Nimepata ujasiri leo mm huwa sipendi mtu ambae anaanguka akiombewa naogopa kweli lakini kwa somo hili siogopi tena na nimepata ujasiri Ubarikiwe sana sana Dada Colle
Tangu nimeijua hii page yan imekuwa msaada na imenipa kujiamin na kujifunza kitu,ushuhuda wangu ni huu kwa Mungu .kuwa wewe mjue Mungu wako tu na Nguvu zake,Mungu atupe ujasir
Amen, nimebarikiwa na somo la ujasiri asante Mungu Baba kwa somo uliloachilia
God bless you mom, ni upako juu ya upako
Nimepata ujasiri leo mm huwa sipendi mtu ambae anaanguka akiombewa naogopa kweli lakini kwa somo hili siogopi tena na nimepata ujasiri
Ubarikiwe sana sana
Dada Colle
yani unanipa ujasir sana wa kumjua Mungu zaidi na kusonga mbele
Yesu niponye na hofu ninaifuta kwa damu ya Yesu
hakika ujasiri ni Muhimu.Dada colle Mungu amekuweka utuponye.
Mungu nipe ujasiri, kupitia hili neno nipone kabisa moyo wangu. Ubalikiwe Da Colle huduma aliyokupa Mungu isonge mbele
Amina
Mungu akubariki dada Colle na dada Braetrice aendelee kuwapa maono zaidi na zaidi
Amen nimebarikiwa, maana napenda somo la ujasiri
Amen ee Mungu niponye nisiwe na hofu niwe jasiri
Amen Amen MUNGU akubariki
Eh Mungu naomba unipe ujasiri,amen
Haleluya mtumishi mbona kama unanisema Mimi maana me ndio muoga nadhani kuliko waoga wote duniani Ee Mungu niponye.
Mungu nipe hujasili katika kipindi hiki kigumu nilicho nacho
Mungu atusaidie Atupe ujasiri ktk maisha yetu,eeh Mungu tusaidid
Hakika mwanangu Colle umenifungua katika kusoma neno la MUNGU naberikiwa sana MUNGU akuweke.
Barikiwa mtumishi.
YESU hakika bado anaponya na anaweza kufanya mambo ya ajabu
Tangu nimeijua hii page yan imekuwa msaada na imenipa kujiamin na kujifunza kitu,ushuhuda wangu ni huu kwa Mungu .kuwa wewe mjue Mungu wako tu na Nguvu zake,Mungu atupe ujasir
Amen hofu ni mbaya inafanya unashindwa kufanya jambo lako Mungu atuponye kitu kidogo tu unaogopa watakuonaje kumbe kujiamini ni jambo mema
Amen nimepokea
AMEN
Am blessed...
Powerful
Amen
MUNGU nipe ujasiri
Amen 🙏🏻
Emen.
AMN
Amen Dada mungu azidi kukupa nguvu katika hii huduma,nazidi kupokea kwa jina LA yesu kristo
Amen
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
E mungu. Kupitia somo. Hili. Naomba. Uniondoree uoga nilionao Amina
up
Nimebarikiwa sana kwa somo la ujasiri
Mungu nitie nguvu niwe na ujasiri wa Kristo
Amen
Amen