Fid Q Feat. Diamond Platnumz & Rayvanny - Fresh Remix (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 дек 2017
  • #FidQ #Freshremix #DiamondPlatnumz #Rayvanny #SlideDigital
    FID Q Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    Written & Performed by Fid Q
    Follow Fid Q on
    Twitter: / fidq
    Facebook: / fidhop
    Instagram: / therealfidq
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

Комментарии • 1,6 тыс.

  • @suleimanabdull9069
    @suleimanabdull9069 3 месяца назад +27

    Kama unasikiza 2024 gonga like hapa

  • @alenpeterlenibarbayduleni1307
    @alenpeterlenibarbayduleni1307 4 года назад +79

    Kama umerudia kucheki hii ngoma gonga like

  • @AboveandBeyondAviation1
    @AboveandBeyondAviation1 3 года назад +9

    Diamond is the GOAT..Simba toka mbuga la tandale.

  • @yusuphmligiliche8353
    @yusuphmligiliche8353 7 месяцев назад +5

    Mnanifanya nijisikie vizuri kama mbongo. Shukrani kwa masongi!

  • @abbynimel-kindy5107
    @abbynimel-kindy5107 6 лет назад +120

    Diamond weee nyokooooo.. Team mond like tusonge mbele happy new

  • @nalingacomedian3848
    @nalingacomedian3848 4 года назад +137

    Kama na ww unaicheki hii ngoma
    2020 dondosha LIKE YA KIBABE tujuane

  • @calebwanjala3177
    @calebwanjala3177 6 дней назад

    Fid Q ametisha kweli..ngosha..wapi likes za mondi

  • @bigfishke7100
    @bigfishke7100 6 лет назад +46

    Bonge la hit!! “Walitaka kiti nikawapea hadi kitanda wakalale “🤣🤣🔥💯💯🇰🇪🇰🇪

  • @florencekyalo4137
    @florencekyalo4137 6 лет назад +234

    diamond you can do each kind of music... that's magical

    • @denisobaga5066
      @denisobaga5066 3 года назад +6

      Ilikua diss track kwa alikiba

    • @gofex6821
      @gofex6821 3 года назад +8

      Diamond you are the Diamond

    • @prowriter5629
      @prowriter5629 3 года назад +2

      that's simba

    • @reberoprice8019
      @reberoprice8019 3 года назад

      Daddy Andre song

    • @wilbertthomas8357
      @wilbertthomas8357 3 года назад +3

      Diamond is only big artist in Tanzania for now no more than him 🎺 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @user-yd8sp4es9n
    @user-yd8sp4es9n 7 месяцев назад +7

    Kama umerudia kusheki ingoma piga like t

  • @UrbanCraftTv
    @UrbanCraftTv 2 года назад +15

    In Kenya, we have Fid Q's brother as Breeder LW
    Still fresh in 2022. Crystal clear in Nairobi, Kenya.

  • @richardmuli3907
    @richardmuli3907 Год назад +3

    Maulana 🙏🙏,alimpa nguvu yake kwa ndoto , kutoka binadamu maisha ya ndo, Kona kiwango Cha maisha kwa maulana 🙏🙏,anaweza kumbadilisha maisha yako, mziki nekama sauti ya binadamu kwa kiwango Cha biashara, Simba ndo mbunge wa wanyama, FOA ndo imesima kiwango Cha dunia, pesa ndo kiwango Cha mziki🙏🙏🍾🔥💯,naimpenda hii nyimbo sana , Simba as Nassib Abdhull juma heandelea kufanya mziki wako kama kiwango Cha ndoto yako, ilove you like my brother Nassib Abdhull juma

  • @VJSparks254
    @VJSparks254 6 лет назад +52

    Diamond pulled a Breezy stunt singing to rapping...Dope though.On my playlist any day

  • @jerryriga3704
    @jerryriga3704 6 лет назад +12

    ngoma iko mzuka sanaaa rayvanny home boy umenyonga chibuuu na fid kama kawaida yen ka vip FRESH...!!

  • @kelvinmhando9928
    @kelvinmhando9928 6 лет назад +35

    Video nzuri nyimbo nzuri wadada wamevaa vizuri. Huu ni mfano wa kuigwa.

  • @ashaherzog3566
    @ashaherzog3566 6 лет назад +46

    Mjini Schule wasitamani vyote vimelipiwa,kama upenda vya Bure lete Sahani utapakuliwa#Fresh💣💥💥💥💥

  • @Eric-rx8vg
    @Eric-rx8vg 6 лет назад +26

    Simba hatabirika kabisa... Yani mwalimu wa muziki 🔥🔥

  • @michaelkinyua8234
    @michaelkinyua8234 6 лет назад +86

    Baba Tiffa ama uniite Baba Nilani naskia naitwa Baba Dulli (laughs) Kuna mambo mitaani....🤣🤣🤣..#Fresh 🤣🤣

  • @Phinnydizaya-bt5zk
    @Phinnydizaya-bt5zk Месяц назад +1

    That guitar chord added some expensive values on this single 🔥🔥 Bado tuko fresh in 2024

  • @Kyambikwa
    @Kyambikwa 6 лет назад +84

    diamond just earned my respect music wise, this is fire

  • @mondewaldemar5632
    @mondewaldemar5632 6 месяцев назад +3

    Who else is here in 2023? No, only me? Mmh thats odd😂

  • @vokesabateea4333
    @vokesabateea4333 6 лет назад +22

    DOPE SANA...noma sana bigup FID Q kwa kufanya Diamond kung'aa na Rayvanny kupaa...naitwa boss na nina ball ka babangida...

  • @terrytubes1
    @terrytubes1 6 лет назад +13

    Weeh! Umenimaliza lips denda!

  • @danielkyalo1033
    @danielkyalo1033 6 лет назад +12

    2 thumbs up huu mzuk ni bab kubwaa qreat quality and it deserves more views#1

  • @timothyomondi6980
    @timothyomondi6980 6 лет назад +54

    Hip hop is alive...Fid Q is still representing the 90s

    • @bowattanga
      @bowattanga 11 месяцев назад

      💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪

  • @shyakaallison2536
    @shyakaallison2536 6 лет назад +22

    diamond bro what can't you do? this dude sings and Damn his flow is outstanding... respect

  • @tusaradrusia9670
    @tusaradrusia9670 Год назад +3

    Who's here in 2023

  • @michaelcharles4648
    @michaelcharles4648 2 года назад +8

    Aliyeona diamond kaua gonga like hapa 2021

  • @kruverthmasanula9914
    @kruverthmasanula9914 6 лет назад +242

    diamondplatnumz umeshindikana 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌nahitaji likes za chibu please

  • @kukurukakara8255
    @kukurukakara8255 6 лет назад +74

    platnumz really killed his verse

    • @richardmuli3907
      @richardmuli3907 Год назад +3

      Yes that's true, king is the beast of lion 🦁, king is the dream of power to God, world is the beast fun enjoying music, king is the best WCB

  • @youngjesus1359
    @youngjesus1359 4 года назад +2

    Daah Fareed hii remix ni kali sana fanya na mmoja wapo tena asee kubwa sana kazi hii Vanny Bwoy Simba For Life

  • @johannesmaloda8209
    @johannesmaloda8209 4 года назад +2

    Van boy mbaya vibaya.....namkubali kwenye vijembe na michambo et...lete sahani utapakuliwa

  • @axelnshimirimana5147
    @axelnshimirimana5147 6 лет назад +7

    wala hat sikukuwa najuwa kama platnumz ni best rapper kabise nice ma brothers

  • @akinyiokeyo4618
    @akinyiokeyo4618 6 лет назад +51

    Diamond si you are versatile.... nothing but respect.

  • @marymabondo7818
    @marymabondo7818 6 лет назад +7

    wanawake wamevaa kwa heshima na video tam Sana msivae uchi tena jaman

  • @jumamalilo749
    @jumamalilo749 6 лет назад +13

    🔥et n fresh kwa kubanda kubana pua!?! au kwenye miiko ya hip hop atakuw kaznguaa ngoma n motooo fid danger mond shida

    • @fiskaali1038
      @fiskaali1038 3 года назад

      Hatariiiiiii magufuli kwnda desiko fresh

  • @feniasmassema4192
    @feniasmassema4192 4 года назад +33

    Kama unachek hii ngoma 2019 gonga like twende sawa

  • @karohnganga2919
    @karohnganga2919 6 лет назад +52

    This dude always releasing fresh and big hits. Diamond huh u never dissapoint proud of u

  • @kaniyahiouise1474
    @kaniyahiouise1474 5 лет назад +23

    *Kama una mkubali FID Q na Diamond platnumz gonga like*

  • @jleene141
    @jleene141 3 года назад +1

    Who was recommended to this song like me

  • @venture_rafael
    @venture_rafael 6 лет назад +8

    Freshhhhhh
    happy new year everybody

  • @crkenya
    @crkenya 6 лет назад +12

    Diamond!Diamond!Diamond! How many times did I call you,it's like you're talking in tongues.Iiiii lllllooveee it!

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 года назад +1

    Yaani mistari ilochanwa humu ni ya hii hii ngoma. Yaani unaitungia ngoma ambayo haijatoka,Verse ya kwanza qubanda kamuimbia Diamond ktk hiihii kazi na Verse ya pili Simba kamtungia Fid ndani ya hii hii kazi. Hatari sana

  • @adammapunda2839
    @adammapunda2839 2 года назад +3

    Diamond anaona mbali Kuna dada amevaa barakoa na video ni ya mwaka 2017.

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 6 лет назад +116

    Kama umekipenda kipande kipande cha diamond like twende zetu madale

  • @salimmussa9719
    @salimmussa9719 6 лет назад +5

    Mistari ya fid q ni fire... Diamond verse also killed it. Hii ni combination kati ya king of hiphop in east africa , king of bongofleva na afro pop in east africa na crown prince of bongofleva

  • @stevemuraya2120
    @stevemuraya2120 4 месяца назад

    2024 its still a banger

  • @odiriawilliam2988
    @odiriawilliam2988 6 лет назад +5

    diamond ur the king in game no one like u ever...... tunakubali sana wew, big up sana king of hip hop. fidq

  • @guttamanlob566
    @guttamanlob566 6 лет назад +54

    kweli mm team kiba nimekoma
    jamani diamond we noma
    sana

  • @kbdmsafi_tz8094
    @kbdmsafi_tz8094 6 лет назад +3

    msanii anatakiwa hivi hongera mond sasa unatupa moyo wana chana pia imba ndo kazi nzuri

  • @dymesk650
    @dymesk650 6 лет назад +12

    Wasafi a big fun from narobi ..take fid.q as a rapper in wasafi sign him..diamond can spit too nice u shud do that often...

  • @daisyakai7351
    @daisyakai7351 Год назад +1

    Still listening to the world Best Bongo Artist @Diamind Platnumz 2023 Niko Freshi🔥@ Rayvanny......
    kwenda Na Miguu Zanzibari Freshi.
    ,kula Chapati KWa Kijiko😂

  • @tridybane
    @tridybane 6 лет назад +17

    Aya +254 weka signature hapa😆

  • @JamviOnlineTV
    @JamviOnlineTV 6 лет назад +214

    #fresh #fresh wabunge kucheza kamari fresh .... anko magu Kwenda disco #fresh

    • @yassinharuna3773
      @yassinharuna3773 6 лет назад

      😂😂😂

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 лет назад +1

      Karibuni kwenye channel yangu hapa RUclips na Karibuni ku-SUBSCRIBE.Bonyeza kwenye jina langu au picha yangu hapo litakupeleka moja kwa moja kwenye channel yangu.Shukrani

    • @goldtz5462
      @goldtz5462 6 лет назад

      Like simba kaua

    • @princessfettyrashidi2409
      @princessfettyrashidi2409 5 лет назад +1

      Topten Tv fresh😁😁😁😁

    • @pamelaivette3462
      @pamelaivette3462 5 лет назад +1

      Nani anaku mbuka hi mwakahu 2019

  • @jackglove6745
    @jackglove6745 6 лет назад +13

    Issa fìyàh gawn 🔥🔥🔥love from 9ja area 🇳🇬🇳🇬

  • @DjStep_thee_Don
    @DjStep_thee_Don 7 месяцев назад +1

    Diamond on a spaceship 🚀

  • @ashaherzog3566
    @ashaherzog3566 6 лет назад +4

    Mzigo#fresh Mjini Schule...#fresh💣💥💥💥💥

  • @jasoniddi
    @jasoniddi 6 лет назад +50

    Kali yani kila kitu fresh
    Kanyaga like kama unaikubali Fresh..🔥🔥🕵️‍♀️🕵️‍♀️🔝

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 лет назад

      Jason iddi
      Karibuni kwenye channel yangu hapa RUclips na Karibuni ku-SUBSCRIBE.Bonyeza kwenye jina langu au picha yangu hapo litakupeleka moja kwa moja kwenye channel yangu.Shukrani

  • @Christmas_banana22
    @Christmas_banana22 9 месяцев назад +1

    No way am here in 2023/2024

  • @steverozzy4650
    @steverozzy4650 6 лет назад +1

    Simba mbona freshi, Video kali tena sanr mzuka wenyewe umeweza,Mondi anazidi kutesa not forgetting Vanny Bwoiy pembeni,Fressshhhhh

  • @kanokhan5687
    @kanokhan5687 6 лет назад +6

    Balaaaaa iko hot kama umeipend🔥fresh🔥 gonga like hapo

  • @vickdimpolesnewshub
    @vickdimpolesnewshub 2 года назад +5

    Kunicompare na Cinderella haiezi kuwa freshi😅

  • @nicolasiyan6997
    @nicolasiyan6997 6 лет назад +5

    Video ipo fresh maana imezingatia vigezo vya Uncle magufuli

  • @matheworigi7017
    @matheworigi7017 6 лет назад +10

    Simba fq na rayvanny mko juu tu sanaa ktoka Nai!

  • @ahmednasir3972
    @ahmednasir3972 6 лет назад +16

    Acha Kaka aitwe Kaka shikamo kaka hii nyimbo unaweza kwenda na calculator kwenye somo somo la kiswahili huhuhu ni zaidi ya qonkiii

  • @sakabrave1075
    @sakabrave1075 6 лет назад +14

    high skool 2004 I used to holla ma self Fid Q. love from UG.

  • @onelovestop
    @onelovestop 6 лет назад +1

    Video Kali Wanawake Wabayaaaaa Kah

  • @polycapsamwel7736
    @polycapsamwel7736 4 месяца назад

    Who is here in 2024❤🎉

  • @barbarakimani6307
    @barbarakimani6307 6 лет назад +33

    Verse ya Diamond 💣💣💣💣
    #platnumzfever

  • @nyongesakidie5312
    @nyongesakidie5312 6 лет назад +19

    diamond soo you can rap🙌🙌🙌🙌🙌

  • @stenzybellah2028
    @stenzybellah2028 6 лет назад +2

    From Kenya gonga like

  • @rizikinash5187
    @rizikinash5187 6 лет назад +1

    Fresh ,,,wamarekani wanakula chapati kwa kijiko fresh 😄😄😄💟🤝

  • @jacobmuli6111
    @jacobmuli6111 6 лет назад +12

    I welcome vitu Fresh in 2018 with this Fresh Remix. A very good music. Niko kenya and I love Tanzania music all the time

  • @brooklynoketch3791
    @brooklynoketch3791 2 года назад +18

    That verse from Diamond!!!!....., didn't know he was this good

  • @ianjames7342
    @ianjames7342 6 лет назад +2

    Fresh indeed ..walitaka kiti ukawapa hadi kitanda walale..chibu got bars..

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 6 лет назад

    Manyunyu Ya Mvua Kwa Siafu huwa ni Mafurikoo...imeweza Gosh

  • @iconmusicke
    @iconmusicke 6 лет назад +17

    🔥🔥🔥 @diamondplatnumz Fresh

  • @michaelanthony7470
    @michaelanthony7470 6 лет назад +52

    wa kwazna ku coment,,happy new year na fresh remix

    • @hassanikhalidi4009
      @hassanikhalidi4009 6 лет назад +1

      ahsante

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 лет назад +1

      michael anthony
      Karibuni kwenye channel yangu hapa RUclips na Karibuni ku-SUBSCRIBE.Bonyeza kwenye jina langu au picha yangu hapo litakupeleka moja kwa moja kwenye channel yangu.Shukrani

  • @AGGREYKIHARA-uo9xk
    @AGGREYKIHARA-uo9xk 5 месяцев назад

    Nikipata cash nakua fresh kama cucumber 🙌

  • @shattranavyseal
    @shattranavyseal 9 месяцев назад

    Hii uiikuwa real vibe Tbt yangu siku zote wangapi wameusikiza mwaka huu

  • @jumbeybrowney7310
    @jumbeybrowney7310 6 лет назад +6

    Fresh...Tanzania our motherland... despite of every havoc we pass through,let be calm and knowing that the prosperity is a STEPWISE....FRESH FRESH FRESH,viva Tanzania!!

  • @eddy_njenga
    @eddy_njenga 5 лет назад +3

    If only diamond could be a rapper 🤠🤠🤠

  • @DIAMANTE1999
    @DIAMANTE1999 Год назад +1

    Freshiiiiiiiiiiiiii......hili goma ni hatari

  • @jamesfrancis2790
    @jamesfrancis2790 6 лет назад +2

    Ankomagu kwenda disko fresh💃💃💃💃👥

  • @Leo9Elite
    @Leo9Elite 6 лет назад +17

    That why people call him Lion 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @eunicemakuthu352
    @eunicemakuthu352 6 лет назад +16

    Diamond platinum part is fire 👌

  • @mudytz1844
    @mudytz1844 6 лет назад

    naitwa boss na nna boo kam baba ngida 😁😁

  • @anastaziabriana5780
    @anastaziabriana5780 6 лет назад

    fresh tu bro wanakumbuka shuka kumekucha fresh watakufata lakn hawatakupata fresh------

  • @yamkelamzobotshi6476
    @yamkelamzobotshi6476 6 лет назад +5

    Diamond Platinumz🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kemeistudios
    @kemeistudios 6 лет назад +31

    diamond u killed it,,n rayvanny super dope..

    • @sabasandrenethea6472
      @sabasandrenethea6472 6 лет назад

      dre derrico
      What's up bro?
      Welcome to RUclips channel and welcome to SUBSCRIBE.Just click at my name or pic and it directly to my channel.Thanks

  • @jumamuyanga8288
    @jumamuyanga8288 4 года назад +1

    Ngosha namkubali na diamond pia sana tuuuuuuuu WCB oyeeeee

  • @youngkillermsodoki7664
    @youngkillermsodoki7664 5 лет назад +2

    **Ngoma yoyote hile ndani akiwepo #Diamondplatmumz haija wai kuwa mbaya yaani simba hajawai kukosea hata siku moja Daah hii ngoma ni kali sana kazi nzuri #FRESH #Thelegendary #FIDQ #Rayvanny #Diamondplatnumz

  • @ddjmelvin4705
    @ddjmelvin4705 6 лет назад +16

    taking it to the next level ..totally frshiii

  • @sarayusufu256
    @sarayusufu256 4 года назад +7

    bado naitazama 2019 simba ndanger gonga like kama yotee haipo👍👍👍 fresh

  • @BongoCryptos
    @BongoCryptos 3 года назад

    Nani anaangalia hii ngoma mwaka huu yaani mwaka 3000?

  • @fundi.505
    @fundi.505 6 лет назад

    Naitwa boss na nina boo kama Babangida....Freshiiiiiiiiiiiiiiii

  • @wakaba3928
    @wakaba3928 6 лет назад +27

    Diamond though..daaamn!

  • @mwibebenoit2654
    @mwibebenoit2654 6 лет назад +14

    Fresh sana simbaaaa chibu -D

  • @kabulamusa8425
    @kabulamusa8425 6 лет назад +6

    Baresa kuokota siso fresh. Kwenda zenji kwa mguu

  • @williamomondi5800
    @williamomondi5800 9 месяцев назад

    Kaligraph shouldn't underrate hawa wabongo...Fid Q takes you back to the 90's