Police in Mombasa arrest 8 suspected machete gang members linked to recent attacks in Nyali, Kisauni

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 73

  • @munazjumaan1391
    @munazjumaan1391 2 дня назад +11

    Good work Commander

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 2 дня назад +12

    Maliza wao

  • @riazjuma84
    @riazjuma84 2 дня назад +13

    Wako na ujeuri kweli

  • @ellvinkerubo6365
    @ellvinkerubo6365 2 дня назад +10

    Police kazi safi kabisa bado uku malindi sasa

  • @riazjuma84
    @riazjuma84 2 дня назад +5

    😢look at the way they standing and no remorseless they have 😢

  • @Daphne362
    @Daphne362 2 дня назад +3

    Sasa hawa 🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️

  • @lucykinyanjui6334
    @lucykinyanjui6334 2 дня назад +11

    Hio ni attempting murder afungue atoke akiwa mzee wa 70

  • @BLackPEsa777
    @BLackPEsa777 2 дня назад +2

    Good job.. lakini hao wangepigwa risasi kwanza

  • @peterkatana-x2d
    @peterkatana-x2d 2 дня назад +3

    Ata leo leo wataachiwa tu

  • @Druthefarmer
    @Druthefarmer 2 дня назад +6

    Wamalizwe

  • @woimarateng
    @woimarateng 2 дня назад +2

    niliona picha ya huyo boda boda guy amekatwa mkono wueh... 😢😢i was touched. i felt so bad for him.

  • @Dulawetu
    @Dulawetu День назад

    Good work.... Bado likoni..

  • @SaidGarrison
    @SaidGarrison 2 дня назад +1

    Wataachiliwa.. watch this space

  • @johnyjoe2894
    @johnyjoe2894 2 дня назад +5

    Sheria ya Musa ifanye kazi

  • @murungaeddy1617
    @murungaeddy1617 День назад +2

    vijana 30 instead kusaidia victim ulikuwa busy kuhesabu wahuni

  • @nickbrandon7005
    @nickbrandon7005 2 дня назад

    noma sana

  • @TestTest-j3f
    @TestTest-j3f 2 дня назад +2

    Wafungwe maisha

  • @aldimkali
    @aldimkali 2 дня назад +3

    Wataenda kupigwa kende jela wakija watembea different

  • @JuliusOkoyo-s5u
    @JuliusOkoyo-s5u 2 дня назад +2

    I think police should just come to collect bodies hawa mngewachia mob wafanye mambo yao

  • @losttribe007
    @losttribe007 2 дня назад +1

    Nendeni na likoni

  • @mariamsaid1093
    @mariamsaid1093 2 дня назад +3

    Hao nikuwaua tu wanatuumiza sana mitaani hatuna amani

  • @mainakihurusia6380
    @mainakihurusia6380 2 дня назад +1

    Natamani kuenda Mombasa but hii crimes system za mtaa waa Acha ikae hady iishe...then I was love kuenda turkana County but the bandits the way attacked pple aaiii hapana but atlist sai siide za turkana hiiyoo vita imeisha kidogo za pokot bandits

  • @rexxsade6425
    @rexxsade6425 2 дня назад +2

    Especially mobile phone snatching its getting worse, they are snatching from traffic police to, no one is safe

  • @hanifahassan-sf1gg
    @hanifahassan-sf1gg 2 дня назад +2

    Alafu nisikie mumewaachiliwa wakate watu mapanga

    • @theresaelizabethelijah117
      @theresaelizabethelijah117 2 дня назад +1

      Wakiachiliwa sasa tutembee na mapanga pia sisi tuwamalize wenyewe bila huruma

    • @samwelonkangi8624
      @samwelonkangi8624 День назад +1

      ​@theresaelizabethelijah117 😂 🤞 wish Mami unajua wanatembeanga kikundi kubwa wote wamejiami si Na panga pekee Bali pia silaha zingine hatari kama teza

  • @yussufahmed136
    @yussufahmed136 2 дня назад +1

    Wahuni wote wezi sugu

  • @dedanmaina9052
    @dedanmaina9052 2 дня назад +1

    Walifa kuliwa for surw wasiachilewe ama wafungwe miaka 20 itakuwa poa

  • @lemmywanjeh4366
    @lemmywanjeh4366 День назад

    Hawa watu ni Risasi za kichwa mbili mbili

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 2 дня назад

    Wangepewa kazi kwa vijana wangesaidika sana

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 2 дня назад +3

      Wee unadhani addicts wanaweza fanya kazi?😂😂😂ona vile wamekonda kama uzi hakuna nguvu wakonayo hadi nashangaa vile watu pwani ni waoga

    • @KENYANQUEENOFFICIAL
      @KENYANQUEENOFFICIAL 2 дня назад +1

      Nipitieni guys

  • @pkenbkeezy1687
    @pkenbkeezy1687 16 часов назад

    Polisi niwatu wakusingizia tu vijana,ndio maana hutumia neno "suspected" hawana uhakika kama nihao kweli ata labda wawili tu ndio wahuni

  • @FredOdhiambo-jc5uk
    @FredOdhiambo-jc5uk 2 дня назад +2

    These small kids wanaangaisha aje watu wakubwa,mombasa men are just lazy...

    • @tommillia7816
      @tommillia7816 2 дня назад

      Ongea tuu hivyo mbaka upigwe Panga ya KICHWA ndio uta Jua Hujui

    • @earlybird5647
      @earlybird5647 День назад

      Kuja nikupeleke ukawapige Master kungfu😂

    • @Blackmuslimtiger
      @Blackmuslimtiger 9 часов назад

      Master jaluo jinga jeuri😂😂😂leta ujaluo yako wakufungue kichwa
      Acha umanyala utadedi😂😂

  • @magdalinekenneth7238
    @magdalinekenneth7238 День назад

    Hiv wazazi wao wako mbioni watto wao waachiliwe bt kuwathibiti wanashindwa

  • @thomasnzaka9507
    @thomasnzaka9507 День назад

    commander fungia wote hao wametesa watu sana

  • @Kipash
    @Kipash 2 дня назад +1

    Kazungu and Rama just left jail in Nov 2024. They are always arrested and freed.

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 2 дня назад +1

    Some of these are not criminals,,if they wanted to arrest genuine criminals, some were randomly picked, please fanyeni kazi muwache PR

  • @gottimaranzano9409
    @gottimaranzano9409 День назад

    Ubaya ni kuwa mtego wa panya huingia waliomo na wasiokuwemo

  • @wayweshPeter
    @wayweshPeter День назад

    Hawa vijana wanatutesa sana kiusalama especially hapa Likoni

  • @KENYANQUEENOFFICIAL
    @KENYANQUEENOFFICIAL 2 дня назад

    Nipitieni guys pale kwangu

  • @sidneynintendo8084
    @sidneynintendo8084 2 дня назад

    mapangalee

  • @RobertMaundu-e1q
    @RobertMaundu-e1q 2 дня назад

    Pitieni likoni pia

  • @patrickmurunga4820
    @patrickmurunga4820 2 дня назад +1

    Give them rehabiltation courses, give them jobs, they have wourds in their history

  • @Dondreads
    @Dondreads День назад +1

    Apo kutoka ni matanga😂

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 2 дня назад +1

    Njaaa ndio inasumbua Hawa watoto akiii

  • @jonathanmbura
    @jonathanmbura 11 часов назад

    Ukiwakuta eti wanasema wamechoka na life yaani 16 yrs

  • @judytabitha2919
    @judytabitha2919 2 дня назад +1

    31st December 2024, lights walikatakata watu stage Saa moja na nusu

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 2 дня назад

      Kwani wanaume wa Mombasa wako weak aje? Saa moja usiku kwa stage na mnafanyiwa hivyo? 😂😂

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 дня назад

    Ukunda twawangoja

  • @dastonamichaels1854
    @dastonamichaels1854 День назад

    Kitu watu hawajui ni hawa madogo waga na back ups ya prominents politicians na stashangaa kuwaona free soon

  • @fasteelastee9976
    @fasteelastee9976 2 дня назад +3

    Hawa ndio wanafaa kuwa abducted na wasionekane kbsaa very useless men in society.
    Whom do we blame, parents,leaders or themselves because hawana kazi for real

    • @zippykwamboka8938
      @zippykwamboka8938 2 дня назад +2

      @fasteelasteee9976 you are right apart from eti hawana kazi. That's no excuse to commit crime. Wajitume hata marikiti wabebee watu mzigo wapate riziki yao.

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 2 дня назад

      I blame you.

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 2 дня назад +1

      @@zippykwamboka8938 are you serious?😂😂you want these zombies to lift heavy things😂😂😂mihadarati zimewamaliza. Hawa wanafai kuuliwa tu

    • @KENYANQUEENOFFICIAL
      @KENYANQUEENOFFICIAL 2 дня назад

      Nipitieni guys pale kwangu

  • @bonfacewachira3297
    @bonfacewachira3297 2 дня назад

    Police wa Kenya wakitaka kufanya kazi hawachekangi😂

  • @charlesndegwa6156
    @charlesndegwa6156 2 дня назад

    Ruto atafute Hawa wamutafutie votes Mt Kenya

  • @anastaciamurungi8150
    @anastaciamurungi8150 2 дня назад

    They look like street kids.

  • @abdallahhinawy7782
    @abdallahhinawy7782 2 дня назад +1

    hao wataachiliwa tu tumeyazowea maneno ya polisi wakenya

  • @chelahkenyah3596
    @chelahkenyah3596 День назад

    Bado hapa ukunda