Vijana 8 wanaswa Mombasa kwa uhasama na kujeruhi wananchi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 29

  • @itsTheTruthTeller
    @itsTheTruthTeller 2 дня назад +6

    Lakini pia watu wa Mombasa ni waoga. Watoto wadogo kama hawa wanawaogopesha?!😂😂😂

    • @maestrojnr3505
      @maestrojnr3505 2 дня назад +2

      Nairobi wanatumia bunduki, Msa wanatumia panga ....Panga lina heshima yake ...Utatowa ama ule panga Chaguo ni lako ukileta jeuri sana wnakufira

    • @maestrojnr3505
      @maestrojnr3505 2 дня назад

      Nairobi wanatumia bunduki, Msa wanatumia panga ....Panga lina heshima yake ...Utatowa ama ule panga Chaguo ni lako ukileta jeuri sana wnakufira

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller 2 дня назад

      @@maestrojnr3505 hakuna kitu ka hio nyinyi ni waoga tu😂

    • @ChefSmaoo
      @ChefSmaoo 2 дня назад

      😂😂😂Msee ushaideal na mtu ako madawa.. Na sio bangi ama pombe... Hard shit.. Na akuwe mtoi alafu ako high as a kite bro ule msee hafikiriangi mara ata mbili

    • @wangagirl3508
      @wangagirl3508 2 дня назад

      Wewe haujui unaongea nini niulize mimi nilivamiwa likoni weeee usiseme nyamaza juu haujakutana nao

  • @DesertTears
    @DesertTears 2 дня назад +3

    Politicians wataenda kuwatoa and then back to default setting

  • @abdallahhinawy7782
    @abdallahhinawy7782 2 дня назад +1

    hayo tumeyazowea wataachiliwa tu tumeyazowea maneno ya polisi wa kenya

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 2 дня назад

    Allaah Awaongozeeee nakuwatuzaaaa watiweee Adabu hatufurahiii ..mwenyezimngu Awapee nguvuu ma officers na subiraaaah kwa watoto kuwashikaaa kupunguzaa

  • @mamuomar5749
    @mamuomar5749 2 дня назад

    Wangekatwa mikono

  • @evanschaedirectoreffortcon6264
    @evanschaedirectoreffortcon6264 2 дня назад

    At 14 a child is a criminal? Sometimes mob justice helps

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 2 дня назад

    Nimtihaani mkubwa kwa watoto wadogo kuwa wakora wange pelekwa Kupeyana Advices na wazee wawee na subrah juu yaooo…

  • @galaxyqwer7438
    @galaxyqwer7438 2 дня назад

    Aki navile nivijana wadongo

  • @acapulco4842
    @acapulco4842 День назад

    But bamburi criminal gangs husaidiwa na Wana siasa kisauni ward because Leo wanashikwa kesho wote Wana wanachiliwa how come

  • @MaryWangari-f3i
    @MaryWangari-f3i 2 дня назад

    Watafunga vibwebwe waende polisi. Hao watoto wangekua waliacha ingekua wamefungwa bt hua sijui hua kunaenda je

  • @chibudangote0126
    @chibudangote0126 2 дня назад

    SUBIRI SASA WAZAZI WAO WAJITOKEZE WASEME WATOTO WAO SIO WAIZI....😂😂

    • @mercilinewanjala9905
      @mercilinewanjala9905 2 дня назад +2

      Hawa wamepelekwa kwenye kituo cha polisi na sio abducted kuna utofauti .... mtoto akiwa na kosa apelekwe kituoni period

    • @NobertKarisaKaingu
      @NobertKarisaKaingu 2 дня назад +2

      Wauliwe niwahuni hawa jamaa

    • @wangagirl3508
      @wangagirl3508 2 дня назад +1

      Kabisa😂😂😂wamama ndio wanaribu watoto wao