na sijaiona hapa

  • @robertkenyanchef
    @robertkenyanchef 2 года назад +2

    Kazi nzuri sana Joti

  • @Muba-Gucci-TV
    @Muba-Gucci-TV 2 года назад +2

    1)Barua
    2)bastola ya baba
    😅😅😅Izo niatar sana

  • @emmanueloinoth
    @emmanueloinoth 2 года назад +5

    Namba mbili inafaa moja😂😂

  • @suleimansalim8744
    @suleimansalim8744 2 года назад +1

    leoo jotii hana mpyaaa

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 2 года назад +1

    Ile ya kanyinyi ndo ilikuwa no 1,ilikuwa fire.

  • @maliharajabu8917
    @maliharajabu8917 2 года назад

    Nice vedios😃😃😃😃😃

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 2 года назад +7

    We Love You Joti💖💖💖💖💖💖💖💖💔💔💕💔💕💓❤❤💗💗

  • @zakomone7672
    @zakomone7672 2 года назад

    Naomba like 3 tu

  • @slimpeewee1426
    @slimpeewee1426 2 года назад

    wazungu ni wetu kwakwel like mbili tatu itakuwa yechu yechuuu

  • @flavianchuwa4370
    @flavianchuwa4370 2 года назад

    Namba mbili fundisho toshaa

  • @maryambigirimana987
    @maryambigirimana987 2 года назад

    NAMUPENDA sana

  • @mohdkhamis3857
    @mohdkhamis3857 2 года назад

    Wazungu ni Wetu,wametuletea shanga,alelelele,,sema ktk top ten mngeniwekea ile ya Condom aisee!!!

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 2 года назад

    Hyo ya msomi ndyo Kali maana inamanisha usimzarau mwezako na kazi yake

  • @maryammwinyi932
    @maryammwinyi932 2 года назад +1

    Namb moja yng ile kanyinyi usitupe ela serikal inakuona🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @edyi9187
    @edyi9187 2 года назад +3

    Wa 20 kukoment naomben like 20 tu

  • @janeselineselinejane4377
    @janeselineselinejane4377 2 года назад

    Joti number moja kwangu🔥

  • @mwanamisiramadhan4773
    @mwanamisiramadhan4773 2 года назад

    😁😁😁na ile ya kupewa pesa ilkuwa 🔥🔥🔥🔥ile serikali inakuona usitupe pesa

  • @kassimmachela8259
    @kassimmachela8259 2 года назад +1

    Big up joti

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 2 года назад

    Nawesha paka moto mama😂😂😂boss katolewa mshahala sijui atakulipa nani

  • @briantafari9224
    @briantafari9224 2 года назад

    Andunje🔥🔥🔥 +254 hapa!

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 2 года назад

    Kuiacha BASTOLA YA BABA na WANATUFATILIA umezingua Kaka...!! Taja nyingine kali ambayo Joti kaiacha..

  • @leylamohamed9939
    @leylamohamed9939 2 года назад

    MVUVI ni best all of time

  • @abdallahselemani6423
    @abdallahselemani6423 2 года назад

    Joti ana fiti akiigiza baibui

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 2 года назад +2

    Kadeal na mamdogo halafu kamlie cha mkongo 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @arnhemzuid8885
    @arnhemzuid8885 2 года назад +1

    Kanyinyi amnong'oneza nini Bwana Harusi, 🤣🤣

  • @pendonangali2316
    @pendonangali2316 2 года назад

    Hahahaha mzee mhuni huyu sarutii joti

  • @saimonsaimon2059
    @saimonsaimon2059 2 года назад

    Unajua Sana 👍

  • @saadatfadhili4305
    @saadatfadhili4305 2 года назад

    Hii namba 5 hatari sana

  • @stevegido2604
    @stevegido2604 2 года назад

    Binafsi zote kali ila KAZI YOYOTE uliua sana kaka😂😂😂#BODY TO DODY

  • @katyalengajua6716
    @katyalengajua6716 2 года назад

    Leo huna jipya kabisa au umeishiwa

  • @ediusgabriely615
    @ediusgabriely615 2 года назад +1

    No 3 made my day akii😂😂😂

  • @erickmidomsodock8716
    @erickmidomsodock8716 2 года назад +2

    Siku Yang imeisha hvyooo Sina stress kabca 😆

  • @rajabmtunguja5269
    @rajabmtunguja5269 2 года назад +1

    Joti unajua mpka unakera😅😅

  • @aluteonlinemedia5574
    @aluteonlinemedia5574 2 года назад +1

    Usisahau kuscribe channel yetu like na Kukoment ili Kuwa WA kwanza 👆

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 2 года назад

    Nakubali mkubwa

  • @erickjohn9345
    @erickjohn9345 2 года назад +1

    Sema ungeweka tupige kura joti, kuna clip kali zaid umeziacha kama "usipite eneo la jeshi" imechukua had Tuzo halafu hujaiweka

  • @nelsonlovenes178
    @nelsonlovenes178 2 года назад

    Ukiangalia vzur kwenye computer hamna uhalisia hujachomeka hata waya wa vig eei

  • @FredMinja-gw1uv
    @FredMinja-gw1uv 2 года назад

    Episode ya Kesi ya kuku naona ndio namba moja kwa 2022 😂😂

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 2 года назад

    Kweli 5 bora

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 года назад +1

    Jot 👌🏽👌🏽😘

  • @mihadimihanju2255
    @mihadimihanju2255 2 года назад +1

    Yuko good jot

  • @adolphdamas3189
    @adolphdamas3189 2 года назад

    Cheka Joti....
    Na mm Leo ninewah

  • @issanofal2166
    @issanofal2166 2 года назад

    Wazungu ni we2 hhhhhhh umeuwa sana

  • @jacklinechuga2569
    @jacklinechuga2569 2 года назад

    Yan watu wa comety ndo mna like nyingi kuliko joyi

  • @jacklinechuga2569
    @jacklinechuga2569 2 года назад

    Me napenda joti akiigiza andunje

  • @josephshirima8181
    @josephshirima8181 2 года назад

    Aupingwi joti..

  • @laurentgama1834
    @laurentgama1834 2 года назад +1

    Video ya NINAHAMA is my best siku zote 😂😂

  • @jacklinmacha2964
    @jacklinmacha2964 2 года назад

    Joty aliiona ile ajal ya ndege laivu leo hii majaliwa kawaokoa wasom na suty zao

  • @japhetkarisa2897
    @japhetkarisa2897 2 года назад

    Joti wazungu ni wenu

  • @amanizomsela5860
    @amanizomsela5860 2 года назад

    Namb moj Yang n kesi ya kuku

  • @sophiaramadhan4019
    @sophiaramadhan4019 2 года назад +1

    Wazungu ni wetu 😂😂😂

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 2 года назад

    🤣😂😛🤸 Talented

  • @clintoncharles956
    @clintoncharles956 2 года назад

    Unajua😂😂😂

  • @selemanijuma6739
    @selemanijuma6739 2 года назад

    Uyu nimwamba sana

  • @rehemafredrick7794
    @rehemafredrick7794 2 года назад +1

    Joti nakukubali mbavu zangu 🤣🤣🤣