Bwansa Yesu asifiwe wakati mtumishi anabonyeza na akuminya kopa na mimi nlichukua kopa na kuminya huku Nikijiungamanisha na kila anachosema kwa Jina la Yesu nimepona na uvimbe nimeenda chooni kujichunguza haupo tena maana nlikuwa nikijigusa nausikia na Daktari alisema either ni zae au nifanyiwe operation but now am healed😭😭Praises to Jesus maana nlikuwa napata mawazo sana na confussion nifanye nn. Na wakati naminya lile kopo nlikuwa nasikia hali ya tofauti kama kutapika na Kubeuwa kwa nguvu hadi nikakimbilia chooni yakatoka mate mazito sana na mengi to me was a sign that holyspirit yupo kazini .....Thanks to Jesus nimefunguliwa,Ubariwe mtumishi(Pastor Tony ) na Media team nzima,Am overwhelmed with Joy .
Nyiee God iz real nilishawah ingia interview moja badala ya kuulizwa maswala ya kaz wakaniuliza unajishughulisha n nin nikawaambia n mpishi nafanyia hoteln jmn nikapewa oda mda huohuo nikawa nawaletea chakula ndani ya siku tatu na kazi nikapewa tulikuwa watu miatano na wanahitajika watu 90 tu nikapita kwa nguvu za Mungu afu nikawa na kibali walinifurahia sanaa nikasema huu ni mkono wa Mungu
As i was passing Ireland the land of Saint Patrick i invited him to accompany me in my destination, guess what i didn't face difficulties to my destination compared to other passengers 🙏
I may not have started my business with this amount of faith but to day l write this with more declaration that my business will prosper in the name of jesus
kweli mungu anafanya ninashuhdia nimjiungamanisha nikawa nafanya kama pastor anavyofanya nikabinya chupa nikanza skia kutapika na baada ya muda kidogo nikaingia period maana nilikuwa sjaingi muda mrefu sana asant mungu kwa mtumish wko ulotupa aendelee kuchunga watu wako na kuwalisha waendelee kupokea na manono yq nchi amin
Fungu la 10 ni 10% ya mshahara / kipato chako…. Kutokana na kaz unayofanya/ biashara na Nadhiri ni ahadi unayoiweka juu ya jambo Fulani kwamba Mungu akitenda utamtolea Kias Fulani cha pesa! Na hilo jambo likitimia huna budi kuitoa kumb. 23:21-22 soma zaid hapo juu ya nadhiri…. Natumai kidogo Umepata idea 😊
Pastor i love your teachings. Hakuna kitu unafanya bila maandiko. Leo nimejua kwa nini watumishi hufuliza upepo kwa microphone wakiombea watu. Kumbe ni mighty rushing wind. Mungu akulinde kwa ajili ya kizazi hiki.

Utukufu kwa Mungu👏
❤❤ 🎉
Utukufu kwa Yesu

Oh my God since nmejifunza how to talk to my clothes I see the power of God to my life
Unaisemeshaje nguo ndugu
Tell us dear how to talk with clothes
unaisemeshaje nguo dear,tufundishe
As i was passing Ireland the land of Saint Patrick i invited him to accompany me in my destination, guess what i didn't face difficulties to my destination compared to other passengers 🙏
I may not have started my business with this amount of faith but to day l write this with more declaration that my business will prosper in the name of jesus
MIMI NAKUITA WEWE NI BABA WA IMANI unachopanda ndani yetu hakielezeki Mumgu akubariki
❤❤❤❤
kweli mungu anafanya ninashuhdia nimjiungamanisha nikawa nafanya kama pastor anavyofanya nikabinya chupa nikanza skia kutapika na baada ya muda kidogo nikaingia period maana nilikuwa sjaingi muda mrefu sana asant mungu kwa mtumish wko ulotupa aendelee kuchunga watu wako na kuwalisha waendelee kupokea na manono yq nchi amin
Ooohh thank you GOD for this SON of you I received your GRACE.AMEN 🙏🏾
Amen MUNGU anitangulie kwenye interview yangu ambayo IPO soon🙏Sisi ni Wale Tunao Saidiwa Na Bwana ❤❤❤ Mwokozi
waooo kazi imekuwa yako kwa jina la Yesu
Ameen🙏
Ameen umefaulu kwa jina la Yesu Ameen
Vp umeipata dear
Nan yupo hapa 2025😁
😂
😅😅
😂
Tupooo
😅
Mchungaji, naomba kwakutumia mistari ya bibilia unitofautishie kati ya fungu la kumi na nadhiri.
Fungu la 10 ni 10% ya mshahara / kipato chako…. Kutokana na kaz unayofanya/ biashara na Nadhiri ni ahadi unayoiweka juu ya jambo Fulani kwamba Mungu akitenda utamtolea Kias Fulani cha pesa! Na hilo jambo likitimia huna budi kuitoa kumb. 23:21-22 soma zaid hapo juu ya nadhiri…. Natumai kidogo Umepata idea 😊
Na mimi nielekeze maana ya sadaka ya limbuko
@@felistafesto9912Kila Uzao Wa kwanza wa tumbo lako, mazao yako, mifugo yako, au chochote kilee Cha Uzao kwanza ni sadaka ya malimbuko kwa Mungu
Ardhi skia neno la BwanaYesu popote ulipo nakutabiria uko chini yangu mm ndio mridhi wako
Amen
I'll come back to testify in Jesus' name...... .. very soooooonnn🎉
Thank you God for this man of God.
Namshukuru Mungu nimepokea baraka na ushuhuda wangu kupitia mafundisho haya
Asante Mungu kwa neema yako maishani mwangu naamin nmepokea yot yaliyochukuliwa 🙏
Unanibariki sana baba Ila kunaninachokosa kwa ajili ya lugha
Wow
Kuna mtu natamtafutia bomu huku nimekuja kusikiliza tena kuanzia ya 1 nikitoka hapa amekwishaa😮
Hahahahahahahaha
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Asante yesu nimefanikiwa hitaji la moyo wangu
Blessed young and inspiring, you open our minds to higher levels.
Pastor Tony is such a blessing in our generation. God bless you man of God.
Pastor i love your teachings. Hakuna kitu unafanya bila maandiko. Leo nimejua kwa nini watumishi hufuliza upepo kwa microphone wakiombea watu. Kumbe ni mighty rushing wind. Mungu akulinde kwa ajili ya kizazi hiki.
Asante mungu kwa kuniponyakifua,mtumishi ubarikiwe
Thank you Jesus
Rush might wind
Hakika wewe unaweza Mungu wetu ni wa vitendo na miujiza.
Barikiwa mtumishi wa Mungu
amen pastor thx for teaching us god bless you
Ameeeeeen..........
May God bless this Man for us 🙏🙏
Ni muhimu kufight emotions
Sign & tokens haipo kwenye podcast msaada 🙏🙏🙏
Naamini sijaachelewa kwa damu ya Yesu nitafanikiwa kwa Kila nilifanyalo,Kila nitakaloligusa kwa damu ya Yesu litapata kibali
M.O.G 🔥
Amen and Amen
Mungu akutunze na Familia yako
Asante mungu wangu
Aminaaaa
Kingereza kingi jamaaan sio wote tunaelewaa.....
🥰🥰🥰
Amen Amen 🙏🙏
Amen Amen
Hiii ni new kwangu Mungu akubariki sana nimepata nguvu mpya
We thanks GOD for u dady.
Here we Go
Recap 🙏
Amen 🙏
Hallelujah
Ameen Ameen Ameen natoa vya kwangu kwa jina la Yesu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🍷🍷🇦🇪
I spoke in tongues jaman God is real
I wsh one-day the holy spirit land on me 🙏
I wish to speak 😢
@@daisyshazwandukwa8018have you?
Nipo kibada namna gani ya kufika kanisani kwako mtumishi
Makumbusho -millenium tower
Ameni nabarikiwa
Warumi 8:12
Huu wimbo unaitwaje jamann
Utukufu hadi utukufu
Ameen and ameen 🙏
Amen thanks so much 🙏🙏
Nabarikiwa sana
Amina pastor
❤❤❤❤
Nimepona namshukuru Mungu
GOD 🙏❤
Amen
Pastor tunapataje hvyo vtabu tulioko mikoan
Kitabu kinaitwaje
🙏🙏🙏🙏
Kiingereza sasa mchungaj maneno ya kiswahili ni machache 😢 samahani lakini ungetumia kiswahili
Pastor alisema nini kuhusu viatu
Hallelujah 🙏 Hallelujah
God has given us His good servant in our generation, I love him so more
Amen♥️🙏
Wonderful be blessed man of God
Kumbe dady alikuwaga anatamani exhibition tangu muda aise
Asante Mungu nimebarikiwa sana🙏
Thank God
Niko Arusha how can i get icho kitabu naombeni nisaidieni
ingia kwenye page ya Instagram ya pt, utaona mawasiliano hapo, na kitabu unachohitaji then wasiliana nao.
It’s Antony of Padua not Patrick
Huyu dada anayeimbisha ana upako wa ajabu
❤❤
Amina
Amen
Amen
Amen