Amen. Nimemwona Mungu. Adui amejaribu kunivurugia simu yangu kubwa ambayo huwa ninaitumia kujiungamanisha na ibada. Nikaomba na kuipinga roho ya mpinga kristo. Roho mtakatifu akanisaidia simu ndogo ikakubali kujoin na nikawa pamoja nanyi katika maombi. Nilianzua lilipotamkwa neno la math 7: 7 na maelezo yote ya hatua na tukaingia kuomba. Namtukuza sana Mungu Mkuu Yesu Kristo.

Neema ya kusamehe
Ameeen watumishi
Amen Amen ❤🎉
Mwache MUNGU aitwe Mungu
Mm ninachangamoto ofisi kuna mdada hata nikimsalimia haitikii hii sasa unafanyaje
Wewe endelea kumsalimia tu mpendwa kwa moyo mweupe
Muombee Mungu toba na upatanisho wewe na yeye,sehemu za kazi uwe usalimiani na mtu kuna namna haiko sawa