Kama Gani? He gives the best speeches and keeps the audience alive by entertaining them. You can also hear the audience enjoying the speech.Hata watoto watakimbilia msikiti hii ili kumsikiliza na watapenda kukuja msikiti. Na hivyo ndivyo walimu hufanya kufundisha.
Please heshimu nafsi yako na uheshimu dini yako na uwaheshimu wanawake kwa sababu wanawake ndio mama zenu walikuzaeni nyote wanaume na wanawake. Linda mdomo wako kwa kutukana wanawake ni mama zenu wanawake thumma umm 3 times leo weye badala ya kuwaheshimu wanawake unawatukana. Eeehh shekhe weye! Mbona uko hivi!?? Mmeheshimu mwanamke ni mama aako ni mwanamme please waheshimu wanawake ni Mama zenu please. Ewe shekhe
Hajawahi kutukana wanawake Bali anawambia ukweli waache maasi warudi kwa Allah na kila mwanamke sio mama yake je wale wanaocheza uchi kwenye mziki wambiwe na Nan au ndo wale hawajitukanishi wanaouza mwili wambiwe na Nan Huyu shekhe msema kweli Allah amrehemu huko aliko Dawa mpka kiama
Ikiwa unataka kufanya vichekesho watu wacheke fanya lakini usitukane wanawake kwani ni Mama zenu nyote makhuluku ALLAH HAO WANAWAKE OK! PLEASE OK! SHEKHE RESPECT THE MOTHERS OF YRS ALL U MEN N WOMEN PLEASE N RESPECT YR SELF AS A SHEIKH NOT COMEDY OF VICHAKESHO OK! MIMI NNAKUNASIHI WACHA MANENO MABAYA YA KUSEMA WA KINA MAMA NA WATU WENGINE WOTE UNAPATA DHAMBI KUBWA SANA TENA KILA UKIHUBIRI UBAHIJALIZIYA KITABU CHAKO CHA DHAMBI PLEASE DONT DO THAT OK! BROTHER U R GOOD MAN. BE MORE GOOD TO OTHERS N TO YR SELF N YR FAMILY N TO YR GOD! OK!
Innalillah wainnailayh rajiu'un. Allah s.w amjaalie shekh wetu pepo ya Firdaus. Amin.
Aamen
Amin
Allahumma Aamiin ❤🙏
This sheik is always real Maa shaa Allah similar words from his delighted heart comes out to his blessed mouth. Rahimahu llahu taala.
Kabisa sheikh nyundo Allah akujaliye miongoni mwa watu wapeponi
Aaamin
Ameen yaa rabb 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Dar mwenyz mungu amlehemu na amjalie awe miongoni mwa watakao ingia pepeon
Amiin
Allahumma ghfirlahu warhamhu wasqinhu makana fil jannat.
Tunamuomba Allah. Malazi yako yawe umo katika raha. Amiin.
taarifayahabari
8
Allah Subhanawata'Allah amjaalie pepo sheikh Nyundo.
Amiin
ALLAHUAKBAR!!!
Majini mahaba mpo 😂😂😂Allah tukinge kwa kila balaha yrabii n walio tngulia wasamehe dhambi zao yrabii Mola wangu
Ameen yaa rabb 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Allah amrehemu Sheikh Nyundo
Yaa Allah Anmuomba Atufufue sote Tukiwa Waislam Insha Allah
Allah Amrehem sheikh wetu Ameen
Mungu akulehem shekh nyundo
Amiin
ALLAH akurehem🤲
Mungu amfungurie milango ya pepo
May Allah reward you. Gems of wisdom.
Ya Allah mwangazie nur katika kabur lake na siku ya malipo tulipe kher pamoja nae
Ameeen
Mungu akulaze mahala pema
Yote alipofanya Allah amuekee kwenye mizani yake ya kheir
Allah amrahamu
Amen
mwanyezimungu akurehemu
ALLAH AKUPE KAULI THABITI
Simba wa Allah bado tunaishi na fikra zako
Mashaallah
Nikweli
Rip dady
Allahumma ghfrllahum warhamhum
alla amjaalie kila lakher
Shukran
😂😂
Alikuwa anauzungumzaji usio mwema ila namuomba Allah amsamehe makosa yake na amuingize ktk pepo yake
Kama Gani? He gives the best speeches and keeps the audience alive by entertaining them. You can also hear the audience enjoying the speech.Hata watoto watakimbilia msikiti hii ili kumsikiliza na watapenda kukuja msikiti. Na hivyo ndivyo walimu hufanya kufundisha.
Uzungumzaji usio mwema kivip
Uu
Ila hizi ni pointles co kila mwenye ukimwi alingonoka
Na huu pia ni mfano wa chuki! kwani wapi shekh kasema kila mwenye ukimwi kangonoka.!?
@@affaanothmaan6287 anawasema wenye ukimwi utadhani ni sifa angalieni kuongea sana haimaanishi unajua vingi
kwani ukimwi nini?
Tulia dawa ikuingie asilimia kubwa ya ukimwi ni zinna
@@LyonWalker_ vipi una ukimwi nini mbona umemaindi?!
😂 I did not know he died.
Please heshimu nafsi yako na uheshimu dini yako na uwaheshimu wanawake kwa sababu wanawake ndio mama zenu walikuzaeni nyote wanaume na wanawake. Linda mdomo wako kwa kutukana wanawake ni mama zenu wanawake thumma umm 3 times leo weye badala ya kuwaheshimu wanawake unawatukana. Eeehh shekhe weye! Mbona uko hivi!?? Mmeheshimu mwanamke ni mama aako ni mwanamme please waheshimu wanawake ni Mama zenu please. Ewe shekhe
Hajawahi kutukana wanawake Bali anawambia ukweli waache maasi warudi kwa Allah na kila mwanamke sio mama yake je wale wanaocheza uchi kwenye mziki wambiwe na Nan au ndo wale hawajitukanishi wanaouza mwili wambiwe na Nan Huyu shekhe msema kweli Allah amrehemu huko aliko Dawa mpka kiama
Hajatukana hapo Isipokua anaelimisha , Na hayo yote aliyoyasema ndo yaliyopo yanayofanywa hapa Duniani
Au na wewe ni miongon mwa madada poa unaambiw ukweli hutak unakua kama filauni
Unajua kama ashatangulia akhera ?
Kwaio wakikera pia wasiambiwe
Ikiwa unataka kufanya vichekesho watu wacheke fanya lakini usitukane wanawake kwani ni Mama zenu nyote makhuluku ALLAH HAO WANAWAKE OK! PLEASE OK! SHEKHE RESPECT THE MOTHERS OF YRS ALL U MEN N WOMEN PLEASE N RESPECT YR SELF AS A SHEIKH NOT COMEDY OF VICHAKESHO OK! MIMI NNAKUNASIHI WACHA MANENO MABAYA YA KUSEMA WA KINA MAMA NA WATU WENGINE WOTE UNAPATA DHAMBI KUBWA SANA TENA KILA UKIHUBIRI UBAHIJALIZIYA KITABU CHAKO CHA DHAMBI PLEASE DONT DO THAT OK! BROTHER U R GOOD MAN. BE MORE GOOD TO OTHERS N TO YR SELF N YR FAMILY N TO YR GOD! OK!
Tulia dawa ikuingie ww
Hahaaaaa ukimwi Sio mchezooo!!! Unaoza unajinyea na Boro lako na Kuma yako!!!! Baaalaaa unanukaaa unakuwa kama nyani!!!
Dawa mpaka kiyama hajatukanwa mwanamke apo dawa tu iyo