Ameeen, naomba kujua hapo kwenye zake mfano mwisho wa mwezi unalipwa mshahara na unatoa żaka? Je ile posho ya masaa ya ziada nayo inatakiwa niitolee zaka
Beatrice. Zaka ni Kila pesa yako unayopokea hata ile unapewa na mtu kanywe soda toa 1/10 ndipo utumie. kuna siri kubwa katika zaka. "Leteni Zaka kamili ili kiwemo chakula kingi katika nyumba ya Bwana..." so toa bila kujionea huruma utamuona Mungu kwa viwango vikubwa sana.
Amen🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Amen
AMEN
Ameeen, naomba kujua hapo kwenye zake mfano mwisho wa mwezi unalipwa mshahara na unatoa żaka? Je ile posho ya masaa ya ziada nayo inatakiwa niitolee zaka
Ndiyo Hela yoyote inayoingia mkononi mwako unatoa zaka
Beatrice. Zaka ni Kila pesa yako unayopokea hata ile unapewa na mtu kanywe soda toa 1/10 ndipo utumie. kuna siri kubwa katika zaka.
"Leteni Zaka kamili ili kiwemo chakula kingi katika nyumba ya Bwana..." so toa bila kujionea huruma utamuona Mungu kwa viwango vikubwa sana.
Àmen
Amen
Amen