Nashukuru sana MUNGU 😢 leo 11/12/2024 kunikutanisha na hili somo. For sure Mungu namtukuza sana sana, maana huyu ni Roho Mtakatifu mwenyewe amezungumza 🙌🙌🙌
It's 13/01/2024 and its the first time nasikia hili somo na nimebarikiwa sana sana sana ...Damu ya Yesu ikutunze dada Eh Yesu niumbie moyo wa utulivu katika jina la Yesu🙏🙏🙏
Leo ni february 2024. Mungu kanipa kibali cha kupata hili neno ili nibadilike sehemu, Mungu asante sana kwa neno hili kuliachilia kwangu siku ya leo. "Utulivu"
The anointed woman.. No kelele, no mbwembwe lakini it is touching.. Once you start watching you will not want to stop.. Be blessed Madam Colle.. May God continue to use you
Da colle Mungu azidi kukupa mafunuo,na kukuinua katika viwango vya juu,unafundisha kwa utulivu mnoo, point zinagusa mpaka chembe ya moyo.somo zuri sanaaa
I attended the gathering and I've watched the video, I believe this is a *MUST WATCH " to everyone, we need serenity. Tunakosa majibu ya maombi kwa kukosa Utulivu tunatakiwa tuvuke hapa. Lord have mercy
Jaman,,jaman,jaman Da Colle wangu Mungu akubarik sana umefumbua ufahamu wang nadhan sasa utulivu upo ndan yang na ntakuwa nikisiliza Roho wa Mungu anataka nn
Nilikuwa sitaman hili neno liishe ,namshukuru Mungu sana kwan nimejifunza vitu vingi kupitiaa hili neno naamin litaniimarisha sana, ubarikiwee dada Colle
Hili somo ni blessings .Tunahitaji utulivu katika kila sehemu kwenye kazi,biashara,ndoa, huduma maana tukiwa watulivu kuna namn Roho Mtakatifu atatufundisha.
Nashukuru sana MUNGU 😢 leo 11/12/2024 kunikutanisha na hili somo. For sure Mungu namtukuza sana sana, maana huyu ni Roho Mtakatifu mwenyewe amezungumza 🙌🙌🙌
It's 13/01/2024 and its the first time nasikia hili somo na nimebarikiwa sana sana sana ...Damu ya Yesu ikutunze dada
Eh Yesu niumbie moyo wa utulivu katika jina la Yesu🙏🙏🙏
I'm here in 2023 watching again. hili somo ni 🔥. be blessed woman of God you are so humble
Leo ni february 2024. Mungu kanipa kibali cha kupata hili neno ili nibadilike sehemu, Mungu asante sana kwa neno hili kuliachilia kwangu siku ya leo. "Utulivu"
The anointed woman..
No kelele, no mbwembwe lakini it is touching..
Once you start watching you will not want to stop..
Be blessed Madam Colle..
May God continue to use you
Very true bro... nimejikuta nanunua vocha mara 10 10😂
for sure
04/06/24 nasikiliz ili neno nimebarikiwa mnoo be blessed colle❤
Nilikuja apa kuu comment two years ago nikasema GOD IS GOOD yet nasema na leo tena navolirudia GOD IS GOOD ALL THE TIME
Nimejifunza kitu kikubwa naomba Mungu unipe utulivu katika maisha yangu
Da colle Mungu azidi kukupa mafunuo,na kukuinua katika viwango vya juu,unafundisha kwa utulivu mnoo, point zinagusa mpaka chembe ya moyo.somo zuri sanaaa
6/8/2024 Nko kupata chakula cha kiroho oh Alleluya
Nilikua cna amani ee Yesu umetenda somo la utulivu ndani yangu asante my Lord🙏🙏
Mungu Asante kwa ajili ya watumishi wako 2/2/24
I guess I needed to hear this.God bless u Da Colle
Moyo wenye utulivu husaidia sana Kufanya mawasiliano mazuri na Roho Mtakatifu.
I’m blessed kua wa kwanza kuangalia this video usiku huu darling baba I love you nitakua mtulivu kwa kila jambo sasa!!karibu tujifunze!
I attended the gathering and I've watched the video, I believe this is a *MUST WATCH " to everyone, we need serenity. Tunakosa majibu ya maombi kwa kukosa Utulivu tunatakiwa tuvuke hapa.
Lord have mercy
Thanks u nimejifunza MUNGU anitie nguvu
Asante Yesu.,.,asante mno Baba yangu.!
Mungu anirehemu na kuniumbia moyo wa utulivu! Maneno yangu yapate kibali mbele za Bwana kabla ya kutoka kinywani mwangu!
Jaman,,jaman,jaman Da Colle wangu Mungu akubarik sana umefumbua ufahamu wang nadhan sasa utulivu upo ndan yang na ntakuwa nikisiliza Roho wa Mungu anataka nn
Amen🙏nimepona kweli kupitia somo hili
Asante sana Mtumishi SoMo limenivusha Sana Sana.Mungu akubariki Sana Colle
Asante Mungu kwa somo hili..mtumishi Colle ubarikiwe
Amen, asante kwa mafunzo haya
Ubarikiwe mnooo mtumishi
Ameni, ubarkiwe Sana kwa soma hili Mungu azidi kukutumia, napenda Sana unavyofundisha taratibu bila papara maneno yanatuingia vizuri.
No3... watching from Italy
September 25,2020 nimetafuta hili somo maana nimesukumwa ndani kusikiliza
Lord open my heart
Mungu ni mwema,asante kwa mafundisho da colle hakika tunabarikiwa sana na rehema hii
asante dada yangu colle.be blesd kwa somo zuri utulivu.
Zzz zzz sssss*+>,,*+**×@
Somo zuri, mungu akubariki dada colle
Somo lililonivusha sana maishani mwangu
Nimebarikiwa,nimejifunza.
nabarikiwa sana na ujumbe wako da colle unatuponya
Somo limenivusha sana kwa viwango vya juu .Mungu awatunze na kuwalinda watumishi ili muendelee kumvunia matunda Bwana.
Somo zuri sana..ubarikiwe mtumishi
Nimejifunza. Mungu azidi kukutunza, naomba ile part ya kuabudu muda mnaanza muwe mnaiweka walau kidogo tu, huwa inabariki sana. Asante
Nilikuwa sitaman hili neno liishe ,namshukuru Mungu sana kwan nimejifunza vitu vingi kupitiaa hili neno naamin litaniimarisha sana, ubarikiwee dada Colle
My lord Jesu's tupe utulivu
amen ubarikiwe sana somo zuri
Hili somo ni blessings .Tunahitaji utulivu katika kila sehemu kwenye kazi,biashara,ndoa, huduma maana tukiwa watulivu kuna namn Roho Mtakatifu atatufundisha.
God bless you dada Colle, hili SoMo leo limenifaa Sana katika hichi kipindi
ubarikiwe Sana🙏
Ameen ubalikiwe Sana dada
Baba naomba unipe utulivu ktk mambo yote.
Najikuta kubarikiwa tuu
Kila napo fuatilia hii site🙏🙏🙏
Ubarikiwe mtumishi nimehudumiwa.
Ameen 2022
Amen mtumishi,nimebarikiwa nasomo zuri.
Amen mungu akubarik sana Dada colle I like it and I'm blessed
Amina
nimebarikiwa.. Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu mtumishi..
Nimerudi kuwatch tena. Nimepata amani tena🙏🏽
ooh Lord.. thank uu thank uuu
Mungu akubariki mtumishi wangu nakupenda sana napenda unavomtumikia mungu barikiwa mama
Ubarikiwe dada colle! Hili neno limenibadilisha mnooo 😘
God is Good...
Be blessed woman of God
Asante ubarikiwe..
Asante da colle kwakweli nimevuka baada ya kusikiliza somo hili
Am blessed da Colle
Hakika Mungu ni mwema... Ubarikiwe sana mtumishi..
Barikiwa da colle tunajifunza mengi kutoka kwako,,
Barikiwa da colle nimejifunza kitu leo nakifanyia kazi sasa hivi
May God bless you Mtumishi wa Mungu..Nimebarikiwa
Ameeeen. God bless you dada
No 2...watching from Denmark
Amina, Groly to God alone
Amen ubarikiwe sana
Ameeeeeeen
Amen.
Am blessed ... watching from Deutschland
thank you Lord, nisaidie nivuke kabisa hili, nipe utulivu, hekima, unyenyekevu, na vyote vyenye kukutukuza wewe....
Ameniii barikiwa
@@nonganonga9984 lkkkjj
Sarah Jonathan oky....be blessed
Ameeen,Nimebarikiwa sana na hili somo la Utilivu.Nakiri Utulivu kila eneo la maisha yangu kwa Jina la Yesu
Amen
Mtumishi wa Mungu asante kwa somo zuri sana
Utukufu kwa Mungu..somo limenigusa sana ubarikiwe mtumishi colle🙏
Be blessed woman of God
Amen
Amen
Amen