I'm very much blessed by listen this sitting in the room alone,My heart wanted to hear this and I'm healed 🤗🙏♥️No heartbreak in terms of relationship in Jesus name,may you stay long and may God protect you always beautiful soul 🙏🙏🙏
Ndoa ni huduma. Na mpango wa Mungu kufanya uwe kwenye kusudi la ndoa ni ili umtumikie . Kama unaona mahusiano uliyonayo yatakupeleka kwenye ndoa ambayo itakufanya usimtumikie Mungu ni bora uyaache
Kipindi chako cha kuwa single kinapaswa kuakisi kusudi ambalo Mungu anataka ufanye hicho kipindi. Tambua vyema kusudi la Mungu kwako wakati wa kuwa single ili uweze kuutumia vyema ujana wako katika Kristo Yesu. Mbarikiwe sana Watumishi wa Mungu.
Tunabarikiwa sana,Mungu wa mbinguni afungue milango tukutane na watu sahihi ktk maisha yetu,mimi nataka nimjue yeye Mungu zaid mengine yote yatakuja,Naomba Mungu afanye kwa mapenz yake
Daah namshukuru Mungu kwa ajili yako maana saiv nitaingia kwenye ndoa kwa wakati wa Bwana. Nitasubiri Mungu aseme kwamba huyu ndiye basi si tofauti na hivyo.
Niliattend na kunyoosha mkono miongoni mwa walio kwenye complicated relationship but after that day God changed my status to single, namtukuza Baba kwa kuniponya na rlshp isiyoeleweka..
Asante Sana mtumishi wa Mungu,nmeanza kukufuatilia mahubiri yako 31/3/2021 umenivusha mahali ubarikiwe mno, yaan especially hapo kwa don't be desperate with marriage, thanks sasa nmepata nguvu za kusonga mbele,
Tangu nimejifunza grace for single ctak mahusiano yasioeleweka nimeblock boyfriend wangu ctak tena kupoteza muda bora nisubir maana unayoenda kukutana nayo utataman dunian igeuke,bora kuomba atoke kwa Mungu
Asante Da Colle kwa ujumbe. Mungu aendelee kukutumia katika kazi yake, ulipokuja Mwanza grace for singles baada ya mafindisho sikubaki kama nilivyo nilifunguliwa
Winner hakuna group la single wala lolote lile la Anointed room, ukitaji msaada zaidi wasiliana moja kwa moja kwa message na mtumishi Colle au Beatrice. Barikiwa
I'm very much blessed by listen this sitting in the room alone,My heart wanted to hear this and I'm healed 🤗🙏♥️No heartbreak in terms of relationship in Jesus name,may you stay long and may God protect you always beautiful soul 🙏🙏🙏
Ndoa ni huduma. Na mpango wa Mungu kufanya uwe kwenye kusudi la ndoa ni ili umtumikie . Kama unaona mahusiano uliyonayo yatakupeleka kwenye ndoa ambayo itakufanya usimtumikie Mungu ni bora uyaache
Mungu awabariki sana,hakika Maarifa ni ukombozi wa maisha. Singles tuzingatie hili somo tuepuke na ninge............
Kumbe shida inaanzia pale unapoambatana na asiye wa kusudi lako (Hamfanani)
Kipindi chako cha kuwa single kinapaswa kuakisi kusudi ambalo Mungu anataka ufanye hicho kipindi. Tambua vyema kusudi la Mungu kwako wakati wa kuwa single ili uweze kuutumia vyema ujana wako katika Kristo Yesu. Mbarikiwe sana Watumishi wa Mungu.
Nalibariki na kulitukuza jina la Bwana kwa ajili ya haya mahubiri...Mungu awabariki sana mtumishi Colle na Beatrice.
Tunabarikiwa sana,Mungu wa mbinguni afungue milango tukutane na watu sahihi ktk maisha yetu,mimi nataka nimjue yeye Mungu zaid mengine yote yatakuja,Naomba Mungu afanye kwa mapenz yake
Daah namshukuru Mungu kwa ajili yako maana saiv nitaingia kwenye ndoa kwa wakati wa Bwana. Nitasubiri Mungu aseme kwamba huyu ndiye basi si tofauti na hivyo.
Nimebarikiwa sana na mahubiri Mungu awabariki watumishi wa mungu
Niliattend na kunyoosha mkono miongoni mwa walio kwenye complicated relationship but after that day God changed my status to single, namtukuza Baba kwa kuniponya na rlshp isiyoeleweka..
barikiwa na endelea kuishi maisha matakatifu
Amen
Najiunganisha na hili somo kwa damu ya Yesu
Asante Sana mtumishi wa Mungu,nmeanza kukufuatilia mahubiri yako 31/3/2021 umenivusha mahali ubarikiwe mno, yaan especially hapo kwa don't be desperate with marriage, thanks sasa nmepata nguvu za kusonga mbele,
Single wengi tunatamani ndoa kama show off.Hatujui ata kwann tunataka tuingie kwenye ndoa.Mungu azidi kutufungua fahamu zetu tuelewe mapenzi ya Mungu
Da Cole asante sana kwa mafundisho hakika umefungua kitu ndani yangu. Barikiwa sana🙏🙏🙏🙏🙏
Tangu nimejifunza grace for single ctak mahusiano yasioeleweka nimeblock boyfriend wangu ctak tena kupoteza muda bora nisubir maana unayoenda kukutana nayo utataman dunian igeuke,bora kuomba atoke kwa Mungu
Asante Da Colle kwa ujumbe. Mungu aendelee kukutumia katika kazi yake, ulipokuja Mwanza grace for singles baada ya mafindisho sikubaki kama nilivyo nilifunguliwa
Kuwa na Mahusiano Imara na Mungu, Tunapata faida ya kuambiwa na yeye kuwa mate wako ni Flani..
GOD BLESS YOU
Mungu akubariki da colle
Amina watumishi mbarikiwe sana mahusiano yanayomtukuza Mungu
Wow! Neema ni kipindi ambacho Mungu anakupa ili utengeneze na Yeye.
Asante kwa somo zuri dada Colle nmepona kuanzia leo nitasimama na kuishi katika mapenzi ya Mungu
Mungu akubariki mno dada Colle.,
Kuna mambo tunakosea ni kwasababu ya kukosa Maarifa, kwa somo hili tuyazingatie na kuweza kuvuka #singles #graceforsingles #mabinti #Vijana
thnk u God
Huduma. Iyi. Mungu. Ayifunike. Kwa damu. Yayesu
Am blessed with the message ...God bless you Cole and Beatrice
Nice
Nimebarikiwa Sana
Arusha jaman mje
Nmeipenda
Nilifundishika na kuelewa kabisa
endelea kutendea kazi sasa
Nmebarikiwa sana na mafundisho haya na natamani Mungu atufungue macho ili tuweze kukutana na watu sahihi.... Be blessed servant.
Stop looking for your whatch, I Tap it
Ahsante da colle nimebarikiwa na ujumbe wako mzur nimejifunza ,,naomba uniadd kwenye group la wasapu la single ladies 0768725512
Winner hakuna group la single wala lolote lile la Anointed room, ukitaji msaada zaidi wasiliana moja kwa moja kwa message na mtumishi Colle au Beatrice.
Barikiwa
Na Mimi naomba mniadd namba yangu 0673598911 nimebarikiwa na mafundisho yako mtumishi
Ubarikiwe