BINTI MREMBO NA HANDSOME WA KIJIJI | PART 02 💞 Love Story | DONTA TV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 178

  • @Furaha-d4g
    @Furaha-d4g 2 месяца назад +17

    Candy ungekua na ujasiri hivi kwenye mtoto wa boss ungekua unamfurahisha loveness

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 2 месяца назад +29

    Likes za mrembo wa mtaa apa tukisonga😂😂😂 leo kaweza much love from 🇰🇪

  • @Bashilwa
    @Bashilwa 2 месяца назад +25

    Jamani sio kunichukiya uku nipeni like leo kwanza

  • @Bashilwa
    @Bashilwa 2 месяца назад +18

    Kwa nini mimi sipataki like kila siku

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j 2 месяца назад +11

    😂😂😂😂😂 mrembo wa mtaa #kendy kumbe wee mswahili duuuh mko vizuri nduguzangu 🎉🎉🎉🎉❤❤🇰🇪

  • @gamalielshikuku7776
    @gamalielshikuku7776 2 месяца назад +3

    Cinema mzuri, ila napenda loveness akiwa tu na kelvin

  • @JoaCastor
    @JoaCastor 2 месяца назад +8

    Amina unakela na hiyo tabia yako ya kuchonganisha watu

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 2 месяца назад +5

    Kazi safi candy mrembo wa mtaa kweli

  • @AsifiweImani
    @AsifiweImani 2 месяца назад +2

    Kweli uyu kk nii mshamba sn kupiga goti kwa mwanamuke

  • @marianchamba3898
    @marianchamba3898 2 месяца назад +3

    Amina chaubea unauweza inavoonekana hii ndo tabia yako halisi

  • @MbulaMary-qe3ux
    @MbulaMary-qe3ux 2 месяца назад +3

    Dadake na love nakupa maua yako ❤❤❤❤❤

  • @kennedymusonda-r4u
    @kennedymusonda-r4u 2 месяца назад +1

    uh you are good at making this film I really like you a lot keep it up we are always here ❤❤❤❤

  • @metrinemanyonge6055
    @metrinemanyonge6055 2 месяца назад +3

    Back to back , mungefanya hivi mtoto wa boss ❤❤

  • @MuhozaChanceline
    @MuhozaChanceline 2 месяца назад +3

    Wangapi wanao mupenda loveness

  • @davidpeter2398
    @davidpeter2398 2 месяца назад +14

    Leo mrembo wa mtaa kaweza likes kwake jmn 😀

    • @AsmaAsma-og6ul
      @AsmaAsma-og6ul 2 месяца назад +1

      😅😅😅😅😅😅 kawez nni

  • @Naynah-op4qy
    @Naynah-op4qy Месяц назад +1

    Nzur sana jen hongera ila love unajua. Sana na kendy

  • @Viviankemmy-p4k
    @Viviankemmy-p4k 2 месяца назад +13

    Hyu dadake loveness hajui kuingiza .mrudishe Vicky bwana yle ndio anajua vizuri

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 2 месяца назад +2

      Ni mwanafunzi atajua pole pole

    • @saumJuma-q3e
      @saumJuma-q3e 2 месяца назад +2

      Bora pia ulivyomjibu maana daaaa mdogo mdog ndo mwendo msihukumu watu Tu watoleweee

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 2 месяца назад

      @@saumJuma-q3e eee ni wadogo wanazaliwa na kipaji

    • @butoyoSafiya
      @butoyoSafiya 2 месяца назад

      Ww acha mutoto mukali loveness nimoto kwakuingiza inatokana naseem wamemuweka mashine yangu ile

    • @butoyoSafiya
      @butoyoSafiya 2 месяца назад

      ​@@JeannetteManirambona-o6mloveness anajuwa Sana inatokana naseem kawekwa

  • @MANUNITED-lg3pv
    @MANUNITED-lg3pv 2 месяца назад +3

    huyu mrembo wa mtaa ni vibe,my type

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu 2 месяца назад +5

    Loveness nakupenda wewe dada❤❤

    • @butoyoSafiya
      @butoyoSafiya 2 месяца назад +1

      Namm niko naww namupenda loveness

  • @HamisiKombe-n4z
    @HamisiKombe-n4z 2 месяца назад +2

    napenda kazi yenu jamani mko vizuri sana ❤❤❤❤

  • @RebeccaRebeccamose
    @RebeccaRebeccamose Месяц назад +4

    Ila Amina ww😂😂😂😂😂😂

  • @NoorEesa
    @NoorEesa 2 месяца назад +10

    Amina yy kila uchao umbea adi basi 😂😂😂😂😂

  • @dhahabudeche926
    @dhahabudeche926 2 месяца назад +4

    Eti kendy ni mrembo wa mtaa 😂😂😂😂 makubwa

  • @joycemakokha9648
    @joycemakokha9648 Месяц назад +1

    Mapenzi shikamoooo Loveness kurudi

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 2 месяца назад +3

    Kazi nzuri❤

  • @ArshanaEsthy
    @ArshanaEsthy 2 месяца назад +3

    namkubali kendi sana😂😂😂 msharuko 😅😅

  • @OrnellaMushengezi
    @OrnellaMushengezi 2 месяца назад +3

    Wauh 🥰🥰🥰 lavness we ni mukali Ila iyu dadako hajuwe kuigiza musimutie kwenye donta tv

    • @butoyoSafiya
      @butoyoSafiya 2 месяца назад +1

      Loveness namukubali sana❤❤❤

    • @RehemaMwakisyala-k9u
      @RehemaMwakisyala-k9u 2 месяца назад +1

      Jaman hakuna aliyezaliwa anajua Kila mtu anajifunza

  • @SabraRashid-g8g
    @SabraRashid-g8g 2 месяца назад +25

    Jman tunaomb part 3 leo wangap wanatak part 3 jmn

  • @LovenessMollel-g4m
    @LovenessMollel-g4m 2 месяца назад +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂candy mrembo wa mtaaa utapgwa na lovenes

  • @JoyceHaluwaRimbaHaluwa
    @JoyceHaluwaRimbaHaluwa 2 месяца назад +4

    Amina mumbea sana

  • @NeemaSteven-j4l
    @NeemaSteven-j4l 2 месяца назад +3

    Kwa nn mm sipatagi like kila siku

  • @SofiaHassan-pp4xt
    @SofiaHassan-pp4xt Месяц назад +1

    Mbona mnachelewesha penzi la dada wakazi na mtoto wa boss jamani❤🎉😢😂

  • @IngabireCiella
    @IngabireCiella 2 месяца назад +3

    Kelvin tuleteye vick nimemumis jamani from bujumbura nawapenda

  • @Emily-zr3nl
    @Emily-zr3nl 2 месяца назад +3

    Kwn victory mlimpelka wp

  • @butoyoSafiya
    @butoyoSafiya 2 месяца назад +2

    Loveness mm namupenda sana

  • @yussuphkombora5508
    @yussuphkombora5508 2 месяца назад +3

    Wote 9 kusema ukweli loveness ni mtoto mzur san

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 2 месяца назад +3

    Ila amina mmh😂😂😂

  • @zainba7812
    @zainba7812 2 месяца назад +3

    Amina acha umbea daa

  • @AsmaAsma-og6ul
    @AsmaAsma-og6ul 2 месяца назад +5

    Jaman nani kaon dad yke loveness alivyopiga tek fuko la matund

  • @WillisonJoseph
    @WillisonJoseph 2 месяца назад +2

    🤔🤔🤔🤔Jamani lovennes huyu ataua wake za watu 🤭🤭

  • @KhairuniSimba
    @KhairuniSimba 2 месяца назад +1

    Kazi nzuri loveness na team yako

  • @DianaNelima-i5i
    @DianaNelima-i5i 2 месяца назад +9

    Wa kwanza leo kutoka 🇰🇪

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe 2 месяца назад +1

    Pole Lavoness Kendy nihata kbx🇸🇦🇧🇮

    • @butoyoSafiya
      @butoyoSafiya 2 месяца назад

      Nakukubali kwakumupa pole

  • @JoeriaAbdallah
    @JoeriaAbdallah Месяц назад

    Tamu sana next

  • @LilyNashela
    @LilyNashela 2 месяца назад

    Loveness hapo ss😂😂😂😂😂😂😂

  • @davidpeter2398
    @davidpeter2398 2 месяца назад +3

    Leo mrembo wa mtaa kaweza aisee 😁 likes kwake jmn

  • @SaeedRasheed-u7v
    @SaeedRasheed-u7v 2 месяца назад +2

    Hamnna mbovu donta

  • @joycemachibya4380
    @joycemachibya4380 2 месяца назад +1

    Adui usimkimbie pambana nae 😂😂

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 месяца назад +2

    Amina muconganishi kweli we mbeya😅

  • @BintiM-di1wm
    @BintiM-di1wm 2 месяца назад

    Huyu candy sasa anataka kuniumiza hii aliopewa apana atakua chizi sasa si kwa hali hio 😂😂😂😂😂❤❤mwanamke aropokwa huyo

  • @LevinaMacha
    @LevinaMacha 2 месяца назад

    Mbona kama love kapenda😂😂😂😂😊

  • @ZurfaKhamisi
    @ZurfaKhamisi 2 месяца назад

    Ila candy🎉🎉 nikependa iyo ata Kwa ndege 😅😅😅

  • @MichelleShijehi
    @MichelleShijehi 2 месяца назад

    Amina umbea tu kurembeka aaah😂😂😂😂

  • @MarcoAthumani
    @MarcoAthumani 2 месяца назад +4

    Part 3 lin inatoka

  • @PaulineNasoro
    @PaulineNasoro 2 месяца назад +2

    Candy etii mrembo wa mtaa

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 2 месяца назад

    Muvimzuli sana🎉🎉🎉

  • @AloniMdenye
    @AloniMdenye 2 месяца назад +1

    Kesho nakuja kukichoma n dumu la petrol😅😅😅

  • @OliverPaul-y3e
    @OliverPaul-y3e 2 месяца назад

    Kwakweli mrembo wakijiji kayatimba leo hahaha😅😅😂😂

  • @KasiwaManda
    @KasiwaManda 2 месяца назад

    Akina nguvu ilooooooooo😂😂😂😂😂😂😅

  • @TumainiSamweli-i7m
    @TumainiSamweli-i7m 29 дней назад

    Lovenesss jamani nihatary

  • @mwenieliasa6517
    @mwenieliasa6517 2 месяца назад

    Asante sana kwa tamthilia ❤❤

  • @VIOLETACHIENG-f4x
    @VIOLETACHIENG-f4x 2 месяца назад

    tamu sn wana donta tv

  • @Amina-i4r
    @Amina-i4r 2 месяца назад

    Haya mrembo wa mtaaaaaaaaah😂😂😂😂

  • @ronyalkh
    @ronyalkh 2 месяца назад

    Mbona part3 umechelewa jaman 😂😂😂😂

  • @CharityMuthee
    @CharityMuthee 2 месяца назад +1

    😂😂😂😂 kendi acha mdomo utakatwa shingo😂😂 🤣 kumbe lovness wajua kupigana😅

  • @masteruvaofficial
    @masteruvaofficial 2 месяца назад +3

    Jay wanapendezana na loveness 🫀
    Nipeni SUBSCRIBERS zangu 🙏

    • @butoyoSafiya
      @butoyoSafiya 2 месяца назад

      Ww wapi kweli loveness anapendezana na kelvin

  • @STANLEYKINYILI
    @STANLEYKINYILI 2 месяца назад

    Kenya Watching

  • @LevinaMacha
    @LevinaMacha 2 месяца назад

    Ivi iko kilemba alicho vaa amina kichwani kajiona😅😅😅😅

  • @AloniMdenye
    @AloniMdenye 2 месяца назад

    Dad niache😅😅😅

  • @AbibaSalleh
    @AbibaSalleh 2 месяца назад

    Ninzuri sana tunasubiri.mwendelezo

  • @DomitilaEmily
    @DomitilaEmily 2 месяца назад

    Kendi kumbe mswahili😂😂😂😂😂❤

  • @PatriciaMshanga
    @PatriciaMshanga 2 месяца назад +2

    Likes mrembo wa mtaaa ❤ ila umewezwa

  • @اريناارينا-ق3ط
    @اريناارينا-ق3ط 11 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂 kendy

  • @MasoudJuma-rg5cu
    @MasoudJuma-rg5cu 2 месяца назад

    Jamani uyo dadaake love ness wajui kuekti

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 2 месяца назад

    Good job

  • @MukiiKaruma
    @MukiiKaruma 2 месяца назад

    Naingoja Sana Aki

  • @BagumaJulienBagumaJulien-k8g
    @BagumaJulienBagumaJulien-k8g 2 месяца назад

    Ethiii mrembo wa mtaaa😂😂😂😂

  • @JacintaMaloba
    @JacintaMaloba 2 месяца назад

    Candy love atakubutua 😂😂😂😂

  • @OrnellaMushengezi
    @OrnellaMushengezi 2 месяца назад +2

    Lavness na team yake

  • @OmerKabongo-g6x
    @OmerKabongo-g6x 2 месяца назад

    ❤❤🎉😅bb

  • @Divinah-k1n
    @Divinah-k1n 2 месяца назад

    Amina wewe😂😂😂

  • @ChristopheDeNamutunda
    @ChristopheDeNamutunda 2 месяца назад

    Mume fanya vizuri

  • @AminaNgumba
    @AminaNgumba 2 месяца назад

    Mhhh humu wamekonda c amina c candy

  • @BrianMochama-r5t
    @BrianMochama-r5t 2 месяца назад

    Mrembo wa mtaa😂😂😂😂😂

  • @jkisoinzomo7465
    @jkisoinzomo7465 2 месяца назад

    Mimi nagoja part 3 sae

  • @MshamShaa-v1v
    @MshamShaa-v1v 2 месяца назад +1

    Sawa🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Candyzw3jv
    @Candyzw3jv 2 месяца назад

    Wa 30 jmn🎉🎉🎉🎉

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 2 месяца назад +1

    Kendy kua na adabu unamtusi imbwa mwanaume wako umevuka mipaka kwa kweli

  • @Clara-r2w
    @Clara-r2w 2 месяца назад +1

    Nzuri lkn fupi jomonii

  • @MadinaAhmed-u9z
    @MadinaAhmed-u9z 2 месяца назад

    Lovenes kamuelewa jamaa

  • @InukaUangaze-s3y
    @InukaUangaze-s3y 2 месяца назад

    ❤❤❤❤❤it

  • @fellst4159
    @fellst4159 2 месяца назад

    Kendy mrembo wa mtaa hujafanana kabisa nahii hali

  • @ChristopheMufariji-kh3kq
    @ChristopheMufariji-kh3kq 2 месяца назад

    Jamani huyu AMINA kaweza ubeya kweli

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu 2 месяца назад

    Next

  • @VeveVestineniyera
    @VeveVestineniyera 2 месяца назад

    Next episode mtuleteye mapema msiniangushe naomba

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 2 месяца назад

    Karembo levoness

  • @JumaJafaraiii
    @JumaJafaraiii 2 месяца назад

    Sawa rembo wa mtaa umevurugwa

  • @sophianyambura-ou9kg
    @sophianyambura-ou9kg 2 месяца назад

    Mmmmmm amina ujinga

  • @JacquelineModestu
    @JacquelineModestu 2 месяца назад

    Ila wanawez ongereni

  • @HaithamAbdirahman-ws3ps
    @HaithamAbdirahman-ws3ps 2 месяца назад

    Kma huyo hajui ww ndo unajua,😂😂😂😂😂