Conboi Cannabino TILL I DIE Official Video

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 357

  • @DirectorDavid-com
    @DirectorDavid-com 8 месяцев назад +22

    Bongea la nyimbo sema bongo tup nyuma sana😱😱 2024

  • @dinocentmgani247
    @dinocentmgani247 Год назад +76

    Nyimbo kubwa ila bongo tupo nyuma sana kimziki nice song bro 2023 again im here

    • @dadyvypa
      @dadyvypa Год назад +7

      😂hatupo nyuma kimziki its Just izi ngoma hazikubalik BONGO.

    • @dadyvypa
      @dadyvypa Год назад +4

      Ndo Jins mziki ulivyooo mzeee. Sio TZ tu Trap kwa Africa imetokewa kutokukubalika sana si unaona Hadi NASTY C anaimba mziki mkubwa ila hana NUMBERS nying wala nin😔

    • @ZeraGeofrey
      @ZeraGeofrey Год назад +1

      Shida media zetu zinapromote sana bongofleva

    • @MsomaAzizi
      @MsomaAzizi Год назад +2

      Uyu mwamba anatishaaaaaa🎤

    • @allymsemo-l5h
      @allymsemo-l5h 7 месяцев назад

      Inabidi tu views every nigga hii talent ata kama wachache ila umoja hakuna kinachoshindikana

  • @yusubila3557
    @yusubila3557 11 месяцев назад +21

    Tanzanian first raper sijawahi kuskiya nyimbo kali kama hii .....you nailed it broo keep it up💪

  • @Damshi_Fabric
    @Damshi_Fabric 8 месяцев назад +8

    Kujiamini ndo Lifestyle 2024 💯💯💯

  • @danielodhiambo
    @danielodhiambo 2 года назад +9

    Kali sana 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @nawirirecords4549
    @nawirirecords4549 Год назад +13

    This song should have 1million views plus Tz mnatuangusha love from Ke🇰🇪🇰🇪

  • @omarharun9546
    @omarharun9546 2 года назад +14

    Usiku wa manane ilkua na tafakari,mgongo kwenye bed macho kwenye Dari💯

  • @chuwaloonlinetv6672
    @chuwaloonlinetv6672 3 месяца назад +19

    Till die 2024 Ngoma Kali nalaumu bongo kwanin hatupendi kusapot hip hop

    • @reginaastin
      @reginaastin 3 месяца назад +1

      Nyimbo kali sana beat lake hatari 🔥🔥🔥

  • @trendz_2548
    @trendz_2548 2 года назад +32

    I like this song sijui mbona watanzania ngoma za wasanii wao wakiimba English hawaipi promo sana na vile ni dope world sound.❤❤🇰🇪🇰🇪

    • @Qqambaa
      @Qqambaa Год назад +3

      Ngoma Kali ni Kali hata mahaters wakihate wenye wanajua ngoma ni hot wataview msanii Ako ba SEMA 2 ni vile BDO hajatusua

  • @shedrackadmiral4365
    @shedrackadmiral4365 2 года назад +4

    Dah kuna watu wanajua ila basi tu😢😢😢

  • @osoovieraamigo4709
    @osoovieraamigo4709 Год назад +16

    💥💥💥💥 ninja hii ngoma iko fiti MAN...IKO FITI SANA NAIRUDILIA back to back kila ikiisha umetisha na flow alafu punch za uzani wa real hustler...gonga like kama hili goma limeku TOUCH 👌🏾👊🏾💪🏾💯

  • @DullahMasoudy
    @DullahMasoudy Месяц назад +3

    Kibongo bongo inakua inakata sana watu wanaopewa sana airtime ni wale wabovu ila pure artist ndo kama ivo wanawekewa ukuta lets go team canabbino

  • @marytesha7242
    @marytesha7242 Год назад +6

    Kawimbo kazuri🎉

    • @calvinmshanga9077
      @calvinmshanga9077 Год назад +1

      Manka anasema kawimbo kazuri😀😀😀manka wa rombo anasikiliza hip hop ♥ 🎶 put your hands up

  • @Yeesuz254
    @Yeesuz254 2 года назад +6

    Here because of O.G🔥 noma hii

  • @zubedaslim2837
    @zubedaslim2837 2 года назад +3

    Saana tu...baada ya kazi kubwa na sio zari

  • @adembeza
    @adembeza 3 месяца назад +7

    Y'all somebody tell me why the Fcuk am I finding out about this gem now? Bro, you are who you think you are!! Love from Texas!

  • @princepeter2110
    @princepeter2110 Год назад +2

    Ujue jamani kwenye hiphop lufer ni bonge la producer sema tu ndo hivo ana nyota ya kimya kimya kama tud thomas

  • @charakaboy7621
    @charakaboy7621 Месяц назад +2

    Nmerudi tena leo kwenye hii hit song friday 15 November 2024🔥🔥🔥🔥

  • @Deiwakatv
    @Deiwakatv 16 дней назад

    director apeww maua yake🎉🎉 kichupa kikali mnooo

  • @victorhebroni3217
    @victorhebroni3217 14 дней назад

    🎉🎉 unajua we mjinga

  • @abdulmuba52
    @abdulmuba52 Месяц назад +1

    Aliyepiga hii beat mungu amuongezee miaka mingine 100

  • @tqtrayzy7300
    @tqtrayzy7300 2 года назад +29

    My roLe model we just geTting stArteD again 💔✊🏿

  • @HassanYassin-ju5rf
    @HassanYassin-ju5rf 4 месяца назад +5

    Danger is dangerous goma kali unyama ni mwingi

  • @Lafta_Rapkey
    @Lafta_Rapkey 8 дней назад

    Hunkumbusha Ngwea kwa saana aiseee

  • @SarambaEmmanuel
    @SarambaEmmanuel 2 года назад +5

    Motooo🔥🔥watching toka Kenya🇰🇪

  • @saidchonde9851
    @saidchonde9851 2 года назад +17

    MOST UNDERRATED RAPPER.....keep it up bro

  • @madownloadionlinetv759
    @madownloadionlinetv759 Год назад +1

    coniboi nakuita tena coniboi 🎉🎉🎉🎉

  • @aplus3805
    @aplus3805 2 года назад +2

    nakuita toto la mtaa coz nlikuwa sina smart now nimepata ndio maana unaona comment nyingi zangu kila ngoma ako iko siku ntakutafuta coz mi mwenyewe nachana mzeya froma ununio

    • @Phiipo
      @Phiipo 10 месяцев назад

      Hakikaaa

  • @Idd_y360
    @Idd_y360 7 месяцев назад +7

    I'm here again 2024
    Underated song 🎉

  • @mcristoffer4178
    @mcristoffer4178 Год назад +10

    We need this kind of hiphop in Ke..this is 🔥🔥🔥

  • @d.i.o
    @d.i.o 17 дней назад

    "Najiendesha kama Tesla".. Ivo TU yaani 🔥

  • @joshuawambua8864
    @joshuawambua8864 12 дней назад

    Top hip bro did know it's swahili yu need promote this iko dope brother

  • @leonardnelson5651
    @leonardnelson5651 2 года назад +2

    Duuuu hip-hop is back aisee.

  • @nasibuyusuph7836
    @nasibuyusuph7836 Год назад +3

    yo king of tz bro big lov

  • @sundymolls9673
    @sundymolls9673 Год назад +17

    Killing me with the song ❤it’s one of my best choice song all the way from United States

  • @gildasnyaki3812
    @gildasnyaki3812 Год назад +1

    Jamaa we ni mkali balaa

  • @Yohbad
    @Yohbad Месяц назад +1

    Asante mungu nimekua ingawa baba alinikataa sikumtupa nilimjua Japo ndugu walishangaaa

  • @obierozachary1022
    @obierozachary1022 Месяц назад +1

    ii ngoma ingekua tumeifikisha ata 1m wadau

  • @thelastking5180
    @thelastking5180 2 года назад +3

    Unyamaa mwingiii😎

  • @bahussein254
    @bahussein254 11 дней назад

    Mjomba kapotea sanaa...ila nmkubali sanaa

  • @BranMayn
    @BranMayn 8 месяцев назад +4

    Beat vocal kali sana kazi safi @iddi kutoka Nairobi kenya "What u niggaz trying to hate damme !

  • @yusuphmyinga
    @yusuphmyinga 4 месяца назад +2

    Ngoma kalii Sanaa nafurah kuona kila Ngoma unazotoa ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ChibuClasic
    @ChibuClasic 3 месяца назад +2

    Ikopouwa nimeipenda michano na Uandishi ukopouwaaaa Sana

  • @jasminabubakary5601
    @jasminabubakary5601 2 года назад +2

    Nakukubali mpaka nakukubali tena🔥🔥🔥🔥

  • @gloriajoseph9098
    @gloriajoseph9098 10 месяцев назад +2

    Producer na yeye apewe maua yake 🎉

    • @androco43
      @androco43 4 месяца назад

      dah livee apewe maua yake kabsa

  • @evilbrattkj5278
    @evilbrattkj5278 8 месяцев назад +1

    This Gee is very artist 👊🏾

  • @KiziHesbon
    @KiziHesbon 22 дня назад

    Iyo environment🎉🎉Better than that.....but nyimbo ni kali kama fakiiiiiiin❤Respect...keep it up broh

  • @RajMaka-d7o
    @RajMaka-d7o 13 дней назад

    Noma me nmekubali corras 2 ya mnyamwez

  • @fundisimunacomputertunduma438
    @fundisimunacomputertunduma438 3 дня назад

    Funga mwaka hii 2024 2025 Tunaaamka Nayo Upya 🎉

  • @officialkalengotalent2014
    @officialkalengotalent2014 Год назад +3

    Talented sana bro

  • @Babamaploti
    @Babamaploti 8 месяцев назад

    Sounds like kijana wetu wa +254 kayvo kforce apa views yafaa niwe 200M hiphop mafans walipotea Bongo

  • @abrazo2639
    @abrazo2639 Месяц назад

    Ngoma ya karne homeboy🎉

  • @trendz_2548
    @trendz_2548 2 года назад +2

    This song huwa fire inafaa kua na millions of vies

  • @fedexmute
    @fedexmute 15 дней назад +1

    cannabino fundi🥇

  • @lildrick9361
    @lildrick9361 2 месяца назад

    Ngoma kali. Ila nakuombea upone kaka, amen

  • @delvanngomo5893
    @delvanngomo5893 2 года назад +2

    Kujiamini ndio ishakua lifestyle🔥🔥

  • @erickmanyo3098
    @erickmanyo3098 Год назад

    Hakuna ngoma imefanywa kama hii tz 2023 💪💪💪amini bro naomba lyrics yake

  • @emmanuelbatholomeo
    @emmanuelbatholomeo 2 месяца назад

    Dah Bongo wasanii wapo kumbe cheki goma zito ili

  • @Csharp_Dotnet
    @Csharp_Dotnet 2 года назад +3

    OG brought me

  • @Ilalibangala-q5x
    @Ilalibangala-q5x 2 месяца назад

    Ni ilali Bad apa kutoka Burundi 🥳🥰🥰 son Kali san

  • @wizydidasididasi5651
    @wizydidasididasi5651 Год назад +1

    #kon boy jithihatha zinakua zaidi ya mtoto anae tambaaa🇹🇿💪😌

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 2 года назад +2

    We ni 🔥 mwamba🙆🙆🙆❤️

  • @wanangu9984
    @wanangu9984 2 года назад +3

    back on the game don`t give up bro .....hawajakuvuja mkono wala mguu ....we miss u broo ....outer 254kenya

  • @MussaAbel-t9b
    @MussaAbel-t9b 6 месяцев назад +1

    One love mwanangu Canabino ✊🏿 Tanzania🇹🇿

  • @saulielisha9729
    @saulielisha9729 Год назад

    Nyimbo kubwa san ila ttzo ni hii nchi

  • @_endosuufamily
    @_endosuufamily Год назад +8

    I luv this...everything on point..from the beat to the punch lines big up conboi

  • @bakaribuyu5712
    @bakaribuyu5712 Год назад

    hii nyimbo nikubwa sema bongo dah safi sana mgwani conboi

  • @halimayusuph7287
    @halimayusuph7287 2 месяца назад

    You are who you think you are Conboi.. My favorite songgg. Keep pushing kaka

  • @gloriajoseph9098
    @gloriajoseph9098 10 месяцев назад

    Jamaa nimemfwatilia sana,, anajua mpaka anajua tena,, ila Bado kidogo huyu ni ft za mbeleeeee so sooon

  • @idanmalifedha6432
    @idanmalifedha6432 Год назад +1

    Hip hop sana👊👊

  • @alwatanpt4318
    @alwatanpt4318 Год назад

    Ngoma yangu Bora ya muda wote

  • @aminamasoso5006
    @aminamasoso5006 2 года назад +2

    Cannabino🤯...Top sana💯 Kwa Wana wa #Mombasa

  • @MNOMA255
    @MNOMA255 Год назад

    Uwiiiii Umetisha my best song ever

  • @Choche_flani_merchandise
    @Choche_flani_merchandise 2 года назад +6

    The talent..the mix of fresh tz Swahili and English.. originality of sound dispite the English.. quality..you ma make it .God is ruler of every thing and every one.. work and trust.. work for him and not for man...one day your voice Will hit Africa and the glob ...

  • @HamisRamadhan-v4p
    @HamisRamadhan-v4p Год назад

    Conboi wewe ni mkar sana next levo

  • @BamwaleMtsoma-ff5ww
    @BamwaleMtsoma-ff5ww 4 месяца назад

    Huyu ana damu ya mombasani ize broo hop kali

  • @zulfatkassimmuhammed5474
    @zulfatkassimmuhammed5474 Год назад

    Broo amini hii nngoma sku yaa kwanza naicheki nmeirudia maraa 63 big up bruh

  • @DieAboss
    @DieAboss Год назад +1

    I first heard this song in the ghetto of Lusaka streets since I been a fan
    🇿🇲🇿🇲

  • @ivanmbuyah9077
    @ivanmbuyah9077 3 месяца назад

    Mzee umetisha sana

  • @alfredtemba9727
    @alfredtemba9727 10 месяцев назад +1

    Big done bro

  • @mulababaz7122
    @mulababaz7122 2 года назад +1

    Umeupiga mwingi bro keep burning fire Jah bless 🙌

  • @emanuelmaro85
    @emanuelmaro85 Год назад

    Bonge la wimbo Appreciat ma men

  • @Kenyabee
    @Kenyabee 4 месяца назад

    Hatari bado 2024 💣🔥🚒

  • @D65675
    @D65675 8 месяцев назад +1

    Hit song, listening from 🇺🇸

  • @mamilafx1225
    @mamilafx1225 8 месяцев назад

    Beat imeshiba 🙌🙌

  • @allypizarro2696
    @allypizarro2696 5 месяцев назад

    Hili goma limepick kinoma kwa playlists za Spotify
    Nimelikuta best hip hop 2023
    Amazing sana

  • @geoffreyombuna3180
    @geoffreyombuna3180 6 месяцев назад

    Ngoma kubwa kaka.. mashairi mazito bruh! 💪

  • @brianoswald6826
    @brianoswald6826 2 года назад +1

    sana kamanda you practise next level rap

  • @muddylikwena128
    @muddylikwena128 7 месяцев назад

    Dah..ningekuwa na pesa..ningewekeza mzigo kwenye kichupa ya hii nyimbo

  • @Tabby-tz
    @Tabby-tz 19 дней назад

    Ur my best man bradah❤

  • @eddymwalagho354
    @eddymwalagho354 Год назад

    Hiphop kali kutoka Tanzania 🇹🇿

  • @neishahabeeb2379
    @neishahabeeb2379 3 месяца назад +1

    Consistency bro!!

  • @mkambodia
    @mkambodia 2 года назад +2

    Budah u lit

  • @kidalpha
    @kidalpha 4 месяца назад

    Legendary..mkuu ulipotelea wapi

  • @geophreyshume1179
    @geophreyshume1179 11 месяцев назад

    Kaka wajua love from kenya

  • @isaacjeco7474
    @isaacjeco7474 2 года назад +1

    Tanzania ni kwann Hawa improve vipaji

  • @nabilsalal1109
    @nabilsalal1109 Год назад

    nyimbo bora kwangu hii

  • @Nobbis194
    @Nobbis194 5 месяцев назад

    Juxt ruuuum bro. 1️⃣9️⃣ Nobbis

  • @saidjumanne7029
    @saidjumanne7029 5 месяцев назад +1

    Master piece of all time 🔥

  • @yabesibalaka6712
    @yabesibalaka6712 Год назад +5

    Dah whne I feel down this is the song boost my energy back!