AFISA MADINI LINDI:LIWALE INA MADINI MARA 8 ZAIDI YA RUANGWA/ATAJA AINA YA MADINI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 сен 2024
  • Wilaya ya Liwale imetajwa kuwa na madini mengi zaidi kuliko wilaya zote za mkoa wa Lindi kwa mujibu wa ramani ya GEOLOGY MINERAL MAP OF LINDI inayoonesha maeneo yanayopatikana madini baada ya kufanya utafiki.
    Hayo yamebanishwa na Kaimu afisa madini mkazi mkoa wa Lindi Idd Rashid Msikozi wakati akizungumza na wachimbaji wadogo wa Kitowero huku akiwasisitiza wachimbaji kukata leseni za uchimbaji ili waweze kutambulika na serikali kuiwezesha serikali kupata kodi yake kwa mujibu wa sheria.
    Msikozi amesema kuwa Kwa mujibu wa ramani hiyo Wilaya ya Liwale ina vidoti 8 zinazoonesha upatikanaji wa madini katika meneo mbalimbali huku ikionesha aina ya madini yanayopatikana kwa wingi ni madini ya dhahabu ambayo hajachimbwa huku ya dhahabu yanayopatikana eneo la Kitowero kata ya Lilombe wilayani Liwale.
    KARIBU COM TV , Television ya Mtandaoni ambayo imejidhatiti katika kuakikisha unapata habari ,Matukio ,Burudani za ndani na nje ya Tanzania kwa uharaka na uwakika.
    Unaweza kutupata kwenye mitandao ya kijamii kama hivi
    INSTAGRAM : www.instagram....
    #COM TV #Comtv #Com Tv #LINDI #Tanzania #Liwale #habari #michezo
    #COM TV #Comtv #Com Tv
    #COM TV, #Comtv, #Com Tv

Комментарии • 2