Kuna line hapo killer anaulizwa "why nyimbo zako hazina views million" sasa goma Kama hili wazee wangu kwann tusilifikishe million let's support the real talent
tafadhali sikiliza video yangu mpya ya muziki inayoitwa Controla kwenye youtube, nina hakika utaiipenda, Young John ft Dogo Janja ruclips.net/video/0NqOA2gfHq8/видео.html
Mana walimwengu hamnaga dogo,kupiga vibom kujazana home,kupiga mastory udaku eti jack ulipiga na ndom Killer unajua hao viwers milion usiwaze Omba Mungu akupe shoo ili maisha yaendelee najua one day tutafikisha hao viwers
tafadhali sikiliza video yangu mpya ya muziki inayoitwa Controla kwenye youtube, nina hakika utaiipenda, Young John ft Dogo Janja ruclips.net/video/0NqOA2gfHq8/видео.html
Aminia bro........👌🏾👌🏾 Mistari, yenyewe mikali Wala sio kama ya wale Wale ambao wanajiona wakali Hawatoweza... Bora uwavishe nepi wakalale..... Big up sana 👊🏾👊🏾
Killer! we noma mshikaji wangu achana na kimwanza mwanza tulikotoka nakukubali sana since day one.unaponiuliza rapa mkali bongo baada ya magwair R.I.P bro ni Young killer msodoki.hii ngoma nshaiview zaid ya mara 100 na bado cchoki hatari sana.take 5 nigga your best one of the best.
tafadhali sikiliza video yangu mpya ya muziki inayoitwa Controla kwenye youtube, nina hakika utaiipenda, Young John ft Dogo Janja ruclips.net/video/0NqOA2gfHq8/видео.html
You kill it bro love from LILOKO MEDIA much love Sana bro Niko na wew tangu dear gambe mpaka leo 🔥 juu 🔥 hujawai kuniangusha bro new girl friend nakeshanayo umenigusa Sana hii ngoma Safi Nilichofufah Sana mwisho waambie wathamin Sanaa wasanii wasife kwa madawa aseee true Sana Wewe ni king wa hip hop East Africa believe me 🔥🔥
Kuna line hapo killer anaulizwa "why nyimbo zako hazina views million" sasa goma Kama hili wazee wangu kwann tusilifikishe million let's support the real talent
Me nimeangalia mara 100
Hili goma balaaa na nusu 🔥
Naomba utoe ushauri wako katika kazi hii
ruclips.net/video/lkB1u4xyoqE/видео.html
tafadhali sikiliza video yangu mpya ya muziki inayoitwa Controla kwenye youtube, nina hakika utaiipenda, Young John ft Dogo Janja
ruclips.net/video/0NqOA2gfHq8/видео.html
Limeisha hilo Mzee
Youngkiller kauwa kweli 🙏🙏👇👇👇🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪likes za msodokii weweee bila wivu
Mwenye vyeo vyake
Naomba utoe ushauri wako katika kazi hii
ruclips.net/video/lkB1u4xyoqE/видео.html
Msodoki maxhine namuerewa xana jamaa
Nakuubal sana sema bac 2
Jamanii naombeni mnipee like za young killer , Mimi ni fan wake toka Kenya.
Jamn iii ngoma kaliii kwel young killer mkaliii kama umeskiliza kama mim zaidi ya mara100 gonga likee...
Lyrically i have never doubted you...but now i see your getting even smarter hii ngoma international kabisaa
Kama umerudia zaidi ya Mara moja kufatilia misemo humu ndani gonga like tujuane
Ngoma Kali xana
Sio kila young ni killer
Ma young wengne ni ma kimaaa
Km una kubalii gonga like zifike billions zaid ya viewers wa Diamond
MSODOKI KWASASA NDO habari ya town😁🔥🔥
This boy dropped it .. no words, from KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸
2024🎉🎉 tuko pamoja dondosha like kama tuko pamoja 🎉
Tunaendesha mandinga alafu hatushushi viooooo.....
Killer 🙌🙌🙌🙌
Mh mkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Akuna ngoma ya youngkiller inayonipita,,,,
Kama unalikubali Hili goma gonga like✌️🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇨🇩
UaK🇹🇿✌️
Noma sana
Unakubuka lakini zako
Hahahaha Huwez kuniuwa kwa kunitupa kwenye vishimo vya Omary nyembo a.k.a Ommy dimpoz nani mwingine kaelewa kama Mimi. BIG UP YOUNG KILLER
another level this song
#young_killer #big_up💪broo
Nakukubali adi dunia iishe coz unajuwa sio #kujaribisha
i wish yuotube wangeweka sehem ya kulike zaid ya mara moja...hatari sana msodoki🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Good work Young Killer Msodoki "Ila waambie waithamini sanaa wasanii wasikufe kwa madawa na pombe" Exactly
Young mwenye killer zake💥💥+254 tumekubali talanta yako.
Sijawai pata like ya bongo na 254 nipeni leo💥
🔥 🔥 🔥 🔥
Mana walimwengu hamnaga dogo,kupiga vibom kujazana home,kupiga mastory udaku eti jack ulipiga na ndom
Killer unajua hao viwers milion usiwaze
Omba Mungu akupe shoo ili maisha yaendelee najua one day tutafikisha hao viwers
Kavu kavu
Milion. Imetimia 2024 member achia likes kama zote
Hufai tena kuitwa young!ushatoka uko waachie wakina Lunya yo big killer nikka..💥
Young Dee,Dogo Janja Na madogo wengine wote nawaambia hamumuwez Msodoki gonga like twende sawa
Naomba utoe ushauri wako katika kazi hii
ruclips.net/video/lkB1u4xyoqE/видео.html
Labd rapcha kidgo anmkalibia
Halafu Lunya naye anakurupuka huko alipo anataka kushndana Young killer
@@abdulrazakikidudu1395 Rapcha Yuko vizuri sana
This is the true meaning of Hip hop
This guy really knows how inafanywa
Big up, since day one hutuangushi
nakubali sana broo killer,,,,,,,,I alway likes your verses,,,,may Allah bless you more and more
Eyoo killer,, Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya support na congratulations.. nakubali Sana, u killed it
Dah! Hii ngoma Broo..Naifanyia Cover juma 5 sibadirishi chochote unaniruhusu #youngKiller
I can't stop watching this song coz is in another level 🇺🇸🇺🇻🇦🇸🔥🔥
Its lit🔥
Hatareee ... Nakutambua Toka Kenya Maze Wewe Ni Mgenjee Zaidi
Ukiona mjanja kafa jua kuna mshamba kazaliwa apo poa don't give up young killer
This boi… 2022 mwezi wa inne tuko hapa, deep in Seattle Washington USA 🇺🇸 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Young killer ni rapper mkali sana apa bongo 🔥🔥🔥.gonga like twende sawa
Yani young ni jina lakini Ana WA killer wengi🇰🇪🇰🇪msodoki
tafadhali sikiliza video yangu mpya ya muziki inayoitwa Controla kwenye youtube, nina hakika utaiipenda, Young John ft Dogo Janja
ruclips.net/video/0NqOA2gfHq8/видео.html
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥ngoma kali sana
Mwamba nimekuelewa sana katika nyimbo zako zote hii ndo imekuwa am waiting for the next hit
Young lunya freestyle session 3👏👏 ....oh kumbe ni young killer😂😂😂 bas ni carl cartel,, ths man deserve respect.
Usimfananishe young killer na young lunya ambae MDA wote ataka kunya
Makin sana brooo uko pw kinoma💪💪💪💪
Broo bigap
👊sikupingi bro😆
Aminia bro........👌🏾👌🏾
Mistari, yenyewe mikali
Wala sio kama ya wale
Wale ambao wanajiona wakali
Hawatoweza... Bora uwavishe nepi wakalale.....
Big up sana 👊🏾👊🏾
🔥 🔥 🔥 🔥 Hip Hop
Msodooooooki....thats why tuktuk yangu nimeandika youngkiller msodoki najua kichwa hiki....naombeni like zake
Wimbo mkali,, Michano mikali,, Video Kali,, that is Youg Killer he killed it 💪💪
The boy is super… from America 🇺🇸🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎤🙏
Eeh bwana 😃😃😃😃 kiler msodooooki
Baba hii sikama ile trap ya leo hii iko motoooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥like nyingi kwa to to wamwanza
Imekaaa poa sanaaa,,,kizazi mnyamwezi #BOOOM!!!✌️
*Nani kamskia WHOZU kama mimi like hapa chini twende zetu on trending 🤙🤙🤙*
Naomba utoe ushauri wako katika kazi hii
ruclips.net/video/lkB1u4xyoqE/видео.html
i can't stop watching this song... sijawahi rudia nyimbo moja mara nyingi youtube kama hii....this song is🔥🔥🔥🔥🔥
Eti ukiona kuna mjanja kafa juwa kuna mshamba kazaliwa duuuhh😀😀😁😁
Young best rapper 👊👊
daah YOUNG KING Sindo Huyu bana🔥🔥
Hii ngoma ni umeweza jiwe juu ya jiwe "kuvamia kambi ya jeshi bila pistoooh" atal san youngkiller.
Duuh 🙆🏾♂️ bonge la tallent hili nakuombea uishi miak miaaa💯💯💯
😂😂😂aaaah young killer yako kaliiii Sana 🔥🔥🔥💪🙏
Killer! we noma mshikaji wangu achana na kimwanza mwanza tulikotoka nakukubali sana since day one.unaponiuliza rapa mkali bongo baada ya magwair R.I.P bro ni Young killer msodoki.hii ngoma nshaiview zaid ya mara 100 na bado cchoki hatari sana.take 5 nigga your best one of the best.
Daah we unajua hadi unaboa qmmq, naelewa sana mziki wako ma Gee...
Tm killer msodoki Tujuane kwa like
No one like you in hiphop music industry Bru🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 start from puch line, rhymes en creativity
Unajua mpaka kerooo mzeee ma young wengne wakasomee✌✌🔥🔥
Young killer nikuwa nakuelewa ila sasa ni zaidi yani africa nzima young lunya nampa namba 1 af young killer unafata
The true meaning of young killer
Creativity is all about art, Umri wako na unayoyafanya daaah? Nitofauti Sanaa nouumaa!!
Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hahaaaaa
@@nurupaul1845
Weuwee
Young mwenye killer zake💪💪
Naisikilza kutoka Aruuuusha one, hii ngoma ni Kali kinoma sana.
@Young killer uko wanted kwa kuuwa mistari ya hii ngoma🙏🙏🙏🙏🙏
Msodokiiii wa🔥🔥🔥sana n qbal mkal
👏👏👏naona Young Killer wa zaman ameanza kurejea
KAKA YOUNG KILLER HUU NI MOTO MZEEE KUDADEKI HUJAWAHI KOSEA HATA MARA MOJA MADOGO WANATOAGA NGOMA ILA WE UNATOA NGOMA NA NUSU KAKA 🗣️
Usiende kanisnani umelewa kama disco🎵
Usingoje kipofu akupe mkono🎵😂😂😂Msodokii🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakubali boy
This guy is the kaligraph of Tanzania, versatility on another level
This boy his deserve big respect always he did good music work hard killer one day u will achieve ur aim
Gonga kikombeeeeeee...cheaaasssss!!!💣💣💥💥
Aangal tunaisikiliza hii ngoma mwaka 2024
tunaosubri ngoma mpya kutoka killer gonga like hapa
Bonge moja la ngoma🔥🔥🔥💯💯💥💥
Msodoki kwenda mbele.....u Dax killer...love from Buja Burundi
The True meaning of Young killer means Young king.
tafadhali sikiliza video yangu mpya ya muziki inayoitwa Controla kwenye youtube, nina hakika utaiipenda, Young John ft Dogo Janja
ruclips.net/video/0NqOA2gfHq8/видео.html
You kill it bro love from LILOKO MEDIA much love Sana bro Niko na wew tangu dear gambe mpaka leo 🔥 juu 🔥 hujawai kuniangusha bro new girl friend nakeshanayo umenigusa Sana hii ngoma Safi
Nilichofufah Sana mwisho waambie wathamin Sanaa wasanii wasife kwa madawa aseee true Sana
Wewe ni king wa hip hop East Africa believe me 🔥🔥
YOUNGKILLER KILLING THAT BEAT
msodokiii ww ni level zingine 🙌🔥🔥
Msodoki umeuwa.
Ngoma Kali.
Ingependeza Zaid ufanye corabo.
Haikupendeza ushike uhuska2
Yaan nmeangalia weee, nmesklza weeee killer mm sjutii kuwa shabiki ako never
Huyu Dogo kwa Ideas yuko makini nadhani Akili yake ina umri mkubwa kuliko umri wake mwenyewe YOUNG GENIUS
Nomaaaaaa sana
King of rap...that's how we do it men👏👏
Mdogo wangu hujawai nangusha aisee. Nilimpenda paka rapa akanipa oil chafu.
I had to bow down for this banger, Msodoki umezika maiti kwenye hili dude..... Respect brother 🔥🔥🔥🔥🔥
Kam we ni team killer gonga like twende sawa
Killa kama killa mnyama
Young
ruclips.net/video/-txTQrZODQs/видео.html
ruclips.net/video/SX_6Vwv_Nj8/видео.html🔥🔥🔥
Mnyosha hunyoshwa hahaaa
This sh💪t still real in 2022… Wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸tumekubali tena🙏
Habali
Kaka wewe ni FUNDI unalalaje na aya mashahiri 🔥🔥🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Nakukubali sana young killer since day one! Nisha view hii ngoma mara 200
Ebwana chukua hizo 💯
Killer Killer 👊👊 sanaa iko mahali pake creativity 100% +254🇰🇪
U always young an Killing z ur work🔥🔥🔥🔥🔥
Killer Unajua sanaaaa Ommie🔥🔥🔥🔥
No one like young killer... Jamaa yuko creative sanaa❣️
Napcha
Everyone like *
Snaa
Youngkiller we nidunia nyingne izo punch kaka so zanchi hiii younglunya akasomeeee
ruclips.net/video/SX_6Vwv_Nj8/видео.html🔥🔥🔥🔥
mzeee babaaaa umeuwaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥 chuma la motoooo naququbalii kichiziii
Shikamo young killer aseeeeee.........mbona magoma unatoa makali sana
Nyimbo ambayo haichoshi kuiskiliza!!💪💪
Ma (Young) wote watatulia kwanza, no young like u killer! Waache tu wajaribu urefu wa kamba like meee
ruclips.net/video/SX_6Vwv_Nj8/видео.html🔥🔥🔥🔥
Duuuuh mbona( ngoma Kali natoa lakini hazipigwi redioni)ngonga like kama huzielewi media zinazobagua wasanii
Nipeni Like za msodoki uyu jaama namkubali asee 🔥 🔥
Msodokiii💪mgongee like twende trending💪💪Madem zao wote na mudu........tukishika mic tunakalisha tembo twende sawa na young king🤗🤗🤗
This Boi is a deed .. I meant dead one***. Forever we need you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
One of my all-time favorite and best rapper and MC in Tanzania YOUNG KILLER MSODOKI
Naomba utoe ushauri wako katika kazi hii
ruclips.net/video/lkB1u4xyoqE/видео.html
so punch line, sio flow ... sio life style sio slow sio baby sio doo
Huyu ndo Yangikila ninaemfahamu mm🔥💥💯💯
Iko pw
Hakun kam wew kaka goma kali sana kak👍👍👍👍
Young killer Kama young killer Kaz nzuri sikupingii
Like hapa kama unaona Young Killer ana kipaji zaidi ya umri wake😂😂🔥🔥