TAZAMA KIJANA ALIYEBUNI KIFAA CHA KUGUNDUA MADINI AKIMUELEZEA WAZIRI - "KINATUMIA CD"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 8

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 2 года назад +1

    Hongera sana kijana,hongera sana....
    Tunawapa sapoti ya kulipa watu kupanda mlima kilimanjaro ila tuna shindwa kuwapa watu ruzuku kuendeleza teknolojia endelevu....😎
    Sikia Gwajima eti huyu ni mtanzania tunachana achanaje yani mama hivi unajua teknolojia ni siri,pia huwa moja ya silaha za taifa?
    Daaah

  • @pascalmpangalawa3072
    @pascalmpangalawa3072 2 года назад +1

    .A'''''' m god man!!!

  • @buhagricskillstv7535
    @buhagricskillstv7535 2 года назад +1

    Safi mzee baba

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 2 года назад +2

    Kiswahi ni waya wa.shaba.

  • @jofretemba8706
    @jofretemba8706 2 года назад +1

    Safi

  • @BabyMadoshi-ze3ef
    @BabyMadoshi-ze3ef Год назад

    Muoga sana anatetemeka sana

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 2 года назад

    Kina uzwa sh ngapi nakitaki hicho kijijini kwetu kuna sehemu zina madini lakini hatujui

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 2 года назад

    hii mbona simple metal detector , unaweza kuitapa hata kwa dola mia. Hakuna haja ya kutafiti kitu kilichokua tayari kisha buniwa na kutengenezwa kwa ubora wa mara mia zaidi. Ni kupoteza muda na kupumbazana.