PENZI LA MTOTO WA BOSS 💕 NA DADA WA KAZI PART 36-37 | PENZI LA MTOTO WA BOSS PART 36 | FINAL REVIEW

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 287

  • @MosesMunyoki-gk3yc
    @MosesMunyoki-gk3yc 2 месяца назад +4

    Huyu naamin kabisa n Tina tena naomba mungu amamshe baba kelvin na nina iman ata aamka na hali yake itakuwa sawa kabisa na kampuni itarudi kwake ❤❤❤❤ you from Kenya 🇰🇪🇰🇪na mnlike basi

  • @FatumaMtwana-h6h
    @FatumaMtwana-h6h 2 месяца назад +6

    Jamani Leo wa kwanza Niko makini sana na hii move

  • @kokenye9003
    @kokenye9003 2 месяца назад +38

    Hata mm niliona huyo ni tina tuombee baba Kelvin awe salama 🙏🙏 jamani kama unatama pia nakuomba baba Kelvin awe salama nimbee mkono hapo 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🙏🙏🙏👏👏

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад +2

      🥹🙏✊

    • @HamisiHaji-v3h
      @HamisiHaji-v3h 2 месяца назад +1

      Kwann mamatina awemfitinishaji kwa mamtikihiyo ni uwonevutu unaoendelea mwacheni mama kelvin afarajike nayy

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад +1

      @@HamisiHaji-v3h 🥹🥹

    • @VeronicahOtwori
      @VeronicahOtwori 2 месяца назад +1

      @@kokenye9003 kabisa huyo n tina tena baba yake alisema atamutumika km kivuli chake🤣🤣🤔🤔

    • @leah5307
      @leah5307 2 месяца назад

      🤝🤝🤝

  • @Ester-vg2ev
    @Ester-vg2ev 2 месяца назад +7

    Tulio kwenye maombi baba Kevi apone naomba tujuane

  • @FaisalAlrefai-u2y
    @FaisalAlrefai-u2y 2 месяца назад +3

    Mama Tina ni mnafiki sana pia baba kelvin hajafa huyu mwenye yuko na bag ni Tina

  • @FatmaOmarAbdall
    @FatmaOmarAbdall 2 месяца назад +2

    Naomba dua mzee kelvin awe salama usalimini na jambo jengine natumai mali zote zitarudi mikononi mwa kelvin

  • @zamdauseni9787
    @zamdauseni9787 2 месяца назад +1

    Baba kekvi Asifi ajuwe ukweli kama Owo watu nibikulasho
    Waliyo wasamanisha majuskel ukweli kama mutoto wake anapsmbaniya haliyawo irudi mikononimwawo
    Uyo mama Tina ajuwe nimuongo anaconganisha kelvi kuzazowake tote alewe ukweli babackelvi awe amezimiya ❤❤❤🎉

  • @MaxamedCaliaadan-ch7iv
    @MaxamedCaliaadan-ch7iv 2 месяца назад +1

    Kevin mutowe jela na lavnes ende mkombozi wako namsilize sana levels na kendi rudi nyumbani kwenu kakati mgumu mambo mengi unayajuwa kendi sirikiana na levels awe shem wako mshauri Kevin amuache tina haraka muoe lovns wetu tina msafiri

  • @mybenzii7608
    @mybenzii7608 2 месяца назад +2

    Hyo mwenye bag n Tina juu hatalivyo kuwa anaenda sauti African hatukuonyeswa kua.amepanda mbajaji juu tulionyeswa ametoka tu kwa nyumba so ulirudi tuu mtaa😂😂😂 nkuendelea n maisha .ila namuombea mzee Kelvin apone juu babake Tina nlikuwa n mpango wakumumaliza juu mara y mwisho aliongea n mama Tina kuwa anaenda kukamilisha mpamgo wke n akatamka kama hakufa leo bc hatakufa😢 9:01 9:

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      Yes Hapo Umenena ✊👍

  • @SarahSarah-go3jf
    @SarahSarah-go3jf 2 месяца назад +1

    Akifa Mr Maru move itahalibika

  • @loycep7785
    @loycep7785 2 месяца назад +1

    Mimi namwamini Mungu baba Kelvin atakuwa sawa
    Maana tagia hata mke wake alikuwa anamwambia ukaa unalia lia itakusaidia nini uzima kwanza malizipo tu kama Mungu atatujalia uzima
    Pia Kelvin hana nia mbaya kwa familia yake wazazi wake anawapenda sana hawezi kuwaangamiza na kumtetea mwana haramu muuaji mkubwabwana Gamba majibu yapo tu mbele za Mungu wetu

  • @JohariMakinda
    @JohariMakinda 2 месяца назад +1

    ❤❤❤yaani movie mzuri sanaaa

  • @ANTONETTBENJAMIN
    @ANTONETTBENJAMIN 2 месяца назад +2

    Ni Tina huyo na mabagi yake kama mwangaza😄😆🤓😊😊bbke k amezimiatu😊

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      😃Eti kama mwangaza nyieeee 😆🙌🫵✊

  • @FurahaChristine-g8w
    @FurahaChristine-g8w 2 месяца назад +2

    Mwenyezi Mungu amu ponye baba Kelvin asife ili yeye n'a mwanaye wa weze kurudisha kampuni

  • @MATUMAININGUNGU
    @MATUMAININGUNGU 2 месяца назад +1

    Jamani mungu apushe bali baba kevin asife episode ideleye🎉🎉

  • @MonaMG-r3r
    @MonaMG-r3r 2 месяца назад +2

    Next plz❤baba kelvn asife awe amezimia tu

  • @Leilajepmtu
    @Leilajepmtu 2 месяца назад +1

    Baba Kevin usije juu pando family wanamitachi Sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Kwa Dina akirudi kutafuta Kevin kumanisha loveless atapata nafasi tena Kwa Kevin masikini loveless tum,ombre mungu to loveless ❤❤❤

  • @NaomiSanga-p5y
    @NaomiSanga-p5y 2 месяца назад

    Huyu mama tina hafai ni muuwaji kibox media Maui yako🎉🎉🎉🎉🥰

  • @Machiamalko
    @Machiamalko 2 месяца назад +1

    Mungu amsaidie baba kelvin

  • @JohariMakinda
    @JohariMakinda 2 месяца назад +2

    Mie naisi kama uyo kend ila baba ake kelvin asife apone🎉🎉🎉🎉🎉

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      Sawa 😃 vipi kuhusu Candy kuto kusafiri na Begi je kalitoa wapi? na mda huo alisafiri na Kipochi tu 😁

    • @JohariMakinda
      @JohariMakinda 2 месяца назад

      @KiboxMedia ila kweli atakuwa Tina

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      @@JohariMakinda yes huyu ni Tina kupitia concept 3 zinathibitisha kuwa ni yeye, hajaenda South Africa 😂

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori 2 месяца назад +2

    Mm naombeq baba Kelvin awe mzima atapata ukweli wote,alfu huyo n tina muangalie akitembea wakti anageuka uso😂😂😂😢😢hila Kelvin mm simuelewi kbsa😢😢😢😢😢mungu atuonyeshe musichelewe basi

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      ✊🫵😆🙏

    • @VeronicahOtwori
      @VeronicahOtwori 2 месяца назад

      @@KiboxMedia walai 🤣🤣🤣🤣🤣huyo n tina unakumbuka baba tina akisema atamutumia kama kivuli hili kuangamiza familia y kevo🤣🤣🤣🤣🫴🫴🫴leta next mbio

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад +1

      @@VeronicahOtwori yah nimekumbuka 😃👍

  • @Mathe-c4h
    @Mathe-c4h 2 месяца назад +1

    Jamani uyo mzee asife

  • @TatudamabakariTatudamabakari
    @TatudamabakariTatudamabakari 2 месяца назад +1

    😢😢😢😢😢 mungu weeee mponye baba yetu daaaah

  • @Anjera-d9o
    @Anjera-d9o 2 месяца назад +2

    Msichelewe sana jamani

  • @MargaretNdurya
    @MargaretNdurya 2 месяца назад +1

    Mungu amuamshe baba kelvin

  • @MaxamedCaliaadan-ch7iv
    @MaxamedCaliaadan-ch7iv 2 месяца назад +2

    Baba Kevin yuko sawa afya njema

  • @MaxamedCaliaadan-ch7iv
    @MaxamedCaliaadan-ch7iv 2 месяца назад +1

    Kevn pambana na kampun yenu na levels usituzinguwe olewa na kivin na tina talaka tu hakuna jengine pole sana baba Kevin utapoa

  • @ManirambonaEmile
    @ManirambonaEmile 2 месяца назад +1

    Leta ifuatao(36)
    Ipo vizuri kwel

  • @ArianeNaminani
    @ArianeNaminani 2 месяца назад +1

    Jmn Diana iko wapi. Kelvin I love you so much lkn kitu umefanya vibaya sana kabisa 😢

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      Diana is Dead 🥹🥹

  • @YasinMkundya
    @YasinMkundya 2 месяца назад +2

    Baba Kevin usife jaman next episode plz

  • @agnesiangailo5804
    @agnesiangailo5804 2 месяца назад +2

    Kaka hako kakicheko mhhhhhh,hata ningelikuwa mwenye ningefanya hivihivi kwani alishaambiwa asishoboke na asimsogelee kelvin,je unakumbuka maneno hayo ya mama kelvin?

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      😆ndiyo nakumbuka vyema sana ✊

  • @blackdragon2017-i9q
    @blackdragon2017-i9q 2 месяца назад +1

    Apana babakelvine usife tupambane kwaza usife baba🎉🎉 tunawomba

  • @MaxamedCaliaadan-ch7iv
    @MaxamedCaliaadan-ch7iv 2 месяца назад +1

    Mzima

  • @Dianah-rm9og
    @Dianah-rm9og 2 месяца назад +2

    Mzee Kelvin usife twakuitaji pia ule n kendy begi lenyewe laonyesha

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад +1

      Candy? 😳 Kwani Candy alisafiri na Begi zaidi ya kipochi tu

    • @JohariMuyenga
      @JohariMuyenga 2 месяца назад +1

      ❤😢

  • @FortunataSafariWelwel
    @FortunataSafariWelwel 2 месяца назад

    Bab kelvi aoone jaman mbon Kam mov Hain mwelekeo siku hiz😊

  • @AaAa-tf7sl
    @AaAa-tf7sl 2 месяца назад +2

    Alafu tuonyeshe Amina na jemes je jemes alifanikiwa kueka mimba 😂😂😂

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      😆🫵✊

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      Atakuwa anatumbo kubwa Miezi 3 imepita 😆😆

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 2 месяца назад +1

    Timothy huyo Mzee kisa na diana wapo na uhai kweli amah walikufa ?huyo n tina lakini ajaenda south Africa yupo yupo tu ...mzee malwa mungu akuonekanie usife tunakupenda

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      Kisinja na Diana wapo Mbinguni Sumu iliwauwa 🥹🥹

  • @ErastoMsemwa
    @ErastoMsemwa 2 месяца назад +1

    Pole baba yetu

  • @SteveTom-nd3us
    @SteveTom-nd3us 2 месяца назад +3

    Mama Tina ww unacheza c poa unafanya walai mola hanakuona

  • @CarolineImbwaga
    @CarolineImbwaga 2 месяца назад +1

    Baba ya Kelvin awe mzima

  • @AuntlooNeema
    @AuntlooNeema 2 месяца назад +1

    Baba Kevin awe sáwa

  • @agnesiangailo5804
    @agnesiangailo5804 2 месяца назад +1

    Wazee wa zamani walikuwa wanasema mtoto anaridhi kutoka kwa wazazi wake,ni kweli inajivihirisha kwa familia ya tina ,mtoto tina ni mwongo amenyonyea kwa mama yake,tina ni kiruka njia si mwaminifu kwa mume wake,baba anachangamkia kamdada na ndoa ya wengine na wakati wasiku ya tina alisema wavuliane,kulikoni usingizi na mdada kwenye kochi🐒🐒🐒🐒🐒🙇🙇🙇 mtoto wa nyoka ni nyoka eheeeeee

  • @EliudKosgei-g7u
    @EliudKosgei-g7u 2 месяца назад +2

    God please asife kwl baba kevin

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 2 месяца назад +1

    Nitin uyo na bb kevi asife jamon

  • @shan415
    @shan415 2 месяца назад +1

    Kwa predictions wewe ndio kiboko Yao🎉🎉🎉🎉

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      Ahsante sana 🙏✊

  • @MaxamedCaliaadan-ch7iv
    @MaxamedCaliaadan-ch7iv 2 месяца назад

    Mz Kevin yuko salama

  • @AimeranceDogale
    @AimeranceDogale 2 месяца назад

    Huuuh Ni tina na Mungu asaindie kabis papa kelvin awe salama

  • @joseKende
    @joseKende 2 месяца назад +1

    Daaah

  • @MDMehndiHassan-ve9zy
    @MDMehndiHassan-ve9zy 2 месяца назад

    Uyunitina uku anakokwena ndio sauzi😅😅😅 Sasa wazaziwatina subili I aibutu mungu mnusuru baba kelnina awesalama

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      😃Katia njanja kwenda South Africa

  • @OmanOman-e8w8f
    @OmanOman-e8w8f 2 месяца назад +1

    Jamani msicheleweshe

  • @GraceKazungu-w8l
    @GraceKazungu-w8l 2 месяца назад +1

    Baba Kevin hatakifa in Jesus name 🙏🙏

  • @JudithMaina-w4l
    @JudithMaina-w4l 2 месяца назад +1

    Mm na mtakia tu baba Kelvin afya njema

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 2 месяца назад +1

    Mwenye bag ni christina. Naomba maombi ivika kwa baba yetu mzee wa Kevin apone aone kampuni lake tena ikirudi mama kevin ujunge mdomo wako na ukiambiwa kitu na uyu leta mwenzie zikiliza both side ww ulikuaunaenda tina saaana kuliko watoto wako mwenye ulimwagia maji ya fulige ndie anakufaliji

  • @MaxamedCaliaadan-ch7iv
    @MaxamedCaliaadan-ch7iv 2 месяца назад

    Lazima tulie mr maru kufa muvu imeharibika na darekta tafazali baba Kevin asife na wewe kevn muache tina haraka sana kwa nini Kevin mwembiye ukweli levels.

  • @AbdizoBebi
    @AbdizoBebi 2 месяца назад

    Hhaaa huyo n tina

  • @omanbid7794
    @omanbid7794 2 месяца назад +1

    Huyu anaye vita bengi ni Cendi kwa sababu mwanzoni iliyonyesha john anapotosha tu kisha amuache huku wazazi amemukasilikia kuondoka bila kuanga moja kwa moja huyu ni Cendi kabisa machoni ameva miwani tina hajawahi vaaa miwani kwenye movi hii

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад +1

      Sawa na Vipi Kuhusu mfanano wa Begi, haitoshi Candy Aliondoka Bila Begi Aliondoka na Kapochi tu 😁, hapo je

  • @TresorMukedi-o1z
    @TresorMukedi-o1z 2 месяца назад +1

    Munatuchelewesha jameni

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      Tutajitahidi iwahi ✊

  • @SaydiMoriom
    @SaydiMoriom 2 месяца назад +1

    Mama Tina Mungu anakuona

  • @ZeyanaAbdulkarim
    @ZeyanaAbdulkarim 2 месяца назад +2

    Asife baba kelvin

  • @PMugavu
    @PMugavu 2 месяца назад +1

    Mungu amuponye baba Kelvin

  • @JoyceShagi-i7z
    @JoyceShagi-i7z 2 месяца назад +1

    Jamani movie isichelewe jamani please

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 месяца назад +1

    Yani mambo ni mazito kiukweli moaka sielewi kinaco endeleya uwenda bb Kelvin kazimiya lakini mmmh 😢

  • @PelagiaGervase
    @PelagiaGervase 2 месяца назад +1

    Huyo mwnye begi ni kendi ila ninaomba baba kevi asife akifa move itakuwa mbaya sana

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      Kama ni Candy je Candy huyo wakati anaenda Airport na John alibeba Begi? Kama ni hivyo basi kwenye Kikao angeonekana na Begi,, haitoshi Candy alienda Airport na John akiwa amevaa kipochi tu 😁

  • @BrianWekesa-s1z
    @BrianWekesa-s1z 2 месяца назад +2

    Baba Kelvin atapona na kambuni itarudi

  • @RachaelFuraha
    @RachaelFuraha 2 месяца назад +1

    Baba Kelvin twaonba usifi bado twakuhitaji Kwa hii movie

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 2 месяца назад +1

    Mama Kelvin hanatubu makosa yako ya mwanzo halio mufanyiya levoness

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      Yaani huyu mama Hata waseme awe mama Yangu wakufikia nipo tayari kwenda kulala Polisi 😂😂

  • @LeslieLuchivya-m7u
    @LeslieLuchivya-m7u 2 месяца назад +1

    Jamani mungu wangu Mr Maru apone na kelvin useme ukweli uwache masimulizi haraka haraka tukisonga jamani najua baba hatakwamini

  • @AbibaChindigwa
    @AbibaChindigwa 2 месяца назад +1

    Baba kelvin atapona tu nayule waguho nyehusi ni tina kwahupande wangu

  • @annaurassa7082
    @annaurassa7082 2 месяца назад +2

    Baba kelvin apone jamani

  • @AnithaGabikwa
    @AnithaGabikwa 2 месяца назад +1

    Mwendelezo jamani

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      Unakuja Soon ✌️✊

  • @AniphaMariam
    @AniphaMariam 2 месяца назад

    Jamani ongesza zingine tamu sana inamafunzo

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 2 месяца назад +1

    Lakini hikiwa Tina kama ataipambania kambuni ya kevin na atake kujirundisha kwa kevin aitawenzekana na jua kevin atajifanya amerundiana na Tina hile airundishe kambuni na akirundisha atamuasha Tina na kumuowa loveness from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад +1

      🙏✊

    • @SyombuaMuvengei
      @SyombuaMuvengei 2 месяца назад

      @KiboxMedia hey dj niambie unaona aje kuna uwenzekano tii arundiane na kevin kweli..??

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      @@SyombuaMuvengei Yes Hili bhana lipo pande mbili Tofauti nafikiri Juzi nimelipa ufafanuzi Kwa kina kuwa kama Tina Atafanya Juu chini akapambana na Kurudisha Kampuni na akarekebika Tabia Zake maana yake uwezekano wa Kurudi kuwa mke wa Kelvin Upo ... Licha Ya Hilo Bado kelvin na Tina na Mme na Mke hawaja talakiana mpaka sasa labda mama Candy ashinikize Kelvin kumpa Talaka Tina na Kumwoa Loveness,, na chengine Kelvin anamchukulia Loveness kama Dada 😃😃

  • @ChristinMupaChristinMupa
    @ChristinMupaChristinMupa 2 месяца назад +1

    Timothy ulkua wp jmn nme kumiss 😂😂

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      Nipo Rafiki Yangu sijapotea Wala 😁🤪

  • @blackdragon2017-i9q
    @blackdragon2017-i9q 2 месяца назад +1

    Muze usipoteze maisha tunawawomba

  • @AaAa-tf7sl
    @AaAa-tf7sl 2 месяца назад +1

    Nataman Kelvin awe aja sigh Ile karatas pia bba awe salama

  • @PMugavu
    @PMugavu 2 месяца назад

    Nawapenda sana Kevin munanifunza sana

  • @JOSEHUMADUKA
    @JOSEHUMADUKA 2 месяца назад +2

    Hajafa huyo kazimia tu

  • @IbrahimMaganga-e3r
    @IbrahimMaganga-e3r 2 месяца назад

    Nampenda lovness jinsi anavyo behave kwnye hii tamthilia

  • @HalimaSnaidah
    @HalimaSnaidah 2 месяца назад

    Mayi ako huku 🎉

  • @omanbid7794
    @omanbid7794 2 месяца назад +1

    Kuna usalama kweli pale baba kelvin ameanguka maaaaana loveness amemkata jicho kelvin inaoneka usama hakuna na yule anaye vuta bengi ni cendy maaaaana pale wako na john john alimwambia asimishe simu alikuwa nalengo gani?? Hakuwa nalengo Nzuri kwa cendy

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад +1

      Candy Hakuondoka na Begi lelote Lile alindoka na Kipochi tu 😁 apo je

  • @ChristopherEddo-ue2tj
    @ChristopherEddo-ue2tj 2 месяца назад +1

    Hyo no njia ya kurudisha kampun kwa akina kelvin

  • @GraceVISAMAYANI-gj1xm
    @GraceVISAMAYANI-gj1xm 2 месяца назад

    Kama baba Kelvin amefariki, munaaribu Movie.
    Nilipenda niona baba Kelvin amerudishwa mali zake

  • @BetiJuma-jg9rn
    @BetiJuma-jg9rn 2 месяца назад +1

    Next episode plx

  • @elizabethmnkeni6136
    @elizabethmnkeni6136 2 месяца назад +1

    Kaka baba Kevin akifa basi picha nayo itakuwa imekwisha asife jamani

  • @AnastasieSmith
    @AnastasieSmith 2 месяца назад +1

    La suite

  • @annageorge5877
    @annageorge5877 2 месяца назад +1

    nimzima

  • @HamzaBade-i7i
    @HamzaBade-i7i 2 месяца назад

    Mmmmmmmh! Mama Tina mbona nimuuaji? Naomba baba kelvin awe salama na aujue ukweli ili asiwe na kinyongo na mwanae

  • @OmanOman-ru4eu
    @OmanOman-ru4eu 2 месяца назад +1

    Sielewi nn kinaenda kutokea 😢😢

  • @PurityAkwivisa
    @PurityAkwivisa 2 месяца назад +2

    Mm naona uyu ni Tina

  • @NeemaAlly-u9f
    @NeemaAlly-u9f 2 месяца назад +1

    Namuombeapia baba kelvin awesalama maana kunaatall

  • @salamasalum6956
    @salamasalum6956 2 месяца назад

    Naomba baba kelvin asife ili aone watakavyo umbuka wabaya wake

  • @liliy-u3n
    @liliy-u3n 2 месяца назад +3

    Ile bag cendi alipewa na Diana iko wapi??

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      Bhana we si Kupo kimya mpaka Leo 😆🙌

    • @liliy-u3n
      @liliy-u3n 2 месяца назад

      @@KiboxMedia hatari kweli 🤣

    • @KiboxMedia
      @KiboxMedia  2 месяца назад

      @@liliy-u3n yaani 😆🙌

  • @annaurassa7082
    @annaurassa7082 2 месяца назад +1

    Mwendo ni watina

  • @MaryRaphael-g1d
    @MaryRaphael-g1d 2 месяца назад +1

    Baba Kelvin asife mm naomba

  • @NummenyeAfyusisye
    @NummenyeAfyusisye 2 месяца назад

    Mungu atamponya atapona baba kelvin

  • @Uncolkirama
    @Uncolkirama 2 месяца назад +1

    Baba kelvin ajichunge

  • @IbrahimMaganga-e3r
    @IbrahimMaganga-e3r 2 месяца назад

    Naitwa ibra napnda hii tamthilia, napenda mnavyo tuelimixha na kutuburudxha.mm nipo kenya.

  • @JolieKansime
    @JolieKansime 2 месяца назад +1

    Baba Kelvin asife jamaani

  • @ElizabethKatana-lo2dk
    @ElizabethKatana-lo2dk 2 месяца назад +1

    No Baba Kevin inuka tena please 🙏🙏

  • @AishaJoslin
    @AishaJoslin 2 месяца назад +1

    Huo haponi