SIJAWAHI KUHONGWA, KUPEWA PESA, KUNUNULIWA GARI AU NYUMBA, KWANINI? | HARD TALK..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 июл 2021
  • SIJAWAHI KUHONGWA, KUPEWA PESA, KUNUNULIWA GARI AU NYUMBA, KWANINI? | HARD TALK..
    'HAR TALK' ni Kipindi Kipya kutoka GLOBAL TV kinachoongelea mambo mazito sana ambayo mwanadamu hajawahi kuyawaza wala kuyafikiria..
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Комментарии • 121

  • @sifajacky7779
    @sifajacky7779 2 года назад +9

    You are the first man who explains about this material love problems. I like how you are wise and calm and a gentle man. you always honest in everything. big respect for you brother

  • @zellapeter
    @zellapeter 2 месяца назад +1

    Baba wewe ni mwalim mzur unatufundisha mengi tusiyoyajuwa, mungu akubariki na akulinde.

  • @adamusamson5279
    @adamusamson5279 3 года назад +5

    Dr.Elie V.D Waminian na Lilian Mwasha Mungu azidi kuwabariki sana, maana mnatupatia vitu vya gharama kubwa bure.

  • @AbdullahAli-hf4ns
    @AbdullahAli-hf4ns 2 года назад +2

    Dr kwakweli wewe ni mwalimu mzuri sana ubarikiwe ,suala la kupenda na kupendwa ni suala la kimaumbile na kama ukilikosa unaweza ukakosa furaha Katika maisha.Yeyote anaetumia Mali yakekwa mwengine huwa anataraji kupata mrejesho kulingana na nia yake isipokuwa kwa wale ambao hutaraji kupata malipo kwa Mungu na njia huleta utulivu katika nafsi.

  • @silverman6930
    @silverman6930 3 года назад +25

    I love you Both but Dr Elli your a special human I have watched all your episodes on Chomoza I have learnt a lot from you , all the way from Manchester. You inspire me a lot . Intellectual being ❤️🇬🇧❤️🙏

    • @erickmweta8215
      @erickmweta8215 3 года назад +1

      Share with us a little bit what you have learned from them please

  • @embrace8335
    @embrace8335 2 года назад +1

    The level of wisdom he has......Shkamoo baba Mungu akutunze akiiiiii.......

  • @amriyalibent8441
    @amriyalibent8441 3 года назад +6

    Asante Mume wangu kwa kunipa mbegu mashallah nimefahamu Leo nna mbegu4 alhamdulilah

  • @faridamkesso97
    @faridamkesso97 3 года назад +12

    Lillian unaongea vizuri sana na nakupenda Ila naomba utumie lugha yetu ya Taifa moja kwa moja maana unanipunja baadhi ya maneno kwa kingereza, Mbarikiwe sana

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 3 года назад +1

      Jamani jifunze hata kidogo basi twende sawa dada🤣🤣🤣

    • @faridamkesso97
      @faridamkesso97 3 года назад

      @@ilovejesus9303 sawa ndugu nitajitahidi kujifunza maana Elimu haina mwisho Ila lkn ni vizuri pia tukijivunia lugha yetu ya Taifa 😊

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 3 года назад +1

      @@faridamkesso97 upo sawa nlikuwa nakutania bwana. Tujivunie lugha yetu

    • @queenlinda255
      @queenlinda255 2 года назад

      🤣🤣

    • @christabellamajaliwa183
      @christabellamajaliwa183 Год назад

      Safi mbarikiwe kwa kutubarki.

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe Год назад

    Nikifikia level of understanding ya Doctor Elly nitakua nime serve my purpose of being alive

  • @aureliayuktankabebwa5066
    @aureliayuktankabebwa5066 2 года назад

    Asante sana Sis Lilian Mwasha na Dr.kwakweli Dr yupo vizuri sana huwa najifunza vingi kupitia yeye na kipindi Hiki,usiache kutuelimisha sisi vijana haswa kwenye maswala Kama haya .

  • @hafidhikassim8675
    @hafidhikassim8675 2 года назад +1

    This Dr talk the real principles of the world

  • @moseshandsam1865
    @moseshandsam1865 2 года назад +1

    Hard talk hichi kipindi kiiishi milele such inspire and opens our mind my sister gOod questions and the Doc with the best answer we never expect 🙏🙏🙏🥰🥰🥰

  • @moshikilimanjaro5660
    @moshikilimanjaro5660 2 года назад +2

    "I like your details and information of your understanding the culture and environment, and time we are in.
    I called you Profesor of new generation.
    Great job,Sir.

  • @robertmwaigaga
    @robertmwaigaga 3 года назад +1

    Shukran kwa maarifa kwa timu nzima ya Hard talk.
    Thanks you Dr. El & Lilian

  • @naomibildad509
    @naomibildad509 Год назад

    Hiki kipindi kinanibariki mno Mungu awatunze sana. Hongera sana Lillian nakufuatilia mamii, Kuna kitu kikubwa sana cha kiMungu nimejifunza kwa huyu dr kipitia haya mazungumzo Lilly. Barikiwa sana.

  • @jessymalembeka6181
    @jessymalembeka6181 2 года назад +2

    huyu Dr ni hatariii anajua vitu sanaaaaaaa.thanks

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 2 года назад +1

    Asante mtumishi.

  • @markkenneth3937
    @markkenneth3937 2 года назад +1

    Good job sir Nina jifunza mengi

  • @samwelngowi2857
    @samwelngowi2857 2 года назад

    Nakuelewa sana Doctor, maswali nliyo nayo napata majibu nkirudia kuskliza. You man you are so potencial

  • @firdausfofofirdausfirdaus4040
    @firdausfofofirdausfirdaus4040 3 года назад +1

    Hk kipindi kina nichanua kweli thanks all

  • @moseshandsam1865
    @moseshandsam1865 2 года назад +2

    Thanks for the knowledge u share doctor God keep on blessing u on a Good work Ypy do keep on empowering and bring the light in out life watching this from overseas ❤❤❤🔥🔥🥰🥰🥰

  • @priscillaamossen8249
    @priscillaamossen8249 2 года назад +1

    I love and admire this woman ❤️

  • @salhakristina9434
    @salhakristina9434 3 года назад +1

    Asante sana kwa maada zuri imenisongeza sana kiimani

  • @dominahalex9516
    @dominahalex9516 2 года назад +4

    Ni kweli mtu mwema ni yule anayekuwazia mema na sio kufanya mambo mema 😃😃😃😃

  • @moseshandsam1865
    @moseshandsam1865 2 года назад

    Lilian mwasha and doc eli the best combination and much wisdom and such a great knowledge you share out here

  • @joycehiza3842
    @joycehiza3842 2 года назад +1

    I learn something

  • @sfcompany2191
    @sfcompany2191 2 года назад +1

    Be Blessed

  • @aminakibangu9174
    @aminakibangu9174 2 года назад +1

    Asante dr

  • @thinkerabu-haidary4007
    @thinkerabu-haidary4007 3 года назад +1

    Great philosophy.

  • @faridahshabani9429
    @faridahshabani9429 2 года назад +1

    THE BEST TOOK EVER....

  • @belindakweka1779
    @belindakweka1779 2 года назад +2

    Oh My God...this man is so spiritual

  • @christinachriss9231
    @christinachriss9231 3 года назад +1

    Hivyo eee nimeelewa asante doctor

  • @judytombo4811
    @judytombo4811 2 года назад +1

    Thnks
    Wise words

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 2 года назад +1

    Dr Elli anasikiliza kwa makini sana

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 2 года назад

    Shukran 🙏 🙏 🙏 🙏 sana

  • @evefluffy5177
    @evefluffy5177 2 года назад +1

    Nakupenda sana Lilian

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 2 года назад +1

    Mada Nzuri saaaaana nawafurahia

  • @emmatryphone6921
    @emmatryphone6921 2 года назад +1

    This is Dr. Elly. Bravo

  • @bupeasajile308
    @bupeasajile308 2 года назад

    Real hard in one side but real soft in another side.
    All in all God Bless you Hard Talk Team.
    I understand you Doctor"

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 3 года назад +1

    Wooowh! This is aeesome. I love you guys!

  • @salumluhende2823
    @salumluhende2823 2 года назад

    Was a nice talk and I learnt a lot from Dr

  • @yusraally6732
    @yusraally6732 2 года назад

    Asante liliane

  • @neemamassawe8091
    @neemamassawe8091 3 года назад +1

    Mungu awabariki watumish wa Mungu ! Mnakitu cha tofaut ndan yenu!

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 3 года назад

    Thanx my dear❤🔥

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 2 года назад +1

    Soo happy to see him again,soo spiritual, soo genius

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 3 года назад

    Dada nimeipenda hii topiki nakupenda sana unamaono ya mbali sana na hii inatuhusu wanawake.

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 3 года назад +5

    Lilian tuko wengi usijali Tupo imaraa

  • @thomasmgongolwa5155
    @thomasmgongolwa5155 2 года назад

    GOD bless you my dear

  • @irenel1494
    @irenel1494 2 года назад +1

    Nimejifunza kitu kikubwa sana🙏

  • @faudhiatmasoud4025
    @faudhiatmasoud4025 2 года назад

    Wooooooow m'trully happy for this..chuki ipo kwa unaempenda..absolutely YES!!!!!!

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 2 года назад

    Manshallah nimekuelea🧏‍♀️🙏

  • @annaelmwamwaja9893
    @annaelmwamwaja9893 2 года назад +1

    Thanks God, nimepona

  • @happyseverini
    @happyseverini 2 года назад +1

    the bible says, enyi wanaume wapendeni wake zanu,hii imekaaje da mwasha hapo doctor anaposema hakuna kupendwa?

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 3 года назад +3

    Dr Eli akili kubwa Sana ww

  • @rasmbegu
    @rasmbegu 2 года назад +3

    My dada akuna tatizo kutoa kama unatoa bila sababu kuna mtu anaweza kua anatoa ila ukitazama kwa undani anatoa kwasababu anahisi kama hana kigezo chakumfanya aliyenae ampende iyo ni akili ya unyonge ilo ni tatizo

  • @maigajohn702
    @maigajohn702 3 года назад

    Dr Elia namkubali Sana kipindi Cha cliurds tv chomoza very nice

  • @abednegomafuluka4625
    @abednegomafuluka4625 3 года назад

    Ningeshauri mtumie kiswahili moja kwa moja ili kuwafikia walio wengi kuliko mnavyochanganya na kizungu.. Namwelewa sana Dr huyo.

  • @mariasenzighe5395
    @mariasenzighe5395 2 года назад

    Oooh umenifundisha hasaaaa😊😊

  • @neymseluka2077
    @neymseluka2077 3 года назад

    Somo zuri sana

  • @ndikumasabodiegovevo9091
    @ndikumasabodiegovevo9091 2 года назад +1

    Na Mimi ni ivo kweli yani sija wayi kupewa pesa na Mwaume ila Mimi njoo Mina towaka pesa za kila kitu kwa Mwanaume ata awenazo njoo ivo na Mimi Mungu tu njoo nikicha achiya kweli

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 2 года назад +1

    Mtangazaji kichwa ngumu haelewi😂😂😂😂

  • @adelmarcymallya772
    @adelmarcymallya772 2 года назад +3

    Anza channel yako unatuchanganyaa

  • @mwakamtungirehi4773
    @mwakamtungirehi4773 2 года назад +2

    Dr. Una akili mingi sana

  • @georginakanje8879
    @georginakanje8879 2 года назад +2

    Nice point😘

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 3 года назад +3

    Nimejifunza kitu..,nimepata Amani ya moyo ghafla. My husband is like what are you doing today witch😂😂😂

  • @katushabedotto2883
    @katushabedotto2883 Год назад

    Swali hili nikama mumeniona mm Yani natoa lakin mm awanipi lakini hua nasema mungu yupo najua ipo siku moja nitapewa t

  • @hamisimsangi8274
    @hamisimsangi8274 2 года назад

    Lilian unamkatisha Sana doctor alafu punguza kingereza

  • @SofiaKipanta
    @SofiaKipanta 2 года назад

    Napenda Dr Elly anavosikiliza na kujibu🥰🥰
    Ila for my man i have to recieve 😆😆

  • @georgekweyamba4454
    @georgekweyamba4454 3 года назад +1

    Nakipenda hiki kipindi

  • @josejoe8455
    @josejoe8455 2 года назад +1

    Waoooo

  • @rosemarsel3731
    @rosemarsel3731 2 года назад

    Waoooh🙏🙏

  • @somoeally9592
    @somoeally9592 3 года назад +1

    Kwani kahama wasafi

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 3 года назад

    Hard tolk.., hard talk, sijaelewa lakini tuendelee

  • @edwinm.masong1729
    @edwinm.masong1729 3 года назад +1

    06.06.2021

  • @jamesobedy3940
    @jamesobedy3940 2 года назад

    Daaaaaah 🤔

  • @abdulrahmanpaskalina7627
    @abdulrahmanpaskalina7627 2 года назад

    🤔❤❤❤

  • @salimomarmkapa
    @salimomarmkapa 2 года назад +2

    Duuh. Hard talk kweli and really hard. Aise Dr amenimafanya nielimike kwakweli maana mambo mengi tunayapeleka ndivyo sivyo.
    Maneno mawili yenye hekima na busara kutoka kwa Dr. Panapotoka uchafu ndo pana utamu, afu ukipenda unakula na kinachopendwa kinaliwa duh.

  • @chrislacarin4332
    @chrislacarin4332 Год назад +1

    wanawake wengine wame ishi kauli za nabii hana heshima kwao wanaume wengi wana ishi hivyo chanzo chawengi ni wanawake zao

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 2 года назад +1

    Wenye akili wame jifunja

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 года назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🙏

  • @moseshandsam1865
    @moseshandsam1865 2 года назад

    ❤❤❤❤❤🌍🙏

  • @rosejoseph5502
    @rosejoseph5502 3 года назад

    Naomba Dr. afafanue kivipi unamchukia unayempenda?

  • @maryschroeder521
    @maryschroeder521 3 года назад

    Amazing 🤯

  • @abrahammisanti8557
    @abrahammisanti8557 2 года назад

    Sehemu ya Utamu ndiko uchafu unapotokea 💥💥💥💥

  • @mwanahawamohammed8540
    @mwanahawamohammed8540 3 года назад +1

    Lilian ndugu yangu huyu Dr katumia psychology kukufunga bao la mkono

    • @SofiaKipanta
      @SofiaKipanta 2 года назад

      😂😂😂

    • @mwanahawamohammed8540
      @mwanahawamohammed8540 2 года назад

      Yaani haingii akilini kuwa mtu anakuzalisha/mke halafu huduma anatoa kwa hawara eti wewe mke ndio anakupenda zaidi. Ndio maana wanawake wa ndoa wanahangaika kulea watoto peke yao wakikopa huku na kule wakati mume anagawa na kumwaga pesa kwa mchepuko. Yaani nimeamini kuwa kusoma sana nako kuna tatizo la kufahamu mambo na kubabaisha watu kuwafanya mbumbumbu.

  • @SaraSara-zj3sj
    @SaraSara-zj3sj 3 года назад

    Dr. asant

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 года назад +1

    Nimeona leo nimefurai,ivi nyie ni binadamu wa kawaida?!! Nani aliewazaa? Mbona mnatuacha taabani mko imala Kama yesu!

  • @anniemfaume9756
    @anniemfaume9756 2 года назад

    Ni RUclips tuuu wasafi Veep Dada lili

  • @NS-ru1yf
    @NS-ru1yf 2 года назад

    Huyu ni kaka y'ako buana Lilly

  • @brownmgidange5201
    @brownmgidange5201 3 года назад

    Tumia kiswahili

  • @lydialesson6446
    @lydialesson6446 2 года назад

    Jamani nahitaji namba ya Dr. Elie, please alienae.anaweza.nisaidia

  • @amriyalibent8441
    @amriyalibent8441 3 года назад

    Hawatunukiwi bure hao

  • @navoneiwamgonja1251
    @navoneiwamgonja1251 2 года назад +1

    Usifurahi mpk ujue wewe unafanya nini

  • @melvinnakhungu2504
    @melvinnakhungu2504 2 года назад

    Pointed

  • @stevenngaitv7001
    @stevenngaitv7001 3 года назад

    Kwa hiyo hujui Ni kwa Nini wenzako Wana pewa halafu wewe una toa!

  • @omariathuman9998
    @omariathuman9998 2 года назад

    mbona kama kipind mmecopy hardtalk ya bbc

    • @alexdukes5547
      @alexdukes5547 2 года назад

      Nyie ndo mlikuwa mnafeli darasani yaan humelewi tu hadi unasema amecoppy bbc?

  • @rachelbahahazo6362
    @rachelbahahazo6362 3 года назад

    Lili Dada vingereza

  • @badilikakijana4032
    @badilikakijana4032 2 года назад

    Utamu unatk uchafu unapotokea

  • @gretagonga2966
    @gretagonga2966 3 года назад

    Women matters iliishia wapi? 😔

    • @asamsam5608
      @asamsam5608 3 года назад

      Sijui kwann wamekiacha kile kipindi

    • @richardmwabe8065
      @richardmwabe8065 2 года назад

      Kwasababu mwenye kipindi kahama station aliyokua anafanyia hicho kipindi

  • @khamisihaji2905
    @khamisihaji2905 3 года назад +2

    Mapenzi sio pesa na pia km unataka utuniwa ni tatizo dongo toa TIGO uone utapata nini lkn nyerere alisema uchumi unao lkn unaukalia.