PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 32 | Love Story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 2,8 тыс.

  • @Dontatv255
    @Dontatv255  2 месяца назад +1143

    jamani hivi mnanishaurije kuhusu lovenes nimuone au niache kiherehere

  • @Dis_fx
    @Dis_fx 2 месяца назад +37

    ahsante sana #dontatv kwa mafunzo mazuri kwa jamii nzima maana kuna vitu nimejifunza
    1: adui yako ni jirani yako
    2: usimdharau mtu usie mjua kwa sababu ya tabaka lake
    3: upendo ni wa kutoka moyoni na sio kwa sababu ya maslahi binafsi
    ALL IN ALL INAPENDEZA SANA

  • @Viikerubo
    @Viikerubo 2 месяца назад +152

    Ni wangapi tunakubaliana na kelvin kuoa loveness ❤❤❤tupa kalike apo tukisonga

  • @OmariJumaaWaziri
    @OmariJumaaWaziri 2 месяца назад +816

    Wanaotaka Kelvin amuoe loveness tujuane kwa like apaa ❤👍👍👍👍

    • @mahonataniymayunga
      @mahonataniymayunga 2 месяца назад +5

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @rayianny
      @rayianny 2 месяца назад +4

      Muoe loveness

    • @MwaJuma-x3t
      @MwaJuma-x3t 2 месяца назад +2

      @@OmariJumaaWaziri 🥰🥰🥰🥰🥰

    • @emmanuelkithonga6641
      @emmanuelkithonga6641 2 месяца назад +3

      nipo. Ku toka Congo 🇨🇩. kelvin a muoe lovenes kabisa

    • @KKK-v6j
      @KKK-v6j 2 месяца назад

      🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @hhhhy-qf8su
    @hhhhy-qf8su 2 месяца назад +55

    Kelvin na loveness napenda san movie yetu nipeni like nikiwa Riadh🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦 wapenzi team strong 💪💪

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 2 месяца назад +18

    Sura Yako Ndio Dawa Kwako Mgonjwaa vibaya ❤❤❤❤❤❤ loveness Na Kelvin ❤❤❤❤❤❤❤ wimbo unawafaaa

    • @PaachalLulengo
      @PaachalLulengo Месяц назад

      Huo unafaa san tujifunze kupia wao❤❤❤tier na upend❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 Месяц назад

      @PaachalLulengo kabisa Mtamu Hatari

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 2 месяца назад +330

    Jmn team loveness tujuane nawapenda nikiwa Riyadh 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦 team strong hoyeeeeeeeeee 💪💪💪💪💪nawawakilisha leo

  • @SarahMuyoka-jx7ff
    @SarahMuyoka-jx7ff 2 месяца назад +106

    Kevin nakushauri uko sahihi sana loveness ndio mke bora kwako wanaona kubaliana na ushauri wangu kwa kelvin weka like tukisonga 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nawapenda bure ❤❤

  • @Mygirl_1032
    @Mygirl_1032 2 месяца назад +271

    Tunao amini Tina kuna Jambo litamkuta tujuane hapa 😎😎😎 nawapenda Sana from kenya 🇰🇪🇰🇪

    • @AidathRweyongeza
      @AidathRweyongeza 2 месяца назад

      Lazima kimrambe we subiri

    • @olicej7837
      @olicej7837 2 месяца назад

      Jamaa anataka mtoto tu afu Tina atajiju😂😂😂😂​@@AidathRweyongeza

    • @NadzuaMrema
      @NadzuaMrema 2 месяца назад

      Mim tayari naamini mana huyo denis anakaa wakuchepuka snaaaa

    • @gilbertchibo
      @gilbertchibo 2 месяца назад +1

      Kelvin waharibu sasa maliza hii mambo ya kuliali nini sasa

    • @AnastaziaMartin-u2s
      @AnastaziaMartin-u2s 2 месяца назад

      Habari ndio iyo

  • @uwimanadouce6954
    @uwimanadouce6954 2 месяца назад +48

    Wanayokubali iyi nyimbo moyo pôle tujuwane ❤❤

  • @TabithaNjuguna-c4e
    @TabithaNjuguna-c4e 2 месяца назад +7

    Kevin pole sana lini usimpe tina talaka ndio kama ni yeye atarithi mali ya babake pia wewe utakuwa kama ni kama hio mali ni yako tu. Naomba tuendelee mpaka 100 ama njuu ya hio. Nimefurahia kwa hio unjashili yako. Like nzangu MM niko KENYA🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤

  • @madamlina-nf7ed
    @madamlina-nf7ed 2 месяца назад +107

    Jaman nimekuwa wa kwanza kukoment maaajabu. kev na loveness na mashabiki wenzangu one love

  • @BijumaRiziki
    @BijumaRiziki 2 месяца назад +156

    Leo imebidi nicomment japo maneno matatu tu muhimu🤌...najifunza maisha kupitia donta tv ndio maana napenda sana kuiyangalia ❤ kuna vitu nimejifunza kupitia hizi movies za donta tv 1.usimuamini mtu 💯💯, 2. rafiki yko ndie adui yako✌️3.mpende yoyote hat yule usiyemjua maana ssi wote ni ndugu hujui ni nani atakuja kuwa msaada kwako #dunia inazunguka na human being bdo akele ubwa📌💯, niwatakie kazi njema wana donta tv God blessed all of you🤲🙏 nawapenda nyotee 🌹🥰🌹, big up🤜🤛💪.

  • @DaphroseMpawenimana
    @DaphroseMpawenimana 2 месяца назад +4

    Kabisa Kevin lavness Ni mulembo muzuli kabisa muowe utaishi kwenye upendo na Amani Haki ya mungu❤❤❤nampenda lavness Mulembo muzuli kabisa kikubwa Loho yake mwanamke loho hapana sula

  • @NatukundaJGeof
    @NatukundaJGeof 2 месяца назад +8

    Ata mimi Kendi amenikasilisha sana hata kumusikiliza brother wake eee ila me nipo apa ug naomba like zangu jamen ❤❤

  • @FrancisYohana-ij1th
    @FrancisYohana-ij1th 2 месяца назад +190

    Kaka kevi hongera kwa kazi nnzuri ukiwa na lovness mambo ni poa 🎉🎉❤ maua yako

  • @RaphaelDeuc-uk1jg
    @RaphaelDeuc-uk1jg 2 месяца назад +90

    Wanaokubali msimamo wa loveness karibu hapa tufurah😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 2 месяца назад +418

    Ambao tunasubiria ndoa ya loveness na kelivin ,,,,,,please tujuane hapa kwa like
    ❤❤❤❤❤😅😅😅

    • @olicej7837
      @olicej7837 2 месяца назад +3

      😂😂😂😂😂ila nilitamani kendy aondoke anajua maisha ya wazazi wake kwa sasa 😢

    • @HassanAbdallah-y6p
      @HassanAbdallah-y6p 2 месяца назад +3

      ❤❤❤❤❤

    • @BethahMasudy
      @BethahMasudy 2 месяца назад +4

      nasubili doa ya kelivin na love ness

    • @issahathman9898
      @issahathman9898 2 месяца назад +3

      Dio tunasubiri sana❤❤

    • @EmilyMutuku-u9z
      @EmilyMutuku-u9z 2 месяца назад +1

      Doa itakuwa lini

  • @YusraMshomary
    @YusraMshomary 2 месяца назад +9

    Kelvin, umejiachaniza sana we vuta hicho chombo lovenes uenjoy life na mtu umpendae❤❤❤❤ acha kujitesa jaman, movie tuu lakn umekonda pole Kwa unayo pitia wewe na family yako 😢💪

  • @abdulmutwi
    @abdulmutwi 2 месяца назад +4

    The story as a ending as mtutua maji was a good story and a good endingLet's continue watching until the end of the story we shall be happy and learning a good story Kevin and loveness continue doing what you are doing the best job continue taking us to love what we have in our lives and continue giving us a good memories and a bad memories in our lives don't tell family continue teaching us what we have we don't have and respect what we have what we don't have continue doing the best job❤🎉🎉💯

  • @Shoka_boy
    @Shoka_boy 2 месяца назад +183

    Yeyote aliyekuwa na imani kama leo atatazama hii séries weka alama apa 🎉🎉🎉

  • @BimkubwaOthman
    @BimkubwaOthman 2 месяца назад +73

    Kelvin zidi kuipambania ndoto yako ili uweze kufikia ulipo pategemea kutoka Kwa mungu 🎉🎉🎉🎉 team strong mpo vyema lakin ❤❤

  • @SadaDjuma-e9b
    @SadaDjuma-e9b 2 месяца назад +67

    Jamanie karibuni movies imeingia nimekua wa 1,Mansha"Allah 😘😘😘

  • @AmossYese
    @AmossYese 2 месяца назад +9

    Kelvin we mashine kaka mda mwingine mpaka natoa machozi we ni 10000000000

  • @LebonAlliance
    @LebonAlliance 2 месяца назад +8

    Kevin sijapenda Kendi kuenda sijapenda kabisa umenikoseya sana😢😢😢

  • @matesomhoja
    @matesomhoja 2 месяца назад +29

    Kevin mdogo wangu nakubali kazi zenu,kwaushauli mutunte huyo love NES asije akaondoka donta tv.

  • @AngelDunia
    @AngelDunia 2 месяца назад +41

    Kelvin unajua kuigiza sana kwakweli nakukubali sana🎉

  • @SadaDjuma-e9b
    @SadaDjuma-e9b 2 месяца назад +49

    Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya Donta TV, Ninamuomb Mungu atupe Riski nyingi za Halali n, Afya njema nna Baraka telee,tuzid kupendana,na pia Mungu atupe Afya njema,maisha marefu, napia atupe mwisho mwema. Aaaaameeen 🤲 😘😘😘😘, Ninawapenda saaan

  • @waridysimba7571
    @waridysimba7571 2 месяца назад +8

    Kwan nan alimnunulia loveness smartphone😂😊

  • @Margaret-o5x
    @Margaret-o5x 2 месяца назад +3

    Team kelvin nawapa maua yangu mungu awatie nguvu kwa kazi njeema mnayo fanya nawapenda sana

  • @JosphineKahindi
    @JosphineKahindi 2 месяца назад +25

    Hallo ya jamaa team strong hoyeeee nashabikia nkiwa JEDDAH nmependa sana loveness kikweli akiwa na kaka kelvin mambo ni chonjo sana pokeeni hio❤❤ inawahusu

  • @Swamycute-l8o
    @Swamycute-l8o 2 месяца назад +59

    Hatimae leo nimekuwa wa 24 nawapenda xana ❤❤❤❤ 🎉 wana donta TV team kervin tujuane apa❤❤🎉🎉🎉🎉❤

  • @KWIBEAMISIOBAMA-congo
    @KWIBEAMISIOBAMA-congo 2 месяца назад +87

    Jaman leo sina mengi ila leten tu liké 5 🎉🎉🎉🎉 ms'Obama from Congo Kolwezi 🇨🇩

  • @SilasMwadime
    @SilasMwadime 2 месяца назад +3

    Movie bila LOVE na KEVI inaboo sasa kwasemaje waoane gonga like watching from KENYA

  • @AmaniNangerembe
    @AmaniNangerembe 2 месяца назад +4

    Brother Kelvin good nice one job but you disappoint me too trust your advocate but I trust you brother 🎉🎉🎉🎉❤

  • @Hadijawashuma
    @Hadijawashuma 2 месяца назад +42

    Duuh kumbe nimewah na mim nimekuwa wa 3000 na
    Mungu mbarilkibyule atakae soma comment hii Amina siku moja moja tuna ombeana kwa mungu jaman achen mda wote like naomba daah achen banha😅😅😅😅

  • @JoyceKahindi-mx8gh
    @JoyceKahindi-mx8gh 2 месяца назад +52

    ❤❤❤❤ wakwanza leo nipeni like zangu kutoka kenya 🇰🇪

  • @WekesaSylvia
    @WekesaSylvia 2 месяца назад +19

    Team loveness nawapenda kabisa good job nawatazama nikiwa Riyadh watu wa Riyadh mikono. Juu

  • @StellaMarcel-g3l
    @StellaMarcel-g3l 2 месяца назад +7

    Yaani kwangu binafsi muoe Loveness utanifurahisha sana🎉❤

  • @GastoryVincentsuline
    @GastoryVincentsuline Месяц назад +2

    Nawpend san kelvin na loveness❤❤😊

  • @mcboychildcomedy7414
    @mcboychildcomedy7414 2 месяца назад +270

    Kama.wewe ni mkenya pita na like wakenya woyee🤗🤗

  • @ellyndonje
    @ellyndonje 2 месяца назад +33

    Waooo na mm leo nimewah jaman nipen like

  • @malaikajabali-oj2fh
    @malaikajabali-oj2fh 2 месяца назад +11

    What I know huyu mzee atapoteza vyote tena maana sio halali kuchukua kisicho chako hila Kendi naona atafanikisha tena mautumani ya family yake... Kelvin wewe ni jasiri tena kiongozi yote yatakua fiti. Hugs from Kenya 🇰🇪🇰🇪

    • @NuruNdegwa-yg2bm
      @NuruNdegwa-yg2bm 2 месяца назад

      Mm pia naona akirudisha familia yake mali😊

  • @خديجه-ه3ف
    @خديجه-ه3ف 17 часов назад +1

    Asnt donta tv kwakweli kevni umenipa fuzo kwakweli fanya basi mupango wakumupiga mistali basi lavenes kwakweli ndo mwanamke anae kustaili kevni🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AliceCuki
    @AliceCuki Месяц назад +1

    Lakini kendi hakufanya poa jamani angewajulisha Team loveness hoyeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kevin pole kaka yanamwisho yatayisha

  • @AminaHassan-mn4hl
    @AminaHassan-mn4hl 2 месяца назад +19

    Wa kwanza allah akuhifadhi kelvn upate,skili nyingi za kufikiri uzidi kytuburudisha🎉🎉🎉🎉❤

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 2 месяца назад

      Alahuma Amini Allah takabali duwa

  • @franktodory
    @franktodory 2 месяца назад +25

    mungu awabaliki wote tuliokuwa tunaisubili kwa hamu

  • @JanethMwacha
    @JanethMwacha 2 месяца назад +16

    Movie ya Iko pw Sana 🎉 congratulations donta tv 😍🥰

  • @AshaMohd-u7n
    @AshaMohd-u7n 2 месяца назад +2

    Ila candy kweli umefanya makosa hujui ht wazazi wako umewaacha ktk hali gani wke tunazo huruma ila baba kelvin amenichekesha ndio kwanza anajifinika shuka yk vizuri . Ninampenda sn loveness anavomliwaza kelvin nikupe 🎉🎉🎉 yako

  • @LovenesMoraaondieki
    @LovenesMoraaondieki 2 месяца назад +1

    Napenda Kevin na lovenes like video from waching Qatar mmi mkenya

  • @Ellywangu
    @Ellywangu 2 месяца назад +34

    Sipendi hayo makope ya tinah na akizungusha macho Ka lijini vile 🤣🤣

  • @RozPeter-s5z
    @RozPeter-s5z 2 месяца назад +38

    Jamn komentini baady kitu utakachojifunza ndo ukoment sio oooo Mimi wa kwanza mnaboa😮😮😮😮

    • @Lovekidoti32
      @Lovekidoti32 2 месяца назад +1

      Sana

    • @JOSEPHINEDavid-x7x
      @JOSEPHINEDavid-x7x 2 месяца назад +2

      Yan hawajifunzi wao kaz kuomba like tu utadhani wanajifunza likes...,

    • @Lovekidoti32
      @Lovekidoti32 2 месяца назад +1

      @JOSEPHINEDavid-x7x wanaboa

    • @Aljentina
      @Aljentina 2 месяца назад

      😂😂😂😂lkn Tanzania ni🎉 nchi huru comment chcht ilimrad subscribe

    • @matihassanmwachigutu-hq7ei
      @matihassanmwachigutu-hq7ei 2 месяца назад

      🎉🎉

  • @Shakkeela-uq9oj
    @Shakkeela-uq9oj 2 месяца назад +43

    Wa kwanza leo jaman, sijawahi kupata hata kalike humu hata kakujifurahisha ❤❤ emu nipen likes hata 25 team Calvin ❤❤❤❤

  • @MwanaashaJuma-m9r
    @MwanaashaJuma-m9r Месяц назад +1

    Baba kelvin yupo sahihi🎉🎉, mtoto akifanya maamuz km hayo kashajiona kashakuwa mtu mzima anajua analolifanya😊

  • @janemsigwa5209
    @janemsigwa5209 2 месяца назад +1

    Napenda sana kawimbo hka jmn aliye imba 🎉🎉

  • @FridahKwamboka-i4c
    @FridahKwamboka-i4c 2 месяца назад +94

    Wakwanza from Kenya naombeni likes zangu hata tano 😊

  • @JosuéMajaliwa
    @JosuéMajaliwa 2 месяца назад +43

    Mimi wakwanza nchini Burundi .wangapi wanashauli keven amuoe loveness tujuane kwa komenti!!!

    • @VestineKazokura
      @VestineKazokura 2 месяца назад

      Kwasasa sioni umuhimu wa kumuowa kwasababu family imesambalatika na malizao zimeenda kwahio wabaki kuwa malafikitu

    • @TatuNdila
      @TatuNdila 2 месяца назад

      Penzi la mtoto
      Wa,boss
      Episode 32

  • @villakiva7585
    @villakiva7585 2 месяца назад +5

    Hongera sana kelvin kwakweli hii muvi kilasiku nimpya yaani haiishi hamu kuiangalia elimu, burudani na mafunzo yote yanapatikana very good.

  • @EstherPrisha
    @EstherPrisha Месяц назад +2

    ❤❤❤❤❤ nampenda kelvin n loveness jamani

  • @EtropiaRamadhan
    @EtropiaRamadhan 2 месяца назад +1

    Huyo ndio mkeo wa maisha yako kiukwel nawap maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AdellaMwita-xz5zm
    @AdellaMwita-xz5zm 2 месяца назад +10

    Jaman move mzuri hadi lahaaa uchoki kuangalia mtu ❤❤😂

  • @Shalineshazy
    @Shalineshazy 2 месяца назад +32

    Na Wacha kazi zote ni watch kwanza nipe like wa kwanza

  • @PhostineWaswa
    @PhostineWaswa 2 месяца назад +18

    Kwani hizi comments zote nasoma hakuna hata funzo moja kuhusu hii movie ,wengi wanataka tu "likes" kaii😂😂😂😂😂 pole sana mama kelvin ,

  • @dorotheasamwel8071
    @dorotheasamwel8071 2 месяца назад +1

    😂😂😂😂sungusungu wakija .... da loveness kanikumbusha mbali sana... enzi za sungusungu

  • @yvonneteraph
    @yvonneteraph 2 месяца назад +2

    Ooh loveness mwangalia anavyo mtafuta kelvin kwa biidi😢😢😢

  • @RhodaFlower-m2i
    @RhodaFlower-m2i 2 месяца назад +10

    Jamani nmekua wa kumi naomba like zangu 🎉🎉🎉🎉 kutoka Kenya ❤❤

  • @JacklineKwamboka-j9j
    @JacklineKwamboka-j9j 2 месяца назад +20

    From Saudi vs Kenya nipeni like hapa mparikwe sana nyote🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉

    • @Paulomatambi
      @Paulomatambi 2 месяца назад

      Sudan which😂😂😂😂😂

  • @Rose-x5e2d
    @Rose-x5e2d 2 месяца назад +8

    Yes asante kelvin mzigo tumeungoja mpaka tunatapeliwa na video zingine lkn tunakimbia tukawatch much❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @EstherKidava
    @EstherKidava 2 месяца назад +3

    🎉🎉🎉jamoon naombeni likes hata kumii tuu🎉🎉

  • @sadakihamuli
    @sadakihamuli 2 месяца назад +1

    Maman alikuwa anashukiya laviness kwaleo anamupenda sana

  • @HappynessMkatika-wm5zl
    @HappynessMkatika-wm5zl 2 месяца назад +25

    Aweeeee imefikaaa wa kwanz nipeni like Zang jmn🎉

  • @EriudiJaphety
    @EriudiJaphety 2 месяца назад +18

    Niache uongo leo sio wakwanza lakini bc like kidogo tu😂😂😂😂

  • @TanashaPamelah
    @TanashaPamelah 2 месяца назад +22

    Yani nimekaa RUclips kila mda nikiangalia tu imefika au bado 😂😂😂

  • @emmanuelkemboi-q2l
    @emmanuelkemboi-q2l 2 месяца назад +5

    mimi nakushauri umuoe loveness sababu n mwanamke mrembo na pia n mtiifu mwenye hadhi nzuri sana

  • @AminaSada-h4p
    @AminaSada-h4p 2 месяца назад +1

    Kelvin nakuomba muoe uyo loveless 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @AsifiweImani
    @AsifiweImani 2 месяца назад +32

    Wale watakao soma iyi comment mungu abariki kazi za mikono Yao n'a ple sn kwa Kevin ❤❤

  • @ZulekhaRamadhan-k4o
    @ZulekhaRamadhan-k4o 2 месяца назад +10

    Aisee mko vzr sana mungu azidi kuwabariki ktk kazi yenu 🙏🙏♥️♥️♥️♥️

  • @ArshanaEsthy
    @ArshanaEsthy 2 месяца назад +15

    kila mtu wa kwanza mimi apa wa mwisho😂😂😂

  • @JanetMueni-f9m
    @JanetMueni-f9m 2 месяца назад +4

    Much love from Kenya 💕💕

  • @Nancymziray-o3p
    @Nancymziray-o3p 2 месяца назад +1

    Yani ❤❤❤ sana hii move natamani zitoke chapchap.,.loveness anakazi kipindi hichi

  • @MaryKenga-d8v
    @MaryKenga-d8v 2 месяца назад +21

    Wakwanza mnpee like nikiwa saudi wapi wale team hamamu

  • @Rukiajuma-w6e
    @Rukiajuma-w6e 2 месяца назад +15

    Nmewai leo wa kwanza kutoka kenya npewe likes jaman

  • @JacksonVuga
    @JacksonVuga 2 месяца назад +16

    Kelvin ndio wakati wako blood kuwa na loveness

  • @VitaMouan
    @VitaMouan 2 месяца назад +1

    Jmn kwetu hap love umfny ni mkumbk shangz yng❤❤❤❤🎉🎉

  • @ClintonMotivany-hv3vu
    @ClintonMotivany-hv3vu 2 месяца назад +1

    Mimi wa mwisho leo Sitaki Like zenu, mbaki nazo mkanunulie Chapati na maharage😮.....

  • @BlacgBlackie
    @BlacgBlackie 2 месяца назад +28

    Wakwanza Tena wapi like kwangu @254

  • @ClaraCecil-rq4xf
    @ClaraCecil-rq4xf 2 месяца назад +14

    Jamani leo nami nimewahi naomba like zenu

  • @ArafaJuma-l1q
    @ArafaJuma-l1q 2 месяца назад +31

    Wa kwanza leo from zanzibar naombeni like zangu japo kumi jmny🙏

  • @TeamBabajoan
    @TeamBabajoan 2 месяца назад +1

    Nimejaribu kufwatilia hii movie Iko Kali sana, wale wa alam gonga tusonge

    • @peterkirimi1946
      @peterkirimi1946 2 месяца назад +1

      pia shukran sna babajoan kwa movi zko smart naipenda sna

  • @WitnessGodfrey-j5f
    @WitnessGodfrey-j5f 2 месяца назад +1

    Ila loveness umezingua ungekubali kupangiwa chumba kevi acngemuoa yule mchawi maisha yangekuwa freshy

  • @JansonNkundiye-oy2oi
    @JansonNkundiye-oy2oi 2 месяца назад +11

    Haijalishi nimekuwa wa ngap lakin kama unajifunza kitu ktk maisha yako naomba like hata 5 twende sambamba team Kelvin.

  • @Mwanashamzee
    @Mwanashamzee 2 месяца назад +94

    Wakwanza from Kenya 🎉 mnipe like zangu 😢

  • @AminaAbdillahi-x3d
    @AminaAbdillahi-x3d 2 месяца назад +10

    Jmni leo mm wa kwanza likes zngu❤

  • @LilianEmmanuel-h9d
    @LilianEmmanuel-h9d 2 месяца назад +1

    Mambo matatu makubwa mali zote mke na mdogo mtu maumivu ni makali sana jaman polen sana.

  • @abdalakizengabruxelles
    @abdalakizengabruxelles 2 месяца назад +1

    Mpende loveness atcha ki here hère naomba likes kutoka Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @achileusprojestus
    @achileusprojestus 2 месяца назад +11

    Calvin, ndo maana ya mtoto wa kiume hiyo 👍

  • @SalmaBakari-z8l
    @SalmaBakari-z8l 2 месяца назад +15

    Jam Leo nimewahi San like ata Moja please

  • @KaserekamwisaSivyolo
    @KaserekamwisaSivyolo 2 месяца назад +8

    Karibu sana tumekuwa namgoleleyaa kuyawangu lavo

  • @Marry-w8b
    @Marry-w8b 2 месяца назад

    kelvin huko sahihi sana kumuowa loveness na ndyo mwanamke bora sana kwako,,,,,, mungu awatangulie kwenye maisha yenu nikupe tu maua yako❤❤❤🎉

  • @LilyMbembat
    @LilyMbembat 2 месяца назад +1

    Naona kwa mbali tina kinaanza taratibuuu kumlambaa😅😅😅