Yaani huyu baba simpendi mimi jmn kwa nini unapenda kuwaongelea wenzio kwa nini usiongee kiustarabu tu .usimseme magufuli 😢tafadhali baba tunakuheshimu
@@josephmarole5159Sasa kila cku kuongelea wastaafu au waliokufa ndio itampa wafuasi? We unazani chadema awaibi? Uliona Kampeni zao za uchaguzi? Chama maskini na walikuwa wanaibiana je wakipata nchi itakuwaje? Awake hoja la sivyo atapoteza mvuto zaidi ya kupata wafuasi wasiosoma tu
Haya siyo matusi anakera sana. Na huenda wale HAMAS waliyotokea wakati wa kukabidhiana mateka baada ya siku tatu huenda walitokea TANZANIA KWENYE MAFICHO.
Bora ya mwenyekit mbowe kuliko huyu shinda yke hana hekima na busara ktk mazungumzo yke fany siasi za kiistarabu bro.❤❤❤❤❤ mama wa taifa mitano mingne.
@godwineliya4686 ni muongo kweli kwani hujui,mkosa akili wewe kama bichwa lako mshenzi mkubwa wewe bisu lako moto wa mungu unawasubiri,hata namie namalaani mara mia moja. Ibilisi nyang'au huyo wa ubelgiji,atakushawishi wewe falaula.
Ee mora mora muumba wetu,sikia vilio vya masikini wako,,, waja wako,,wanyonge wako,, angalia tulipo fikia sasa, tutazame kwa huruma sisi wanyonge wako,, tuokowe katika safari yetu ya uchaguzi Baba,,wasimamie viongozi wetu,, walinde kira kona wakanyagapo,,waongoze vyema katika mikutano yawo,,ww ndo ukawe nguzo ya moto mbele yawo,,bira ww bwana,hawezi kitu,, aminaaaaaaaaa
Wa Tz wengi hawana Malinda una mcrash mtu bila Hoja na mtu anae mcrash utashaangaa mlala hoi kaka mimi Sijui kwanini hutupendi mtu anaeongea ukwel Tundulisu anaongea ukwel tupu lakini lijitu lina pinga bila hoja Tutabuluzwa san nchi hiii
Tatizo ya watanzaniamtu anae sema kweli nikumuita majina yasofaa kichaa chizi mwenda wazimu taira lakini yote ukweli utabaki kua ukweli kwawale waolopew akili yakuelewa na mungu lisu yupo sawa hata kama mtamchukia pia ushauri Kwa lisu urudi sana kwamungu nazieshimu sana dini wakati waongea myaje sana mungu ndo salama Yako usimjali atakae kusema kwaubaya Bali msaadi ni mungu tu
Kwan bandari mwanzo zilikuwa wapi acha siasa chafu Lissu... Mwanzo bandari sizilikuwa kwa wachina tena karibu miaka 30 huko, leo wameamua wabadilishe muwekezaji kisa ni waarabu ndio useme kauza, Huyu mpuuzi sana. Sasa sisi hatutokubal na usitufanye sisi kama wajinga,, ukileta Udini utoboi
Mwenyekiti unapoongea angalia sura za watu unapomtaja JPM, utasoma kitu. Usiwe unaongea peke yako, angalia audience yako. JPM remains a hero in this country forever. It doesn't matter who says what, nothing will change his status as a hero. R.I.E.P. JPM
Mtu yeyote anae msema MAGUFULI kwa mabaya tuu hua namuona ni fara mpumbavu asiejielewa na utafeli kwenye uchaguzi kuendelea hivo yani wewe levo za MAGUFULI huwezi huwezi kuzifikia hadi unakufa levo zyako wewe nizakina january
Sasa Lissu watendee haki walio kuchagua basi maneno yako jaribu kuyapima maana una kuwa kama umerukwa na akili, usijisahau kiasi cha kuvua heshima yako ukiamini watu wanafurahia jaribu kujistahi.
Wacheni siasa zisizo na kichwa na propaganda ..wastarabu ni wale wanaozungumza vitu sio wanaozungumza watu hata waliokufa..Allah awaoneshe haki watu wa siasa kujua haki
Magufuli mwacheni apumzike😢 kwa Amani, I ❤ Magufuli with my❤
Kwahiyo mkapa asipumzike Kwa amani...? Mbona umesema magufuli tu umemwacha mkapa
Kwa hiyo mama samya asemwe?
Acha ubaguzi
Lisu akipotezwa msimtafute.
Hii ni kwa sababu ya uijnga wake wa kutukana wakubwa.
Samya ameshavuka hata kabla ya 2025.
Kidumu chama cha Mapinduzi...
KIDUMUUUUUUUUU
@rashidmohamed1949Tafakari kauli yko,
Fanyayote Lissu lakini usimguse Magufuli utapoteza muelekeo
Kweli kabsa
Ajui magufuli ana kundi la wa Tz wanampenda japo ya mapungufu yake
Mnampenda mwizi?
Kama kuna alichofanya hovyo kwa nn asiguswe
Kila ana mapungufu,
Pepoooz power ✌️🇹🇿
Kama una Imani na tundu Antipas mugwai Lissu
Atatuvusha taifa hili like comment
Akuvushe kwenda wapi wee juha
Juha hufanyi kazi unasubiri kuvushwa
HIKI CHAMA BAADA UCHAGUZI KINAKUFA
@@oltetiangaroya8489 Juha unaelewa au akili ni matope unasubiri kuvushwa?
Atawazamisha kwenye mto usioonekana huyu mkosa akili mwenye mdomo kama choo cha stendi. Wewe ndie mwizi maskini.
Yaani huyu baba simpendi mimi jmn kwa nini unapenda kuwaongelea wenzio kwa nini usiongee kiustarabu tu .usimseme magufuli 😢tafadhali baba tunakuheshimu
Unifikii mimi
Sema mweyeki🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mh Prof lisu uko vzr zaidi ya jana
Lissu hana nidhamu ya siasa atateseka sana anashindwa kutangaza sera ya chama anabaki kusengenya viongozi😢
Lisu anaongea kweli,mnaoona kuwa lisu anaropoka mjitafakali sana,lisu ndiyo talegemeo letu sisi wanyonge.
Kama unaamni Bandari wamegawa na kodi za biashara zinapanda gonga like hapa
MUNGU akulinde najuwa umekabidhiwa🎉🎉
Sema baba sema baba jiwe lao lisu mzarendoooo🇹🇿✌️✌️✌️❤️❤️👍👍👍💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🚣♀️🚣♀️🚣♀️🚣🚣🚣🚣🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🏊♂️🏊♂️🏊♂️🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@@RastaMany-p8x nyiooooooo
Mungu akubarik
Kwel akil huna jenga hoja sio matus kila ck hata hufai kuwa rais
ila majizi ndo yanafaa siyo
@@josephmarole5159Sasa kila cku kuongelea wastaafu au waliokufa ndio itampa wafuasi? We unazani chadema awaibi? Uliona Kampeni zao za uchaguzi? Chama maskini na walikuwa wanaibiana je wakipata nchi itakuwaje? Awake hoja la sivyo atapoteza mvuto zaidi ya kupata wafuasi wasiosoma tu
Sasa jaman hii ndyo agenda ya upinzani duuuuh kwisha
Tusi ni lipi
Haya siyo matusi anakera sana. Na huenda wale HAMAS waliyotokea wakati wa kukabidhiana mateka baada ya siku tatu huenda walitokea TANZANIA KWENYE MAFICHO.
Huyu kichaa😅, ujasiri hatari 😅
Hakuna uongozi hapa
Lisu Bado sana kwenye siasa hana sifa za utawala lisu nimtu mwenye visasi sana hatufai ss watanzania
Wiongiz kama hawa Nyerere aliwakataa mapema
mr lissu akiongea jambo basi ujue kaona mbali na ana long vision
Hovyo kabisa, mmechemsha kumchagua huyu mropokwaji.
Ila msemakweli sio
Ahsante kwa kumfuatilia kula madin yao chuma cha mjeruman
@@Ankomagu-h4kukwel unauma😢😢😢😅😅
Maboya huwa yanataka ukweli ufichwe ..ili mabadiliko yaje lini
Sasa ukweli huo ndio tangu 2010 ,, unaongea hayo hayo tu? Haya mkapa na Amagufuli inasaidia nini kuzungumzia waliokwisha kufa?@@sizorstartv6168
Kichaaa kweli,kweli .kichwa kimeyumba haswa
Wamempa kichaa rungu
Mnoooooooooooo
Huna sela broo
Ongea sera zako sio kutaja wenzio huna aibu kumtaja marehemu magufuli alishatangulia mbele ya haki
Hahaaaa tumekwisha😊😮 wamempa kichaa rungu. Ona sasahakuna sera za chama ni matusi kwa kwenda mbele. Huyu ni mshenzi sana
Mungu akusaidie
Huyu hana akili hana sera bali kama mlivo sema ni mropokaji ni kweli chama kinaenda kufa😅😅😅😅😅😅
Utakufa mwenyewe
Bora ya mwenyekit mbowe kuliko huyu shinda yke hana hekima na busara ktk mazungumzo yke fany siasi za kiistarabu bro.❤❤❤❤❤ mama wa taifa mitano mingne.
Namuona ana km ukabila pia😢
Ustaarabu ni kusema kweli unafiki siyo busara na wewe ni mnafiki kwa hiyo wewe siyo mstaarabu
Dini inahusika Nini jaman? Huyu mtu vip?
Napita tu
Napita tu
I'm akenyan but i'like Hon tundu lissu, so maybe he will be a president of Tanzania next time
Hapo Kwa magu mzee wangu unafeli
Magufuri ni nani Asisemwe mungu mwenyewe Anasemwa Acheni Aongee anamaumivu
Kivipi
Kakosea Nini kwani uwongo
Anaferi si anatoa ushahidi
@godwineliya4686 ni muongo kweli kwani hujui,mkosa akili wewe kama bichwa lako mshenzi mkubwa wewe bisu lako moto wa mungu unawasubiri,hata namie namalaani mara mia moja. Ibilisi nyang'au huyo wa ubelgiji,atakushawishi wewe falaula.
Bora Mwizi kulikobaguzi. Mwizi hamjui mwizi ila ni mwizi mwenziwe.
Wachafue wengine lakini magufuli muache hata kama mlikosana muache mzee wawatu Apumnzike😢😢😢😢😢
Hamna kiongozi hapoooo
Uchafuuuuuu
@@Mohamedi-y1j kweli kabisa hata mie ananikera sana.
Hii ya lini?
Kakosasela uyooo matusi na kelele basi anajuaje wenzie wezi nayeye mwizi vilivile kiongonzi tumia mda wako nafamilia yako nchiuiwezi😊😊😊😢
Wee ni Rais gani uliwai kumsemea mema? Ovyo kuwaongelea walio tangulia mbele za haki
Pole Lissu mbona umeshindwa kutawala mdomo
Aibu mnoooo
😢😢😢
Mwaka huu ccm kazi mnayo,Lissu baba pambana tunakuombea kwa Mungu useme ukweli Tanzania ipone
Ee mora mora muumba wetu,sikia vilio vya masikini wako,,, waja wako,,wanyonge wako,, angalia tulipo fikia sasa, tutazame kwa huruma sisi wanyonge wako,, tuokowe katika safari yetu ya uchaguzi Baba,,wasimamie viongozi wetu,, walinde kira kona wakanyagapo,,waongoze vyema katika mikutano yawo,,ww ndo ukawe nguzo ya moto mbele yawo,,bira ww bwana,hawezi kitu,, aminaaaaaaaaa
Amina
Amiin
Jamani tuwe makini na wanasiasa hizo ni kweli sera jaman
Cjapata onaaa afaiiiii
Sema usemavyo lakin huwezi kukabizi nchi hii
Nani anakabidhi nchi kwa 😢nani , pole yako
Mungu akupe ulinzi Kila uendako kwa faida yawatanzania
Mmmm
Anayetukana Wakubwa hana ulinzi.
CHEZEA CCM UONE CHA MTEMA KUNI
Kanuma mlitaka afe na hakufa hii ni miujiza hiyo
Ivi wanaocheka nimatahira au? Matabira?
Magufuli unamuonea
Hapo unagusa mboni za wengi
Ubarikiwe
Unapomsema mtu huku ukihusisha dini hapo unapotea
Nakuonea huruma ndg
Hamasisha watu wajiandikishe kupiga kura wakati ukifika
Kwa kweli
Njaaa mbaya Sana
Uislam unausu nini hapo
Ni roho mbaya tuuu na Ana chuki za waziwazi kwenye dini yetu.
Nitashangaa kumuona Muislam akimchagua huyu mbaguzi
Duh huyu hafai kuwa kiongozi
Motec Wala kilanja afaiiiiiiii
Kuwa makini kwa magufuli utachemka kabisa. Nikishaanza kukusikilizq lakini umenikera
Staha ni muhimu sana
Mnoooooo
Usimguse magufuli lisu ila nakubali sana kula yangu nakupa pipozi pawa
Wa Tz wengi hawana Malinda una mcrash mtu bila Hoja na mtu anae mcrash utashaangaa mlala hoi kaka mimi Sijui kwanini hutupendi mtu anaeongea ukwel Tundulisu anaongea ukwel tupu lakini lijitu lina pinga bila hoja Tutabuluzwa san nchi hiii
Uislaam unakujaje hapo kama sio udini unamla huyo lisu wako
@gelamuyombo6783 uslam upi wew ukati kawataja Marais wote ni wezi uslam upi alieutaja
Utaishia majukwaani kuongea tu😂😂😂😂
Aya wewe utaisia peponi
Tena mnooooo
Tena mnoooo
@@MaryKihata labda pepo ya mamako
Siasa z Tanzania walizoachiwa na Nyerere UDINI UKABILA
Mka.🎉😂
Tunakukubali Lisu lkn Magufuli mwache sisi wananchi tunampenda
Na ww ni mwizii unakumbatia ushoga na Trump amewakataaa nyie mashogaaaa
Kama Hana hekima kwa rais wake je kwenu nyie je wananchi?????????????
Utaupata kweli uraisi kwa style hii cheo kidogo tu hivi unawaka
Baraha busara ziloo
Alahu akbaru😮😮😮😮
HII MBONA YA SIKU NYINGI 😂😂😂😂😂
Hii ya lini
Nakukubali baba
Nurdin ACHA HIZO Rais ashitakiwi aibe auwe afanywi chochote ni kwa sababu ya katiba.HAYO YOTE NI YA KWELI.
Nikweli n mwiz
Tatizo ya watanzaniamtu anae sema kweli nikumuita majina yasofaa kichaa chizi mwenda wazimu taira lakini yote ukweli utabaki kua ukweli kwawale waolopew akili yakuelewa na mungu lisu yupo sawa hata kama mtamchukia pia ushauri Kwa lisu urudi sana kwamungu nazieshimu sana dini wakati waongea myaje sana mungu ndo salama Yako usimjali atakae kusema kwaubaya Bali msaadi ni mungu tu
Watanzania wengi hawajui lolote
Ninachoomba kwa mola wetu ni amani tuu hatuhitaji .mkuwa Kama Congo sisi mama mwaya endelea tu na kazi zako
Yanga na kager
Analeta udini huyu jamani hafai kuwa
Wewe Tundu Lisu kwa nini humuachi JPM wetu akaendelea kupumuzika kwa amani? Wivuuu na roho mbaya kwake.
Wana siasa wote wezi kila mtu atafutia tumbo lake😂
Habari njema inapo hubiriwa wafuasi wa sheteni walikejeli , tunajua hawata ipenda kweli, wametawaliwa na dhulma, unyang'anyi n.k
Sasa Hapo unaona point gan anaongea
Ukweli hauna njia nyingine ya kusemwa.
Kwan bandari mwanzo zilikuwa wapi acha siasa chafu Lissu... Mwanzo bandari sizilikuwa kwa wachina tena karibu miaka 30 huko, leo wameamua wabadilishe muwekezaji kisa ni waarabu ndio useme kauza,
Huyu mpuuzi sana. Sasa sisi hatutokubal na usitufanye sisi kama wajinga,, ukileta Udini utoboi
Kwaiyo wewe unajifanya mtakatifu sana au kuliko wote
Mwenyekiti unapoongea angalia sura za watu unapomtaja JPM, utasoma kitu. Usiwe unaongea peke yako, angalia audience yako. JPM remains a hero in this country forever. It doesn't matter who says what, nothing will change his status as a hero. R.I.E.P. JPM
Lisu oye
Lisuu huna sela nimeamini toa hotuba ya maendeleo
Jamàni mtu kasha fariki. Bado unamsema tu unatukumbusha machungu jamani muache apumzike kwa amani ww ndo utakuwa mwizi mkubwa
Sikuzote muovu hawezi kufurahia kweli ni mwiba Kwa waovu, nasiku nichache hapa duniani ila wamepigwa upofu hawawezi kuona wadhani wataishi milele.
Mtu yeyote anae msema MAGUFULI kwa mabaya tuu hua namuona ni fara mpumbavu asiejielewa na utafeli kwenye uchaguzi kuendelea hivo yani wewe levo za MAGUFULI huwezi huwezi kuzifikia hadi unakufa levo zyako wewe nizakina january
Mimi mwenyewe kaniboa kumsema Magu wangu tuachie Mpenzi wetu apumnzike kwa amani
Kama ni mwiz ataitwa mwizi
Kwan uongo hakuuwa tumia akili
Mimi napita tuu jamani
Hamna mtu hapa
0 point zilo
Sasa Lissu watendee haki walio kuchagua basi maneno yako jaribu kuyapima maana una kuwa kama umerukwa na akili, usijisahau kiasi cha kuvua heshima yako ukiamini watu wanafurahia jaribu kujistahi.
Lisu una mawakili wangapi kwan
Kweli
Mpaka Dunia iishe hatuwezi kulipa kwani unapokea maagizo kutoka ubelgiji
Achana na Magufuli wewe kenge! Mbwa koko, Magufuli was my here.
Mh Tundu kwa kwer waga nakerwa na hotuba zako mda mwingine lakin naishiaga kucheka😂😂
lisu mm namchukulia kama nangalia Osman bay azam
kitawaka soon . muda si mrefu watamkumbuka mbowe 😂😂😂
Huyu mwamba kwelikweli,mama kayakanyaga awamu hii kitaeleweka tu
Atakufa this time buda
Kwanza amezungumza lini hii?
Wacheni siasa zisizo na kichwa na propaganda ..wastarabu ni wale wanaozungumza vitu sio wanaozungumza watu hata waliokufa..Allah awaoneshe haki watu wa siasa kujua haki
Ukitaka kumtambuwa kiongozi kwenye hekima na busara Utamfahamu kipindi Anapngeya huyu afayi kuiongoza nchi
Kuwa mwanasheria sio kua utakua Kila kitu shahada sio lazima ujue Kila kituu bandari Sasa ina tia faida sasa
Huyu dishi limeyumba tumchulie mlemavu wa akili
Huyu jamaa namkubari kitu kimoja anajikubali lakini hana busara na hana hekima ya jinsi gani ya kutatua jambo Ubaguzi umemtawala lakini Urais hauwezi
Chadema ya lissu sasa inakinukishaaaas😅😅😅😅😅😅😅
Huyu jamaa achafue wote ila magu amwache pembeni