SHALOM, TUTUMIE UJUMBE KUPITIA WHATSAPP KWA NAMBA HII 0754 440 139, UKIANDIKA JINA LAKO NA MKOA UNAPOTAKA NA ANDIKA PM1 IKIWA NI KIFUPI CHA PRAYER MARATHON 1
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu, Nimejifunza mambo mazito Sana kupitia vipindi vyako napenda Sana kujifunza kwako Pastor, Nipo Simiyu Maswa, Karibu Sana Pastor
Asante mtumish kwa somo nzuri❤
Amina nimebarikiwa sana
Hii topic irudiwe aisee au irudiwe interms of husbands or family it goes both ways hata wanaojindaa kuingia kwenye ndoa. Shukran sana kwa hubiri nzuri
@Donovan Alaric started using it yesterday
Amen so blessed by this teaching
Naomba uwe na gathering ya The Husbands.. plz Colle.
Mbarikiwe sana Watumishi, Somo ni zuri sana la kujenga Maarifa
Mungu akuinue Da colle
Nabarikiwa
Asante kwa somo zuri. Mungu akubariki.
Nmebarikiwa sana na mafundisho mtumishi natamani nianze hiyo marathon prayer
SHALOM, TUTUMIE UJUMBE KUPITIA WHATSAPP KWA NAMBA HII 0754 440 139, UKIANDIKA JINA LAKO NA MKOA UNAPOTAKA NA ANDIKA PM1 IKIWA NI KIFUPI CHA PRAYER MARATHON 1
@@anointedroomministry asante dada
Asante @anointed kwa kunipika kuwa mke mwema...,barikiwa
Ameen asante kwa somo zuri. Umebarikiwa
Hapo kwenye kuhandle siri za Mungu nilishawahi kubugi Mungu anisamehe
Yes he was Here
Barikiwa mno mtumishi natamani uje na Geita
Amen umenisaidia
Bila Maarifa ni ngumu kujenga ndoa. Wanandoa tusaidie wengine waweze kuvuka kupitia somo hili.
asante Dada Colle Mungu akutunze
God bless you
Amen
Mungu hatusaidie
Yes yuko hapa
Shalom,uje na Loliondo mtumishi wa Mungu
Amen, nimebarikiwa sana
Ameeeen
Naomba niunge naunitumie maombi dacolle
Naomb namimi hiyo Marathon jamani mtumishi
Rodgers Misas nenda kwa page Yake ya Instagram utapata muongozo
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu, Nimejifunza mambo mazito Sana kupitia vipindi vyako napenda Sana kujifunza kwako Pastor, Nipo Simiyu Maswa, Karibu Sana Pastor
Mweny namba ya Mtumish huy jamani
Rodgers Misas nenda instagram search anointed room utapata namba yake
Rodgers Misas mfollow insta annoited _room
Amen