Kama j cole na lil durk ville kwenye All my life kudadeki haijawahi kutokea jaman hii hit song isipofikisha views 1M + mniite Mbwa kudadeki nimekaa hapa bonge moja la collabo From 🇰🇪 & 🇹🇿
Conboi Cannabino thanks for the hiiit.@khaligraph the one and only..Location ni moja na ni kwa OG. Kesho tunakuja na malorry Impala Grounds..mambo moootoo
Trophy ninazo kibao ka interview za babalevo 😂😂 🙌🙌🔥
Canabobo
Kama unaamini conboi Mmoja ni young lunya kama buku ivi gonga like apa
mda huo con boi wako yupo chin ya lunya cjui unashindanisha nn😂😂
@@Fabianemmanuel-gn8liujui ktu
🔥🔥🔥
nakubali hiicho kichupa
Hii ngoma Kali sana🙌🙌
nani yuko hapa baada ya khaligraph kutoa 24hr diss challenge kwa Tanzania 😅
Tupo Mzee jamaa yupo sahihi hip hop wamelala sana wasanii wa bongo wanalalamika mapiano wakati ngoma Kali hizi hawatoi
Ila huyu khaligraph ni balaa zito 🔥🔥🔥
full dose 💊 💊 of course
Omollo
Bino
Noma sana 🔥🔥, Collabo kamia hapa msanii - Ambia GOODLUCK
Big app my love you from rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Unyamaaa ni mwng
like kama umeelewa hii combntion ya Tz na kenya
Graph ya con boi inazidi kupandaa
Makin #Maja_Tz ❤
Dope mzambia
Nkubli mze ila sjakumanya
Wiz Khalifa wa bongo amepatana na Papah John's wakudunga bonge la ngoma
Only street hustlers ndio wanaelewa hii...kama hupati unachopenda bro!! Penda unachopata
Street hustlers wanaouza nn?
🙌
ruclips.net/video/-ciMXFnKsmc/видео.html
Word up!
STREETS HUSTLERS TUNAPIGA MICHONGO YOTE HATUONI SOO/LEO TUNAPIGA DEBE,UKULI,MPAKA KUZIBUA VYOO/
Conboi anajuaaaa Sanaa sema mudaaa Badoo haujafikaaa ila ukifikaaa watuuu watakataanaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🫡🫡🫡🫡🫡
Trophy..nnazo kibao ka interview za baba levo😅..big up..guys
HII NI BANGER UNLESS MHIUNDERATE
Kama hujaelewa pita hivi 👉👉👉tuache na mziki wetuu Street hustlers
254 x 255 like how it used to be. Noma sana
Conboi nipe colab this flow sik lit❤😅
Conboi is underrated mbaya
Super super hot 🥵🥵🥵🇹🇿🇰🇪🇰🇪
Nice
Walai akuna ngoma noma kahii kwa street sai
Sema Mpaka now, hakuna mTZ ashawahi mfanya mdogo kaligraph. I wish angekutana na enzi za chid benzino or noorah
254/255 Staaaaaaand up
Salmin en con r the illest rappers outta omg lyricaly en flows meehn lunya upimp mwingi, ila kama unajua hip hop lazm unamuelew conboi na salmin
🇹🇿🇹🇿Ayo ......unajua bro we ni mkari. Tangu kipindikile unaenda kurecod music alaf ukirud nyumbani hakuna CD player ✌️👍🏾✌️👍🏾😁
Namrespect sana con 🔥🔥🔥🔥
Conboi hujawahi kuniangusha God bless you bro
Dec 2024 🎉izo likes
conboi anajua Sana kuliko hata lunya sema mwana manegment Hana
🏆🏆🏆mtaa unaelewa hii sound track ya ubabe flani ivi kwamba sizuiliki sitishiki
Noma xana carabino nakukubali xana Mwamba
Kama j cole na lil durk ville kwenye All my life kudadeki haijawahi kutokea jaman hii hit song isipofikisha views 1M + mniite Mbwa kudadeki nimekaa hapa bonge moja la collabo From 🇰🇪 & 🇹🇿
J cole nilimsikiliza kwenye Return of the Simba tu 2013 nadhani huko kwingine sijampa sikio bado.
Conboi cannabino umetisha bro nakukubali till I die
Conboi nakubal unachifanya Allah aendelee kukusimamia❤
Canabino we nomaa tz tunatakiwa tujivunie uwepo wa msani na mwanamuzi kama ww
Waah!!!! Hapa nakubali wakali WANGU East African artistes
Umetisha bro
Oyooooh! Mnankoxh sio sili wanangu
OG proving he is the OG..wapi likes za Jones Jamani..
NOmaaaaaaaa
Moto hii hii utaotea mbali 🐐
Conboi bro we ninoma sana nakubali coz unachokiimba ni kile ambacho kweli kipo kitaa dah God bless you 🙏
Listening from Mombasa Kenya 🔥🔥🔥🔥 Hatarii
Am here after khali used this sound on his story FB ....huyu conboi ni vibe baanaaaaa
Moto kama pasi
🔥🔥🔥🔥 kuna ngoma kama hizi unalike kabla hujaskiza yan...
conboi kila video anakuwa amechafukwaa ni balaa na ni danger conboi ni mnyama haipingwi
AAH yan khaligraph amesha wabless celtics kabla hawajabeba ubingwa
My neighbours will choose between loving this song or relocating to another hood cus it's definitely gonna be on repeat... papa jones
Hip hop, noma sana mwananguu canabino
Whaaaaaaaaat🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Eastside we bad Everyday
OG must be respected
Khaligraph OG kudadadeki mshenzi anajuaa Sanaa aisee.. 🇰🇪
Umekua wa Moto sasahv
Mara ya tatu💪🏾💪🏾kitu kalii
Dawa kuandika wimbo ndo ipoe ❤❤❤❤❤❤❤❤chidy cannabino izolezo pagamisa ndomboli my young blood con busy
Nguo Nazo ni zile za enzi zileeee 1960s
welcome conboi
Nakubali miziki kenya imelaliwa sana haionekani kabisa twasikiza kina diamond na harmonies kumbe kenya ikojuu kabisa
🔥🔥🔥🔥🔨blood brother
Hii ndio inabamba 🔥
OG nkutambua msee 🤝🤝 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤con boy
My bes rapper Bonge moja LA ngoma Ila I Wish One Day Upige Dude na Navy kenzo Litakua Unyama sanaa
✌️✌️ respect nyingi Sanaa bro
Trophy kibao kushinda interview za baba levooooo
Omollo ndio amenileta hapa nice flow conboi
i support you conboi
🔥🔥🔥💯🤜🤛
Hii ni moto sanaaaa
Nakubali...💪
Hii ni kali...kila siku naskiza
KEEP OFF (EVIL TWINS) GOD BLESS THERE HUSTLE ✍️🙏🙏🙏
Huu ni ukamilifu wa hip hop❤
Cool .Conboi sound like Gunit Lloyd Banks
Wat a hit 👀👀👀👀 🔥#cannabinoxjones
Unyama Sana My Brother
Nyimbo Kali umezngua video haiendan kabisa
Nakubali wanngu
💯Conboi apo umepatana na JINII tena Lenye Akili Timamu #respecttheogz👹
Ati ako na trophy nyingi kama interview za babalevo 😂😂😂 khaligraph, big up conboi
Wabongo mmeanza kusoma sasa, hapo tumeanza kuelewana lugha... mnakuja vizuri 🎉🎉
Conboi Cannabino thanks for the hiiit.@khaligraph the one and only..Location ni moja na ni kwa OG. Kesho tunakuja na malorry Impala Grounds..mambo moootoo
Here for Canabino🫡
Mpaka sai bado kwa ploti iko on repeat 🔥🔥💯💯
Kazi safi sana
straight up
Trophy kibao ka interview za Baba Levo hehehe #JONES Flamezzzz!!!
Omollo kutoka Bondo🎉
Nataka nyumba en f**** rally.....au sio🎉🎉🎉
Good music on top
Conboi Cannabino 🇹🇿 hats off! Mad respect!... Khali 🇰🇪 as expected! 🔥
Song lama fighter, sharaut ma men con bwai
flow moto sana
Till I die Sio ya Bongo,
Conboi Cannabino Ukaishi New York City 🌃 🇺🇸