YOUNG KILLER MSODOKI FT HARMONIZE - UNAIONAJE (OFFICIAL VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 893

  • @MapenziMartin
    @MapenziMartin 3 месяца назад +24

    Nani bado anatazama kaziii adi sasa 2024 🎶🕺🕺

  • @emmanuelmanga25
    @emmanuelmanga25 7 лет назад +33

    Niko hapa Korea kaskazini nilikuwa kwenye harakati za kurusha kombora na rafiki yangu Kim, kaniruhusu kucheck huku fasta.Ngoma ikofresh sana na wale mayoung hawakuwezi ujue.

  • @donardkisoda9572
    @donardkisoda9572 3 года назад +5

    Aisee alafu sasaivi wanakufananisha na wtoto wanao bweka bweka Anna wakukushusha kwenye rap bongo ni ya youngkillermsodoki respect blood like kama umeipitia tena 2021.22

  • @levythadon6387
    @levythadon6387 7 лет назад +143

    youngkiller ni rapper mzuri xana kama unakubali weka like hapa

  • @silybwoy4320
    @silybwoy4320 7 лет назад +38

    yah salute mziki mkuu sasa aya ndo mapinduz tukiyokuwa tunahtaji safi sana young killer ft harmonize

  • @alayiajohn8582
    @alayiajohn8582 7 лет назад +21

    I wonder Hawa mahaters wanadislike hii ngoma Kali daah wanadamu wanafiki Sana wapi like za 612 na 254

  • @raphaelphilipo
    @raphaelphilipo 7 лет назад +21

    young mistar msodok mwenye killer zake📌😯😯😯🙌🙌🙌🙌🙌

    • @frankorgenes409
      @frankorgenes409 7 лет назад

      Nakubal xana mpo juu xana big up xana "rafiki wa karbu ndy anyekuaribia kaz unanichukia bure

  • @johndeus7897
    @johndeus7897 7 лет назад +28

    sawa young killer...harmonize umetisha kaka like na comment hii ngoma dunia
    mziki unakuwa ss

  • @nsajigwaelly4843
    @nsajigwaelly4843 7 лет назад +4

    Tuacheni maskhara huyu Dogo ndiye mc mkali kuliko mamc Mayoung wote lyrically,G-Funks,Flows,Punchlines,almost #YoungkiLLerMsodoki is Gifted Talent we have in HipHop Tz keep rockin +255 100%Hit.

  • @prettyedoedward8549
    @prettyedoedward8549 7 лет назад +9

    my country boy big up nice song young killer mwanza mwanza kama umeikubali gonga like twende sawa

  • @famally7138
    @famally7138 7 лет назад +11

    ila we mmakondee nyookoh saana maana kila collabo unafanyanga vizuri!! live kutoka nyumban hapa

  • @moseskessy2421
    @moseskessy2421 7 лет назад +11

    ukiskia nauza sura juu ya laki😎👌umu killer💣💥💥kawatapisha nyongo kwa izo punch👊👊🔥

  • @arusha24macoligo
    @arusha24macoligo 7 лет назад +10

    one love kwa hamonze na msodoki gonga like Kama tupo pamoja

  • @olivermwangombe2337
    @olivermwangombe2337 7 лет назад +9

    Young killer msodoki umetisha zaidi ya jinamizi na huna swagga mistari mithili ya kamusi..............gonga like kama umeiona

  • @faridkibavu2028
    @faridkibavu2028 7 лет назад +178

    kama umekubal ngoma hii gonga like hapoo

  • @Cyper255
    @Cyper255 7 лет назад +4

    Video Kali sana. Nimeamini Young Killer anajua kuchana.Anawakomesha wale wanaobana.Hachana na yule TrueBoy mwenye Laana.

  • @OfficialRaizoDopekid
    @OfficialRaizoDopekid 7 лет назад +23

    Young Killa changed flows like he changing gears in Fast n Furious ❤️❤️🙏🏾🙏🏾 Let's give it for Young Killa. All the way from 🇦🇺🇦🇺

  • @gervastweve8612
    @gervastweve8612 7 лет назад +124

    daah hatr ngoma msodoki ,ila naiona kabisa choras ilikuwa ya mavoko wanao support gonga like,

  • @alimusa9103
    @alimusa9103 7 лет назад +17

    hatareee halafu hao subscribers eti 132k...kweli!!! Kiba hafikii hata robo

  • @canstandtv2834
    @canstandtv2834 7 лет назад +3

    NIMEIELEWA SANAA HII SIPENDI UNAFIKI ALAFU UKAPOTEA HUKU NAKUANGALIA...CHAPA KAZI MAN ACHA WAENDELEE KUDIS WE INGIZA MKWANJA HAPA MJINI HESHIMA PESA

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 7 лет назад +2

    hata mkidislike mara million haisaidii kitu wanajisumbua mkunje mkunjavyo Wcb wamesha watupa mbali sana mtafute njia ngengine kwa njia hiyo nona mshafail kweupe

  • @mohamedmalikmillade8818
    @mohamedmalikmillade8818 7 лет назад +187

    Gonga like kama unatambua harmonize.....Live from qatar

    • @jebace
      @jebace 7 лет назад +3

      Mohamed malik upo wapi mwana mi naishi abu hamour karibu na villagio mall

    • @fatumaababy1281
      @fatumaababy1281 7 лет назад +9

      Mohamed malik inside Qatar iko love Wasafi.....Hatari

    • @zak5065
      @zak5065 7 лет назад +2

      +fatuma Ababy +974 ✔ ✌

    • @zak5065
      @zak5065 7 лет назад +4

      +Mohamed malik #WCB 🔥🔥🔥

    • @issayamahenge324
      @issayamahenge324 7 лет назад +5

      Konde boy ni shidaah😍😍😍😍😍

  • @issabwoy4750
    @issabwoy4750 7 лет назад +3

    msodoki anajuaa, line zke ni 🔥🔥🔥iba ukatwe mikono kisha ule kwa machoo, aah nomaa wweee

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 7 лет назад +1

    Kwa ngoma kali kama hii na video kaliiiiii manataka kushindana na #wasafi ......mtangoja sana

  • @emmanuelmahili3617
    @emmanuelmahili3617 8 месяцев назад +10

    2024s mkuje apa Kwa likes

  • @emmanuelsilungu446
    @emmanuelsilungu446 7 лет назад +1

    hermonize ameamua awe diamond kabisa na kuacha radha yake bila video na kujitambulisha huwezi jua kama ni harmonize una weza kujua chorus kafanya baba mwenye nyumba yake

  • @Raynize_Moneyboy
    @Raynize_Moneyboy Год назад +1

    Sikuwahi jua hii ngoma Leo ndio nimejua

  • @dinnosonzacharia3122
    @dinnosonzacharia3122 7 лет назад +4

    Mzee baba tunapambana na hali zetu
    Ila hii kitu ni 🔥
    U killed it rock city boy

  • @athumanramadhan8125
    @athumanramadhan8125 7 лет назад +2

    Wale ma kenge walio kuwa wanasema ooh monize kaharjbu c
    Chorus wapo wapi, mbona mpo kmya jee mmehiona video, ilivo kuwa super,gud

  • @mnonline5661
    @mnonline5661 7 лет назад +14

    hadith za sungura stakî niletee hadthi za watoo wenye chura wamàsàki Nomaaaaaaa

  • @salimsaidimu5512
    @salimsaidimu5512 7 лет назад +1

    Young Killer, fanya mikakati uanze kuimba sasa. Rap bruh maze itakuwaste... U got talent.

  • @godfreydominic3381
    @godfreydominic3381 7 лет назад +2

    dah kama ukitulia Killer kauwa sana humu ndani mistari ambayo inawachana adi madisliker

  • @newgentruckernocbakay4gyou915
    @newgentruckernocbakay4gyou915 7 лет назад +2

    Mtoto mdogo anakimbiza sanaa zaidi ya sana yana yani!
    Love young killer from 254.

  • @Cndigha
    @Cndigha 7 лет назад +1

    Wenye wamedislike hii ngoma wanakasoro aisee........wcb for life

  • @Ebendentalclinic
    @Ebendentalclinic 7 лет назад +1

    kwenye ngoma hii harmonize kabadilika sauti,kama umeskia audio before kuona video unaweza gundua hiko kitu,ila ngoma kali sana bigup youngkiller.
    hapo ndio hua nasema wewe n zaid ya dogo janja na young dee wanaojilinganisha na wewe

  • @favourspapatv
    @favourspapatv 4 года назад

    Young killer,kweli jina lako linaafikiana na kiwango,nakukubali mia kwa mia,afuu,ni mimi tu naskia kama vile Stamina yupo,yupo ama ni kivuli
    cha chana chana zake

  • @yudasyc8414
    @yudasyc8414 7 лет назад +1

    harmo kaanza na mavoko kamaliza na mond nyie WCB alipo mmoja ka wapo wote tu big up killer

  • @allykabwur3709
    @allykabwur3709 Год назад +1

    Naona umeweka mkaa alafu huna kibiriti we mtoto chokoza wahuni tukuwashie moto uonee😂

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 7 лет назад

    booom booom boooom.... uyu ndio killer wa kibiti muuaji mpaka waombe poo mayoung wenzake na hata yule trueboyaaa pia

  • @berryxmsanii
    @berryxmsanii 3 года назад +1

    Binti unkunywa beer na nguvu ni za soda👊👊🔥🔥🔥🔥

  • @sdtz344
    @sdtz344 3 года назад +1

    Nakubali sana song hili,namkubali younkiller mkali wa kuchana💪keep fighting

  • @insightfultom1971
    @insightfultom1971 7 лет назад

    nyimbo kali Sana million views ingekuwa safi kama ingefka harmonize safi saanah.... Sauti ya Diamond ingekuwa hapa Basi ingekuwa goma hatari

  • @slimpirate6020
    @slimpirate6020 7 лет назад +1

    Young killer hapo nimekupa tick naona umeanza kukomaa ki-muziki.. Big up

  • @danidiaz8617
    @danidiaz8617 7 лет назад +18

    Best Collabo..©Young The Killer
    ©Harmonize The Cleanest
    Tz we Are Best when it's WCB

  • @youngfoxid2880
    @youngfoxid2880 4 года назад

    Oy jeshiii mm nataka utoe nyingine na young killer, kali kama hiii nakubali sana tembooo

  • @mckoba2428
    @mckoba2428 7 лет назад

    msodoki wewe noma mashaili yako unajua kuyapangilia vilivyo yaani nakufananisha na afande sele jinsi unavyo panga mistali nomaaaaa

  • @jumashaban6036
    @jumashaban6036 4 года назад +1

    yani hii ngoma bado haijafika Million views, 3years🙆🏽‍♂️. wana tufanyeni kweli iende 1M. #Pambana na hali yako🇰🇪🔥

  • @kjtv7393
    @kjtv7393 7 лет назад

    daaah kunja ukunjavo me ntatusua..msodoki jini harmonize jini t tchouch ndo vampire kabisa

  • @cooljuice
    @cooljuice 2 года назад +2

    Hela kuipata mziki
    SHIKOLO SHILAMBU 😂
    Nazunyaga nkoyi

  • @eliuthamangula1791
    @eliuthamangula1791 7 лет назад

    Uuuh killer killer kiiiilleeeer...#pambana na hali yakoKALIIIIIIIIIIILove from +86

  • @berryxmsanii
    @berryxmsanii 3 года назад

    Kumekucha masela ebu tembezeni stiki
    Watu ni wabaya sana ila Mimi
    Wasani wanaroga sana
    Siwezi kuingia Kwa dhambi yako
    Ila ukatwe mikono na ulike Kwa macho
    Mistari yenye adabu👊👊👊

  • @denismachikaa6898
    @denismachikaa6898 7 лет назад +3

    kaliiiii harmo katisha sana..killer kwa hii u are at ur best

  • @lianaliana1691
    @lianaliana1691 7 лет назад +9

    nice song hamonaze na young killer keep the fire burning

  • @ishmaelegialan7354
    @ishmaelegialan7354 3 года назад +8

    Lit 🔥 big up young killer one love from 254 🇰🇪

  • @suppermarionmarion3475
    @suppermarionmarion3475 7 лет назад

    dadeq mwendo wa mateka mikono juu nmewanyoosheaa konde boy na mr pambana na hali yako 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @mariumgeorge6555
    @mariumgeorge6555 7 лет назад +1

    dah walioniambia Nile kona ....niliwambia wale penat!!! aisee

  • @likaldokalenga7443
    @likaldokalenga7443 7 лет назад

    Japo sielewi kinachoimbwa ila mi naliona hili dude nomaa....🔥 Unayeelewa kinachoimbwa kwani #Unaionaje!?

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 7 лет назад +2

    mkojuu wanangu respect kwenu nawapata live n clear hapa KIBITI #killerharmonize kichupa kimetulia😍😍😍 gonga like za #WcbKibiti hapa

  • @yoscomcvevo3961
    @yoscomcvevo3961 7 лет назад +16

    Harmokiller..Mmeuwaaa

  • @MrLoveMRW
    @MrLoveMRW Год назад +2

    Love From Burundi🇧🇮

  • @andrewmlamba
    @andrewmlamba 7 лет назад

    Safari hii Young Killer mpaka tukuone Trace TV na MTV.Big up kijana

  • @maxnzarombi5972
    @maxnzarombi5972 7 лет назад +1

    young killer umeamua kutu kill kabsa mashabiki zako kwa bonge la wimbo na bonge LA video.umetisha sana bro saruti kwako.

  • @fifianf2262
    @fifianf2262 7 лет назад

    I salute u Harmonize.....Acha niwakilishe Jeddah.....Mpooo

  • @PurpleGbeats
    @PurpleGbeats 7 лет назад +13

    Youngkiller Msodoki
    Never disappoints
    my mentor

  • @charlesdaniel8286
    @charlesdaniel8286 7 лет назад

    aaaaaah..mamae..young killa umeua kinomaaa sanaaaaa.big up...

  • @mohamedhabib2301
    @mohamedhabib2301 7 лет назад

    Young killer killed it damn!! One qn though, hivi kila wasafi musicians gat the same style ya Diamond! Hapa he imitated every Diamond pose and moves!!

  • @Adeen.1
    @Adeen.1 7 лет назад +1

    Rock city STANDUP...AHSANTE SANA MDOGO WANGU KILLER...T TOUCH PIA NISHIDAH MWAKA WAKO BABAAAA

  • @jenniferwingetasmah631
    @jenniferwingetasmah631 7 лет назад

    harmonize ajaitendea haki hii kazi. angekaa mavoko hapo ingekuwa bonge ladudee

  • @joycemarthajumanne8787
    @joycemarthajumanne8787 2 года назад +1

    nyimbo fire hata sijafika nusu way yeah

  • @erickmbise1063
    @erickmbise1063 7 лет назад

    bonge la ngoma mamaqeeeeee young killer we nomaa your no1 fan broo nimeeelewa San ngoma n kaliii kseng yan daaah ####n nomaaaaa

  • @omarymashauri7307
    @omarymashauri7307 7 лет назад +1

    lazima wakae Huyo ndiyo young Mwenye killer zake

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp Год назад +4

    2023 July 6
    Let's go
    Konde 50%
    Msodokii 50%
    Vocal Never die

  • @chongking419
    @chongking419 7 лет назад +13

    mmetisha video Kali na goma kali

  • @simonseyongwe
    @simonseyongwe 7 лет назад +1

    Toka jiji la Samaki Msodoki umetishaa #Ngosha mwenzangu

  • @tanescoperson3650
    @tanescoperson3650 7 лет назад +29

    temeke,ilala mnaionaje gonga like kama kama unaiona fire

  • @geofreychaulah1907
    @geofreychaulah1907 6 лет назад +1

    Usimtus baba ka hujui utakula wp! Hahahahahahaha!! Unaweza xana killer nakwelewa

  • @limbomambo9728
    @limbomambo9728 Год назад +1

    Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Junius Junius

  • @huldahlopez3759
    @huldahlopez3759 7 лет назад +1

    Hivi nahisi Harmonize kidogo anataka kumuiga Diamond like kama wakubaliana na mimi. Am not hating nyimbo ipo juu sana

  • @jimmyfabian5081
    @jimmyfabian5081 7 лет назад

    HILI JAMAA LIIMEMWALIBIA HARMONIZE CV LIMEMSHIRIKISHA KWENYE WIMBO MBAYA!!!!!!

  • @windjohn6206
    @windjohn6206 7 лет назад

    974 Qatar Top 5 kabisa..... iko burning 💣💣💣💥💥💥💥

  • @jeannahayo588
    @jeannahayo588 7 лет назад +2

    tokea u.s.a fast ku coment wcb4life

  • @cosmasnsojo4260
    @cosmasnsojo4260 7 лет назад

    Ngoma Kalii xnaa Salute Kwenu Young Killer Msodoki ft harmonize

  • @mrishojoseph7987
    @mrishojoseph7987 7 лет назад

    young killer nilivyosikia upo na harmonize nilipata mashaka kidogo nikahisi jembe langu utafunikwa na mtu mbaya kutoka wbc but kama kawaida baada ya giza unafata kuficha watu #umepambana_na_hali_yako

  • @ibradahasra3985
    @ibradahasra3985 7 лет назад

    nice video, nimependa nachokiona na kusikia pia, harmo umeua kunyama

  • @bobymagez2760
    @bobymagez2760 7 лет назад +9

    These guys jaman👏👏👏👏
    u cant compete them Lol**
    The combination is LITE****

  • @DancilleNdekezi-yt3kk
    @DancilleNdekezi-yt3kk Год назад +1

    Iyi ngoma inanioshaga roho sana much love fro burundi

  • @goz-bbubex4448
    @goz-bbubex4448 7 лет назад

    Huyu Hamonaizi Mbona Anaiga Sauti Ya Daimondi. Mbaff Kabisa!

  • @mdogo_ake_zarizarin1546
    @mdogo_ake_zarizarin1546 7 лет назад +2

    i see u harmonize 🔥🔥🔥🔥🔥 am living at japanise!!!!! i don't understand dic language but dis song u great dan all songs @youngkiller umepasua mbayaaaa maana dah si kwakucha huko lol🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wcb 4 lyf.

  • @chrisjustinvevojustinvevo7455
    @chrisjustinvevojustinvevo7455 7 лет назад +20

    cheers harmonize

  • @cdemohd8687
    @cdemohd8687 2 года назад +1

    Hii ngoma ni kalii but it is too sad it was not found on spotify

  • @evancetarimo900
    @evancetarimo900 7 лет назад +1

    Mtu amwambie Young Killer adondoshe hicho kicheko na hiyo "sinaga swaga kabisa"... Infact, we need a banger sio hizi story za huyu vs yule

  • @madytraditional4114
    @madytraditional4114 7 лет назад

    mwanza mwanza mabatin tunakimbiza kwenye gem...love you young killer

  • @Ogastijohn88
    @Ogastijohn88 Год назад +2

    Harmonize love music

  • @alquinmadoro5767
    @alquinmadoro5767 7 лет назад

    #young killer (msodoki) #harmonize
    Ndani ya #unaionaje
    Ngoma kalii kinoma ,na video kalii
    But hawa watu wanao #dislike hii ngoma daah ,kwenye msafara wa ng'ombe kupe hawakosi aseee,yaan hawa walio dislike wanaboa aseee,nyie mtapenda lini maendeleo ya wengine ,au mmetanguliza utimu kila #mahali

  • @masalumussa401
    @masalumussa401 7 лет назад +1

    duuuh!!!! video za wasafi jamani!!!

  • @jildow4533
    @jildow4533 7 лет назад

    big up brothers. Mungu amiongezee pmj na T Touch.

  • @ItsKaven
    @ItsKaven 7 лет назад +1

    Na Hadithi za Sungura Me Sizitaki eeh,Niletee Hadithi Za Watoto Wenye chura wa masaki😩😂✊🏾🔥

  • @eidyvanny
    @eidyvanny 4 года назад +1

    2020 imgn😂 tena mwezi wa nne ...twende nalo basi

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 7 лет назад

    Ngojaaa ya kawaidaaa mm mshabikiii wa youngkiller cnaaaaaaaaaa hiii ngomaaaaa mhhhhhh

  • @myshylysh3554
    @myshylysh3554 7 лет назад +140

    254 pita na kalike

    • @baggiebaggie7719
      @baggiebaggie7719 7 лет назад +3

      mysh lysh sijapata china ya fb ama instagram

    • @myshylysh3554
      @myshylysh3554 7 лет назад

      Dangote Sclivan tafta angel lysh prettier

    • @baggiebaggie7719
      @baggiebaggie7719 7 лет назад

      mysh lysh ig ama

    • @baggiebaggie7719
      @baggiebaggie7719 7 лет назад +1

      mysh lysh ingia online tubonge

    • @myshylysh3554
      @myshylysh3554 7 лет назад

      fb! tafta tu Angel lysh prettier Nina pic ya long hair na glasses Al accept the request