Kazi Imeshiba Nyandu,Ni Kweli Mitaa Inaelewa Mzee Baba Umetisha,Kideo Kiko Fureshi,Huku Mtu Mzima Kinywele Kimoja Huwaga Hakosei Kwenye Mambo Hayo Ya Beat Katupia Beat La Kiwango Cha Dunia,Kazi Imebamba Sana..BigUp Wote Walioshiriki Kwenye Hii Kazi Mmeitendea Haki
I guess Im asking randomly but does anybody know a tool to get back into an instagram account? I was dumb lost the password. I love any tips you can give me
@Cesar Sincere Thanks so much for your reply. I got to the site thru google and im trying it out now. Takes a while so I will reply here later with my results.
Young dee wa sasaivi sio yule wa kwenye ngoma ile NIMEKASIRIKA kitambo dee ulikua unachana dunia now daaa stayl yako sio kiivyo mzazi .. ..ila bonge LA ngoma nyandu naona safar hii umepoa kimtindo kaza
Here in 2024....still the BANGER🔥🙌🏾
one of the best Hip hop song for me.......still a living song 💥💥💥💥💥💫✍✍✍
Aliyegonga hii beat anaenda peponi bila maswali.😉
Luffa huyu baba
Nyanduuuuu
Tumpeni Maua yake maana co pouwah
@@crershawmafia1009 Kumbe hii beat ni ya Luffa nilikua najiuliza muda mrefu sipati majibu aisee
Majani
Kazi Imeshiba Nyandu,Ni Kweli Mitaa Inaelewa Mzee Baba Umetisha,Kideo Kiko Fureshi,Huku Mtu Mzima Kinywele Kimoja Huwaga Hakosei Kwenye Mambo Hayo Ya Beat Katupia Beat La Kiwango Cha Dunia,Kazi Imebamba Sana..BigUp Wote Walioshiriki Kwenye Hii Kazi Mmeitendea Haki
EBWANA EEEEEEEEEEEEEEEH!!! BONGE LA NGOMA FLOW HIZI SIO ZA NCHI HII KUANZIA NYANDU MPAKA YOUNG DAR ES SALAAM NOMA SANA WAZEE...
Chin bees kumamako unajua kama mnyamwez wa mamtoni
Sema kati ya ngoma kali za HIP HOP hapa #Bongo hii ni moja wapo🫡 Young Dee Paka Rapper ameua sana #Respect. here in 2024🫡
noma sanaaa huuu ni motoooo
Nyandu unajua kinoma koma tupe mawe mm unajua Hawakuwezi Bongo mzima ww ndio mfanyaji hip hop harisi kabisa bless up kaza
Nyimbo mbaya
nyimbo qalii
Mawese Baby kaimbe yako GAY wew
sio harisi ni halisi jifunze kwaza kiswahili
sio kwaza ni kwanza
Supporting nyandu from kigoma after 10 years of diamond platinumz
Bonge la nyimbo mamaee!!! Halla 2 hamidu paka rappa na mzee mzm chin beeeeeez ovaaaaa
Chin beez😍😍 nyandu🥰🥰 young dee😍😘
Nyandu rasta.roll modo wangu.nakukubali kinoma boy.
kaliiiiiii bonge LA beat
Nyanduuuuu bado iko on 🔥🔥🔥unyamasana ndani ya dar es salaam, 26 life🔥💪
Walinichekea kama mlinzi ha ha ha Young Paka D
Du hii miamba imekutana. Noma sana cheen bzzzzzz. Yang dar salama. Nawaelewa sana nice song nice video
hili dude sjui kwann nmechelewa kulicheck yan.
vitu ka hizi mi naitaga #mkong'oto
Big up nyand 26 lef God bless you good job
I guess Im asking randomly but does anybody know a tool to get back into an instagram account?
I was dumb lost the password. I love any tips you can give me
@Finnegan Randall Instablaster =)
@Cesar Sincere Thanks so much for your reply. I got to the site thru google and im trying it out now.
Takes a while so I will reply here later with my results.
@Cesar Sincere it worked and I actually got access to my account again. Im so happy!
Thank you so much you saved my ass !
@Finnegan Randall no problem xD
Producer alifanya kazi nzuri sana kwenye huu wimbo, hauchoshi.
Plus chorus Beez katisha 🔥
Can See PFunk He is good HipHop Rap Producer
Hamidu from 1999 ni fire , big up double double to you.
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeee .. Hili Linyandu Linajua mpaka linatisha..! Seeeeh..!!
Promo tayari over
Dubleduble sio🎉🎉🎉sio double double
Oyooooooooooo, nyandu tozzy umeua humu ndani big up sanaaaaaaaa
noma kakaaaaaa nyanduuuuuuuu b o b micharazo kiboko ya mabishoooo
2025 still enjoying the son
Good music never die
Good music never die
"Viwanja vingi nimejimix nakwenda kusaka mahela"
Young dee wa sasaivi sio yule wa kwenye ngoma ile NIMEKASIRIKA kitambo dee ulikua unachana dunia now daaa stayl yako sio kiivyo mzazi ..
..ila bonge LA ngoma nyandu naona safar hii umepoa kimtindo kaza
salute sana wazee wa kazi nimekubali, IVASON nimekuona mbaba, YOUNG D salute damu yangu
Bro come 2025
Amini mwanangu Nyandu ww ni jini mzee sio kwa mipanch hiyo shikamoo Kaka👊👊
HESHIMAAAA YA MTAAAAAAAAAA #HAMIDU
Nomaaa nomaaa mzee bb
Bonge la ngoma men. Salute
cheen Bees umeua babaaa double double
Salute mzazi hujawahi kukosea ni mwendo cheche tu ovaaaaa #26life
Josephine Ludovick oi karbu kwenye channel yang subscribe, view na kulike na ntafanya ivo pia
Verse zote angeimba nyandu ingekuwa poa sana
Namsikiaga sikiaga tu NYandu Nyandu lkn nilikuwa simfat8li8ii lkn kwa hiiiii ngoma yani FIREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE DOUBLE DOUBLE mikazo mpaka mkazo ujuteeeeeeeeeeeeeeeeee B.OB
Chin bees hufai kabsa fire mwanangu unatisha mbaya
26 life
Ebwana eheee huu mguu aliovaa Nyandu Tozzy noma daha
salut kwa p majani nyaaaaaaaandu tisha
Chin bees uwaaaaa tisha sanaaa
Ebwana ni Noma 2024
Punch liner#king haijawai kutokea mtu mbaya Sana nyandu toz
Awee sailor
Like that mean........👊👊👊✔✔✔✔Together Together blood
Qubaaaabake bonge la goma maaamaeee
konki kwel noma kafa kabaki poa unajua nyandu toz ft yuong deeeeeee
Kazi nzurii Cnaa aseehhhhhhhhhhhh
Sana nyandu, young D na chinbiz yoooo nawakubal sana
Bonge la Dude umetisha Nyandu Tozzy Legend
Saaaana mbabaaa / #Overrrrrrrrrrrrr
Nyandu uko vizuri ongera kazi mzuri ww hauimbi bari unakufuru habari baba
nyandu unajua my blood. hip-hop unaijua.one love.
safi Sana Ninja
nakubali Sana hamidu toka #wamekasirika mpaka #doubledouble
Nimewakubali wana umetisha
Chin bees namuelewaa sana yaani
Pamoja sana wanangu wa kino .Pande za uso wa mbuzi
Km bdo unaiskiliza 2020 gonga liketujuane
Inagonga bado.Ham from 254
Hamidu Ujawah Niangusha Flows Za Bei Ghali Vyuma Vimekazaa.....Chin Bees Killer Paka Rapper Shot Em
Niwe star wa bongo ambae siringi 🤔
Vigari vidogo vidogo hahaha@nyandu tozzy wauweee
Namshaur chin Bea's bado anaweza asikate tamaa
micharazooo b.o.b Bg up bro
mugodi wenye madini. machaliii mmewakiliasha vyema.......nice...
........BIG.........MCHAKA MCHAKA AD JIJI LINA AMA...........NIWEBMDOGO ALAFU AKILI NYINGIIII....
GB buku`kua millionaire
Tisha sana 26
akiliiiiii nyingiiiii sanaaaa 26
Young Dee noma sana paka rasta
mamae hii ngoma sichoki kuiangalia..mmeua sana wazee
Nyandu tunakukubali ZANZIBAR...... ujawai kuja......... Number 26....ile ile
Ooh!! Young d!watu wanaeza wacmwerewe alichoongea mana kafany cool flow
Nyandu ngoma xwa #Yound dee #Chin bees wote Salut
Ngoma kalii mwanagu
noma Nyanduuu
fresh nyandu kaz nzr sana kino begani chupa maskan imehusikaa
Yaan leo nyandu nakupa big up afu majan mtu mzma huwa hawakosei asee yaan kufanya kazi na uyo mtu lazima ngoma iwe kali
Kazi nzuri sana....ila umevaa remba kama mabishoo imetia doa.
Let’s go nyandu October 2024 tujuane apa
Ovaaaaaa ninja nyandu umeua humu
B.O.B click team 26 No, mameen Nyandu hili dude ni bomb arif!!
fundi nyandu tozi Plus paka lapa plus Chin beez 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💣🔫
Kama hauja waelewa nenda zenji
Fedrick Haule oi karbu kwenye channel yang subscribe, view na kulike na ntafanya ivo pia
Ebana bro nyandutoz goma qalii knoma mzee baba
Nyandu mkatiriii umetembea vzur
Sana boy
nawaelewa sanaaaa majamaaaa
Chin bees kanileta hapa
Gonga like kwa bees gang👍👍👍
Salum Mwita kanilta af nikakuta ngma kal...yan dah! Moto bab
Salum Mwita Chin Bees usimpe Chorus akufnyie....atakufnya uonekane kama hujui vile....hahaha Bonge la ngoma lkn
SAMU WA ukwel
Hili goma hatariiii
Okey
Milady ayo katisha Sana
Milady ayo best reporter ever
Millady ayo kama mbele
Sio Millard Ayo,check profile
salute nyandu tozzy nakukubali ninja wangu big up
That bassline is so dope!!!
Bassline makes this beat higher than Chuga weed
Wale wa 2023 gonga like
Chin beez hatari sana
Nyandu 26 tunakuelewa mnyama , hope next time jiwe jingne kali kama kawaida but wekanamba chafu nying 13,26 hadi 28
Banger 🔥
Hii ngoma kaz kaz wakuu mnaweza
Nyandu kwa mauaji ya ii ngoma mungu anakuona
Hatari sana alicho Fanya chin beens
Ngoma kali mnge ft blu ingenoga zaidi
dubleee dublee nomaaa sanaaa micharazooo
Daaaaah! Hili goma nakimbia nalo kama kibaka wa spika za studio
kaza sana mwamba nakukubali mbaka naumwa