Easily the best interview to date. I am not a Muslim but Sheikh Kipozeo was able to answer and frame all questions in accordance with his faith, in the context of the prophet teachings. He is a very attentive listener and answered his questions very thoughtfully and without haste or hyperbole. So many subtle insights in his answers; insights that we all can include in our daily interactions, especially when dealing with children's and our wives. I already listened to the spotify version of this but nonetheless it was important to revisit it and see the video version. On a different note: Salama has such breadth and is so far ahead of her colleagues, especially in her fidelity to Kiswahili and all its eloquence. Big ups!
Sheikh Kipozeo. Hili jina aliyempa hakukosea, Kipoozeo, unamsikiliza ni mwalimu mzuri sana. Ni mtu anayefanya ukielewe kinywa chake! Mungunamjalie afya njema aweze ifaa jamii
Masha ALLAH Jazakallahu khair sheikh wewe nimfano mwema wa kuigwa kwenye jamii Umejipamba na Qur-an na Sunnah huu ndio UISLAMU hakika hivi ndivyo hata Mtume Wetu Muhammad S.A.W Alivyokua akiishi Kwa upole na maneno Mazuli, na tabia mzuri Kwa Ujumla. Tunamuomba Mwenyezi MUNGU Akutunze Duniani na kesho Akhera Amiin
Salama leo hapa umepatia sana kumleta sheikh asante mashaAllah nampenda sn huyu sheikh,i wish Sheikh nyundo ungekua hai pia naami ungewai keti hapa Allah akurehemu uko ulipo
Kwa nn kipozeo asikatae kwasab ya hiyo hali naujuwe alivyokasalama zambi kwasab mvyele hajafujika kipozeo anajuwa inamana anamuacha salama abebe sambi na kipozeo yupp karib na kwa ushehe sio heshina
Salaam aleyki dada salama.. Nahisi utakuwa umejisahau hizo ndo hisia zangu.. Wakati unajitambulisha mimi ni salama na hawa ni rafki zangu basi unge jitahidi kumkaribisha huyo rafki yako alovaa hijaab ingependeza sana kumhoji shekh ndani ya hilo vazi.. Naimani umesahau. god bles you
DADA yangu,Waislamu wote ni wapenzi wakubwa kwa Mwenye ezi Mungu na Mtume wake,na Wala hakuna aliyekamilika ila Mola mwenyewe,yetu ni kufundishana,kuekekezana na Kusameheana. Wala sio kumcheka aliyepotea,inawezekana akawa yeye mbora klk tunavyofikiri..😍
Dada salama tunashukuru kwa maswali yetu mazuri ktk kumuhoji sheikh nae amejibu vzr alhamdulillah. sasa ww salama ulikua unajua kabisa kesho nitakua na Interview na sheikh unashindwa kuendana nae kuvaa hata hijaab na mtandio kweli?????? Siku nyingine usirudie salama kumbuka nawe umri umeenda mambo mengine siompaka uambiwe mama. Sema bigap kwa sheikh wetu kipenzi kipozeo naww pia Jazaakumullahu khaira 🙏
Kwanini usingemlingania kabisa huyo,maana yupo tu kama dime na yeyote mwenye kujifanisha na mwanaume huo amelaaniwa.hapo hata shungi Hana! Mtihani sana
Àsalam aleykum warahmatullah wabarakat MAASHA ALLAH dada salama umefanya vizuri kwa hii interview na umependeza ila ungependeza zaidi kama ungejistiri kwa mavazi pia pole kama nimekukwaza
Chechei Namie naiweka langu neno Mana hiki mie ndo kipindi changu Sasa da salama Kipindi kikianza Hua tuna kuona picha moja ume vaa bui bui wazotu kama litapendeza ukihojiana na shegh sivibaya ukavai lile vazi la buibui na mtandi niwazo tu Salam alaykum
Interview was amazing We learned something as Muslim...is ummu Ahmad From Northampton uk Just advice: music background Wasn't good idea to be As u invited sheikh of course We gonna hear about Allah Prophet e.t.c I think it depends Who u invite if as musician Would be no problem
Salama ukiacha ule u mainstream na force za enzi ni bonge la interviewer was wakati huu na uliopita kiasi. Anajua saana kuuliza kutokana na nature ya interviewee na legacy yake.
Kuzidisha mke wa pili sio lazima mkeo wa kwanza kukubali au kukataa uamuzi ni wa Mwanaume ikiwa ataweza kuwahudumia sawa.kufuatana na sheria ya kiislamu.
iyo hadithi ina mazingatio makubwa apo pia Salama umepigwa na kitu kizito na Shekh Kipozeo mana umekosea hujajifunika kichwa ata km vp ungempa heshma yake km mtu mzima na sio kutrend kwa kipindi mana interview ya Shekh Kipozeo inatrend automatically kwa vile watu wanampenda sana Allah ampe umri mrefu ameen
Salama hujatembea nimikoa minne tu ndio yenye waganga waisilim hiyo mingine wakilsto ndio waganga tena wachawi tena kwakutoa makafala usiseme tena maiafala ya binaadam wenzao haswa watu wadamu waislam watatoa kafala zakuku mbuzi kondoo nazi hebu chunguza vizuri
HY DADA HAWEZI KAA HV MBELE YA MFUTI WA TANZANIA PIA NI MOJA UKITAKA KUFAHAMU ILIYO NAYO HAINA ATHARI KWA JAMINII SALAMA ANAMCHUKULIA KIPOZEO NI MTU KAWAIDA NDO MAANA WALA HAKUWA NA HAJA YA KUJISTIRI
Kishki hawezi kuja hapo, na hata akija lazima amwambie Salama ajistiri kwanza ndipo aanze kumuhoji...Kipozeo anachukulia poa japo najua ndani ya nafsi yake anajua kwamba Salama kamkosea ila hekma tu kwa kuwa anajua yupo kazini kwake!
Wanaosmile wakimwona kipozeo weka like
Salama wengevaa hijab
@@VORTEXAF kbsaaaaaaa 💯%🤝😘
😊😊🥰
Kwa heshima ungefunika kichwa kwa kanuni na maadili ya kiislam (Mashallah sheikh kipozeo baraka Allahu fik)
Hewaaa
Easily the best interview to date. I am not a Muslim but Sheikh Kipozeo was able to answer and frame all questions in accordance with his faith, in the context of the prophet teachings. He is a very attentive listener and answered his questions very thoughtfully and without haste or hyperbole. So many subtle insights in his answers; insights that we all can include in our daily interactions, especially when dealing with children's and our wives. I already listened to the spotify version of this but nonetheless it was important to revisit it and see the video version.
On a different note: Salama has such breadth and is so far ahead of her colleagues, especially in her fidelity to Kiswahili and all its eloquence. Big ups!
I'm flabbergasted by you post, big up 💪💪!
👏👏👏👏
@@gxygxy9143 😂😂😂😂
Very well put. I am a Muslim. Reading this put a smile on my face. 👏🏾
She's Zanzibaris
Sheikh Kipozeo. Hili jina aliyempa hakukosea, Kipoozeo, unamsikiliza ni mwalimu mzuri sana. Ni mtu anayefanya ukielewe kinywa chake! Mungunamjalie afya njema aweze ifaa jamii
Sheikh yupo well composed!safi sana sheikh
Masha ALLAH Jazakallahu khair sheikh wewe nimfano mwema wa kuigwa kwenye jamii Umejipamba na Qur-an na Sunnah huu ndio UISLAMU hakika hivi ndivyo hata Mtume Wetu Muhammad S.A.W Alivyokua akiishi Kwa upole na maneno Mazuli, na tabia mzuri Kwa Ujumla.
Tunamuomba Mwenyezi MUNGU Akutunze Duniani na kesho Akhera Amiin
Best interview for 2022. Sheikh is well composed and huchoki kumsikiliza. Big up kwa #SalamaNaTeam agizeni Fanta popote mlipo, tukikutana nitawalipa😎
Unakaa na sheikh kichwa wazi inna ilaih wa inna ilaih raajiun mtt wa kiislam
Shekhe msikivu na anajibu vizuri sana with examples,yupo deep sana
Salama leo hapa umepatia sana kumleta sheikh asante mashaAllah nampenda sn huyu sheikh,i wish Sheikh nyundo ungekua hai pia naami ungewai keti hapa Allah akurehemu uko ulipo
Kwa nn kipozeo asikatae kwasab ya hiyo hali naujuwe alivyokasalama zambi kwasab mvyele hajafujika kipozeo anajuwa inamana anamuacha salama abebe sambi na kipozeo yupp karib na kwa ushehe sio heshina
Nice interview from kenya here, just put like for me guys
🥰🥰🥰🥰
Salama unazungumza na sheikh wengevaa mtandio na wengevaa na baibui Kwa ufupi wengejistiri wengependeza zaidi Kwa uislaam
@@VORTEXAF kwamba shekhe Ni Mungu au ni nyumba ya ibada? 🤔
@@princegerard4704 Kujihifadhi ni lazima ktk uislam
@@princegerard4704 Kwetu sie Waislam ni lazima Amri tumeambiwa katika Quran
Salaam aleyki dada salama.. Nahisi utakuwa umejisahau hizo ndo hisia zangu.. Wakati unajitambulisha mimi ni salama na hawa ni rafki zangu basi unge jitahidi kumkaribisha huyo rafki yako alovaa hijaab ingependeza sana kumhoji shekh ndani ya hilo vazi.. Naimani umesahau. god bles you
Dada muogope Allah ,funika kichwa chako na vaa mavazi ya heshima ,hii dunia ni mapito tu
Umemshauri vyema sana. Allah amuongoze
Shekhe yuko very humble Yani anaongea ndani ya utulivu mkubwa mno Allah azidi kumuongoza
Amiin
DADA yangu,Waislamu wote ni wapenzi wakubwa kwa Mwenye ezi Mungu na Mtume wake,na Wala hakuna aliyekamilika ila Mola mwenyewe,yetu ni kufundishana,kuekekezana na Kusameheana. Wala sio kumcheka aliyepotea,inawezekana akawa yeye mbora klk tunavyofikiri..😍
Kama WAISLAMU wote wangekua Kama wewe, Basi ningeslimu 🙋🙋♀️
@@erastomwakalukwa3946 endelea kuwa kafiri hivyo hivyo, uislam hauendi eti kwa mtu flan kafanya nini.
Uislam unaendeshwa na Qoran tukufu basi.
MAASHA ALLAH shekh kipozeo ALLAH akubariki
Ahsante sana salama kwa hii interview na hapo bado hata sijaiangalia nimeanza na kukoment kwa sababu najua hii ya leo itakua n kaali sana
Binafsi acha nikupongeze salama@salma bint jabr,,, you are matured enough now!!!
Good looking na utulivu wa hali ya juu,,,,,,, umekomaa hakika!!!
Nimeipenda hii interview mnooo.
Dada salama tunashukuru kwa maswali yetu mazuri ktk kumuhoji sheikh nae amejibu vzr alhamdulillah. sasa ww salama ulikua unajua kabisa kesho nitakua na Interview na sheikh unashindwa kuendana nae kuvaa hata hijaab na mtandio kweli??????
Siku nyingine usirudie salama kumbuka nawe umri umeenda mambo mengine siompaka uambiwe mama. Sema bigap kwa sheikh wetu kipenzi kipozeo naww pia Jazaakumullahu khaira 🙏
Kwanini usingemlingania kabisa huyo,maana yupo tu kama dime na yeyote mwenye kujifanisha na mwanaume huo amelaaniwa.hapo hata shungi Hana! Mtihani sana
Salama kwenye hii interview ulikua unatakiwa ujitande kichwa ila nafkiri ulighafilika ama ulikusudia.
Ebana salama umenfurahisha sana kumleta mwamba
Jamani tujistiri munawapa kazi mashekhe wetu
Ingefaa salama leo ungevaa hijab
Kabisa wala
Kazi gani wanawapa????
Ni ushauri tu mi nafikiri siku nyengine ukifanya mahojiano na mashekhe ungevaa ule mtandio wako mweusi ingependeza zaidi
MAA Shaa Allah 🙏 alhamdulilah Allah akupe furaha Salama na Shekhe Kipoozeo 🙏
😮 allah akulipe kwa interview nzuri dada salama
Kipenzi changu Allah akuhifadh sheikh wetu
Àsalam aleykum warahmatullah wabarakat MAASHA ALLAH dada salama umefanya vizuri kwa hii interview na umependeza ila ungependeza zaidi kama ungejistiri kwa mavazi pia pole kama nimekukwaza
Mashaallah Sheikh Kipozeo Nakukubali kwa Nasaha zako pia Hongera Sana Salama kwa Kipindi Chako
Like kwangu nimekuwa wa Kwanza
Kwann ujajitanda ww wakat na ww muislam innalilah wahina ilahhi rajiun
Interview yenye masisimko. Masha Allah
Chechei
Namie naiweka langu neno
Mana hiki mie ndo kipindi changu Sasa da salama
Kipindi kikianza Hua tuna kuona picha moja ume vaa bui bui wazotu kama litapendeza ukihojiana na shegh sivibaya ukavai lile vazi la buibui na mtandi niwazo tu Salam alaykum
Leo salama umepatikana..Umekuwa msikilizaji...
Mashaa Allah shekh wetu
😂😂😂shekhe kipozeo nampenda sana
Salama kweli ungevaa mtandio ndio ingekuwa vzr
Yaani Salama anaongea na Sheikh ameshindwa kuvaa hata mtandio na kujistiri kweli? Maadili yameporomoka kweli 😏
heshima kwako sheikh..!!..
Interview was amazing
We learned something as Muslim...is ummu Ahmad
From Northampton uk
Just advice: music background
Wasn't good idea to be
As u invited sheikh of course
We gonna hear about Allah
Prophet e.t.c
I think it depends
Who u invite if as musician
Would be no problem
i agree with you 100%
Kabisa music umeharibu interview
Mashaallah shekh kipoozeo❤️
Huyu mzee yupo vizuri sana kiukweli
ila sheikh hayo maneno ya mtume (hadithi) ni maneno mazito sana kwenye kuyazingatia na yana maana nzito sana inshallah M/Mungu atuongoze kufanya mema
Literally my favorite one so far
Hiyi ni nipendwa kwang kabisa kiufupi
Salama you do good.
Salama ukiacha ule u mainstream na force za enzi ni bonge la interviewer was wakati huu na uliopita kiasi. Anajua saana kuuliza kutokana na nature ya interviewee na legacy yake.
Nakubali Sana kazi yake ya daawa lakin hata Salama kazi yako
Aunt salama na kurespect
Kuzidisha mke wa pili sio lazima mkeo wa kwanza kukubali au kukataa uamuzi ni wa Mwanaume ikiwa ataweza kuwahudumia sawa.kufuatana na sheria ya kiislamu.
Salama the best of all time..
Dada next time ukimualika sheikh kipozewo weka kakitamba kichwani kwa hishima ya sheikh na mwisilamu.thankx
Sheikh Hilal shawej kipozeo 😁😁😁,Baraqallah
fFrom Nairobi kenya ushungi huo siyo mziki
Top Notch....TOP TOP TOP TOP TOP
Unique idea... Very Educative to all Faiths.
What a surprise
Sheikh wangu 🥰
Mngaliondoa ilo rege ingalikua vizuri
Plz salama teletee Shk MAZINGE
fundi kabisa
Mbona sio comments za wakristo
Allah akujalie kila lenye kheli🙏🙏🙏
iyo hadithi ina mazingatio makubwa apo pia Salama umepigwa na kitu kizito na Shekh Kipozeo mana umekosea hujajifunika kichwa ata km vp ungempa heshma yake km mtu mzima na sio kutrend kwa kipindi mana interview ya Shekh Kipozeo inatrend automatically kwa vile watu wanampenda sana Allah ampe umri mrefu ameen
😮😮salama unge vaa basi ushungi hapo umengor'oa yani umezingua
Ww ni mtt wa ushungi hapo umetubeba noma sana umezingua sana
Bado Sheikh Mazinge daa Salama
Ni bora ma sheikh nawo wakiombwa interview watowe masharti yao kabla ya kwenda ikiwemo kuwaambiya wajistiri
Salama hujatembea nimikoa minne tu ndio yenye waganga waisilim hiyo mingine wakilsto ndio waganga tena wachawi tena kwakutoa makafala usiseme tena maiafala ya binaadam wenzao haswa watu wadamu waislam watatoa kafala zakuku mbuzi kondoo nazi hebu chunguza vizuri
Mashallah 🥰
Mzee wa mizigo maashallah
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
mzigoo dawaa,mambo ya kutanabai 🤣🤣
@@phreemanb 🤣🤣🤣🤣
Nice interview
😊
Mashaallah
Man nshallah
HY DADA HAWEZI KAA HV MBELE YA MFUTI WA TANZANIA PIA NI MOJA UKITAKA KUFAHAMU ILIYO NAYO HAINA ATHARI KWA JAMINII SALAMA ANAMCHUKULIA KIPOZEO NI MTU KAWAIDA NDO MAANA WALA HAKUWA NA HAJA YA KUJISTIRI
Ebu mkumbushe mwaipopo anaonekana anajaziba Sana kama yeye anaenda peponi kesho
Salama na juma lokole please
😅🤣🤣🤣🤣🤣Atakua aongea hata haja ulizwa swali
Mhhh itakuwa balaaa atajibu kabla ajaulizwa
Yule choko asije
Ninge penda kuona salama na Mazinge
O melhor entrevista de final do Ano
Weka na part 2
Salama Leo naona ana maneno ya adabu na utulivu sn.
Sheikh wa kwel hufanyi mahojiano na mtu aliye kichwa wazi
Wakwanza leo nilikua naisubiri snaaa hii ya Sheikh kipozeo🤣
Inakuaj dada mhuni kumuohoji shkh na vaazi hilo vitu wakati mwingine heshima iwepo muache upuuzi
background Music kwenye maneno mazuri ya Allah 😢😳
Problem nikwambia lazima aingie kwenye hedhi nawanaume hawana uvumilivu kwa ili sasa hawezi chukua nafasi za wake wa nne
Umeona ee
@@abduomar8438 eeh
@@mwanakonyaume3611 asant na hongera kw kulijuwa hilo
Bonge la Sheikh,,tunakupenda Sheikh
Hamna mushkeli ukiwa muwazi na mwenzako kwenye mahusiano, mimi kama siwezi kuwa na access na simu emails ya mwenzangu basi bora niwe bechula maisha
Sheikh langu kachemka Leo mume akitaka kuoa kumuelezea mke wake ni kwa ushauri tuu lakini sio ruhusa. Mke hatoi ruhusa
salama dadangu ningekunasihi japo jichupie mtandio wa kichwa jistiri jamanii si mbaya..... mbona unajisahau ivyo.
Mkee haombwi ruhsa yakwenda kuowa
Anapewa tu taarifaa
Jamn acheni choyo wangine waolewe na kina nani😥😥😥
😄😄😄😄😄😄
Yah mke anapewa taarifa japo wazo lake unaweza kuliconsider
Kweli kabisa
@@tatotato506 nini sasa🤣🤣🤣🤣
@@hk_ballers wazo lake kivip mu wanawake 100 umoja ndo huweza kuridhiya🥱🥱🥱
Dakika ya 6:06 salama amesema kwa MFANO yeye ni mwanamke 😂😂😂
Vipi kusifia MIZIGO ya wanawake ni dhambi au sawa tu
Salama mbona hujamuuliza?
Ukiwa na Sheikh kama hivo ungejisti kichwa dadangu ungevaa HIJAB ww ni muislam
Inna lillah wainna ilahi rajiuun, dada jiheshimu nastara wajua lkn wajifanya hamnazo bint jaabr liesh?
Ila salama ungependeza zaidi kama ungevaa hijab
Nyie wanaume hamna subra mafatani tu hamna illa kupenda kuoa na kucheat.
SHEKH UMEULIZWA NILAZIMA AKUBALI MKEO AU SI LAZIMA JIBU SWALI USISEME NIVIZURI
SALAMA JABER unamkumbuka MURAD HASHEM MURAD
Mlete shekh kishk
Kishki hawezi kuja hapo, na hata akija lazima amwambie Salama ajistiri kwanza ndipo aanze kumuhoji...Kipozeo anachukulia poa japo najua ndani ya nafsi yake anajua kwamba Salama kamkosea ila hekma tu kwa kuwa anajua yupo kazini kwake!
@@shamsisaady4029 umeonahee anajua kweli salama kamkoseashekh wengine wanamlaumu kipozeo
@@tatotato506 yah, na ndo maana ukimchunguza vizuri utagundua anakwepesha sana kumuangalia salama usoni
Hapo da salama ungepigia japo kihijabu kdg ingependeza sn I think
I use to watch all the adds, Thats my type of tip. 🤣🤣🤣
Same here
Shekhe Kipozeo ametokea kuongea ukweli ambao mashekhe wengine wameogopa kuusema kwa mwambuli wa dini
Kiu hakiridhiwi kwa hayo mwenzangu,kiu ni kujiridhisha kwa aina,maana Mwanamke anaridhika zaidi klk Mwanamme..ndio kuwa Mola akawapa nafasi ya Kuoa
Unaweza Fetty?
Kuchwa kutwa ukisema ndoa ya mke mmoja ni ndoa ya kikristo leo unaiunga mkono?