#PART

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 101

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Год назад +5

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE UWE WA KWANZA KUONA:🏾 bit.ly/3MraYdQ

  • @farajashaban1073
    @farajashaban1073 Год назад +18

    Nakubali na maisha yangu yanakwenda kwa falsafa zake huyu mchungaji ndio mchungaji wangu pendwa pamoja na pastor Mgogo

  • @inviolatamalifa6871
    @inviolatamalifa6871 Год назад +11

    Hongera kwa tumbo lililokuzaa Baba unatufundisha mengi asante kwako

  • @mossesisaack5066
    @mossesisaack5066 Год назад +2

    Nimejifunza sana dada Lilian kupitia mazungumzo yako na mchungaji Hananja.Mungu awabariki sana

  • @claramrosso2566
    @claramrosso2566 Год назад +6

    Jamani sister Lily nakupendaga vipindi vyako vzr na vile ulivyo mrembooo mmwaaaa!

  • @devothamwinyi4288
    @devothamwinyi4288 Год назад +5

    Dada Lilian nakupenda sana mpaka natamani kusikiliza vipindi vyako muda woooote. Nakupenda na umependeza mpendwa hongera sanaaaaa

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Год назад +2

    Best interview ever mchungaji umeniua dhambi kabisa mm ndo nifunzwe na baba angu sikuwahi ambiwa niwe Malia Lia ovyo hata nipate magumu vipi Wala kupiga magoti mwiko kabisa mm napigiwa goti na MKE wangu.. na Bible umeandikwa enyi wanawake watiini waume zenu na enyi waume wapendeni wake zenu.

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 Год назад +3

    Binafsi nimesikiliza Viongozi wengi wa Dini. Kwa huyu Mchungaji nimemkubali Salute kwake Napenda Sana anavyoelezea mambo mbalimbali kwa ustadi mkubwa. Big up Mchungaji wangu wa Karne hii kwangu mimi.

  • @sospeteriganjagabriel7944
    @sospeteriganjagabriel7944 Год назад +1

    Mch. Hananja, nakukubali sana Baba, hongera pia kwa kipaji cha uelewa wa neno la Mwenyezi Mungu kwa ufasaha katika vifungu husika

  • @Bbwaoy
    @Bbwaoy Год назад +10

    Point hii “ kuna vitu una kufa navyo kama siri yako na Mungu wako”.

  • @bryfrancis7879
    @bryfrancis7879 Год назад +11

    Best interview,I enjoyed Big time,Maswali yameulizwa vizuri,most interesting thing there was a gap between Q&A,most interviewers,they always interrupt interviewee,Congrats to You Sis,your level ni ya juu sana

  • @aureliayuktankabebwa5066
    @aureliayuktankabebwa5066 Год назад +2

    Nimependa sana hii conversation🙏🏾,MUNGU atusaidie.Dada Lily your so Blessed🙏🏾

  • @biashaqtr-xd2mf
    @biashaqtr-xd2mf 4 месяца назад

    Mashallah Mwenye Enzi mungu akuzidishie hikma zaidi hivyo busara.

  • @tonykaribu6705
    @tonykaribu6705 Год назад +3

    Mchungaji Hananja yuko vizuri kwa Neno

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 Год назад +5

    Mchungaji ubarikiwe, umenibariki sana🙏

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Год назад +1

    Mahojiano ya
    G Hando
    S.Jabir
    L Mwasha
    Ndo Mahojiano Mazuri mno wanajua jinsi ya kuuliza Maswali ya Kujenga..
    Big up sana Kwenu

  • @HappinessGomezulu
    @HappinessGomezulu 8 месяцев назад

    Raha sana kujifunza na Mchungaji hananja Barikiwa sana

  • @drsilo
    @drsilo Год назад +4

    Niliisubiria sannnna huyu jamaa tumtengezee.. Sanamu kariakoo

  • @muhsinirasuli2473
    @muhsinirasuli2473 Год назад +2

    Asante sana Mchungaji umeeleweka sana

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 Год назад +4

    Yesu kristo alisema niwaambialo sirini lisemeni nuruni,mlisikialo gizani lihubirini juu ya dari

  • @user-exauceimani
    @user-exauceimani Год назад

    u barikiwe sana mchungaji na dada mtangazaji

  • @pastorvincent9851
    @pastorvincent9851 Год назад +2

    Mrudishe tafadhali Lilian huyo mzee. Mungu akubariki!

  • @halfankipande9903
    @halfankipande9903 4 месяца назад

    Ongera xn mchungaji hananja

  • @kulwamigo9127
    @kulwamigo9127 Год назад +1

    Ahsante,nimejifunza!

  • @brunomwacha8880
    @brunomwacha8880 Год назад +7

    Part 3 jaman mzee ana madinii njia inatokaa hii

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Год назад +3

    Hiyo ya bange hiyoo nimecheka sana hili linamkuta mchungaji masanja kila kitu ulichapiwa mwanamke

  • @susancharles1660
    @susancharles1660 Год назад

    Huyu mchungaji nimempenda 😊

  • @yuathmtenzi2114
    @yuathmtenzi2114 Год назад +2

    Shukrani hard talk

  • @Mjapancompanylimited
    @Mjapancompanylimited Год назад +4

    AMEN pastor

  • @kapelotz9967
    @kapelotz9967 Год назад

    Uyu ndie mchungaji anae ijua kazi yake

  • @annalyamuya3160
    @annalyamuya3160 Год назад +2

    huyu mzee ana hekima sana

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Год назад +3

    Uko sahihi mzee

  • @irakozegracia183
    @irakozegracia183 Год назад +2

    👏👏👏👏Mubarikiwe Na Mungu

  • @kazungubinti
    @kazungubinti Год назад +1

    Be blessed pastor 🙏🙏

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 Год назад +6

    🤣🤣🤣 Lilian congratulations maswali mazuri sana majibu mazuri sana.

  • @laurentnkoko9122
    @laurentnkoko9122 Год назад

    Nikweli kabisa mchungaji

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 Год назад +1

    Huyu ni mchungaji kweli Kila anacho ongea anatoka reference ya vifungu kwenye bible

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 3 месяца назад

    Nakukubali mchungaji nakufatilia nikiwa dubai 😂😂😂😂

  • @smartboythefighter9256
    @smartboythefighter9256 Год назад +1

    This is really interview

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Год назад

    Jamani hananja anaakili sana

  • @rasheedford241
    @rasheedford241 Год назад +1

    God bless u all❤❤ good interview ever

  • @AzaelNdoliki
    @AzaelNdoliki 4 месяца назад

    Hatalii sana uko poa sana

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 Год назад +2

    Beautiful Lilian 😍

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 Год назад +7

    🤣🤣🤣🤣mchungaji msema kweli huku wanivunja mbavu mie

  • @timothmatiku6115
    @timothmatiku6115 4 месяца назад

    Naamini hii sio dira ya maendeleo 2050. Naamini hawa sio designer wa nchi. Mwezeshe mwanaume.

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 Год назад

    Safi Pastor

  • @WTC492
    @WTC492 Год назад +1

    Lilian nakupenda

  • @annamulungu2876
    @annamulungu2876 Год назад +5

    Ila baba, usisahau kwamba kama mume ni MC kwa mfano anaweza tu kurudi saa nane usiku nyumbani na nikampokea kwa amani.

  • @lovenesslukas5360
    @lovenesslukas5360 Год назад +2

    Baba kama baba

  • @joshuamariki3798
    @joshuamariki3798 Год назад

    Good job

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 Год назад +3

    😂😂😂😂Dada kwa huyo mpakwa mafuta utacheka hadi ujambe, yaani huyu mzee wallah unajivunia mbele za watu, Mungu akuweke Mchungaji

  • @jenipherj2456
    @jenipherj2456 Год назад +3

    dada Llilian aki hakuna intrview umewahi kufanya ukacheka kama hii😀😀😀

  • @machoguhamery3731
    @machoguhamery3731 Год назад +1

    Kweli kabisa mchungaji Namkumbuka Mwalimu wetu toka Goshen University College Marekani Dr Norman Cloud aliwahi kutufundisha juu ya "Ukweli umizao", Kwamba sio kila ukweli husemwa hadhalani ukweli mwingine hubakizwa kuepusha shali.,hii ndiyo hekima,"Sema kweli tupu lakini usiseme yote" Magumu tubu katika chumba chako cha siri wewe na Mungu wako ili usilete farakano kanisani au katika jamii unayoishi.Mepesi yasiyo kwaza tubu hadhalani au kwa yule uliyemkosea. Hii ndiyo busara ya ki-Mungu.

  • @RonnieBertin-f7f
    @RonnieBertin-f7f 6 месяцев назад

    madini juu ya madini

  • @richardrwechungura2798
    @richardrwechungura2798 Год назад

    Umepiga mwingi @Lilian junkets Mchungaji

  • @mariasmith4301
    @mariasmith4301 Год назад

    Ameeen nimekuelewa Mchungaji, Asanteee 😂😂😂😂😂

  • @LinusOngore-o5k
    @LinusOngore-o5k 9 месяцев назад

    Amen

  • @RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny
    @RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny 11 месяцев назад

    Amazing 😂😂😂😂

  • @benardwankoka3447
    @benardwankoka3447 Год назад

    Hahaaa unanibariki sana

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 Год назад +1

    HII SIO HARD TALK......TUSIHARIBU MAANA......HAYA NI MAZUNGUMZO TENA YA KAWAIDA SANA....

  • @tausinguvuyamaombi3879
    @tausinguvuyamaombi3879 Год назад +1

    Hahahaaa!nyumba kama studio?

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 Год назад +2

    Kuwa mwanaume ni neema mwanaume unatakiwa kuwa mwanaume hao wanao piga magoti ni wavulana sio wanaume

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Год назад

      Kupiga magoti ni mavitu wakipuuzi tu ambayo juzi juzi tu tumeangalia kwenye tv leo tunaiga nakujifanya tunalia, siamini miaka 20 iliyopita kuna mtz alipiga magoti kumvisha mtu pete, tunakurupuka mnoo kuiga vitu ambavyo hata hatujui yalipotokea

  • @rachelnadeau3484
    @rachelnadeau3484 Год назад +1

    Nimecheka hiyo 😄👆

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 Год назад +6

    Wanaume gani hao wanaobeba maswali sijui majibu ya uchumi na wako busy kutafuta wanawake wenye kipato kukwepa majukumu

    • @vickydan2869
      @vickydan2869 Год назад

      Cyo hao sasa waliotengenezwa na mungu

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 Год назад

      @@vickydan2869 so wameumbwa na nani. Wameumbwa na Mungu Ila wamekengeika na ndio wapo.

    • @MujuniKamugisha
      @MujuniKamugisha 8 месяцев назад

      ​@@sarahgaula2220bakhresa mo dewji ,gsm,msukuma,kishimba,
      David mlokozi ,

  • @neemaburetha8011
    @neemaburetha8011 Год назад +1

    Mtumishi wa MUNGU Lilian mwasha nina shida na wewentakupajez?

  • @JohnwaJohn
    @JohnwaJohn Год назад +1

    Mtu wangu 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 nakuitaji tena 😂😂😂😂😂😂

  • @unjuinkuganda1991
    @unjuinkuganda1991 Год назад

    MY G

  • @Bless-b.DL-babyofficial8769
    @Bless-b.DL-babyofficial8769 Год назад +1

    Please one day bring afande sele for the next interview

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Год назад

    Pilipili alilia

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 Год назад +7

    Huyu mzee biblia yote ipo kichwani, kifungu kwa kifungu, yaani yakiandaliwa mashindano pengine hata Africa yupo peke yake

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Год назад +3

    Huyu mtumishi nimemkubali kabisa, yuko vizuri kuliko hao matapeli wengine wa injili. Party tafadhali.

  • @vivianbampikya4484
    @vivianbampikya4484 Год назад +1

    Tutasimama wote aise...kwani magoti lazima?

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Год назад

    Dah bange hilo kila kitu bange kkkk

  • @tumkithemr933
    @tumkithemr933 Год назад +1

    Huyu mzee namkubali saana ananitia nguvu ktk mapambano yangu! Huyu ni miongon mwa wanamapinduz na falsafa za mabadiriko ktk mbongo yangu asseeee!! Well

    • @issayasosolo6033
      @issayasosolo6033 Год назад

      Kabisa huwà haliwataki watumiaji wanao toa afundisho ya namna hii! Wanataka wachungaji wanao hubiri habari za sadaka Basi mengine utajijuwa mwenyewe, Ya kijitonyama alijitokeza mchungaji Kama huyu wakamliba barua Ila nguvu ya waumini ikafanya Kazi yake,

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 Год назад

    Matonge semi trailer😂😂😂😂😂

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Год назад

    Kkkkkmjiskie watoto wa mwaka elf2 wahaki sawa mwanaume anapiga goti mwanamke kaa juu yakiti...ndio mana ndo nyingi mnaendeshwa kwa hiyo ukitaka kuishi kaulize kwa waisalam kwann mwanaume akishagmfunha ndoa muda wakwanza kumsomea dua mkewa kwann hukanyaga miguu wa mwanamke namuwekea mikononkichwa

  • @zachariagutawemo1291
    @zachariagutawemo1291 9 месяцев назад

    Dad iz Helen vp😂

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Год назад +1

    Kitabu kinaitwa Darling what?? Sikuelewa kabisa

  • @milliardere9177
    @milliardere9177 Год назад

    Wanaopiga magoti niwajinga

  • @NtanunuraWillsonBaru
    @NtanunuraWillsonBaru Год назад

    Hizo ni tamaduni za west wanaume wanabebeleza kwanza hawatoi mahali na mwanamke anakuwa na wa chumba zaidi ya mmoja ana pesa ana nyumba na usafiri kila kitu. Ndio maana miji dume unapiga magoti kwani kuna jitu limebunda. Ukimucha yupo pembeni anaendeleza.

  • @MyMercy84
    @MyMercy84 Год назад +1

    Maoni yangu ni kwamba, uhuru wa mtu ni wake, akijisikia kumpigia goti sawa, akijisikia kulia sawa maana wapenzi watazamaji hawajui wametoka naye wapi na kwann machozi yanamtoka... Kha

    • @tuzopeter8132
      @tuzopeter8132 Год назад +1

      Niko na wewe....!

    • @gospelamani1968
      @gospelamani1968 Год назад

      Hili swala la uhuru ndio changamoto inayotutesa mpaka sasa.kwamaana hiyo uhuru wa mtu kuwa shoga ni sawa?
      Ebu tusimame kwenye misingi ya kimungu.
      Kwaiyo swala la uhuru sio sahii

  • @rennyleo4874
    @rennyleo4874 Год назад

    Mc pilipili alilia

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад +1

    Ukioa malaya ni lazima achepuke tu

  • @samueloboko740
    @samueloboko740 28 дней назад

    Wanaume tafadhali wachana na tabia ya kupiga magoti Kwa wanawake eti utanioa ama kulialia ovyo ovyo. Ni ujinga.