Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya Donta TV, nina Imani mpo salam nyinyi ote,ninamuomba Mungu atupe Riski nyingi za Halali n,Afya njema n,atupe Nguvu zakupambana na Kazi zetu,napia tunamuomba Mungu atukinge na Maradhi na Mabala na Vijicho na Husda za walimwengu,n,atupe Ulinzi mkali siku zoote za Uhai wetu,na mwisho uliokua mwema kwa Huruma zake Aaaaameeeen 🤲 🤲 .Ninawapenda saan vipenzi vyangu 😘 😘 😘 😘 😘 ,DONTA TV ongereni saaan mzidi kusonga mbele Aaaaaameeeeen 🤲 🤲 🎉🎉🎉🎉🎉.
Nina imani kwamba Watz wana upendo na ustaarabu sana. Inapendeza sana mwanamke ambaye humbabaishi na pesa. Si wengi kama Loveness. Na Mwanaume ambaye anatambua mke Original sababu wengi huangalia Mwili na tamaa za mwili welldone Kev. Story nzuri sana na inafunza mengi. Big up to the writter and producer too.
Mbona watu mnakimbilia like sana😂😂unakuta mtu anasema kabisa ety tangu nianze kuangalia sjapewa hata like1😂😂😂au mna pata comishion mtuambie nasisi tuanze kudai like🤷♂️🤷♂️🤷♂️
Asante sana kaka Kelvin unajikaza sana kenye sisi washabiki tulikuwa nachunga nikuona weye unamwambiya loveness ukweli, asante sana Kaka mungu akulinde kutufunja sisi vinjana wezako
Tunakoelekea mtatubadilishia na Loveness Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wenu ....unapobadili mhusika tegemea madhaifu kuyaona...huyu Latifa ni tofauti kabisa na yule wa mwanzo...Nadhani Kuna haja ya kuitatua changamoto hii,mwanzo alibadilika Mzee Gamba,Leo Latifa kesho ni Kelvin au Loveness,mnapunguza tension
Team kelvin hongereni sana aise hii movie yenu imenifunza vitu vingi jinsi yakuishi na binadam bila kulingia kile nilichonacho kujishusha kiwango kuongea vizuli nakila mtu pia nmejifunza kutokuwa msati
Jmniiiii mnachelewesha sanaaa tunasbr mpk tunachokaa Kevin nimefurahiii sanaa , kusema ukweli 💯 mungu akufanyie wepesi mama akuelewe muishishi Kwa amani jmniiiii
Makofi kwa kaka Kelvin wa ngapi walikua wanasubiria hii kauli kwa Kelvin amwambie dada lovenees 👏❤❤❤❤🎉 wangapi wanakubaliana hapo napenda sana gonga like
Hisia za mtu hazijifichaji ata kwa dawa lakin pia hata love alikua anajua kua kelvin ni pati yake sema tu uzima dawa Leo sasa kimenuka tunasubil tuone uhoti wa penzi sasa mama kelvin atamchukia Love mno brother kazi nzuri sana pambana
Naipenda na ninaifatilia Sana Tamthilia hii lakini tupunguzieni usiri jamani! Candy alivyoondoka na John hatujui alirudi vip au ilikuaje akarudi, hatujui Denis kawapeleka wapi wazazi wa Tina, na hatujui Tina alirudi vip kutoka south na kwanini kafichwa, hatujui sababu ya Lati kumwekea zamana Calvin, jamani mtupinguzie kujiuliza maswali na kujijibu wenyewe looh🙌😂
Jaman leo mm wamwisho msininyime like pliz, na luv ukimkataa kelvin usiongee na mm❤ tumeisubiri sana iih siku ya uyu mwamba kukwambia ukwel kusu kukupenda likua ❤❤❤tunao subiri jibu la luvnes gonga like apa ❤
HELLO JAMANI TUMEMBADILISHA LATI KWA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WETU 🙏🙏 TUNAOMBA MTUPE MAONI HAPA KUHUSU LATI MPYA ❤❤ ILA MSITUCHAMBE 😂😂
Uyuu so km yule wetu jmn.... Uyuu km yup romantic kdg tushazoea yule mbabe wetuu😂😂
Unapunguza utam😂😂😂🎉🎉
lat mwenyewe amekuajeh kwani
Huyu kapoa jmn yule alikuwa moto😂😂
@@Dontatv255 usijali kikubwa kazi nzuri na tunajifunza mengi so usijali
Wow wow wagapi wanafurahiya kelvin kuambia lovenes ukweli anampenda❤❤❤❤❤❤
Nimengoja ring💫💫 next wooow.
Mm apa
@@Faithkerubo-v4r ndio mwanzo series inaanza. Huyu lissa jameni. Atanitoa roho
@@daudimasawa👌👌👌👌🌹🌹Mimi hapa
Mm hapa
Wanao amini mda siyo mrefu kelvin atakuwa na kazi tn tujuwane kweny lik ❤❤❤
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya Donta TV, nina Imani mpo salam nyinyi ote,ninamuomba Mungu atupe Riski nyingi za Halali n,Afya njema n,atupe Nguvu zakupambana na Kazi zetu,napia tunamuomba Mungu atukinge na Maradhi na Mabala na Vijicho na Husda za walimwengu,n,atupe Ulinzi mkali siku zoote za Uhai wetu,na mwisho uliokua mwema kwa Huruma zake Aaaaameeeen 🤲 🤲 .Ninawapenda saan vipenzi vyangu 😘 😘 😘 😘 😘 ,DONTA TV ongereni saaan mzidi kusonga mbele Aaaaaameeeeen 🤲 🤲 🎉🎉🎉🎉🎉.
Nimefika from Burundi 🇧🇮 nawapenda ❤❤❤
🇧🇮❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Hongera sana kaka kelvin kwa kumwambia ukwel loveness, kitu ambacho ulikuwa nacho moyon kwa mda mrefu💞💪
Ulieboeka kuchelewa kwa hiii tamthilia tujuaneee 😊😊😊
❤❤❤
Walai wanaboo sana heri ata mission impossible
True bwana infact walinikera ila wale waliotupea ya uongo
Mii apa nmeboeka sana
Mimi hapa,,,,,,Karibu nianze mikasiriko😅😅😅
Wale wanaotaka Kumbatio la Loveness na Kelvin Picha yake iprintiwe tununue tuuze tupate Mahari ya Kumwoa Loveness agonge like hapa 😂✊
Mimi apa nimebeba mikono adi miguu😂😂😂😂😂😂😂😂kwa niaba y wengine 😂😂😂
Kibox ukimaliza twende Kwa Masengenyo yaani prediction review 😂😂😂
Naomba kuwe na interview ya hawa waigizaji
🙋🙌
😂😂😂😂😂😂acha nicheke kwanza
Wow! Nimefurahi leo kwa kelvin kufunguka kwa loveness kana kwamba anampenda.hongereni❤❤
Nina imani kwamba Watz wana upendo na ustaarabu sana. Inapendeza sana mwanamke ambaye humbabaishi na pesa. Si wengi kama Loveness. Na Mwanaume ambaye anatambua mke Original sababu wengi huangalia Mwili na tamaa za mwili welldone Kev. Story nzuri sana na inafunza mengi. Big up to the writter and producer too.
I was waiting for part 40 luckily I just found this thank you very much Kelvin we are always with you to support you ❤❤❤
Je Kelvin ametoka selo kweli mama Kelvin atamini kama ausiki na kifo cha baba ange weka alam ya sapoti 🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿
Mnaweza kuwabadilisha wote ila msije kumbadilisha love ness wangu,
𝐇𝐚𝐰𝐚𝐰𝐞𝐳𝐢 𝐤𝐮𝐦𝐮𝐛𝐚𝐝𝐢𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐝𝐨 𝐬𝐭𝐞𝐥𝐢𝐧𝐢 𝐰𝐚 𝐦𝐨𝐯𝐞
Wakimbadilisha loveness wamuweke elizabeth michael(lulu)
Wanaosoma Comment hii MUNGU AWALINDE WAVUKE MWAKA SALAMA,,,,Nawapenda❤❤❤❤❤❤❤❤
Amina nawe pia Mungu akuvushe mwaka salama na akutimizie hitaji la moyo wako.
@Adelina.Kagina Ahsante dear.
Amen
ameen na ww pia
Amen na ww pia 💚💚💚
Mbona watu mnakimbilia like sana😂😂unakuta mtu anasema kabisa ety tangu nianze kuangalia sjapewa hata like1😂😂😂au mna pata comishion mtuambie nasisi tuanze kudai like🤷♂️🤷♂️🤷♂️
Imagine hakuna ushauri n likes twatu wanataka
😂😂😂
Ushagonga ndipo waulixe na watueleze tupate fahamu😅
@salomemuturi9005 ee
Wanapeleka kikoba
Asante sana kaka Kelvin unajikaza sana kenye sisi washabiki tulikuwa nachunga nikuona weye unamwambiya loveness ukweli, asante sana Kaka mungu akulinde kutufunja sisi vinjana wezako
Karibuni Tena tuko pamoja Kigali 🇷🇼 turabakunda cyaneee pe
😂😂😂😂😂😂aha turi mugiswahili umechanganya ruga hawatokuelewa
😂🤣😅🤣🤣@@QwerQwer-p8x
Wahoooo jama yetu yaba Kelvin karibu mara tena Kelvin na lonvress mungu awatiye nguvu saaaaaana
Usipo leta episode, inayofwata kwa haraka kenya tunaandamana....imefikia pazuriiii❤❤❤❤
au from kenyan
lovee shoga angu leo mbon kam shavu limetokaaa jamon❤❤umenenepa
Tangu nianze katakana movie za donta TV sijawahi pata like please mm mkenya naomba likews
Wanao sema amechelewa kutuma iki kipande jujuanee
Kwerii cjui xhida nn jmn bc mtuwaixhie y 25
Mmi hapa kwani Denis ako nawake wangapi
Nikweli ila cjui Kwa nini😢
😂😂
Kwelii wawaixhagee
Wakwanza leooo. Nimewahiii
By mpemba mmoja ❤❤❤ from Pemba upembaní wamicheweni tujuane 🎉🎉🎉
Oooo ww michewen mm chamban jomon tutembelean bas hhhhhhh
@AmenaMm-r5t nkubl kmndaaa shumba mjini iyoo babuu
Wakwanza mimi kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮 mnipe like zangu
Tangu lini mulundi akapewa like
@@SimonJoseph-dv3dg kwani sio mtu ?? Au unafikili Kelvin anatengeneza kwajili yako tu ? Anayoa elimu ulimwengu mzima
😂😂😂😂😂🤣🤣
Mwatuboesha. Sasa baba tina pia mulibadilisha
❤❤
Umechelewesha ila Asante kwa kueka wazi upendo wako kwa Loveness 🎉🎉🎉🎉
m kwenye penz la mtoto wa boss sijapat hat like hat moja
DONTA TV
Burudani kwa woteeeeee❤❤❤❤❤
Nyie hamuogopi kwani😂😂
Hakika ni burudani kwa wote😂❤
Let coming tujuane 🤣🤣🤣 from 🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪 loveness furaha yako umeona
Wakenya najua mko huku 😂😂
Pita na like
Kevin na loveness natamani Sana kupatana na nyinyi ❤️❤️❤️🥰🫶
Sio huyo tu hata tinna badilisha lkn sio loveness 😂😂
😂
We're here asiiiie❤❤❤❤❤
Tuko wengi uku❤
Tunakoelekea mtatubadilishia na Loveness Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wenu ....unapobadili mhusika tegemea madhaifu kuyaona...huyu Latifa ni tofauti kabisa na yule wa mwanzo...Nadhani Kuna haja ya kuitatua changamoto hii,mwanzo alibadilika Mzee Gamba,Leo Latifa kesho ni Kelvin au Loveness,mnapunguza tension
Exactly,
Exactly 😢
👏
Hii comment nmeitafuta sanaa
Waaaah👍 wale tuliosubir hii scene piga like 🎉
Wa Kwanza leo am watching from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Tangu nianze kuangalia donta tv sijawah pata like hata 1
🇨🇩🇨🇩🇨🇩
We sema unataka like tu 😂😂😂😂
Sa wataaka likes za aje na za nini andika messages ulizogeti Kwa hiii episode or episode zote waaaaa
I'm glad today niko among the first team.... keep going team donta
Mungu atawarejeshea mali zenu kelvin inshallah 🙏🙏 tuko sambamba
Team kelvin hongereni sana aise hii movie yenu imenifunza vitu vingi jinsi yakuishi na binadam bila kulingia kile nilichonacho kujishusha kiwango kuongea vizuli nakila mtu pia nmejifunza kutokuwa msati
Mm kwenye Penzi la mtoto wa boss Sijawahi pewa like hata moja Leo nipeni 5 tu
Umefanya kazi gn mwenzetu unaetaka like mnaacha kuwapa wanaowaburudisha mnataka mpewe nyie kaaa
Unataka ukamtolee love mahari au 😂😂
𝐍𝐚 𝐛𝐚𝐝𝐨 𝐡𝐚𝐭𝐮𝐤𝐮𝐩𝐢 𝐦𝐩𝐤𝐚 𝐢𝐢𝐬𝐡𝐞
@@DM.2200 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚𝐣𝐞 𝐬𝐬
Chukuwa tu🎉🎉🎉🎉
Kazi mzur sana kiongoz ❤
Nawapenda sana loveness and Kelvin ila simuowane kiukweli lakini jamani yani unajuwa kuendana munaendana sana mpendane basiii ualisiya
Amin sanaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂❤❤❤❤ After a Long Waiting.... Kelvin kafunguka...maua yako kwa kumpenda Loveness 🎉🎉😂❤❤
Najikuta namchukia mama kevi 😊😊 Ila yote kwa yote kazi nzuri but mauaji sitaki Tena hapo
Wa kwanza kutoka kenya mnipeeeni likes zangu 😂
Samahan like zinawaongezea nn jamn tjulishane
Nimependa sana hiyo maneno ya mwisho 🤣hivo ndo nilikua nataka 🥰nimependa sana,loveness sema yes you do to kelvin 🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️❤️🤣🤣🤣
Thamtilia tamu sanaaa...ni wangapinwanaomba kipande kingine kiendelee...❤❤
Jmniiiii mnachelewesha sanaaa tunasbr mpk tunachokaa Kevin nimefurahiii sanaa , kusema ukweli 💯 mungu akufanyie wepesi mama akuelewe muishishi Kwa amani jmniiiii
Like zangu jamanii naomba msiningimee Kwa leooo donta tv. Nguvu Moja 🎉🎉🎉🎉
Asante sana Kelvin nlkwa nasubiri sana ufunguke na umwambie loveness kuwa unampenda❤❤❤❤
Jaman ukwer mme tucheleweshea hiki kipand mbak nili kuwa sin laha kabs ila Leo nime furai San kama na ww ume furah kama mm gong lik apo ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Kelvin mngetuletea 2 mumetuchelewesha cn hongera kwakumwambia loveness hisia zako nasubiri mm kelvine atakapo fefheheka km mwanzo hafikirii akiambiwa tu anakubali atajuta safari hii
Moyo poleeeee,,, ile fumba fumbuaaa ,, move yetu imeisha, tunaomba muongeze dakika …❤❤❤
Kevin muoe tu loveness ili upate tulizo la moyo wako pia love anakupenda mno kelvin mungu awatangulie🎉🎉🎉❤❤❤
Makofi kwa kaka Kelvin wa ngapi walikua wanasubiria hii kauli kwa Kelvin amwambie dada lovenees 👏❤❤❤❤🎉 wangapi wanakubaliana hapo napenda sana gonga like
Pia Mimi nipewe likes jamani from 🇰🇪
N❤❤❤
Finally the part that I was waiting for a long time😂😂🤭🥰🥰🥰🥰🥰
Hisia za mtu hazijifichaji ata kwa dawa lakin pia hata love alikua anajua kua kelvin ni pati yake sema tu uzima dawa Leo sasa kimenuka tunasubil tuone uhoti wa penzi sasa mama kelvin atamchukia Love mno brother kazi nzuri sana pambana
Nimewai nipeeni like tatu jamani Kenya in the house 🎉🎉
Ndoa tunayo n tunatamba nayo tukifunga mwaka tunafunga n ndoa ya Kelvin n love😂😂
yani family ya DONTA 📺 nikumba namuna hivi kuchelewa tu kindogo hivi utakaa nyuma amaukose kiti😂😂😂😂omy GOD NAWEPEND🙏
Mama kelvin,,anayarudia yaleyale yalowarudisha nyuma kimaendeleo,,, kuamini bila kusikiliza upande wa pili
Wow kelvin Asante kwa kumwambia loveness vile una_feel❤ Napenda sana dada loveness . watching from Kenya
Wa kwanza leo from kenya
On time guys show me some love from kenya
Leo wa kwanza mimi naomba like hata kumi tumesubiri kwa hamu sana🥰🥰
Naipenda na ninaifatilia Sana Tamthilia hii lakini tupunguzieni usiri jamani! Candy alivyoondoka na John hatujui alirudi vip au ilikuaje akarudi, hatujui Denis kawapeleka wapi wazazi wa Tina, na hatujui Tina alirudi vip kutoka south na kwanini kafichwa, hatujui sababu ya Lati kumwekea zamana Calvin, jamani mtupinguzie kujiuliza maswali na kujijibu wenyewe looh🙌😂
Kwakwelii jmn 😅
Hapo umesema kabisa Mimi mwenyewe nashangaa mke wa deniss mpya katoka wapi tena na si yule ninae mjua
Nalo neno
Na hatujui ya jems na Amina😂😂
Saku hizi mnachelewa sasa kama mmetuchoka tuambia ila kazi ni safi🎉
Wakwanza leo naombeni like zangu hongera kaka kev na lovness kwa Kaz nzur
Lkn mwatuboesha sanaa Donta Tv mbn hua mwachelewa sanaa ivooo
Alafu mifupi sana
Jaman like za loveness anajua haki tena❤❤❤🎉
Kazi nzuri wanadonta nawapenda sana❤🥰🌹
Smith unajua sanaaa kiongozi,,, respect to you broh
Wakwanza nimefka toka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nipitie pia
Wanyenya mpo🎉
Wake ya mpoo🎉
@NyakuarNyosese-l7h tumejaa tele
Kelvin kakayangu mungu akuteteye mama ajuwe ukweli yote ndafurahi sana
Wa kwanza kutoka Kenya but currently in saudia Arabia team strong napenda hii movee sana
Sana🎉🎉🎉🎉
Filam nzuru Sana Ila mnachelewa sana kutoa jutahidini tusipoozee
Mama kelvin fungua macho ya rohoni wewe big up kelvin khani kwa kazi nzuri loveness best actor
Mimi nipo katika iyo nafasi ambayo haijasemwa na mtu yeyote apa 😂😂😂, Kutoka Kenya
Nimefika kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tunaomba urudi kwenu ruto anakutafuta😅
Wale washabiki wa Kelvin Hiyi Ya Leo kali naomba Léo nipate ata like 10❤❤❤
Jaman leo mm wamwisho msininyime like pliz, na luv ukimkataa kelvin usiongee na mm❤ tumeisubiri sana iih siku ya uyu mwamba kukwambia ukwel kusu kukupenda likua ❤❤❤tunao subiri jibu la luvnes gonga like apa ❤
Jamani wawooooh imechelewa lakini nzuri hadi ❤ wangu naona furaha2 love you donta Tv💕💕💕💕💕🤝
Leo nimewahi wakwaza kutoka kenya ❤❤❤
Brother kelvin hongera kwa madongo yako respect sana
Nimekuwa wa kwanza jamani leo
Huyo lati ni mkubwa mno bana.....mngetafuta mdogo bana ...lati wa mbeleni alipendeza sana......😂😂😂😂ila kazi ni safi
❤❤❤❤woo kelvin that's good umefungua roho kwa kipenzi🎉🎉🎉🎉🎉 we ❤ you all God bless you
Nimewahiii🎉🎉🎉
mimi leo wakwanza musikose kunipa like yangu ata kumi pamoja na iyi movie yetu mzuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mko na ujinga sana
Namba moja jamani
Hongera kelvn kwa kumjibu mama vyema,lovness amekuwa faraja kubwa sana kwako,waooooooo kelvn hongera kwa kuvunja ukimya lovness mpokee kijana kelvn
Kweli kelvin unampenda loveness much love from Kenya 💕💕💕 nawapenda sana sana
Movie gani poa km hii na Dunia na plain b tena napenda hizi tatu sana ...
Niko wa kwanza RDC mungu awatiye nguvu zaidi
Oyah unatuchelewesha Hadi tumeboeka😂
Mmmh me mmenichangany jamani basi lati mpyaa angekuwa miss pia ingekuwa poa sanaaaa..... Ni mtazamo wangu tuuu
Nilikuwa nimesubiri kwa hamu na ghamu much love from Kenya Good job bigup
The first one from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Lakini jaman munacherewa 🎉jaribu kufanyaharaka nawapenda ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimewai jamani wapi likes zangu kutoka kenya
Watanzania tupeeni like Sisi wakenya jamani
Kidogo imenitoa kweny reli jmn. Ungewek lati ambaye anafanania ya yule wa kwanza huy yuko tofauti sana kwakwel