This pastor will be known all over the world in 5years to come.. When you teach the word of God Jesus draws people to you... Haya mafundisho ni deliverance tosha... Dunia inataka mafundisho haya... Mungu apanue mipaka ya hii huduma.. Receive love from kenya
This man he is not only a PASTOR but he is a TEACHER, Yani ni kiongozi wa viongozi nacho mpendea ni ukweli wake the way anavyo preach Hata kama shetani yuko ndani yako lazima utatega sikio na kumsikia maana mahubiri yake yana mifano mingi sana MUNGU AZIDI KUMBARIKI
True pastor, mie mme wangu alifariki nikiwa na miaka 27 hiyo ilikua 2014,hadi Sasa Nina msubiri Mungu, Sina hofu nina Amani moyoni kwa sababu najua wakati wake ukifika umefika kwa hiyo bado namsubiri
Kwa hakika Pastor huyu ako na wisdom and teachings that will transform this generation.....a blessing to me each and every day I listen to him.....am a Kenyan currently in doha Qatar....
Pastor wewe una Mungu Kweli Niko Congo na wa Oba wa minifu WA bwana wetu yesu ni obeyeni mipaka ya pesa ya anguke Nika muobe uyu baba pastor ni ta furhai sana Niko Congo RDC 🇨🇩 😘 🇹🇿🇹🇿
God gave this pastor a very different gift. His sermons are never tiring to listen to, and in fact what he teaches has healed my heart a lot. God bless him very much
This pastor will be known all over the world in 5years to come..
When you teach the word of God Jesus draws people to you...
Haya mafundisho ni deliverance tosha... Dunia inataka mafundisho haya... Mungu apanue mipaka ya hii huduma..
Receive love from kenya
Ukweli
Sure your prophet
Hapo kweli. Glory to God 🙏.
Kabisa
Amen powerful words
This man he is not only a PASTOR but he is a TEACHER, Yani ni kiongozi wa viongozi nacho mpendea ni ukweli wake the way anavyo preach Hata kama shetani yuko ndani yako lazima utatega sikio na kumsikia maana mahubiri yake yana mifano mingi sana MUNGU AZIDI KUMBARIKI
Unafariji,unabariki,unafundisha na kuelimisha pia.....ubarikiwe katika huduma pamoja na familia yako
Napokea leo roho ya utulivu ,neno nzuri blessed ,nakataa kusumbuka ,🙏🙏
Aminaa
Naomba nikuoe
Napokea roho ya utulivu shetani kaaa kwako
Amen
Amen nimefunguliwa kwa damu ya yesu
Kaka mimi Naitwa Rahim mimi ni Muslim lakini ndugu yangu nakufatilia sanaaa nakubali sana speech zako tunaitaji watu zaidi kama wew
Kweli kabisa ndugu
Waoh that great, asante sana Mutumishi wa Mungu, Pastor TK,,, iyo ni kweli kabisa,,,, 📖🕊️❤️
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi kwa mafundisho
Kwa dakika hii nakataa kuhangaika moyoni na maishani .Mungu tawala mawazo yangu na mienendo yangu kwa maombi hii nibadirishe Amina Amina Amina
Amen.uwezo wa kutuliza dhoruba. Storms are not permanent. Nothing stays 4rever
Amen.
Jaman hv ,Kuna group maalum la pastor Tony kapola
group lipo
Nabarikiwa sana apa Congo RDC 🇨🇩 🙏🙏
❤
Dah umibarkiwa isivyo kawaida. Mtumish mungu akulinge mtumish
True pastor, mie mme wangu alifariki nikiwa na miaka 27 hiyo ilikua 2014,hadi Sasa Nina msubiri Mungu, Sina hofu nina Amani moyoni kwa sababu najua wakati wake ukifika umefika kwa hiyo bado namsubiri
Mungu akutunze,pole sana
Pole mum
Pole ndugu kwa changamoto, jipe moyo Mungu wetu ni mwaminifu sana, kamwa hatakuacha
Kwa hakika Pastor huyu ako na wisdom and teachings that will transform this generation.....a blessing to me each and every day I listen to him.....am a Kenyan currently in doha Qatar....
You are blessed, blessings in abundant
Yesu nijaliye roho ya utulivu🙏
Hakika Mtumishi unakitu tofauti sana sijutii kukujua nabarikiwa kila mahubiri yako
Mungu azidi kukuinua viwango kwa viwango
Napokea roho ya utulivu katika maisha yangu kwa jina la yesu Amen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Napokeaa
Hili neno limenisaidia kutulia na kumsubiri Mungu.God bless you man of God.
Mee too sheila
Roho ya utulivu iwe juu yangu...ameni
Ubarikiwe San mtumishi wa my Mungu unanipa tumaini San god bless you ❤️❤️
Mungu naomba nipatie roho ya utulivu
Nimekuelewa Pastor,Yesu nijalie hiyo neema
Napokea leo roho ya utulivu katika jina la Yesu 🙏
I receive the spirit of calmness
I receive the sprit of calmness in Jesus Name !!
Napokea roho ya utulivu ameen🙏🙏
Napokea kwa jina yesu
Pastor Kanibariki sana, nitakua na utulivu Kwa Jina La Yesu
Napokea roho ya utulivu ktk jina la Yesu,eee Yesu nipe uvumilivu
Amen mtumushi barikiwa sana
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Unapofundisha, huwa unabadirisha maisha yangu, na akili yangu piya.
Aminaa...Leo napokea Roho ya kutulia, Roho ya utulivu, nakata Kuhangaika napokea pumziko
Asante mungu kwa hili neno... kipindi hiki kigumu nipe uvumilivu ndani ya moyo wangu nifundishe kunyamaza simama na mm mungu Amen,🙏
Mungu nipe roho ya kuvumilia na utulivu niwenaamani kwenye ndoa yangu 🙏🙏🙏
Akili kubwa Sana hii. MUNGU akupe baraka tele Mwalimu wangu.
Amen mtu wa Mungu nimebarikiwa sana Yesu akudhidishe 🙏🙏🙏
Napokea roho ya utulivu
Nimesikiliza April 2023 nimeingia you tube nikitamani neno la kunisaidia na ni perfect word i was looking for; Haleluya!!
Daaaaah somo linanihusu mwanzo mwisho
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kuyatunza mafuta amekupaka
Amen...Mungu naomba utulivu
🙏🙏🙏🙏🙏 kama BWANA aishivooo,,,
Mungu anisaidie sana kwa neno la kuponya moyo wangu ubarikiwe mtumishi mungu akutunze sana sana
Ameni ameni kubwa
Naomba Mungu anipe roho ya utulivu
Amina baba namshukiru MUNGU nina moyo wa utulivu❤❤
Emen,kweli tujifunze kukaa kimya pale dhoruba zinakokuja mbele yetu((Bora waseme unadharau/kiburi au vyovyote lkn wakati wa bwana ukifika wataelewa))
" it's only in stillness that we can find answers"
"to the mind that is still the whole world surrenders"
Amen
Isaiah 30 : 15
Napokea roho ya utulivu kwa damu ya yesu napokea roho ya mafanikio amen
Napokea roho ya utuliv nienende katka mapenz ya Mwenyezi Mungu 🙏
Ee Yesu naomba unijalie roho ya utulivu
Mungu akubariki mtumishi kwa huduma unayoifanya.
Upo na roh mtakatifu kabisaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤umenipo somo kabisa na linanius kabisa
Napokea Leo roho ya utulivu, neno nzurii blessed nakaataa kusumbuka
Amina baba nashukuru kwa neno lako zuri sana limenivusha
Ameeen pastor ninapokea roho ya utulivu
Hakika mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
Ilijaribu na pita katika jina laYESU NAPOKEA PUMZIKO NAKATAA KUHAMAKI AMEN
Umesema nami kabisa Mtumishi wa MUNGU. Asante ROHO MTAKATIFU kwa maono haya. Naomba unisaidie niwe na moyo wa SUBIRA..Amina na Amina
Nakupenda sana mtumishi nabarikiwa sanaaa naww yn bas tuu
Unajua nakupenda sana na nafatilia sana somo lako uko vizuri sana yani umenibadilisha vyakutosha kwangu wewe ni mwalimu
Asante Yesu kwa neno hili leo limenipa majibu napokea pumziko
Pastor wewe una Mungu Kweli Niko Congo na wa Oba wa minifu WA bwana wetu yesu ni obeyeni mipaka ya pesa ya anguke Nika muobe uyu baba pastor ni ta furhai sana Niko Congo RDC 🇨🇩 😘 🇹🇿🇹🇿
Ooooh Jesus thank you
My real spiritual father ❤
Amen mtumishi kwa funzo zuri
God gave this pastor a very different gift. His sermons are never tiring to listen to, and in fact what he teaches has healed my heart a lot. God bless him very much
Very good man of GOD
We are SO blessed for all your sermons
Pastor Tony mafundisho yako yananibariki sana na kunivusha.Mungu akubariki sanasana
Pastor tony Unatubariki 🙏🙏
@Pastor tony Kapola Dear Pastor Is This My Message? Or I've confused my Self?🤔
@Pastor tony Kapola I've Already sent 640 U$D To Acc details you Gave Me to DM Ask him Now!🤔
Thank you And Be Blessed!🙏
Great wisedom word for the powerfully servant of the most high God
Amen pastor tony naku kubali sana barikiwaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaa
Amen napokea roho ya utulivu kwa Jina la Yesu Christo...be blessed servant of God
Hayo mafundisho yamenijenga kweli kweli 💯
Pastor nakuelewa sana aiseee upo sawa kabisa yani
Pastor I declare as an Apostle of the Lord that you will preach where God want you to preach in Jesus name .You are blessed Pastor
ubarikiwe mtumishi wa Mungu
AMEN napokea roho ya utulivu Mungu nipe roho ya utuvuli
Hii video naingalia mara ya kumi Sasa naielewa sana
Napokea roho ya utulivu,
Ubarikiwe mno pastor
Lord give me Power of Perseverance, I receive this prophet words in Jesus Mighty Name
May God increase my praying soul
Napokeaa rohoo ya utulivu Kwak jinja laa yesu kristo
Ubarikiwe sana mtumishi wa jehova nimepewa kitu kipya Asante hayo mafuta yasikauke ndani yako
Napokea pumziko ,kwq jina la Yesu
Mungu naomba uniumbie roho ya utulivu katika maisha yako kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti aliye hai🙏
AMEN
Amen🙏napokea roho ya kuvumilia
Mungu aendelee kukutumia nabarikiwa na mahubiri yako
Kabisa pastor exactly 💯
Hakika mtumishi ni Roho wa Mungu ako juu yako, nimekupata juzi nimepona
Amin napokea roho ya utulivu
This Pastor 💡💡💎
Amen 🙏 Holy spirit calm my heart and mind
MUNGU akubariki sana kwa Mafundisho haya Mtumishi...
Amen, nimefarijika sana.
Nimejifunza utulivu, amen🙏
Baba mungu akiongezee uliko toa hii Neno azidishe mara dufu lime nitoa sehem kuniweka sehem nyingine amen🙏
Napokea roho ya utulivu katika jina la yesu christo
Napokea pumziko
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Thank you Jesus Christ for this word and prayer man of God be blessed
Naomba utulivu wa moyo katika jina la yesu
I claim the spirit of calmness in Jesus name
I receive the spirit of calmness in my life in Jesus name